- Видео 34
- Просмотров 34 349
Abuunawfal Makuku
Добавлен 22 май 2015
SUBSCRIBE
Видео
KUCHI HALISI (KWA MAHITAJI TU TUTAFUTE 0715738895)
Просмотров 1,5 тыс.3 года назад
KUCHI HALISI (KWA MAHITAJI TU TUTAFUTE 0715738895)
Kutana na kuku aina ya kuchi halisi (mdomo pini)
Просмотров 3,3 тыс.4 года назад
Kutana na kuku aina ya kuchi halisi (mdomo pini)
Siwezi kukata tamaa katika ufugaji wa kuku
Просмотров 4454 года назад
Siwezi kukata tamaa katika ufugaji wa kuku
Faida za ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara
Просмотров 1,4 тыс.4 года назад
Faida za ufugaji wa kuku wa kienyeji na chotara
Wanawake wanaweza:Kutana na mjasiriamali wa kuku
Просмотров 4 тыс.4 года назад
Wanawake wanaweza:Kutana na mjasiriamali wa kuku
Buruda linalo ebusha magonjwa kwa vifaranga
Просмотров 3324 года назад
Buruda linalo ebusha magonjwa kwa vifaranga
Zingatia usafi wa vyombo vya maji kwa kuku wako
Просмотров 974 года назад
Zingatia usafi wa vyombo vya maji kwa kuku wako
ALALAE NA MGONJWA NDIO AJUAE MIHEMO YAKE.
Просмотров 334 года назад
ALALAE NA MGONJWA NDIO AJUAE MIHEMO YAKE.
WATU WA PWANI YA PANGANI NA VIJIJI VYAKE MTANIELEWA
Просмотров 814 года назад
WATU WA PWANI YA PANGANI NA VIJIJI VYAKE MTANIELEWA
USIWAZE KUHUSU ENEO LA KULEA VIFARANGA
Просмотров 6954 года назад
USIWAZE KUHUSU ENEO LA KULEA VIFARANGA
ANGALIA TOFAUTI YA VIFARANGA HAWA UTAJIFUNZA KITU
Просмотров 354 года назад
ANGALIA TOFAUTI YA VIFARANGA HAWA UTAJIFUNZA KITU
TAZAMA FAIDA YA MAJANI/MBOGAMBOGA KWA KUKU.
Просмотров 1024 года назад
TAZAMA FAIDA YA MAJANI/MBOGAMBOGA KWA KUKU.
CHEKI BURUDA LA KIJANNJA KWA VIFARANGA
Просмотров 294 года назад
CHEKI BURUDA LA KIJANNJA KWA VIFARANGA
KWA WAKAZI WA LUSHOTO WAHI SASA WAPO SOKONI NICHEK WA NO 0765301552/0678101688/0682974323
Просмотров 544 года назад
KWA WAKAZI WA LUSHOTO WAHI SASA WAPO SOKONI NICHEK WA NO 0765301552/0678101688/0682974323
Kuchi akiwika anakata haendekezi sauti
Mimi noaomba uniunganishe na huyo wakala nipate hiyo Busta ya
Weka no yako ya Whatsapp nikuunganishe au mtafute Kwa 0756784994
Ni mbolea gani nzuli kwa kupandia maharage
Huwa tunatumia booster za maji ambazo hufanya vzr
Mfamo Super grow na vigmax
Mbolea inategemea na rutuba ya asili ktk eneo lako ingawa samadi ni mbolea pendekezwa wakati wa kuandaa shamba Ila Yaramila otesha Inafanya vzr pia ASANTE
Jerry mooro well done
Thanks
Wapi hapo
LUSHOTO MLALO
Maeneo yapo karibu sana
naweza pata eneo huko
Na mpataje huyu mkulima?
Yupo
Ni eka ngap apo na eka moja sawa na kilo ngapi?
Hii ni nusu kasoro mita kadhaa mbegu ni kg 30 Na hekari ni wastani wa kg 70- inategemea na upandaji
Karibu Sana Bi Rehema
hongera san nahitaj shamba huk lushoto
Asante sana Kwa elimu.naomba elimu ya uchanganyaji wa chakula
Weka no ya WhatsApp nikutumie document itakayokusaidia
Ila bei haujatoa tupe bei
1,500/=@
Naomba contact please
0782087803 Karibu huyu ni Agent
Nice project
Asante kwa elim yako
video buruda
balasan
buruda
DA aaaa
Karibu Mwaipopo
Mnapatikana wapi naitaji vifaranga na pia mbegu za kanga
Dah jamani naitaji msaada wa wa jinsi ya kukuza vifaranga
Tutafute kwa whatsaap 0682974323 tukupe njia na hatua za kulea Vifaranga Hadi wakue Asante
Habari munapatikana wapi nahitaji vifaranga vya kuchi
Tupo Tanga PANGANI Karibu sana
Vifaranga mnauzaje
Kwahyo hutak kutupotezea muda wetu sio
Ujui kutangaza biashara
Nipe elimu ya kutangaza biashara mkuu
HAWA kuku wanapatikana Pangani tanga kwa mawasiliano Check WhatsApp +255 652 435 528 Karibuni sana
0652435528
Makuchi muhamed nahitaji hair aina ya kuku napataje?
Uko wapi? Na uwnaweza kutucheck Whatsapp +255 652 435 528
Unauza hao kuchi kwa being gani nahitaji watano Niko dar
Yes tunauza tucheck WhatsApp +255 652 435 528
RIP
Pambana kijana
Hongera Sana shekhe
Asante sana Bro
Pumzika kwa amani kaka yangu
AAMIN
Kwani amefariki?
Hongera sana endelea kuelimisha watu...wanatakiwa wajikwamue kimaisha kwa mitaji midogo
Asante kaka
Hahaaaaaaaa
Hakika mzee ucchoke kutupa semina elekez kama hzi
Asante mjomba tukopamoja
Dah mzee majan gan hayo
Mbogamboga tu mzee
Mashaallah wapo vizur sana
Sawa shemela asante kwa kunipa moyo
Daaah nmekubali mzee
Hahahah
Jamani mkitoa klp zenu ,hebu jaribuni kutoa sauti basi ,hamjui kuwa watu ndio tunajifunza humu humu ,sasa imekuwa kimyaaaaa sauti za kuku tu ,lengo halifahamiki
Noted
Usijali ndugu Jamali niliona video inajieleza but nimechukua maoni yako