- Видео 490
- Просмотров 422 537
Al Amnu Tv
Добавлен 17 сен 2017
Karibu Ndani ya Al Amnu Tv Faidika Na Dini yako.
Kwa Mawasaliano Zaidi : Whastapp Number +257 61607177
Call Number :+257 62866835
Kwa Mawasaliano Zaidi : Whastapp Number +257 61607177
Call Number :+257 62866835
NGUZO YA IMANI KUAMINI MALAIKA|SHEIKH SALIM QAHTWAN
NGUZO YA IMANI KUAMINI MALAIKA|SHEIKH SALIM QAHTWAN
Просмотров: 26
Видео
MWAKA HUYU IMA IKUNYANYUWE AU IKUBWAGE|EP 01
Просмотров 18014 часов назад
MWAKA HUYU IMA IKUNYANYUWE AU IKUBWAGE|EP 01
WATOTO WETU WA KIKE NA WAKIUME NI NEEMA KUTOKA KWA ALLAH|SHEIKH SALIM QAHTWAN
Просмотров 3216 часов назад
WATOTO WETU WA KIKE NA WAKIUME NI NEEMA KUTOKA KWA ALLAH|SHEIKH SALIM QAHTWAN
NAFASI YA VIJANA KATIKA JAMI|SHEIKH SALIM QAHTWAN
Просмотров 49День назад
NAFASI YA VIJANA KATIKA JAMI|SHEIKH SALIM QAHTWAN
MWAKA WA USHIRIKIANO MWAKA WA MAFAANIKIO (AMIGO TV NA AL AMNU TV)
Просмотров 216Месяц назад
MWAKA WA USHIRIKIANO MWAKA WA MAFAANIKIO (AMIGO TV NA AL AMNU TV)
TUWAKUMBUKE WATOTO WASIO SIKIA NA KUSEMA WANA HAQQI PIA YA KUIPATA ELIMU | ABU JUNAYD ZAKARIAH
Просмотров 157Месяц назад
TUWAKUMBUKE WATOTO WASIO SIKIA NA KUSEMA WANA HAQQI PIA YA KUIPATA ELIMU | ABU JUNAYD ZAKARIAH
VIPI JAMII ITAYAFIKIA MAENDELEO KUPITIA ELIMU | TW ABDUL RASHID OTHMAN ( SEMINAR YA KIELIMU )
Просмотров 126Месяц назад
VIPI JAMII ITAYAFIKIA MAENDELEO KUPITIA ELIMU | TW ABDUL RASHID OTHMAN ( SEMINAR YA KIELIMU )
HATIMAYE WATOTO WAWILI WALIO KUWA WAME KWENDA KUWAKILISHA TAIFA HUKO MARROCCO WAREJEYA NCHINI
Просмотров 612Месяц назад
HATIMAYE WATOTO WAWILI WALIO KUWA WAME KWENDA KUWAKILISHA TAIFA HUKO MARROCCO WAREJEYA NCHINI
WAISLAM WA BURUNDI MWATAKIWA KUWA WASAIDIZI WA MUFTI SALUM NAYABAGABO
Просмотров 1,9 тыс.Месяц назад
#amigotv #alhudatv #kishkitv #africaswahili #annusratv #bambara #tawakkul #burundi #gitega
MUFTI ATAHADHARISHA WANAO DHANI COMIBU NI SEHEMU YA KULA NA ANA HADI KUWA MFANYAKAZI WA WAISLAM BRND
Просмотров 1,9 тыс.Месяц назад
#amigotv #alhudatv #kishkitv #africaswahili #annusratv #bambara #tawakkul #burundi #gitega
WAISLAM WA BURUNDI WAWEKA HISTORIA SIKU YA KUMPA BAI'A MUFTI MPYA
Просмотров 717Месяц назад
#amigotv #alhudatv #kishkitv #africaswahili #annusratv #bambara #tawakkul #burundi #gitega
ATEMBEYA SIKU TANO KWA MGUU KUJA KUSHUHUDIA SIKU YA KUMPA BAI'A MUFTI MPYA BURUNDI
Просмотров 837Месяц назад
#amigotv #alhudatv #kishkitv #africaswahili #annusratv #bambara #tawakkul #burundi #gitega
NAIBU MUFTI WA UGANDA NAYE PIA AWASILI NCHINI BURUNDI KWAJILI YA KUPEWA BAIYA MUFTI MPYA
Просмотров 683Месяц назад
#amigotv #alhudatv #kishkitv #africaswahili #annusratv #bambara #tawakkul #burundi #gitega
NENO LA NAIBU MUFTI WA NCHI YA RWANDA BAADA YA KUWASILI BURUNDI KWAJILI YA KUPEWA BAIYA MUFTI MPYA
Просмотров 2,6 тыс.Месяц назад
#amigotv #alhudatv #kishkitv #africaswahili #annusratv #bambara #tawakkul #burundi #gitega
SHEIKH JAMALI AZUNGUMZA KUWA MUFTI SIO KIONGOZI BALI NI FUNDI WA TAIFA LA BURUNDI
Просмотров 2,6 тыс.Месяц назад
#amigotv #alhudatv #kishkitv #africaswahili #annusratv #bambara #tawakkul #burundi #gitega
TAYARI TUMEWASILI MKOANI GITEGA KWAJILI YA KUKU HABARISHA YATAKAYO JIRI HAPA HIYO KESHO
Просмотров 354Месяц назад
TAYARI TUMEWASILI MKOANI GITEGA KWAJILI YA KUKU HABARISHA YATAKAYO JIRI HAPA HIYO KESHO
MIFANO YA WALIO TUMIA ELIMU KWA KUJIKWAMUA KATIKA UMASIKINI | SHEIKH TWAHA ABDUL KARIM
Просмотров 109Месяц назад
MIFANO YA WALIO TUMIA ELIMU KWA KUJIKWAMUA KATIKA UMASIKINI | SHEIKH TWAHA ABDUL KARIM
HISTORIA YA KIJANA ALIYE UBADILI MJI KUPITIA ELIMU | SHEIKH BIZIMANA ZUBEIR
Просмотров 273Месяц назад
HISTORIA YA KIJANA ALIYE UBADILI MJI KUPITIA ELIMU | SHEIKH BIZIMANA ZUBEIR
UBORA WA ELIMU KATIKA QURAN NA SUNNAH| SHEIKH NZEYIMANA BASHIR ( SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024 )
Просмотров 97Месяц назад
UBORA WA ELIMU KATIKA QURAN NA SUNNAH| SHEIKH NZEYIMANA BASHIR ( SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024 )
UWISLAMU NA TECHNOLOGIA|SHEIKH SALAM QAHTWAN
Просмотров 163Месяц назад
UWISLAMU NA TECHNOLOGIA|SHEIKH SALAM QAHTWAN
HAYA NDIO MALENGO NA MANUFA YA SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024
Просмотров 3462 месяца назад
HAYA NDIO MALENGO NA MANUFA YA SEMINAR YA KIELIMU MWAKA 2024
ELIMU NDIO SILAHA YENYE NGUVU YA KUBADILI ULIMWENGU SASA IMEFIKA TANZANIA
Просмотров 2792 месяца назад
ELIMU NDIO SILAHA YENYE NGUVU YA KUBADILI ULIMWENGU SASA IMEFIKA TANZANIA
HATIMAYE FURSA IMEFIKA JISAJILI MAPEMA NAFASI NI CHAHE
Просмотров 313 месяца назад
HATIMAYE FURSA IMEFIKA JISAJILI MAPEMA NAFASI NI CHAHE
HAMNA HAJA YA KUZOZANA|SHEIKH TWAHA IBRAHIM
Просмотров 1263 месяца назад
HAMNA HAJA YA KUZOZANA|SHEIKH TWAHA IBRAHIM
MMONGONYOKO WA MAADAILI|SHEIKH SHAMSU ELMI
Просмотров 953 месяца назад
MMONGONYOKO WA MAADAILI|SHEIKH SHAMSU ELMI
DOCTER SUDI NDIKUMANA AZUNGUMZIA WALIVYO IKUTA HALI YA AFYA YA WATOTO YATIMA HUKO KAGWEMA
Просмотров 1593 месяца назад
DOCTER SUDI NDIKUMANA AZUNGUMZIA WALIVYO IKUTA HALI YA AFYA YA WATOTO YATIMA HUKO KAGWEMA
HIYI NDIO HATUWA YETU YA KWANZA KUTAFUTA MAENDELEO YA JAMI YA KISLAM BURUNDI
Просмотров 3213 месяца назад
HIYI NDIO HATUWA YETU YA KWANZA KUTAFUTA MAENDELEO YA JAMI YA KISLAM BURUNDI
SHUHUDIA HATUWA KWA HATUWA KAMBI YA MADAKTARI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA KAGWEMA
Просмотров 3263 месяца назад
SHUHUDIA HATUWA KWA HATUWA KAMBI YA MADAKTARI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA KAGWEMA
MTUME MUHAMMAD NDIO MWANA TAUHID WA KWANZA|SHEIKH NIYUNKURU ABDUL JABBAR
Просмотров 1163 месяца назад
MTUME MUHAMMAD NDIO MWANA TAUHID WA KWANZA|SHEIKH NIYUNKURU ABDUL JABBAR
JIHADHARI NA KUVUNJA HAQQI ZA WADHAIFU AINA MBILI/SHEIKH ABUDL JABAR
Просмотров 503 месяца назад
JIHADHARI NA KUVUNJA HAQQI ZA WADHAIFU AINA MBILI/SHEIKH ABUDL JABAR
Manshaallah tabarakallah 🎉🎉🎉🎉
Allah akuifadhi sheikh Suleiman harouna
الحمندلله kwakuamimi nimwislam najivunia kabisa
Napenda unavyosoma Quran 🥰🥰👌
ما شاء الله تبارك الله
Mashallah 👌🥰🥰
Ma shaa Allah 🥰 Allah awajalieni maisha marefu yenye kheir na Baraka na afya njema ndanimo ili muweze kuitumikiya Jami yetu ya Kiislam Allah awalipenii kheir apa dunianii na iyo kesho akhera Na awazidishiyeni mapenzii na huruma baina yenu na awalindeni na fitna na husda za walimwengu Tunajivunia uwepo wenu katika Jami yetu Allah awafanyieni wepesii katika kila jambo
Maasha Allah
Allah awahifadh
Mashaallh Tabarakallh 🎉
Manshallah allah awalipeni kheri 🤲
MashaAllah TabarakAllah
MashaAllah
Sasa niangaliye wapi Amigo ao apa apa al amnu 😂 But kheri inshaAllah Tuko pamoja Allah awajaze kheri na awape subra
Allah akulipe ustadh Zakariya kwa ukumbusho. Allah awalipe woooote wanao pambania Hao watu wapate kuijua dini yao. Ni ukumbusho muhim saaaana.
Wallah Nimeangalia Hii Video, Nimeskia Hadi Muwili Unasisimka, ALLAH Atuafikie Kuwafarijika Hawa viumbe. Aaaaaamine
Allah akbar
Mashaallah shekhe
Wallah Allah awafanyie wepesi Niko Rwanda nimewapenda sana
Asalaam aleikum Prof Swaleh ndaryohew kukobona.Allah S W nishimwe kuriyo.
Swalleh teacher hongela
Warundi siku moja watasahau lugha yao
Umebiona naw pia,sabab nihoja kubwa kuona mrundi kumzingua mrundi mwinzio anapo engea lugha yetu sahihi kama lugha yauhamiaji nihatari.
@ hhhh kueli
Allah abazigame abahe nubumenyi bwinshi.
Allahu Akbar
manshaAllah walillahilhamdu
Allah Akbar
Yaani leo nimecheka sana mtangazaji anauliza kwa kiswahili hila mzee anazinguwa kwa kujibu kirundi 😂😂😂😂 hatari sana
Kirundi cha warundi wazalendo na ukiwa mrundi mzalendo itakufanya utafakali hilo ila ukiwa mpandekezwa itakubidi ubaki kwa fikra zako.
@ unaona hufaham unayo zungumza hata robo 😂😂
@@ZulfahMuhammad shida si fikra zako kwangu umuhim nikuelewa nilicho kinuku,inatosha.
@ 😂😂😂😂 naona hadi sasa hukuelewa nilicho kusudia na ndio maana hutaelewa na sikukusudia frika 😂😂😂
@@ZulfahMuhammad ususumbuki dada yang, na dhani mjifaraji boora kwa makusudio yangu,na yasio kua naumuhim achananayo,utafarijika zaidi
Mashallah tabarakallah ❤❤❤ ALLAH azoguhe ivyiza ngaha kwisi nejo kumusi wimperuka muzehe❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Maasha'Allah tabaarakallah Allahu yubaarikilakumu
Nice vs mufti mushumba yunus
rwandan vs burundi 🎉one people
manshaAllah
Hiki ndicho kitu waislamu wa Burundi walikuwa wanaitaji. Nimaendeleo na elimu bola kwa vijana wa kiisilamu. Wengine wote waliopita kwenye uongozi wa Comibu walikuwa wakiiba misada na pesa za maendeleo ya umma wa kiislamu.tunategemea Mfti mpya kwa kazi anakuja kufanya na kuinua umma wa kiislamu. Allah amuongoze.
Mashaallah ❤❤
Maa shaa Allah. Allah azobimuhembere
manshaAllah 🎉
Mashallah🎉
Mashallah❤❤❤❤
Mansh'Allah
❤
Mashaallah visi Muft wetu Akawa namwalim wangu kbx kutoka Rwanda tunafurahisana avyo ongeya kiswahili vizuri Allah Ampanuliye kifuwa
Hhhh kiswahili
MashaAllah
Mashallah tabarakallah ❤❤❤❤
Al hamdulillah ❤❤
Ma sha Allah
Uyu naibu mufti kweli anafanana kama Rasta. Sio sawa kabisa. Mavazi wapi kabisa.
Kaka izi ndo akili zinazo kusaidia kuendelesha Maisha yako? Au unaikili nyingine? Mbona umeongea upuuzi tu.
@t-rwanda6707 upuuzi gani kuna mavazi ya heshima inatokana na mahari unapo kwenda. Ashani ushabiki .kama Mtu hajiheshimu nani kakuheshimu.
@ uyu ni Naa-ibu Muft anakuzidi elimu ya Dini, ayo mavazi aliyava Airport, na sio msikitini wala wakati wa sherehe. Sasa unataka Airport avaye Juba? Mtu akipanda ndega anava namna anavyo taka, la muhimu kujihifadhi vizuri.
@@t-rwanda6707 uwo ni ushabiki. Toka huko. Mjinga
Allah hatizami mavazi yenu anatizama nyonyo zenu Je sheikh uyo alivaa uchi? Kanzu ni mavazi ya waarabu wala sio ya waislamu Huwezi kuambia mtu atakaye fanya safari ya masafa marefu tena ya ndege avae kanzu
Mashaa Allah
Mashallah nipo Zanzibar nakutakieni kilakher inshallah ❤
SH TUNASKURU SAN