- Видео 54
- Просмотров 15 413
MNARA WA TAA MEDIA
Добавлен 28 апр 2012
MNARA WA TAA
Ni mnara au jengo refu kando ya bahari lenye taa kubwa juu yake. Kusudi lake ni kupatia meli baharini mwongozo wakati wa usiku. Nuru yake huonyesha njia ya kufika bandarini, pia ni onyo la kwamba pwani iko karibu.
MNARA WA TAA MEDIA
Ni mahali ambapo BIBLIA itatumika kuangaza njia kwa wanadamu walio kwa katika ulimwengu huu wa Giza. Kama ilivyoandikwa na DAUDI "Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu." Zaburi 119:105
Karibu ubarikiwe na masomo mbalimbali yatakayo angazia maisha yako.
KUMBUKA
Unaweza kuwa zaidi ya vile ulivyo leo, unaweza kuwa zaidi ya unavyojiona leo, kikubwa ni kubadili jinsi unavyo fikiri leo!!!!

UNAWEZA KUONA TENA || DR. NUMENYE MWANDAMBO
UNAWEZA KUONA TENA || DR. NUMENYE MWANDAMBO
Просмотров: 28
Видео
MCHEMSHO AU MKAANGO? || DR. ANDREW LYIMO
Просмотров 2004 месяца назад
MCHEMSHO AU MKAANGO? || DR. ANDREW LYIMO
UNAVYOFIKIRI NDIVYO ULIVYO || DR ANDREW LYIMO
Просмотров 924 месяца назад
UNAVYOFIKIRI NDIVYO ULIVYO || DR ANDREW LYIMO
VITU VITATU VITAKAVYOKUSAIDIA KUHAIRISHA KIFO CHAKO NA DR ANDREW LYIMO
Просмотров 654 месяца назад
VITU VITATU VITAKAVYOKUSAIDIA KUHAIRISHA KIFO CHAKO NA DR ANDREW LYIMO
TAFAKARI MAISHA YA LEO by NGARAKERE SDA SINGERS
Просмотров 464 месяца назад
TAFAKARI MAISHA YA LEO by NGARAKERE SDA SINGERS
WAKATI MGUMU MAISHANI || MWNJ. YUSUPH D. ZAKAYO
Просмотров 35Год назад
katika maisha kua wakati unafika unakuwa na maswalai mengi ambayo hayana majibu, unatafuta majibu kwa maswali yako lakini huyapati, huna pa kukimbilia, huna wa kumkimbilia, kwa kifupi huna msaada wowote. Karibu utazame somo ambalo utatambulishwa kwa mtu mwenye majibu yote kwa kila hali unayopitia. Atakusaidia na kukushikilia kwa kila hali kwa kila namna. Nakuombea somo hili likufungue na uone m...
MALEZI YA WATOTO || MAKUNDI MANNE YA WATOTO - PARTY 2 || PR. MBAGA || SIKU YA TATU
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
MALEZI YA WATOTO || MAKUNDI MANNE YA WATOTO - PARTY 2 || PR. MBAGA || SIKU YA TATU
MALEZI YA WATOTO || MAKUNDI MANNE YA WATOTO - PARTY 1 || PR. MBAGA || SIKU YA TATU
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
MALEZI YA WATOTO || MAKUNDI MANNE YA WATOTO - PARTY 1 || PR. MBAGA || SIKU YA TATU
MALEZI YA WATOTO || KANUNI TANO MUHIMU ZA MALEZI || PR. MBAGA || SIKU YA PILI
Просмотров 1,8 тыс.Год назад
MALEZI YA WATOTO || KANUNI TANO MUHIMU ZA MALEZI || PR. MBAGA || SIKU YA PILI
WATOTO NA MALEZI YAO || NAMNA YA KULEA WATOTO || PR. MBAGA || SIKU YA KWANZA
Просмотров 3,9 тыс.Год назад
WATOTO NA MALEZI YAO || NAMNA YA KULEA WATOTO || PR. MBAGA || SIKU YA KWANZA
MWISHO WA DUNIA ULIVYOFUNULIWA KATIKA BIBLIA
Просмотров 178Год назад
MWISHO WA DUNIA ULIVYOFUNULIWA KATIKA BIBLIA
SIKU YA WATAFUTANJIA KANISA LA AWADVENTISTA WA SABATO MTAA WA KIBAMBA
Просмотров 71Год назад
SIKU YA WATAFUTANJIA KANISA LA AWADVENTISTA WA SABATO MTAA WA KIBAMBA
Dakika 10 za Mzee wa Upako zimejaa mazito
Просмотров 273Год назад
Dakika 10 za Mzee wa Upako zimejaa mazito
KUSUDI MAISHANI - Tumeumbwa Ili Tuishi Milele
Просмотров 292 года назад
KUSUDI MAISHANI - Tumeumbwa Ili Tuishi Milele
SIKU 10 ZA MAOMBI - SIKU YA 4 " UTUME WA MUNGU NA MAOMBI SEHEMU YA 2"
Просмотров 512 года назад
SIKU 10 ZA MAOMBI - SIKU YA 4 " UTUME WA MUNGU NA MAOMBI SEHEMU YA 2"
SIKU 10 ZA MAOMBI - SIKU YA 3 - UTUME WA MUNGU NA MAOMBI sehemu ya 1
Просмотров 462 года назад
SIKU 10 ZA MAOMBI - SIKU YA 3 - UTUME WA MUNGU NA MAOMBI sehemu ya 1
SIKU 10 ZA MAOMBI - SIKU YA 2 " INJILI YA MILELE NA MAOMBI"
Просмотров 1043 года назад
SIKU 10 ZA MAOMBI - SIKU YA 2 " INJILI YA MILELE NA MAOMBI"
Siku 10 Za Maombi - Day 1 " UMUHIMU WA MAOMBI"
Просмотров 3263 года назад
Siku 10 Za Maombi - Day 1 " UMUHIMU WA MAOMBI"
Thank you dr
Praise to the Lord!!!
Great
Bwana ni mwema . Naomba kupata instrumental ya wimbo WA Sina hofu
Be blessed pastor
Malezi yahitaji msaada wa Mungu
Amina
Hii ni kweli, kulea mtoto ni kazi....
Amen barikiwa sana mtumishi
Amen barikiwa sana mtumishi wa mungu ❤
Kweli kabisa, asanteni kwa somo zuri
Mimi hapa sikuyerwe kambisa kama wewe mutoto wako akikunywa mbangi bitatokana nawewe. Pastor
Ndiyo unajuwa nikweli
Barikiwa sana
Amina
Amina mtumishi nimejifunza namna ya kulea watoto wangu Mungu aniwezeshe Na wewe pia Mungu azidi kukutumia umekua msaada kwangu kwa mahubiri yako
Barikiwa kwa ujumbe mzuri.
Barikiwa sana mpendwa katika Kristo Yesu
Amina, nawe pia ubarikiwe!!!
Mungu akuinue zaidi mtumishi wake
Mungu akubariki sana mpendwa
aminaa
Mungu akuinue zaidi mtumishi wake
nice work
Ubarikiwe Sana rafiki yangu. Kweli Mungu anajibu
thanks , stay blessed brother.
Mungu azidi kukubariki utufundishe zaidi na zaidi
brave & kind,
Boresha kwenye picha
Asante Kwa maoni tunayafanyia kazi!!!
Imekaa vizuri hii
Blessings
Komaa kijana... Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Tony Maabdu mdogo mdogo tutafika kaka!!!!