- Видео 29
- Просмотров 278 599
NEXT EMPIRE FIRM (NEF)
Танзания
Добавлен 31 мар 2022
Still and Motion Pictures dealing with
-Weddings
-Documentaries
-Live Event Coverage
CONTACT US; +255 625 543 670
-Weddings
-Documentaries
-Live Event Coverage
CONTACT US; +255 625 543 670
Видео
STRATEGIC BUSINESS PLANNING DSE .MR EMMANUEL NYALALI
Просмотров 30Месяц назад
STRATEGIC BUSINESS PLANNING DSE .MR EMMANUEL NYALALI
PENZI LA KISELA BONGO MOVIE MPYA 2024
Просмотров 4103 месяца назад
HAUTOJUTIA BANDO LAKO KUTIZAMA FILAMU HII YA MAPENZI PENZI LA KISELA BONGO MOVIE MPYA 2024 #bongomovies #juakaliseries #diamondplatnumz #NETAFRICAWEDDING
KADASON AKITOA BURUDANI UKUMBINI MAHARUSI WAFURAHIA NA WAGENI WAALIKWA
Просмотров 1507 месяцев назад
KADASON AKITOA BURUDANI UKUMBINI MAHARUSI WAFURAHIA NA WAGENI WAALIKWA
🔴LIVE: KONGAMANO LA KUSHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE | ROTANA HOTEL DSM
Просмотров 1208 месяцев назад
🔴LIVE: KONGAMANO LA KUSHEREHEKEA SIKU YA KIMATAIFA YA MAJAJI NA MAHAKIMU WANAWAKE | ROTANA HOTEL DSM
MAHARUSI WAREMBO KULIKO WOTE WAKIZUNGUKA KWENYE CAMERA YA 360
Просмотров 5969 месяцев назад
MAHARUSI WAREMBO KULIKO WOTE WAKIZUNGUKA KWENYE CAMERA YA 360
🔴LIVE: DIAMOND AFUNGUKA MAZITO KWENYE NDOA YA DON FUMBWE
Просмотров 72 тыс.9 месяцев назад
🔴LIVE: DIAMOND AFUNGUKA MAZITO KWENYE NDOA YA DON FUMBWE
UTAPENDA LINAH SANGA NA BIBI CHALA WALIVYO CHEZA KINGONI UKUMBINI
Просмотров 169 тыс.10 месяцев назад
UTAPENDA LINAH SANGA NA BIBI CHALA WALIVYO CHEZA KINGONI UKUMBINI
Balaa la Linah sanga apagawisha ukumbi mzima
Просмотров 25 тыс.10 месяцев назад
Balaa la Linah sanga apagawisha ukumbi mzima
JUJU AWASHANGAZA MASTAA ALIA MBELE YA MUMEWE DON FUMBWE
Просмотров 79010 месяцев назад
JUJU AWASHANGAZA MASTAA ALIA MBELE YA MUMEWE DON FUMBWE
MASHAALLAH!!!AFUNGA NDOA AKIJIAMINI &MUSTAFA WEDDING
Просмотров 8611 месяцев назад
MASHAALLAH!!!AFUNGA NDOA AKIJIAMINI &MUSTAFA WEDDING
Wapi kelele na makofi ya hii wimbo 🎉 juu ni meshinzi na hii song inaimba kwa kichwa yangu paka ni kilala🎉🎉🎉hallelujah 🙌 Amen ...mm nitaamia uku
Nakumbuka mwaka 1996, wimbo wa kuingiza wageni wa wazazi wa Bwana Harusi au Bibi Harusi
Mwanaume
Nghwisobha lweliiii......Bulongwa nyumbani
Lweli logotsi ndumbula ngalagala
Hiyo nimwanaume
samaahani mwenye hii wimbo ni mwanaume ama ni mwanamke ninaipenda Sana hii wimbo lakini ninataka kujuua mwenye anayimba tu ❤❤❤❤❤love this song to much
Mwanamme
Namuona kaka yangu Jakika mungu akubariki sana
Nyimbo.nzuri.naipenda HP.idende..makete
Nimkinga au mngoni?
Aisee nilijua bibi kumbe kijana wa kiume haya ni maajabu ya mungu
mbona imeanzia katikati
Emphasizes the importance of long-term planning for small businesses
Wow bibi Chala ni mwanaume 😂😂😂
Kikinga oho kingon
Mwalemi mwalemi
Waoooooh bit tamu kinoma hongereni sana
Duuuuu kumbe cyo bibi pia ni mwanaume
Hiki ni kikinga siyo kingoni,ila waaaaaoooh 🔥🔥🔥🔥
Nzuri
❤safi picture imenyooka
Mimewakubali Sana
unyama sanaaaaa
ichi xokigon nikikinga
❤
Mwandishi mdangafu pia
I like
Siku zote nilijua Chala ni bibi wa kweli, kumbe ni handsome boy, du! Wabongo noma😀
Hatar
Haahaha jamani nimekumbuka nyumbani umetisha sana
Safi sana..... lakini hiki sio kingoni...
Dah we jamaa ninoma kwel
Hawo Siowangoni ni wakinga
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Nipo Kagera Biharamulo huyu jamaa kanikumbusha mbali sana kanisani&misibani midundo hii iko vizuri nimejihisi nipo Bulongwa nyumbani ubarikiwe sana mwimbaji
Weee jirani
Huku niwapi
Hiki ni kikinga sio kingoni
Mwalemi sicho vakinga
Kikinga Chetu cha Makete ikonda Wakilisha Bibi Chala
Haaaaaahaaaaaaa bibi Chala siku zote nilijua ni bibi kweli. Duhhhhh kumbe kijana mbichi tena wa kiume😂 .ila wangoni,wabena,wahehe,wawanji,wapangwa,wakinga na wengine wa mikoa ya Ruvuma,Njombe,Mbeya na Iringa wenyeji wao lugha zinashabihiana sanaaaaaa.
Familia ni kila kitu, tupende familia zetu sana ❤️
kumbe wana imba injili ya kingoni ndonimeelewa mimi
Jaman huy sio rech
Sawasawa bosss
Kikinga hiki sio kingoni
Makete moja hiyoooo
Ngoma ya kingoni imechangamka sana Hii sio ngoma ya kingoni
Kikinga hicho na sio kingon
Penda sana asili❤❤❤❤
Penda sana asili
Wanacheza kikinga unaandika kingoni we nawe miyeyusho