- Видео 303
- Просмотров 144 299
Mzizima SDA Media
Добавлен 10 ноя 2018
GOD IS GOOD ALL THE TIME🙏🏾
WEMA WAKE WA AJABU Mzizima SDA Choir [ official Video 4K ]
Composer (Lyrics&Arrangement): Rasford Amos
Audio: Bjbrand studios
Video: Marcko zacky
Instrumentation: Joshua Kulwa.
Lyrics
Wema wake wa ajabu, nashindwa kuelewa.
Agawavyo baraka kwa wema na waovu.
Wema wake wa ajabu, natamani kujua.
Wagonjwa wanapomwita, mjane angonjapo.
Anavyowasikia na kuwategemeza.
Wema wake wa ajabu natamani kujua.
Maombi ya wamwitao, ni Bwana asikia.
Nawezaje elewa jinsi ayajibuvyo.
Kila ombi la subira litapata jawabu.
©Mzizima SDA Choir 2024
Audio: Bjbrand studios
Video: Marcko zacky
Instrumentation: Joshua Kulwa.
Lyrics
Wema wake wa ajabu, nashindwa kuelewa.
Agawavyo baraka kwa wema na waovu.
Wema wake wa ajabu, natamani kujua.
Wagonjwa wanapomwita, mjane angonjapo.
Anavyowasikia na kuwategemeza.
Wema wake wa ajabu natamani kujua.
Maombi ya wamwitao, ni Bwana asikia.
Nawezaje elewa jinsi ayajibuvyo.
Kila ombi la subira litapata jawabu.
©Mzizima SDA Choir 2024
Просмотров: 0
Видео
KURUDI KWA YESU MARA YA PILI || Somo la 8 || Kweli za Biblia
Просмотров 10314 часов назад
Je, kuja kwa yesu mara ya pili kutakuwa vipi? Je, umewahi kusikia juu ya habari ya unyakuo wa siri? Karibu ujifunze ukweli huu ambao Mungu ametupatia kwa ajili ya wokovu na usalama wetu juu ya hila za Muovu Shetani Pia usisite kusambaza link hii kwa Ndugu, jamaa na Marafiki ili sote tupate Kuokolewa Mungu akubariki
#LIVE ||IBADA KUU||19 OKTOBA, 2024
Просмотров 11121 час назад
Karibu na ungana nasi katika ibada ya Kutambua Huduma ya Mchungaji.
BWANA NI MCHUNGA || Mzizima SDA Choir Ft. Faraja Ernest (official Video 4K)
Просмотров 6 тыс.14 дней назад
Kama kondoo asiye na Mchunga tulitanga mbali na Bwana. Kwa wingi wa wema na fadhili zake, Mungu, Mchunga Mwema aliturejesha zizini. Si zamani pekee tulipomuhitaji atuokoe, hata sasa tunahitaji kuchungwa naye tusipotee milele. Furaha gani kumsikia Yesu akijitambulisha kwetu kama Mchungaji, tena Mchungaji mwema, na njia ya kweli na uzima? Ni sasa ambapo twahitaji kumwandama kila aendako maana atu...
YESU MWOKOZI MPENDWA - Mzizima SDA Choir (Official Video 4K)
Просмотров 5 тыс.Месяц назад
Ni rafiki wa thamani wa sasa na hata milele. Nimemtafuta, nikampata, na sasa ni wangu si hapa duniani tu, bali hata katika nchi mpya sitatengana naye. Uwepo wake, ndiyo thamani halisi ya maisha yangu, nawezaje kutompenda? Nafasi yake haina mbadala, Yeye pekee ndiye Mwokozi wetu sote, na ni rafiki wa pekee. Karibu tutafakari vile Yesu alivyo wa pekee kwetu. "Yesu Mwokozi Mpendwa Composer: Benjam...
KUNENA KWA LUGHA
Просмотров 118Месяц назад
Je, karama ya kunena kwa lugha ndiyo udhihirisho pekee wa kuwa na Roho Mtakatifu? Je, kunena kwa lugha ni kuzungumza lugha ambayo haitambuliki kwa mzungumzaji na hata msikilizaji pia? Karibu ujifunze ukweli huu ambao Mungu ametupatia kwa ajili ya wokovu na usalama wetu juu ya hila za Muovu Shetani Pia usisite kusambaza link hii kwa Ndugu, jamaa na Marafiki ili sote tupate Kuokolewa Mungu akubariki
KUJITAMBUA KWA MWANAUME || Na Uncle Chris Buhatwa || MZIZIMA SDA CHURCH
Просмотров 51Месяц назад
KUJITAMBUA KWA MWANAUME || Na Uncle Chris Buhatwa || MZIZIMA SDA CHURCH
SOMO LA 6 || MUHURI WA MUNGU || KWELI ZA BIBLIA
Просмотров 442 месяца назад
SOMO LA 6 || MUHURI WA MUNGU || KWELI ZA BIBLIA
MZIZIMA FAMILY WEEKEND Na @mrsdeborahurio
Просмотров 423 месяца назад
MZIZIMA FAMILY WEEKEND Na @mrsdeborahurio
WATAMBUE WANYAMA WAFAAO KWA CHAKULA || KWELI ZA BIBLIA || SOMO LA NNE
Просмотров 1843 месяца назад
WATAMBUE WANYAMA WAFAAO KWA CHAKULA || KWELI ZA BIBLIA || SOMO LA NNE
Divine Harmony Wakimtukuza Mungu katika Ibada ya Juma Tano
Просмотров 1144 месяца назад
Divine Harmony Wakimtukuza Mungu katika Ibada ya Juma Tano
NIGHT - LIVE PERFOMANCE || NYEGEZI SDA CHOIR || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA || 21 JUNI 2024
Просмотров 2024 месяца назад
NIGHT - LIVE PERFOMANCE || NYEGEZI SDA CHOIR || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA || 21 JUNI 2024
IBADA KUU ASUBUHI || MAKAMBI MZIZIMA|| 18/06/2024
Просмотров 1354 месяца назад
IBADA KUU ASUBUHI || MAKAMBI MZIZIMA|| 18/06/2024
FADHILI & FARAJA || IBADA YA NDOA TAKATIFU
Просмотров 5785 месяцев назад
FADHILI & FARAJA || IBADA YA NDOA TAKATIFU
UKWELI JUU YA SABATO || Na Evg Eliud Enock || Mzizima SDA
Просмотров 2417 месяцев назад
UKWELI JUU YA SABATO || Na Evg Eliud Enock || Mzizima SDA
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
Просмотров 2129 месяцев назад
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
Просмотров 1269 месяцев назад
SIKU YA 01 SOMO: WINGI SI HOJA || SIKU 10 ZA MAOMBI 2024 || Pr. STANLEY JOSIA || MZIZIMA SDA CHURCH
UTUMWA WA KUCHAGUA || MUNGU ANAPOSHANGAA || JUMA MAALUMU LA UAMUSHO || SIKU YA 05 -TAREHE 02.11.2023
Просмотров 6211 месяцев назад
UTUMWA WA KUCHAGUA || MUNGU ANAPOSHANGAA || JUMA MAALUMU LA UAMUSHO || SIKU YA 05 -TAREHE 02.11.2023
IBADA TAKATIFU SABATO TAREHE 19.08.2023
Просмотров 125Год назад
IBADA TAKATIFU SABATO TAREHE 19.08.2023
MUSIC EXPERIENCE WITH THE LIGHT BEARERS TZ || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023|| 14.07.2023
Просмотров 1 тыс.Год назад
MUSIC EXPERIENCE WITH THE LIGHT BEARERS TZ || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023|| 14.07.2023
MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || SIKU YA 4 || IBADA YA MCHANA na Mch. Kenani Mwasomola || 12.07.2023.
Просмотров 3,2 тыс.Год назад
MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || SIKU YA 4 || IBADA YA MCHANA na Mch. Kenani Mwasomola || 12.07.2023.
IBADA YA MCHANA na Much. Kenani Mwasomola || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || SIKU YA 4
Просмотров 1,8 тыс.Год назад
IBADA YA MCHANA na Much. Kenani Mwasomola || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || SIKU YA 4
IBADA YA JIONI na Mch. Kenani Mwasomola || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || 11.07.2023 || SIKU YA 3.
Просмотров 2,5 тыс.Год назад
IBADA YA JIONI na Mch. Kenani Mwasomola || MAKAMBI MTAA WA MZIZIMA 2023 || 11.07.2023 || SIKU YA 3.
Barikiwa Sana Mungu apewe sifa.
Hongereni Sana Mungu apewe sifa Mimi binafsi sitaki nyimbo za midundo.ziko kasoro ndogo kama usukaji Kwa wenzetu wazungu ni kawaida lakini naamini kwamba ninyi ni wanamtengenezo wakweli barikiwa Sana.
Barikiweni wimbo mzuri
Amen Pr
amen 🙏🙏
Najitoa kubatizwa..Ee Yesu mwokozi mpendwa nipokee mimi nisiyefaa kuitwa wako😢
❤❤
Mbarikiweee🙏🏼
Mbarikiwe sana kwaya yetu pendwa, Mzizima Sda Choir
Mkono wa Mang'ombe kwenye kinanda ni hatari.Best item😢
Mbarikiwe
Amen Amen Amen
Mimi sijui Mbinguni itakuwaje. Kama duniani tunaimba vizuri hivi, Mbinguni itakuwaje? Tumuombe Mungu wote tuwepo pale. Pongezi nyingi sana kwenu kwaya yangu pendwa sana 🙏🏾
Amen Mwalimu wetu. Mungu akubariki sana🙏
Wimbo mzuri hongereni sana,lkn baadhi yenu upande wa kichwani hpna si sawa,kama mtakanyaga neno la Mungu hata liwe dogo kias gani musitegemee kubaki salama,E White,mlima wa baraka uk 72,barikiweni mno
Amen. Ahsante kwa ushauri na Kutukumbusha hilo. Tutalifanyia kazi. Endelea kutuombea na Bwana akubariki.
Aamen
Amen 🙏 Bwana awabariki sana
Haleluya
Amina
Wimbo mzuri majoho safi sana. Ushauri: Mkuu wa mavazi na mkuu Mambo ya Kiroho awasaidie baadhi ya waimnaji wanamwonekano kichwani usiomtukuza Mungu kadri tunavyoona haya Mambo ni kawaida yanapunguza kwa kasi kuaminika kwetu na watu wanaotutazama. Bwana awabariki.
Amen. Tumelichukua na tutalifanyia kazi Mtumishi. Mungu akubariki sana kwa Ushauri bora sana.
Nice ❤
This is a Cake, Nice work
Mrs fadhili katisha sanaaaaaa
Wimbo Mtamu ajabu
Proudly speaking I love this singing style Glory to God Mzizima choir mubarikiwe sana❤
Amina
Nice work, glory to God.
🎉 asanteee sana kwa harmony tamu
Safi sana mzizima. Barikiweni
Glory to God❤
Amen
May LORD bless you
Amen🫶
Hallelujah
Mbarikiwe sana
Bwana awabariki sana
Amen👏
Waoooh... Wimbo umetulia
Mbarikiwe sana
👏🏾👏🏾👏🏾 nice piece
Glory to God
Glory to God
Amen 🙏
Amina Sana ❤
☺Amina
Amen
Amina Sana👏🏽
Amen, amen, amen❤
Wimbo mzuri sana mbarikiwe
Amen
Amen 🙌❤
Amen amen