- Видео 276
- Просмотров 2 324 015
H.W TV
Танзания
Добавлен 2 мар 2020
Its time to take your seat at table of H.W as we present to you ideas that matter.
A catalyst for better life.
'Watch More, Be More'
A catalyst for better life.
'Watch More, Be More'
Madam Leila Abubakar - HAYA NI MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU WANAWAKE A-Z | #MAHUSINO #JINSIA #MAPENZI
💕Wanawake wana siri nyingi ambazo huenda hukuwahi kuzifahamu! Katika mjumuiko huu wa mawazo yatakayoboresha mahusiano yako Madam Leila Abubakar anafichua mambo muhimu kuhusu wanawake-hisia zao, tabia zao, na jinsi wanavyotafsiri mapenzi, mahusiano na malezi.
🔥 Mambo utakayojifunza:
✅ Siri za kihisia za wanawake
✅ Wanawake wanapendelea nini zaidi kutoka kwa wenza wao
✅ Makosa wanaume hufanya bila kujua
✅ Mambo gani akiyafanya anakosa sifa ya kuwa mwenza wa kudumu
✅ Jinsi ya kujenga mahusiano yenye upendo na amani
👉 Tazama hadi mwisho na usisahau KUSUBSCRIBE H.W TV kwa kugusa alama ya kengele kwa maudhui zaidi ya mafunzo, hamasa na mbinu za kuboresha maisha yako kila leo!
💬 Tunathamini maoni ...

Просмотров: 211
Видео
Deo Sukambi - HII HAPA ORODHA YA MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU WANAUME A-Z | #MAHUSINO #JINSIA #MALEZI
Просмотров 1,1 тыс.2 часа назад
💬 Katika video hii yenye mjumuiko wa mawazo yatakayoboresha mahusiano yako, Mtaalamu wa mahusiano na malezi Deogratius Sukambi anafichua ukweli wa ndani kuhusu jinsi wanaume wanavyofikiri, hisia zao, na matarajio yao katika mapenzi. Ikiwa wewe ni mwanaume au mwanamke; 🔥 Utajifunza: ✅ Tabia za wanaume ambazo wanawake wengi hawazielewi ✅ Jinsi ya kujenga uhusiano imara kwa kuelewa saikolojia ya w...
Anthony Luvanda - 💰DAKIKA 20 ZITAKAZOBADILISHA NAMNA UNAVYOZALISHA #PESA NA KUSIMAMIA #UCHUMI WAKO
Просмотров 3,3 тыс.4 часа назад
📢 Je, unataka kuongeza kipato chako na kusimamia uchumi wako kwa ufanisi zaidi? Katika video hii, Anthony Luvanda anashiriki mbinu 4 bora za kifedha, uwekezaji, na usimamizi wa rasilimali ambazo zitakusaidia kubadilisha au kuboresha hali yako ya kiuchumi! 🔹 Jifunze mbinu bora za kuzalisha na kuongeza pesa 💡 🔹 Fahamu siri za kusimamia fedha zako kwa ufanisi 📊 🔹 Gundua mikakati ya kiuchumi inayow...
Dr. Chris Mauki - USIINGIE KWENYE #NDOA KABLA HAUJAYAFAHAMU HAYA | Mjumuiko wa mambo ya kuzingatia
Просмотров 8037 часов назад
Unajiandaa kuingia kwenye ndoa? Kabla ya kuchukua hatua hiyo muhimu kuna maswali na mazungumzo ya msingi huwa unajiuliza ili kuhakikisha ndoa yako itakuwa thabiti na yenye furaha. Katika video hii, Dkt. Chris Mauki, mtaalamu wa saikolojia ya mahusiano, anakusaidia kuelewa mambo muhimu ya kufahamu kabla ya ndoa. - Mambo gani nifanye kabla ndoa haijaja? - Mambo gani ya kuzungumza kabla ya kuchumb...
NJIA ZA UHAKIKA 20 ZA KUPATA NA NAMNA YA KUSIMAMIA #MTAJI WA #BIASHARA - James Mwang'amba #pesa
Просмотров 64912 часов назад
NJIA ZA UHAKIKA 20 ZA KUPATA NA NAMNA YA KUSIMAMIA #MTAJI WA #BIASHARA - James Mwang'amba #pesa
Hon. Erick Shigongo - FUNGUO ZA MAFANIKIO | Mjumuiko wa mawazo yatakayobadilisha maisha yako #HAMASA
Просмотров 1,2 тыс.14 часов назад
Hon. Erick Shigongo - FUNGUO ZA MAFANIKIO | Mjumuiko wa mawazo yatakayobadilisha maisha yako #HAMASA
Dr. Elie VD Wamian - TIBA THABITI YA #MAHUSIANO | MBINU ZA KITAALAMU ZA KUREJESHA MHEMKO ULIO POTEA
Просмотров 3,7 тыс.16 часов назад
Dr. Elie VD Wamian - TIBA THABITI YA #MAHUSIANO | MBINU ZA KITAALAMU ZA KUREJESHA MHEMKO ULIO POTEA
Dr. Joel Nanauka - ZINGATIA HAYA ILI UPANDISHE VIWANGO VYA MAISHA YAKO #Biashara #Hamasa #Mahusiano
Просмотров 1,5 тыс.19 часов назад
Dr. Joel Nanauka - ZINGATIA HAYA ILI UPANDISHE VIWANGO VYA MAISHA YAKO #Biashara #Hamasa #Mahusiano
MKONO WAKE NA KIFUA CHAKE VIMEUNGANA. NINI HATMA YA MTOTO HUYU?
Просмотров 79014 дней назад
MKONO WAKE NA KIFUA CHAKE VIMEUNGANA. NINI HATMA YA MTOTO HUYU?
Emilian Busara (MBA, CPA) | JE, UNATAKA KUUELEKEA UHURU WA KIFEDHA? Kupitia #UWEKEZAJI #HISA
Просмотров 4,2 тыс.14 дней назад
Emilian Busara (MBA, CPA) | JE, UNATAKA KUUELEKEA UHURU WA KIFEDHA? Kupitia #UWEKEZAJI #HISA
DARASA LA UZAZI (SEHEMU YA 2) | FERTILITY MASTERCLASS (2) - Dr. Ramo
Просмотров 245Месяц назад
DARASA LA UZAZI (SEHEMU YA 2) | FERTILITY MASTERCLASS (2) - Dr. Ramo
DARASA LA UZAZI (SEHEMU YA 1) | FERTILITY MASTERCLASS (1) - Dr. Ramo
Просмотров 212Месяц назад
DARASA LA UZAZI (SEHEMU YA 1) | FERTILITY MASTERCLASS (1) - Dr. Ramo
KATIKA KUIJENGA NGUVU YAKO NA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO - Najma Paul #thewisetz #hamasa #Ep30
Просмотров 2472 месяца назад
KATIKA KUIJENGA NGUVU YAKO NA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO - Najma Paul #thewisetz #hamasa #Ep30
KUNA WATU WAMEGAWIWA KARATA NGUMU MWANZONI SANA MWA MCHEZO
Просмотров 1,6 тыс.3 месяца назад
KUNA WATU WAMEGAWIWA KARATA NGUMU MWANZONI SANA MWA MCHEZO
80% SUCCESS RULE - Anthony Luvanda. Q&A A Dialogue based on 'ATOMIC HABITS' BookClub11 Dar-es-Salaam
Просмотров 1678 месяцев назад
80% SUCCESS RULE - Anthony Luvanda. Q&A A Dialogue based on 'ATOMIC HABITS' BookClub11 Dar-es-Salaam
KADHIA INAYOTIA UKUNGU MAONO NA MATUMAINI. #upendo #charity #tathmini #thewisetz
Просмотров 1209 месяцев назад
KADHIA INAYOTIA UKUNGU MAONO NA MATUMAINI. #upendo #charity #tathmini #thewisetz
JIFUNZE NAMNA SAHIHI YA KUPENDA - LUGHA TANO ZA #MAPENZI (Five Love Languages Review)2/2 @bookclub11
Просмотров 31611 месяцев назад
JIFUNZE NAMNA SAHIHI YA KUPENDA - LUGHA TANO ZA #MAPENZI (Five Love Languages Review)2/2 @bookclub11
JIFUNZE NAMNA SAHIHI YA KUPENDA. LUGHA TANO ZA #MAPENZI (Five Love Languages Review)-1/3 @bookclub11
Просмотров 13011 месяцев назад
JIFUNZE NAMNA SAHIHI YA KUPENDA. LUGHA TANO ZA #MAPENZI (Five Love Languages Review)-1/3 @bookclub11
FAHAMU MAKOSA MAKUBWA YANAYOFANYIKA KATIKA MAHUSIANO NA NAMNA YA KUYAEPUKA - Sadaka Gandi #Mapenzi
Просмотров 429Год назад
FAHAMU MAKOSA MAKUBWA YANAYOFANYIKA KATIKA MAHUSIANO NA NAMNA YA KUYAEPUKA - Sadaka Gandi #Mapenzi
MAMBO YA KUFANYA ILI KUFIKIA KIWANGO CHA JUU ZAIDI KATIKA KILE UTAKACHOKIFANYA - Sebastian Kolowa
Просмотров 222Год назад
MAMBO YA KUFANYA ILI KUFIKIA KIWANGO CHA JUU ZAIDI KATIKA KILE UTAKACHOKIFANYA - Sebastian Kolowa
KUONGEZA THAMANI KATIKA BIASHARA NA MAISHA BINAFSI - Ep 27 #Thewise #thamani #biashara
Просмотров 131Год назад
KUONGEZA THAMANI KATIKA BIASHARA NA MAISHA BINAFSI - Ep 27 #Thewise #thamani #biashara
JAMBO LA KUZINGATIA UNAPOANZA KUJENGA BIASHARA #Anza #Kidogo
Просмотров 96Год назад
JAMBO LA KUZINGATIA UNAPOANZA KUJENGA BIASHARA #Anza #Kidogo
KWANINI MAHUSIANO MENGI YA KIMAPENZI HAYADUMU? - Sarah Ngonyani. #mapenzi #mahusiano
Просмотров 420Год назад
KWANINI MAHUSIANO MENGI YA KIMAPENZI HAYADUMU? - Sarah Ngonyani. #mapenzi #mahusiano
NJIA RAHISI YA KUJENGA MILANGO YA FURSA - WATU
Просмотров 66Год назад
NJIA RAHISI YA KUJENGA MILANGO YA FURSA - WATU
KUSHINDWA KUPANGA NI KUPANGA KUSHINDWA. JIFUNZE UMUHIMU WA MIPANGO.
Просмотров 37Год назад
KUSHINDWA KUPANGA NI KUPANGA KUSHINDWA. JIFUNZE UMUHIMU WA MIPANGO.
SIRI ZA USHINIDI - Halima Kopwe (MISS WORD TZ 2023)
Просмотров 1,2 тыс.Год назад
SIRI ZA USHINIDI - Halima Kopwe (MISS WORD TZ 2023)
WATCH THE MOST INSPIRING SPEECH - By Brian Tracy #WISDOM
Просмотров 27Год назад
WATCH THE MOST INSPIRING SPEECH - By Brian Tracy #WISDOM
DONDOO ZA MPENYO WA KIUCHUMI - James Mwang'amba.
Просмотров 633Год назад
DONDOO ZA MPENYO WA KIUCHUMI - James Mwang'amba.
MALENGO (Goal Setting) - Anthony Luvanda.
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
MALENGO (Goal Setting) - Anthony Luvanda.
DINA MARIOS ANATOA FUNZO KUBWA KUTOKA KATIKA HISTORIA YA KUSISIMUA YA MAISHA YAKE. HAMASIKA!
Просмотров 1,5 тыс.2 года назад
DINA MARIOS ANATOA FUNZO KUBWA KUTOKA KATIKA HISTORIA YA KUSISIMUA YA MAISHA YAKE. HAMASIKA!
Asante napalilia sana tena kwa kasi nafurahia sana sana
True
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Duu 😢😢😢
Nikwel
Kweli kabisa km mm wengi wanipend sabbu ya tabasamu
Kwa kwel ❤❤
Haswa mwanangu
Nikwelikaka😊😊
Nikweli kabisa ubarikiwa❤❤❤❤
Aaaameeenii
Mafunzo haya kıla binadamu uayazingatie kwa ustawi wa kimwili na kiroho
nice tips
Sasa hiyo group ya smart ladies mtu anaingiaje?
Brother Wafundishe watu jinsi ya kutambua resources zilizopo na namna ya ku zi catch. Napenda kusikia vitu vipya venye mantiki,hapo hamna jipya unalosema,ata Niki google navipata kibao. Pili pesa haitafutwi. Coz pesa Toka umezaliwa ipo. Ishu fundisha watu jinsi ya kujiconect na vile wanavyoviitaji . Utajiri una Siri,na Siri kuu nikwamba pesa ni spirit. Pesa kukufikia mkononi imeanzia kwenye spirit. Izo unazosema hapo ni matrix bado. Ushawai kumuona bakhresa anafundisha chochote kuhusu kupata pesa.? Ukiona mtu anafundisha jinsi ya kupata pesa au utajiri,huyo sio tajiri ni msemaji TU , Being rich it's about to connect yourself with universe, Coz universe Ina Kila kitu,just connect to the frequency .Dunia sio vita nakukatalia. Na utajiri ni falsafa,inayorithishwa kizazi Hadi kizazi,fanya tafiti matajiri tulio nao 90% wametokea kwenye utajiri wa familia. Familia za kimaskini hazina falsafa. Somo ni Jenga falsafa yako na familia yako,kama mnajikita kwenye biashara ya usafirishaji Anza weka mizizi na watoto uwapitishe hapo,majukumu atakuja kuwa mkali sana kwenye sekta hiyo, Familia wahindi utagundua Hilo ,unakuta family nzima Ina deal na biashara ya kutengeneza vifaa vya ujenzi.mfano misumari, welding stick n.k, Sasa familia hiyo ,icho kitengo ndio falsafa Yao,Sasa baada ya miaka 50 unakuta imekuwa kampuni kubwa sana. Sasa sisi waswahili mmezaliwa kumi,hamna falsafa ya familia,huyu mwalim,huyu muuza screpa,huyu dalali,huyu mganga,huyu kondakta,huyu daktari, baba nae alikuwa mkulima, Hivyo ndugu luvanda ,pesa Huwa hafundishwi mtu jinsi ya kuipata coz pesa ni matokeo. Ndio maana succesfull people talk about mipango na sio pesa.
Ahsanteni sana
🎉🎉🎉🎉
MADINI adim sana kupata popote.THANKS
Hakuna upendo hapo, je akiniletea ugonjwa nitakuwa naimba wimbo gani? Weeh haye sikubaliani nayo .
Dear lord i need partner of purpose please
Amen
Thanks Luvanda
Mnafanya vizuri kwenye hizi collection ..👏👏👏..Leo Nimesikiliza collection ya criss mauki mmenibariki sana na nategemea mmebariki wengi sana kupitia hizi collection ..na hii ya leo ya Deo Sukambi hope ni ya Motoo🔥🔥🔥 kwasababu Deo sukambi is best also kwa mahusiano na Familia pia 🙏👏👏
Sahihi 🎉 Furaha yako ni furaha yetu. Tuendelee kujifunza na kushiriki tunachojifunza. Kufanya zaidi na kuwa zaidi! Karibu nyumbani.
Amina ❤❤❤❤❤
😅
🤙👍👍👍
Together, brother Luvanda
Noma
😂
Niukweli kaka nakupenda bureee❤❤❤❤
Kweli kabisa ❤
Jamani asanteni
Tupo pamoja
Yes
Shush coment zeny maana🇧🇮
Karibuu
Nimekubali ❤❤❤❤
Ameni 👏
Yani kama Akina Paulo wangekuwa wanahubir hivi tusingeupokea wokovu wa Kristo ,watumishi wa sasa mitandao imewachanganya wanapost wanakiss mtandaoni na wanawake zao wanavaa nguo za kikahaba
Na shida ni kuwajuwa wanao kukubali na wanao kukataa😢😢😢
FACT
Ubarikiwe kwa mafundisho umetufungua
Good
🙏 nimejenga misulii yng
Kazi njema sana .more blessings
Enyewe... Mungu akulinde na maovu .
🙏 shukran sana mubarikiwe
😂😂😂😅
Amazing, Dr Elie Are you talking my life?
Sio radha ni ladha
Ahsante sana kwa masahihisho
❤
Point
🤔Asante kaka wewe ni miongoni mwa zile taa muhimu kwa vijana, elimu yako ya fedha ni nzuri sana asante 🤝