The Loyal Media
The Loyal Media
  • Видео 221
  • Просмотров 134 344
MAAJABU YA SARAFU YA Pi NA KWA NINI WATU WANAIKIMBILIA? Pi NETWORK | CRYPTO CURRENCY ON BLOCKCHAIN
Teknolojia inakua na ujio wa Sarafu mbalimbali za kidigitali ikiwemo Pi ndani ya Crypto Currency, inayofanyakazi ndani ya mifumo ya BLOCKCHAIN.
Tumezungumza na Abogast Njuyuwi (Master ABO G) Mtaalamu na Mkufunzi wa Sarafu za Mtandaoni na Blockchain atueleze juu ya ujio wa Crypto Currency, malengo yake na umuhimu katika Karne hii ya 21.
#Subscribe
#like
#share
#comment
#news
#diamond
#platnumz
#chiefgodlove
#wasafi
#crown
Просмотров: 108

Видео

PSSSF IMELIPA BILION 126 MAFAO KWA WASTAAFU JULAI - DISEMBA 2024 / HAKUNA MALIMBIKIZO TENA
Просмотров 2720 часов назад
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma nchini -PSSSF umeimarisha huduma zake kwa wanachama ikiwemo kumaliza malimbikizo ya madai ya mafao kwa wastaafu. Kupitia Kikao cha kutoa mrejesho wa huduma za PSSSF zilizofanyiwa kazi mwaka 2024, kwa waandishi wa Habari wa Mkoa wa Morogoro, Meneja Mahusiano na Elimu kwa wanachama PSSSF amesema uboreshaji huo wa Huduma umesaidia kufanikisha ulipaji...
WAFANYABIASHARA TABORA KUPISHA UJENZI WA SOKO JIPYA LA KISASA BILLIONI 19 ZIMETENGWA / "HATUTAKI MTU
Просмотров 212 часа назад
Halmashauri ya Manispaa ya Tabora imewataka wafanyabiashara wa Soko Kuu la Tabora lililopo Kata ya Chemchem katika Manispaa ya Tabora kuondoka sokoni hapo ifikapo January 01, 2025, ili kupisha Ujenzi wa Soko jipya la kisasa litakalojengwa katika eneo hilo, huku wakitakiwa kwenda kwenye maeneo waliyopangiwa wakati wa kipindi chote cha ujenzi. Agizo hilo limetolewa na Mstahiki Meya wa Halmashauri...
FAIDA ZA WANAUME KURIPOTI VITENDO VYA UKATILI / Inspekta Gelda Luyangi AFUNGUKA HABARI ZIWAFIKIE.
Просмотров 174 часа назад
Katika kipindi ambacho dunia inapambana kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto, matukio hayo yanachipukia na kuota mizizi dhidi ya wanaume. Kwa mujibu wa Ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2023, vitendo vya ukatili kwa wanaume vimeongezeka na kufikia asilimia 10, kutoka asilimia sita ya mwaka 2022. Licha ya kampeni za kupinga ukatili kufanyika hususani kwa wanawake, wat...
MAMA MZAZI AMMWAGIA PETROLI MTOTO WAKE NA KUMCHOMA MOTO BAADA YA KUIBA 800 GEITA, POLISI WAMDAKA
Просмотров 2764 часа назад
Subscribe Like Share Comment Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita imelaani vikali tukio la mtoto mwenye umri wa miaka (9) kushambuliwa na kuchomwa moto kwa mafuta ya petrol na mama yake mzazi kwa madai ya kuiba shilingi 800 katika kijiji cha Kasota wilayani Geita. Tukio la mtoto huyo kushambuliwa na kuchomwa moto na mama yake mzazi lilitokea Desemba 02, 2024 ambapo mwenyek...
GEITA WACHIMBAJI MADINI HAWAVAI VIKINGA MWILI, WANATUMIA KEMIKALI MIGODINI/ ZEBAKI INAWATHIRI
Просмотров 277 часов назад
Kutokana na mkoa wa Geita kuwa na idadi kubwa ya watu wanaoathirika na Kemikali ya zebaki inayotumika katika uchenjuaji wa madini ya dhahabu Maabara ya mkemia mkuu wa serikali imetoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za mitaa pamoja na wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika halmashauri ya wilaya ya Geita ili wafikishe elimu hiyo kwa jamii. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo katika uk...
DODOMA: Maji ya mvua na bwawa yanatiririka kwenda katika makazi ya watu / njia haipitiki, adha kubwa
Просмотров 357 часов назад
Wakazi wa Mtaa wa Mathiasi jijini Dodoma wamelalamikia Maji ya bwawa kupita katika mkondo usio sahihi katika kipindi hiki cha mvua na kutuama kwenye makazi yao. Kapten kibasa ambaye ni mstaafu ameeleza namna ambavyo barabara ilivyo haribiwa na maji yatokayo bwawani na kuja hadi barabarani na jinsi wanavyo pata tabu kwa kupitika kwa bara bara hiyo. Aidha wananchi wa mtaa huo wa mathias wameeleza...
GEITA bado kivumbi maagenti wafunguka “tumewafukuza wengi hapa / baada ya kauli JIWE kwa KIOO...
Просмотров 1197 часов назад
Maagenti wa mabasi katika Kituo kikuu cha mabasi mjini Geita wamedai kwamba hawapandishi Nauli katika msimu wa sikukuu ikiwa ni siku chache mara baada ya Kutembelewa na viongozi wa Usalama kitaifa kukagua magari yao. Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Geita Aloyce Jackobo amewataka madereva kufuata sheria ili kuepuka kuingia kwenye mikononi mwa Jeshi hilo huku baadhi ya abiria wakili...
Mwanamke kuwa na wapenzi wengi sababu ya kupata KANSA ya Kizazi / Dr. azungumza BINTI atoa ushuhuda
Просмотров 429 часов назад
Mwanamke kuwa na wapenzi wengi sababu ya kupata KANSA ya Kizazi / Dr. azungumza BINTI atoa ushuhuda
Msako mkali wa mabasi GEITA, DCP Ng'azi yupo site / hakuna kupandisha nauli msimu huu, "tunawapima"
Просмотров 239 часов назад
Jeshi la Polisi kitengo cha usalama Barabarani nchini limewaonya baadhi ya madereva na mawakala wa magari ya abiria wenye tabia ya kutumia sikukuu za mwisho wa mwaka kupandisha nauli kinyume na utaratibu. Onyo hilo limetolewa na mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani nchini naibu kamishna wa polisi (DCP) Ramadhani Ng'azi katika Kituo kikuu Cha mabasi ya abiria Mkoani Geita akiwa katika zoezi la ...
GEITA GOLD WASHINDWA KUPELEKA MWAKILISHI, UCHAGUZI WA SOKA WILAYA, ALLY TWIST ASHINDA TENA UENYEKITI
Просмотров 2312 часов назад
@theloyalmediatz Uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa chama cha Soka wilaya ya Geita na mkoani Geita (GEDIFA) umefanyika nakushuhudiwa ukimrejesha tena aliekuwa mwenyekiti wa awamu iliyopita Ally Twist na kuwa mwenyekiti tena kwa mara mbili mfululuzio kwa kupata Kura za ndio 44 kati ya kura 50 na kura zilizobaki zikawa za hapana.
Mvua Kubwa iliangusha Nyumba Mama Akafa Baba na watoto wamejengewa Nyumba na Mbunge Anthon Mavunde
Просмотров 12314 часов назад
@theloyalmediatz Mvua Kubwa iliangusha Nyumba Mama Akafa Baba na watoto wamejengewa Nyumba na Mbunge Anthon Mavunde
DC KILAKALA Nondo za siku ya Uhuru / Chambilila atoa Historia ya Barabara ya Mjini
Просмотров 2314 часов назад
@theloyalmediatz DC MUSSA KILAKALA amehutubia wananchi na viongozi mbalimbali katika Maadhimisho ya siku ya Uhuru katika Ukumbi wa Manispaa ya Morogoro, msikilize jinsi alivyopasua na Hotuba yake na maelekezo .
Askari game wameua Mtoto wa Chekechea kwa Bunduki ya AK 47, RPC athibitisha, watu 7 wanashikiliwa
Просмотров 1,3 тыс.День назад
Askari game wameua Mtoto wa Chekechea kwa Bunduki ya AK 47, RPC athibitisha, watu 7 wanashikiliwa
Jeshi la Polis Tabora “mnapambana na Ukatili wa Kijinsia”, waliopewa msaada watoa ya moyoni
Просмотров 362День назад
Jeshi la Polis Tabora “mnapambana na Ukatili wa Kijinsia”, waliopewa msaada watoa ya moyoni
Watoto wanahitaji miaka iongezwe kwa wadhalilishaji, wakafie JeLA/ siku 16 za kupinga Ukatili
Просмотров 4314 дней назад
Watoto wanahitaji miaka iongezwe kwa wadhalilishaji, wakafie JeLA/ siku 16 za kupinga Ukatili
Oparesheni MTAA kwa MTAA yaanza, Bodaboda vibaka kukiona cha MOTO, Polisi yawataja inaowashikilia
Просмотров 4714 дней назад
Oparesheni MTAA kwa MTAA yaanza, Bodaboda vibaka kukiona cha MOTO, Polisi yawataja inaowashikilia
ZANZIBAR: Mamlaka yapigwa "STOP" kuwakutanisha kwa pamoja wahanga wa ukatili na wanaotenda UKATILI
Просмотров 2514 дней назад
ZANZIBAR: Mamlaka yapigwa "STOP" kuwakutanisha kwa pamoja wahanga wa ukatili na wanaotenda UKATILI
Usiyoyajua kuhusu kula Kuku aliyefugwa kwa madawa, hata kinyesi chake sio rafiki kwa mazao.
Просмотров 3214 дней назад
Usiyoyajua kuhusu kula Kuku aliyefugwa kwa madawa, hata kinyesi chake sio rafiki kwa mazao.
Serikali yatoa msimamo kwa wafugaji wa mifugo ya nyama wasiozingatia miongozo, FAO wanachagiza hatua
Просмотров 36221 день назад
Serikali yatoa msimamo kwa wafugaji wa mifugo ya nyama wasiozingatia miongozo, FAO wanachagiza hatua
Serikali iondoe VAT katika mifuko bora ya kuhifadhia Nafaka, kuleta unafuu kwa wakulima wadogo
Просмотров 2221 день назад
Serikali iondoe VAT katika mifuko bora ya kuhifadhia Nafaka, kuleta unafuu kwa wakulima wadogo
MWENYEKITI WA VIONGOZI WA KIMASAI, KUHUSU SUALA LA KUHAMISHWA WAMASAI NGORONGORO.
Просмотров 8221 день назад
MWENYEKITI WA VIONGOZI WA KIMASAI, KUHUSU SUALA LA KUHAMISHWA WAMASAI NGORONGORO.
Kulinda maadili ya watoto, wanawake punguzeni miguno usiku"
Просмотров 35Месяц назад
Kulinda maadili ya watoto, wanawake punguzeni miguno usiku"
W'ch relg'n was present during the era of Prophet Musa, what wasthe name ofthe king who opposed him?
Просмотров 30Месяц назад
W'ch relg'n was present during the era of Prophet Musa, what wasthe name ofthe king who opposed him?
Alichokifanya Msanii Diamond Platinumz baada ya kuzimiwa mziki tena jukwaani | zogo na Salam Sk...
Просмотров 689Месяц назад
Alichokifanya Msanii Diamond Platinumz baada ya kuzimiwa mziki tena jukwaani | zogo na Salam Sk...
Uhakika wa chakula uendane na usalama wa Mazingira | Msisitizo wa Thomas Chali katika kikao cha FAO
Просмотров 43Месяц назад
Uhakika wa chakula uendane na usalama wa Mazingira | Msisitizo wa Thomas Chali katika kikao cha FAO
Unataka kufuga Kuku lakini hauna Banda? Hawa ndio wakali wa hizi kazi Ekno Group, Dar, Mor, Arusha.
Просмотров 50Месяц назад
Unataka kufuga Kuku lakini hauna Banda? Hawa ndio wakali wa hizi kazi Ekno Group, Dar, Mor, Arusha.
Yanayokwamisha vijana kumiliki Ardhi Je, na usalama wa miliki ukoje? Benard Baha Mratibu wa TLA.
Просмотров 33Месяц назад
Yanayokwamisha vijana kumiliki Ardhi Je, na usalama wa miliki ukoje? Benard Baha Mratibu wa TLA.

Комментарии

  • @abognjuyuwi26
    @abognjuyuwi26 Час назад

    Very fantastic 😊

  • @vokymedia
    @vokymedia 2 дня назад

    Asante sana Loyal media hizi mambo mpaka lini alaaniwe sana huyo mama

    • @theloyalmediatz
      @theloyalmediatz 2 дня назад

      Hakika, ni muhimu jamii ibadilike ili kulinda kizazi

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 8 дней назад

    Yes! Wananchi wasipoelewa, piga risasi ata WATOTO; nyambafu. Hawana faida hata kura zao sio lazima; tunazo feki.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 9 дней назад

    Safi kwa kuwatetea Yani hata kuongea tu kunaonyesha maji na mafuta hujitenga hongera kamanda

  • @saidambarouk2804
    @saidambarouk2804 10 дней назад

    Ajali kazini🕴

  • @FrankMashoto
    @FrankMashoto 12 дней назад

    Kama hauna la kuongea mtangazaji ukae kimya tu,.

  • @NSAMBELAGEORGE
    @NSAMBELAGEORGE 14 дней назад

    Labda huyu mwandishi anawachafua Hawa jamaa

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 17 дней назад

    Nani

  • @dazandavie9466
    @dazandavie9466 17 дней назад

    Anzeni kwanza kufatilia pembejeo za ufugaji mfuko wa chakula sasa ni 88,000 kifaranga 2200. Bei ya kuku ni 6000 serikali hampo serious na wafugaji af mnataka kuwapangia

  • @mbarakahaji4302
    @mbarakahaji4302 20 дней назад

    Wewe muwongo matokeo haya ni WAKATI wa jpm na co samia

  • @amiliabdala2513
    @amiliabdala2513 23 дня назад

    Muongo mkubwawewe yazamani hihi achauongo mjingasana hihi niyakipindi cha jpm achauzushi

  • @KombeNgari
    @KombeNgari Месяц назад

    Three mamas

  • @ztvonline2523
    @ztvonline2523 Месяц назад

    Nakubal kaka ,🔥🔥🔥

  • @hidayarajab-z5s
    @hidayarajab-z5s 2 месяца назад

    agro ecology for better future

  • @VeronicaMbena-e2t
    @VeronicaMbena-e2t 2 месяца назад

    🥳🥳

  • @regnbertymgina7164
    @regnbertymgina7164 2 месяца назад

    Nape ,January makamba,wakigombea urais waTanzania,basi hata mimi najaza fomu ya urais

  • @lilylucas894
    @lilylucas894 2 месяца назад

    ❤ congratulations all 👏

    • @theloyalmediatz
      @theloyalmediatz 2 месяца назад

      @lilylucas894 thank you so much on behalf

  • @lilylucas894
    @lilylucas894 2 месяца назад

    👏👏👏Nice

  • @InnovateTech-n6d
    @InnovateTech-n6d 2 месяца назад

    Kazi nzuri kutupitisha kwenye historia ya kumbukumbu hiyo nzuri.

    • @theloyalmediatz
      @theloyalmediatz 2 месяца назад

      Ahsnte mwanafamilia kwa kuhamasika, tutazidi kufanya zaidi

  • @saheedramjohn1144
    @saheedramjohn1144 2 месяца назад

    Where is it

  • @fulltimeHD_
    @fulltimeHD_ 2 месяца назад

    Hongera sana Mwanangu kila la kheri kwa kila hatua

  • @SouleymanAbdelkerim-l5f
    @SouleymanAbdelkerim-l5f 2 месяца назад

    ممتاز

    • @theloyalmediatz
      @theloyalmediatz 2 месяца назад

      The video is in Swahili. I hope you mean English transcription, we are producing various contacts in Swahili and English, but is based only in Swahili

  • @onesmomboya6361
    @onesmomboya6361 2 месяца назад

    🙌

  • @ArchrukeRashidofficial-vh7dj
    @ArchrukeRashidofficial-vh7dj 3 месяца назад

    Our future holds best over best than we're now.

  • @geoffreynghumba1029
    @geoffreynghumba1029 3 месяца назад

    An old story. Inasilitisha kwa mwanahabari kama wewe kuchelewa kuipata habari hii ambapo Rais aliyekuwa amelengwa na manguli hao alikuwa ni Rais Magufuli, na baadaye Nape alimfuata kuomba radhi. Take care. Sometimes mnajilengesha kwenye matatizo nyie wenyewe.

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 3 месяца назад

    Majukumu ya RC kidogo yananikanganya

  • @gavaodispensary9306
    @gavaodispensary9306 3 месяца назад

    Too much talking with non sense point Tengeneza content nzuri zenye ualisia upate subscribers

  • @Robust78
    @Robust78 3 месяца назад

    Huyu mtangazaji ni Fala sana.

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 3 месяца назад

    Ya Zaman hiyo

  • @ibrahkimesu2402
    @ibrahkimesu2402 3 месяца назад

    Yule siyo Kamamba, sauti inafanana na ya Kinana.

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 3 месяца назад

    Can't avoid these three position in our life live pasty moment and future these is a mental situation to solve any kind of challenge within the life. That means we solve our problem according to the data we we receive from our surrounded. We identified with our data. So don't lie people we may live without identity.

    • @Drmakene
      @Drmakene 3 месяца назад

      Yes exactly your right but, which kind of identity did you possess first? Is it cosmic or temporary identity? If temporary identity is what you have all the time, it will make you survive only, not taking you anywhere, it's just for only survival. So don't write conclusion on everything . There more you don't know yet

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 3 месяца назад

    Identity is a person we can't live without identity.

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 3 месяца назад

    Acheni uchochezi

    • @ibrahkimesu2402
      @ibrahkimesu2402 3 месяца назад

      Kuna uongo kwamna hawakusema? Siyo ya juzi haya ni ya zamani kipindi cha Magufuli

  • @saidmakarani1208
    @saidmakarani1208 4 месяца назад

    wewe ya zamani

  • @mambas264
    @mambas264 4 месяца назад

    Maku ww

  • @simonMollel-rr3gb
    @simonMollel-rr3gb 4 месяца назад

    Acheni uchonganishi kwa viongozi

  • @nurumwesiga8410
    @nurumwesiga8410 4 месяца назад

    Good job sua

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 4 месяца назад

    Mwandishi ni mwongo sana. Hii ni awamu iliyopita.

  • @aquaculturetv
    @aquaculturetv 4 месяца назад

    🎉🎉🎉

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 4 месяца назад

    Mond jini huna bayaaa kikubwa duaaa utawasaidia wengi sanaa

  • @pascalmgina
    @pascalmgina 4 месяца назад

    Chagua kiswahili

  • @Drmakene
    @Drmakene 4 месяца назад

    Pia jambo lolote, huanzia katika mapokeo, alafu unafanyia kazi kulijua zaidi, Kama ni kweli au story, kw kujihusisha nalo, nje ya apo, ni Imani tu

  • @Drmakene
    @Drmakene 4 месяца назад

    Chochote unachokisoma, bila kukiona, Bado ni Imani tu, kwanii miaka yote hizi story zilikuwepo, na hakuna aliyesimama kuongea? Kwakua ilikua Iman tu, ila kua spiritual seeker sio, jina la ubatizo, bali kuvunja mipaka na kwenda zaidi ya Iman, maana yake utumie Zaid ya hisia 5 za mwanadamu, kwenda nje ya vinavoonekana, na vilivoandikwa, nje ya apo ni believe tu, Asante!!!!! Toka nje ya hizo 5 senses utajua Kama wapi au hawapo!!!! Labda lugha ndo ngumu tu, Hawa Wana majina mengi kutokana na eneo, Waite transformers, alien 👽, Jin, angles wherever utakavowaita ila ni viumbe wapo sana tu, nje ya vibration za Binadamu wa kawaida, ndo maana kwako ni Imani

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 месяца назад

    Video iliyopita alisema alitaka kujua vitu vinafanyaje kazi hakutaka mapokeo tuu. Lakini yeye mwenyewe anajaribu kutufundisha alichofundishwa ( mapokeo ) kwasababu hao viumbe wanaodaiwa kuwepo ELIES yeye alishawaona ? Kama sio mapokeo nini ? Tukumbuke vitabu ni mawazo ya watu wengine kwahivyo tunaposoma tusidharau mawazo yetu.

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 месяца назад

    Anasema alitaka kuona vitu vinavyo fanya kazi nasio mapokeo , je ameshawai kuiyona akili yake inavyofanya kazi? Lakini ukiona umejiuliza kutaka kujua dunia ilitokea wapi na unakosa majibu , basi elewa pale unapokosa majibu ndipo kuna nguvu ya asili ( uumbaji wa mwenyenzi mungu ) ndio maana hupati majibu kamili na hutakuja kupata kwasababu ni nguvu ya kiungu. Kwa maelezo yake sidhani kama anasmini umbaji ( mwenyenzi mungu ) kwasababu wanasayance hawaamini kwamba kuna uumbaji, wao huwamini kila kitu kipo natural ( kwa asili tuu )

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 4 месяца назад

    Ngoja mimi niongelee hapo kwenye watu kuja kupoteza kazi. Hata zamani kabla kwa kugundulika kwa umeme wajuzi wa maswala ya mafanikio walisema kuna watu wengi wataenda kupoteza ajira. Kama vile sai watu husema ujio wa maroboti utaenda kupoteza ajira kwa watu. Nikitu ambacho sio kweli. Kwasababu kadiri mwanadamu anapovumbua kitu kimya na ndivyo asili huleta mbadala ya kitu kile, ndiomana umeme uligumdulika na watu hawakupoteza ajira bali zilizaliwa kazi nyingine kupitia umeme huwo huwo.

  • @eknooffice
    @eknooffice 4 месяца назад

    Good

  • @eknooffice
    @eknooffice 4 месяца назад

    Karibuni Sana

  • @AmeirKhamis-lw9sb
    @AmeirKhamis-lw9sb 4 месяца назад

    Here we go

  • @pascalgabriel1296
    @pascalgabriel1296 4 месяца назад

    Unyama mkuu