- Видео 2 263
- Просмотров 865 738
Z Pemba News Agency
Танзания
Добавлен 22 сен 2021
PeNA (Pemba News Agency) is a multimedia news agency which uses online media platforms for opening-up Pemba Island to the world and also getting the world closer to the Islanders.
VIJANA WA CCM WA DARASA LA ITIKADI WANYWESHWA KADI ZA MANJ MCHANA KWEUPE
VIJANA WA CCM WA DARASA LA ITIKADI WANYWESHWA KADI ZA MANJ MCHANA KWEUPE
Просмотров: 15
Видео
MRAJISI BARAZA LA SANAA AKIWASHA MBELE YA SHIRIKISHO
Просмотров 37 часов назад
MRAJISI BARAZA LA SANAA AKIWASHA MBELE YA SHIRIKISHO
LEERA SKULI YAIACHA HOI DUNIA KWA MAHAFALI YAO YA MWAKA WA PILI.
Просмотров 4839 часов назад
LEERA SKULI YAIACHA HOI DUNIA KWA MAHAFALI YAO YA MWAKA WA PILI.
KOICA YAINGARISHA SKULI YA MAANDALIZI JANGOMBE
Просмотров 812 часов назад
KOICA YAINGARISHA SKULI YA MAANDALIZI JANGOMBE
HILI NDIYO KONGAMANO LA MAWAKILI WA SERIKALI NA MAAFISA SHERIA ZANZIBAR
Просмотров 9012 часов назад
HILI NDIYO KONGAMANO LA MAWAKILI WA SERIKALI NA MAAFISA SHERIA ZANZIBAR
HILMY MCHEZAJI MLEMAVU WA MIGUU AIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA DUNIA NZIMA KWA MCHEZO WA OLIMPIC.
Просмотров 2121 час назад
HILMY MCHEZAJI MLEMAVU WA MIGUU AIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA DUNIA NZIMA KWA MCHEZO WA OLIMPIC.
VITUO VYA UTANGAZAJI ZANZIBAR VYAHIMIZWA KUFUATA SHERIA ZA TUME YA UTANGAZAJI
Просмотров 721 час назад
VITUO VYA UTANGAZAJI ZANZIBAR VYAHIMIZWA KUFUATA SHERIA ZA TUME YA UTANGAZAJI
VAZI LA MAMA SAMIA LAZUA GUMZO KWA WABUNIFU WA ZANZIBAR.
Просмотров 114День назад
VAZI LA MAMA SAMIA LAZUA GUMZO KWA WABUNIFU WA ZANZIBAR.
HAYA NDIYO MAHAFALI YA WAKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA
Просмотров 20День назад
HAYA NDIYO MAHAFALI YA WAKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA
SHILOLE AFICHUA SIRI NZITO YA WEMA SEPETU NA IDRISA SULTAN
Просмотров 1,8 тыс.14 дней назад
SHILOLE AFICHUA SIRI NZITO YA WEMA SEPETU NA IDRISA SULTAN
RIZIKI PEMBE AKIWASHA NDANI YA WIKI 16 ZA KUPINGA UDHALILISHAJI.
Просмотров 514 дней назад
RIZIKI PEMBE AKIWASHA NDANI YA WIKI 16 ZA KUPINGA UDHALILISHAJI.
WABUNIFU WA ZANZIBAR WATAKIWA KUBUNI VAZI LA TAIFA .
Просмотров 50014 дней назад
WABUNIFU WA ZANZIBAR WATAKIWA KUBUNI VAZI LA TAIFA .
KOICA YATAKA KUONDOA WATOTO WASOJUA KUSOMA ZANZIBAR.
Просмотров 514 дней назад
KOICA YATAKA KUONDOA WATOTO WASOJUA KUSOMA ZANZIBAR.
KATIBU MTENDAJI TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR ATEMBELEA VITUO VYA REDIO.
Просмотров 2514 дней назад
KATIBU MTENDAJI TUME YA UTANGAZAJI ZANZIBAR ATEMBELEA VITUO VYA REDIO.
SIMAMIENI UBORA WA DAGAA ILI KULINDA SOKO LA DAGAA
Просмотров 1314 дней назад
SIMAMIENI UBORA WA DAGAA ILI KULINDA SOKO LA DAGAA
WAANDISHI WA HABARI IJUENI KAMISHENI YA KAZI
Просмотров 814 дней назад
WAANDISHI WA HABARI IJUENI KAMISHENI YA KAZI
WANAFUNZI WA SKULI YA MILESTONES WAVUNJA RIKODI YA MWAKA 2024
Просмотров 16014 дней назад
WANAFUNZI WA SKULI YA MILESTONES WAVUNJA RIKODI YA MWAKA 2024
UTAWALA WA RAIS MWINYI UMEIBUA MENGI KWA CHAMA CHA CHAKUWAZA
Просмотров 10921 день назад
UTAWALA WA RAIS MWINYI UMEIBUA MENGI KWA CHAMA CHA CHAKUWAZA
HII NDIYO HOTEL ILIYOFUNGIWA NA KAMISHENI YA UTALII USIKU WA MANANE
Просмотров 10621 день назад
HII NDIYO HOTEL ILIYOFUNGIWA NA KAMISHENI YA UTALII USIKU WA MANANE
MWENEZI AWAJIA JUU VIONGOZI WA ACT WAZALENDO KWA UPOTOSHAJI WAO
Просмотров 8621 день назад
MWENEZI AWAJIA JUU VIONGOZI WA ACT WAZALENDO KWA UPOTOSHAJI WAO
CHAMA CHA CHAKUWAZA CHAPATA VIONGOZI WAPYA
Просмотров 321 день назад
CHAMA CHA CHAKUWAZA CHAPATA VIONGOZI WAPYA
GESI KUJAONDOA CHANGAMOTO KWA WANAWAKE
Просмотров 1821 день назад
GESI KUJAONDOA CHANGAMOTO KWA WANAWAKE
WANANCHI WA NUNGWI WAIBUA MAKUBWA KWA WANASHERIA
Просмотров 1121 день назад
WANANCHI WA NUNGWI WAIBUA MAKUBWA KWA WANASHERIA
MAHAFALI YA WANAFUNZI HAYA YATAKUSHANGAZA NA KUKUTOA MACHOZI
Просмотров 7421 день назад
MAHAFALI YA WANAFUNZI HAYA YATAKUSHANGAZA NA KUKUTOA MACHOZI
WAMILIKI WA MZIKI USO NA KIBALI SASA KUKIONA CHA MOTO
Просмотров 621 день назад
WAMILIKI WA MZIKI USO NA KIBALI SASA KUKIONA CHA MOTO
WAMILIKI WA MZIKI NA BAA WAWASHIWA MOTO MKALI NA BARAZA LA SANAA NA KAMISHENI YA UTALII KWA MSAKO WA
Просмотров 2321 день назад
WAMILIKI WA MZIKI NA BAA WAWASHIWA MOTO MKALI NA BARAZA LA SANAA NA KAMISHENI YA UTALII KWA MSAKO WA
USAJI WA NDOA UPYA WAWATIA SIMANZI WANANCHI WA MAKUNDUCHI NA KUSEMA HAYA KWA SERIKALI
Просмотров 1528 дней назад
USAJI WA NDOA UPYA WAWATIA SIMANZI WANANCHI WA MAKUNDUCHI NA KUSEMA HAYA KWA SERIKALI
UJIO HUU WA DKT MOHAMMED RUMHY KUTOKA OMAN UTALETA MATUNDA MAZURI
Просмотров 3328 дней назад
UJIO HUU WA DKT MOHAMMED RUMHY KUTOKA OMAN UTALETA MATUNDA MAZURI
Kazi safi. ❤❤❤
Ya Tanzania wakati kuwapa haki zao za nchini kwao hamtaki kuwapa kwa ubaguzi wenu
Hongera Sana Hilmy
Wema na idris warudiane❤❤
Ah! Zanzibar n nchi nyengine 😂😂😂 Safi kwa kulijuwa hilo 😂😂😂
Vazi la mswahili mtalipata Zanzibar lkn vazi la Taifa hamlipati mana Dunia nzima wanajua vazi la kimasai ndo vazi la Taifa la Tanzania.
Heri mtuite tanganyika maan muungano wa kinafiki tu huu
Idriss and wema
Mashallah mgogoni iyo ❤❤❤
Ni mahafali mazuri sana hongereni❤❤❤
Bhot achaye
Mimi Nina shida na rais mwinyi Nina maongezi nae
Kazi nzuri Sana Wana Familia wa Pena
Hongera Sana z pemba news kwa kutupa kila linalojiri kwenye visiwa vyetu
Kila mtu anapaswa Kupata Elimu Kwa Hali yeyote Ile 👍
Nice🎉
Mashallah mwalimu wangu umeupiga mwingi skuli ya mtopepo nakukubali toka enzi za mwalimu mkuu marehem rashid
Tafuteni mbinu mbadala ili wananchi tuweze kujikimu mahitaji yetu sio mtafute mbinu hizo hizo za ukandamizaji inabidi mnataka wananchi sote tuuze vitu dokoni znz tajiri ila nashanga bado wananchi masikini cha kukila mtu mtihani kazizenu kujiingizia nyinyi mapesa
Ma shaa Allah mwalim wangu mweledi bi sharifa hongera kwa kustaaf salama hakika elimu uliyotupatia inatuendeleza kupa faida kwenye maisha yetu Allah akulipe kila heri Kwa elimu uulioitoa mm mwanafunzi wako umenisomesha Kwa mikono yako naipenda sana skul yangu ya MTOPEPO A ❤❤❤
Hongera Sana, umetumia dakika chache lakin umeeleza vzuri Sana umeeleweka
Safi sana
Inna' lillah wainna' ilyhir Rajioon
Assalam alaykum mm naitwa riziki sleyman ali nimkaazi wapemba mh rais mm nina malalamiko mnamo tarehe 5 mwezi 3 mwaka 2022 nimeuliuwa mtoto wng na shemegi yng lkn tangu siku iyo sijawahi kuitwa mahakamani na kesi ipo mahakama ya chake pemba kwaiyo naomba msaada wako mh rais maana huu ni mwaka 3 kesi haijatoka hukumu
kiira motors from uganda make Afrika freat drive Ecars
Mr Tino's speech✌️
Allah akujaalie jannah firdows Yarab
Mwenyezi mungu amsamehe makosa yake na amjaalie firdausi makaazi yake amin
A, Alaykum habari za Leo Mimi naomba kuuliza njia Mwanyanya kwa mchaga ipo ktk ratiba .maana ipo haja ya kujengwa tupate daladala Sasa hivi Hamna dalalada njia mbaya sana
Jengo la tume ya madhalim
Ajira zipo
Innnalilah Waina illlah rajiunnn allah akulaze mahal pemaa pepon
Kila siku tunajenga vipi kwani
Acheni uchaguzi uwe huru na haki ndio muone mutakavofanywa
❤❤❤❤❤mungu akup afanjem
Nyimbo nzuri muimbaji sie
Mkuguu supu
Masha Allah
Uyu jamaa mpole sana ni kazi kupata kiongozi kama huyu sio mjeuri ana bashasha
Hamushidi mnatumia nguvu ya dola kujieka madarakani😂
Kw iyo mkenya kw sababu yupo competent dhidi ya mzanzibar ni legal kuchukuwa fursa ya Zanzibar, acheni uwongo sector hii mmeitelekeza, inafaidisha wageni wanafunzi kila Leo Wana graduate maruhubi sasa nyinyi mnawasimamia vipi, kuna watu watoka tabora anapewa fursa ww mzanzibar kwenu hp hupewi ubaguliwa sisi ni wahanga wa haya wanafunzi wa suza hatutakiwi ktk sector hii.
Acha uongo ndugu yangu umesoma wap zanziba ndio kitovu cha biashara ya utumwa
Jengo gn hilo na kz yake itakua nn
Na nyinyi hamuna faida yoyote humo serekalini mupo tu.
💪💪💪💪💪🌎🕌🕌SAWA SAWA MWINYI ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Hongeraza sana ofsa kwa kufanya mazuri .ila msisahau kununu meli kubwa kwajili ya ulinzi ya bahari yetu meli zakisasa ili maharamia wasituibie samaki wetu na rasilimali zetu za baharini kuzidi kulinda mali zawatu wa zanzibar 😁
Mumtaaaz
Uyo makmo han lolot alivunja shule ya mtambile Kisha kakimbia
ACT fire 🔥🔥🔥
Mh Jussa ananikuna ndipo ... the best of the best
Hongera sana my president