- Видео 804
- Просмотров 345 110
Dar 360
Танзания
Добавлен 22 июл 2012
Dar 360 Tv - Kwa habari na matukio mbalimbali ya Kijamii, Siasa, Burudani na Michezo.
TGNP yawanoa Wagombea Wateule Wanawake wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Vyama vyote.
Dar 360 Media
Просмотров: 63
Видео
Vituo vya Taarifa na maarifa kutoka Mikoa mbalimbali vyafurahishwa na Elimu kubwa wanayopewa na TGNP
Просмотров 422 часа назад
Dar 360 Media
Kimenuka wakazi wa Kibugumo wamkataa Mgombea mteule aliyepitishwa na CCM.
Просмотров 2419 часов назад
Dar 360 Media
Viongozi wa vituo vya Taarifa na maarifa waishukuru TGNP Kwa ajili ya mafunzo ya Mwanamke na Uongozi
Просмотров 6114 часов назад
Dar 360 Media
Changamoto za uchaguzi ndani ya Vyama vya Siasa zilivyoathiri Wanawake kushindwa kupita kura za maon
Просмотров 15719 часов назад
Dar 360 Media
Balaa la Nachingwea mpaka Watu wa CHADEMA wamewekwa kwenye reja ya kupiga kura uchaguzi wa CCM.
Просмотров 68819 часов назад
Dar 360 Media
TANROADS yawafunda Wasafirishaji na Watumishi wa Mizani, wasije kuingia kwenye faini ya Milioni 40.
Просмотров 9319 часов назад
Dar 360 Media
Wajumbe kwenye Uchaguzi wa CCM walinunuliwa Kwa Shilingi Elfu Moja na mia moja Shinyanga.
Просмотров 53119 часов назад
Dar 360 Media
Wakazi Mvuti Kata ya Msongola waliamsha Dude wataka Uchaguzi CCM tawi urudiwe wafunguka mazito hapa.
Просмотров 39021 час назад
Dar 360 Media
Hii ni kufuru angalia balaa la Wenyeviti hawa walivyoungana kwenda kuchukua Fomu.
Просмотров 296День назад
Dar 360 Media
Kumekucha Wenyeviti wateule wapewa ujumbe huu mzito na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigamboni.
Просмотров 418День назад
Dar 360 Media
KIMENUKA ARUSHA WATU 20 WAKAMATWA WAKIWEMO RAIA WA KIGENI 4, KWA KUINGILIA MIFUMO YA MAWASILIANO.
Просмотров 960День назад
Dar 360 Media
Wagombea wateule Wanawake wafunguka TGNP ilivyowatengeneza ili kugombea Serikali za Mitaa na Vijiji.
Просмотров 101День назад
Dar 360 Media
Aliyemtishia mwenzake kumtwanga Risasi atiwa mbaroni na Jeshi la Polisi.
Просмотров 215День назад
Dar 360 Media
Mchambuzi wa maswala ya Kisiasa afunguka haya kuhusu zoezi la Kujiandikisha kwenye Daftari la Mkazi.
Просмотров 11514 дней назад
Dar 360 Media
Taarifa kubwa na nzito iliyotufikia leo hii kutoka Taasisi ya Sauti ya Wanawake Vijana Tanzania.
Просмотров 19314 дней назад
Taarifa kubwa na nzito iliyotufikia leo hii kutoka Taasisi ya Sauti ya Wanawake Vijana Tanzania.
Sikunjema atoa onyo Kwa watakaothubutu kuharibu Uchaguzi wa CCM Wilaya ya Kigamboni.
Просмотров 13314 дней назад
Sikunjema atoa onyo Kwa watakaothubutu kuharibu Uchaguzi wa CCM Wilaya ya Kigamboni.
Kimenuka Kombo achafua hali ya hewa avujisha siri za fumanizi la Mwenezi wa BAWACHA.
Просмотров 5 тыс.14 дней назад
Kimenuka Kombo achafua hali ya hewa avujisha siri za fumanizi la Mwenezi wa BAWACHA.
Madereva wa Bodaboda na Bajaji Kigamboni wafanya jambo kubwa ambalo Halijawahi kutokea toka Uhuru.
Просмотров 19114 дней назад
Madereva wa Bodaboda na Bajaji Kigamboni wafanya jambo kubwa ambalo Halijawahi kutokea toka Uhuru.
Siri nzito zafichuka kutekwa Kwa Mwenezi wa CHADEMA, Mikakati yote hii hapa yawekwa hadharani.
Просмотров 1,1 тыс.14 дней назад
Siri nzito zafichuka kutekwa Kwa Mwenezi wa CHADEMA, Mikakati yote hii hapa yawekwa hadharani.
BodaBoda Kigamboni waliamsha mpaka Kwa DC. Bulembo waibuka na Jambo hili Zito.
Просмотров 16721 день назад
BodaBoda Kigamboni waliamsha mpaka Kwa DC. Bulembo waibuka na Jambo hili Zito.
Mbunge Janeth Massaburi aongea haya kwa uchungu sana "Watanzania tuwe na uchungu na Vizazi vyetu'.
Просмотров 10421 день назад
Mbunge Janeth Massaburi aongea haya kwa uchungu sana "Watanzania tuwe na uchungu na Vizazi vyetu'.
Mbunge Janeth Massaburi aongoza zoezi la kuhamasisha kujiandikisha Daftari la Mkazi, Kata ya Ukonga.
Просмотров 15021 день назад
Mbunge Janeth Massaburi aongoza zoezi la kuhamasisha kujiandikisha Daftari la Mkazi, Kata ya Ukonga.
Wamiliki wa Shule za Jijini Dar es salaam wanolewa matumizi ya Mkaa mbadala na Upskills Tanzania.
Просмотров 30728 дней назад
Wamiliki wa Shule za Jijini Dar es salaam wanolewa matumizi ya Mkaa mbadala na Upskills Tanzania.
Huyu ndio Binti mdogo aliyewatikisa Vigogo wa Madini kwenye uchaguzi Mkuu wa FEMATA Jijini Tanga.
Просмотров 13928 дней назад
Huyu ndio Binti mdogo aliyewatikisa Vigogo wa Madini kwenye uchaguzi Mkuu wa FEMATA Jijini Tanga.
Mdau wa Madini ya Dhahabu Kutoka Songwe ashindwa kujizuia aamua kugombea nafasi hii ndani ya FEMATA.
Просмотров 12928 дней назад
Mdau wa Madini ya Dhahabu Kutoka Songwe ashindwa kujizuia aamua kugombea nafasi hii ndani ya FEMATA.
Rais Bina autetemesha Mkoa wa Tanga afunguka haya kuhusu kugombea Tena urais wa FEMATA.
Просмотров 29028 дней назад
Rais Bina autetemesha Mkoa wa Tanga afunguka haya kuhusu kugombea Tena urais wa FEMATA.
Huyu ndio kijana Mdogo Tanzania aliyeshika nyadhifa nyeti katika Sekta ya Uchimbaji Madini.
Просмотров 35428 дней назад
Huyu ndio kijana Mdogo Tanzania aliyeshika nyadhifa nyeti katika Sekta ya Uchimbaji Madini.
Haijawahi kutokea Mgombea wa FEMATA nafasi ya Kamati ya Afya Usalama na Mazingira afunguka haya.
Просмотров 8928 дней назад
Haijawahi kutokea Mgombea wa FEMATA nafasi ya Kamati ya Afya Usalama na Mazingira afunguka haya.
Mwenyekiti wa Wachimbaji Madini Wanawake afunguka mazito kwenye Uchaguzi wa FEMATA.
Просмотров 6828 дней назад
Mwenyekiti wa Wachimbaji Madini Wanawake afunguka mazito kwenye Uchaguzi wa FEMATA.
Huyo aende jela kwa kuichafua serikali
Laana ya kuchoma nguo imeenza na bado
Mbona hilo no deal... na mpaka sasa hawajaacha. Na huruma hawana pamoja na nyumba za watu zinasombwa na huo mto.... kutokana na mto kuchimbwa mchanga na wakati wamezuiliwa. Yaani drama hizi
Mawazo finyu kabisa, kijana mwenye umri wa miaka 32 huyo nimkubwa sana endapo atakuwa na akili thabiti, mawazo pevu na uwezo wa kubuni jambo kwa maslahi ya kijiji, kjna anauwezo wa kujenga hoja kutetea hoja kuwasilisha hoja. Angalia baraza la kwanza la mawazr la mwaka 1963 uone akina osca kambona umri 34, swilo swai umri 32, paul boman 38, leo nangwanda sijaona 34 ata wazr mkuu kipnd hcho kawawa umri miaka 35
❤❤❤❤
Fake news
Machawa Wanawake nao wamejitokeza
Wacha uongo wewe kwani hatuwajuwi ninyo
Unatakiwa uwe na ushahidi Sheikh wg wew umemshuhudia au unataka cv tu
wanafiki wakubwa nyinyi
Kazi Ipo mmmmh
Nilijua ni kahaba.
Maji na Mafuta vitatengana tuuu
Huwa,hatuwa,amini,chawa,kwa,hiyo,watu,hawatekwi?
Hawawezi kukanusha wahuni hao chadema wanapenda ngono, hata mimi yalinikuta chadema 2017 siwapendi hawa chadema 😂😂😂
Chadema malaya uyo malaya awezi kukanusha
CCM oyeee kahaba uyo anataka kuchafua jeshi la polisi na chama chetu CCM. Ashindwe uyo kahaba😂😅
Ninyi mnahangaikia nini kuongea jeshi la police ndiyo limetuhumiwa watoke wenyewe police waongee siyo nyie chawa
Tuache uongo.na usingiziaji
Bakisha akiiba ya maneno
Jamaa, mbona unatumia nguvu sana kujieleza? Relax my brother
Niliwai.kusema.chadema wamekosa sera
Kama hina uhakika kwa nono unapngea mambo huna uhakika
Yaani mwanamme mzima unaleta mambo ya kike
Kwenda huko fala mkubwa uchawa umepitiliza hata aibu hamuoni
Hawa wanataka kumchafua raisi wetu Dr Samia hawawezi kila MTU anamuombea hata mimi moja wapo namuombea Mungu amlinde kila wakati na uongo wote ubainike mwacheni mama afanye kazi yake msimtie DOA
Haya kama alikuwa aelewi kitu yaani kazimia alifikaje barabarani na kama Alifikaje barabarani?? na kama aliweza kufika ina maana alizimia tena kwa kuwa alisema alikuwa hajijui kabisa na alikaaje kwenye boda na kama aliweza ina maana alikuwa uchi Kwa maelezo njia ya muongo ni fupi huyu mama simkweli
Kume kuchaaa
Mnajipendekeza kukanyaga watu mpate viela ila mungu Hana mda. Atafunga vinywa venu msimtaje mungu Hali mnavunja ndoa ya mtu sisi watanzania siwajinga kama ninyi wawili mnaushahid kua alikua na mumeo mtahukumiwa na mungu mkiwa hai mda si mwingi mko kama hamjazaliwa
Safi sana
Wahuni Hao😁😁🤣ndiyo maana 2017 nilihama chadema kwasababu ya uhuni wa chadema 🤣😁😁
Yaaan unavyo ongea naiyo sigida unatuzalilisha ivi mnaona watanzania wajinga sana.
Hawa Watangazaji Wahojiwe.Hawa Ndio Watekaji Wenyewe.
Wanaume wazima hovyo
Chadema ni wadudu hawana chochote ni wajinga kupita kiasi
Daah. Siasa
Yani unaonekana kabisa mnavoongea ni machawa kabisa
Hawa waongo kabisa
Kwahiyo kama ni fumanizi, bila shaka mnamfahamu aliyemfumania na kumiumiza kiasi hicho. Watz remarks za kijingajinga tuna embrace mno😂😂
Z 😂😂😂😂😂 umalaya unapenda Akili sana mama mzima ovyo sana .yani mara ya kwanza kusikiliza io story niliona serikali ya Tanzania 🇹🇿 inaenda kubaya kumbe ni malaya mzee amesahau mazingira😂😂😂
Nahic watu watakao ingia motoni weng ni wanasiasa
Mimi nilisema huyo Dada analeta sanaa alivyo hojiwa tu macho yake tu nilijua ni muongo watu walitukana sana
Msitumike km daraja kwa wenye magari makubwa.
Kweli watu hawana kazi yakufanya hata nyie waandishi mmekua sio wabunifu wa kutu letea habari upumbavu km huu sio wakutuleatea kuna vitu vingi sana vyakula letea mkoma.
Mmeshindwa kuwa ibua wanao potezwa wamama wahovyo ndio mnao tupoteza. Hamasisheni sawa lakini mjue mko hovyo kabisa
MANDONGA FALLA TU KAMA MAKUMA WENGINE SASA UYU WAKUMALIZA ROUND ZOTE HIZI HAJAPIGWA HAJUWI KABISA KUUNGANISHA NGUMI KABISA
Sichoki kukusikilza makamo wetu👍
Apo sina wasi wasi kwa kija bora ELMINO JOHN BINA
Ko iko wapi chupi
Hahahaha hilo jina sasa😂😂
Hovyo kabisa