Utoto mtakatifu (PMS) Kanondo
Utoto mtakatifu (PMS) Kanondo
  • Видео 6
  • Просмотров 11 743

Видео

HUYU CONDACTOR NI HATARIII!!!
Просмотров 2072 года назад
HUYU CONDACTOR NI HATARIII!!!
WAONE ST. JOHN PAUL II MBEYA NI MOTOO..
Просмотров 9 тыс.2 года назад
WAONE ST. JOHN PAUL II MBEYA NI MOTOO..
MBEGU BORA.# Ni wimbo uliyo imbwa na kwaya ya watoto Jimbo la Sumbawanga# Kigango Cha kanondo.
Просмотров 4283 года назад
Huu niwimbo unao tukumbusha Juu ya Maneno ya Bwana wetu Yesu Kristo ,Wakati akiwafundisha Wanafunzi wake Juu ya Mfano wa #MPANZI,, Kuwafundisha maneno haya alitaka wajitathimini juu ya Maisha yao hasa katika Kuishi na yeye, Basi ndugu zangu nasisi je! Nimbegu gani kati ya hizo ziimbwazo na hawa Watoto??? USISAHAU KU SUBSCRIBE , ILIKUWA WA KWANZA KUPA TAARIFA ZETU. MUNGU AWABARIKI # Composer;chr...
Salama kwa Yesu# ,Na kwaya ya watoto ,Jimbo la Sumbawanga,kanisa Kuu,(kanondo)
Просмотров 3613 года назад
Alama Moja wapo aliyo tuachia Yesu;Ni ukristo ,Yesu alitupenda sana hata Akaamua kutachia ishara moja wapo yakutufanya sisi tumfikie,, Na alama hiyo ni #UKRISTO# ,Hivyo ndugu zangu kuachiwa Alama hii lengo ni kuufikia utukufu wa Baba Nawasihi tujitahidi kuutumia ukristo wetu vizuri Na.... MUNGU ATATUCHUKUWA KWAKE. # Composer;c.simpepo # oganist; r.roberti waimbaji; kwaya ya watoto.PMS
Utoto Mtakatifu Jimbo la Sumbawanga-Kigango cha kanondo,kanisa Kuu #Neema imefunuliwa kwetu.
Просмотров 2,1 тыс.3 года назад
Huu ni wimbo unao msifu Mungu na kumtukuza ,hasa kwa neema, karama,miito,na rehema zake anazo tujalia. #Coposer: C.simpepo Oganist: D.simpepo singers: watoto

Комментарии