- Видео 600
- Просмотров 894 446
SUMAJKT TV
Добавлен 15 янв 2022
SUMAJKT ni kifupi cha neno SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA. Ni Shirika la kiuchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lililoanzishwa mwaka 1981 chini ya Sheria ya Uanzishaji Mashirika Namba 23 ya mwaka 1974 Sura ya 119 (RE 2002)
SUMAJKT ilianzishwa kwa sababu kuu mbili: -
(i) Kujiendesha kibiashara ili kupunguza gharama za uendeshaji wa shughuli za Jeshi la kujenga Taifa
(ii) Kuchangia katika uchumi wa Taifa.
Shughuli za uzalishaji katika shirika la SUMAJKT zimeainishwa katika sekta nne:-
1. Ujenzi, Uhandisi na Ushauri
2. Kilimo, Mifugo na Uvuvi
3. Viwanda
4. Biashara na Huduma
Makao yake Makuu ni Mlalakuwa barabara ya Mwai Kibaki Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kupitia:
Tovuti: www. sumajkt.go.tz
Email:info@sumajkt.go.tz
Facebook Profile:Sumajkt Tanzania
Facebook Group:Sumajkt Tanzania
Facebook Page: Sumajkt Tanzania
Twitter:Sumajkt Tanzania
Instagram:Sumajkt_hq_Tanzania
RUclips: Sumajkt Tv
Clubhouse:SUMAJKT
Blog:Sumajkttanzania.blogspot.com

WANANCHI WAFUNGA MTAA/WASHEREHEKEA KUWASHIWA UMEME/WAMWAGA MANENO KWA RAIS SAMIA.
WANANCHI WAFUNGA MTAA/WASHEREHEKEA KUWASHIWA UMEME/WAMWAGA MANENO KWA RAIS SAMIA.
Просмотров: 245
Видео
UMEME SASA HADITHI KILOSA/DC SHAKA AELEZA UIMARA WA SUMAJKT.
Просмотров 12121 час назад
UMEME SASA HADITHI KILOSA/DC SHAKA AELEZA UIMARA WA SUMAJKT.
DC GAIRO AIBARIKI KAMPUNI YA UMEME SUMAJKT KWA KUWASHA UMEME VIJIJINI
Просмотров 274День назад
DC GAIRO AIBARIKI KAMPUNI YA UMEME SUMAJKT KWA KUWASHA UMEME VIJIJINI
WAZIRI WA ULINZI WA ANGOLA APONGEZA BIDHAA ZA SUMAJKT
Просмотров 68014 дней назад
WAZIRI WA ULINZI WA ANGOLA APONGEZA BIDHAA ZA SUMAJKT
PROF. KABUDI TANZANIA IPO TAYARI NA MASHINDANO YA CHAN
Просмотров 6 тыс.21 день назад
PROF. KABUDI TANZANIA IPO TAYARI NA MASHINDANO YA CHAN
SUMAJKT WASHIRIKIANA NA WANAMICHEZO KUFUNGA MWAKA
Просмотров 49921 день назад
SUMAJKT WASHIRIKIANA NA WANAMICHEZO KUFUNGA MWAKA
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AONGOZA MAAFISA NA ASKARI MAZISHI YA MEJA JENERALI BUSUNGU (MSTAAFU) MWANZA
Просмотров 9 тыс.28 дней назад
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AONGOZA MAAFISA NA ASKARI MAZISHI YA MEJA JENERALI BUSUNGU (MSTAAFU) MWANZA
MNADHIMU MKUU AONGOZA MAAFISA NA ASKARI KUAGA MWILI WA MEJA JENERALI BUSUNGU (MSTAAFU)
Просмотров 17 тыс.Месяц назад
MNADHIMU MKUU AONGOZA MAAFISA NA ASKARI KUAGA MWILI WA MEJA JENERALI BUSUNGU (MSTAAFU)
SUMAJKT KUKAMILISHA VIWANJA VYA MICHEZO KWA WAKATI
Просмотров 999Месяц назад
SUMAJKT KUKAMILISHA VIWANJA VYA MICHEZO KWA WAKATI
KAMPUNI YA UMEME SUMAJKT YAENDELEA KUWASHA UMEME KIJIJI KWA KIJIJI
Просмотров 1,5 тыс.Месяц назад
KAMPUNI YA UMEME SUMAJKT YAENDELEA KUWASHA UMEME KIJIJI KWA KIJIJI
SUMAJKT YAFIKISHA UMEME VIJIJI VYA GAIRO/ FURAHA YA WANANCHI HAIELEZEKI....!!!
Просмотров 930Месяц назад
SUMAJKT YAFIKISHA UMEME VIJIJI VYA GAIRO/ FURAHA YA WANANCHI HAIELEZEKI....!!!
ZIARA YA SAMEJA WA KAMANDI YA JKT YAZURU MASHAMBA YA MIFUGO MAFINGA.
Просмотров 2,7 тыс.Месяц назад
ZIARA YA SAMEJA WA KAMANDI YA JKT YAZURU MASHAMBA YA MIFUGO MAFINGA.
UGENI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA KENYA WARIDHISHWA NA SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA SUMAJKT
Просмотров 12 тыс.Месяц назад
UGENI KUTOKA CHUO CHA ULINZI WA TAIFA KENYA WARIDHISHWA NA SHUGHULI ZINAZOFANYWA NA SUMAJKT
KHERI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.
Просмотров 901Месяц назад
KHERI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.
MICHUANO YA SHIMMUTA YATAMATIKA TANGA, MSHINDI ANG'ARA NA KIKOMBE.
Просмотров 2192 месяца назад
MICHUANO YA SHIMMUTA YATAMATIKA TANGA, MSHINDI ANG'ARA NA KIKOMBE.
JENERALI (MSTAAFU) MABEYO AIPONGEZA SUMAJKT UJENZI - MSOMERA.
Просмотров 4,6 тыс.2 месяца назад
JENERALI (MSTAAFU) MABEYO AIPONGEZA SUMAJKT UJENZI - MSOMERA.
SUMAJKT YAZINDUA MAGARI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI MOJA
Просмотров 1,3 тыс.2 месяца назад
SUMAJKT YAZINDUA MAGARI YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI MOJA
DUH!!.... HII NI BALAA/ANGALIA DKT. BITEKO ALIVYOWASHA MOTO!
Просмотров 4782 месяца назад
DUH!!.... HII NI BALAA/ANGALIA DKT. BITEKO ALIVYOWASHA MOTO!
KAMISHNA WA JKT NAMIBIA ATEMBELEA SUMAJKT
Просмотров 5852 месяца назад
KAMISHNA WA JKT NAMIBIA ATEMBELEA SUMAJKT
ANGALIA BALAA LA MCHEZAJI HUYU MCHEZO WA DRAFT/MASHINDANO YA SHIMMUTA MKWAKWANI.
Просмотров 2582 месяца назад
ANGALIA BALAA LA MCHEZAJI HUYU MCHEZO WA DRAFT/MASHINDANO YA SHIMMUTA MKWAKWANI.
SUMAJKT GUARD LTD WAIMARISHA ULINZI SGR
Просмотров 1,2 тыс.2 месяца назад
SUMAJKT GUARD LTD WAIMARISHA ULINZI SGR
RC CHALAMILA AZIAGIZA TAASISI, WAKURUGENZI KUFUNGA TAA ZA KISASA ZA SUMAJKT.
Просмотров 6492 месяца назад
RC CHALAMILA AZIAGIZA TAASISI, WAKURUGENZI KUFUNGA TAA ZA KISASA ZA SUMAJKT.
MKUU WA JKT AONGOZA MAZISHI YA MEJA AYUBU PAZI - DAR ES SALAAM
Просмотров 9 тыс.2 месяца назад
MKUU WA JKT AONGOZA MAZISHI YA MEJA AYUBU PAZI - DAR ES SALAAM
TIMU YA JESHI ILIVYOWASILI KWENYE MICHUANO YA SHIMMUTA.
Просмотров 7242 месяца назад
TIMU YA JESHI ILIVYOWASILI KWENYE MICHUANO YA SHIMMUTA.
TANZANIA NA ZIMBABWE KUIMARISHA USHIRIKIANO
Просмотров 8992 месяца назад
TANZANIA NA ZIMBABWE KUIMARISHA USHIRIKIANO
ANGALIA MAZISHI YA MJUMBE WA BODI YA SUMAJKT QS KANYESI YALIVYOFANYIKA.
Просмотров 7932 месяца назад
ANGALIA MAZISHI YA MJUMBE WA BODI YA SUMAJKT QS KANYESI YALIVYOFANYIKA.
WAZIRI WA ULINZI - COMORO AIMWAGIA SIFA SUMAJKT/ AIPA TANO UBUNIFU KATIKA KAZI.
Просмотров 9832 месяца назад
WAZIRI WA ULINZI - COMORO AIMWAGIA SIFA SUMAJKT/ AIPA TANO UBUNIFU KATIKA KAZI.
SHEREHE YA MIAKA 50 YA JITEGEMEE/MEJA JENERALI MHONA ATOA KONGOLE.
Просмотров 5602 месяца назад
SHEREHE YA MIAKA 50 YA JITEGEMEE/MEJA JENERALI MHONA ATOA KONGOLE.
MWILI WA JENERALI MUSUGURI ULIVYOAGWA HOSPITALI YA LUGALO/MAMIA WAFURIKA.
Просмотров 8 тыс.2 месяца назад
MWILI WA JENERALI MUSUGURI ULIVYOAGWA HOSPITALI YA LUGALO/MAMIA WAFURIKA.
DUMISHENI NIDHAMU YA MASOMO NA MICHEZO-LUTENI KANALI SAMBILA
Просмотров 2372 месяца назад
DUMISHENI NIDHAMU YA MASOMO NA MICHEZO-LUTENI KANALI SAMBILA
Ubunifu na heshima imechukua nafasi yake, hongereni
Hongeleni sana makamanda
Hahahaha good sana
Bless you 🙏
Mericie beaucoup
Sio kwa ubaya ila hilo jina linatamkwa ho na sio jo
Napenda kufanya kazi na suma jkt ràkin basi
Kati ya wakuu wangu wa jkt bora kuwashuhudia Mabele kwangu ni mkuu bora sana ana mambo mengi yeye ni utekelezaji tu
Safi
Familia yanguu hapo luwa jkt
Ng'alisheni pitch sio kumagilia jua kali bila dawa na mbolea
Ila mfanye ubunifu kwenye majukwa.
But mnajitahid ila tujue jamn hii n golden chance kwa East Africa hairud mara mbili co tufanye serious guys
Bado hamna standard hapo pitch Inamwagiwa tyu maji bila hata dawa na mbolea ya maji ili kungarisha nyasi this is too shame tz let us be serious for this
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
R.i.p My Head Master and physics teacher
Inapendeza saana 👏👏
Luchelele sio kijiji tutake rathi. Ni mwanza nyamagana kata ya luchelele. Apumzike kwa amani jirani yetu.
Poleni sana wafiwa kwa kif{ cha ndugu yetu
Nlipita haps mwaka 2019
Mko Vizuri ndani nje usalama uwongezeke hakika mpo na heshima kulingana na dira yetu ya maisha,nawatakia baraka njema
RIP my physics teacher
Rest in peace dady 🥲
Apumzike kwa Amani baba yangu
Rest in peace 🕯️🕊️ soldier 😢
Apumzike kwa amani 🕯️ kamanda 🕯️🕊️
Ameacha pengo kubwa na huzuni kwa taifa, alale pema peponi kamanda😢
Pumzika kwa amani Major
Acha ushamba uyo siyo major uyo ni major generali usikoment usicho kijua pimbi wewe
@Peterchila-un2lx duh,usitukane watu hovyo bila sababu
Rest in peace meja jenerali busungu
Pumzika kwa Amani babu
RIP
Apumzike kwa amani Meja Jenerali Mstaafu
R.I.P Major General busungu
Poleni sana
MUNGU awtunze Jeshi letu la JWTZ
Heko sana JKT.
Kazi nzuri
Sumajkt nawakubari saana 👏👏
Jeshi la kujenga taifa mpo vzr saana 👏
yaaan jeshi kazi yoyote ikitolewa kwa jeshi kazi inakuwa 100% efficiency Yaan lini umesikia watu wanawalalamikia wanajeshi, yaaan wako vizur mnooo, alafu zaidi angalia weledi wa jeshi jinsi wanavyoongea si kwa mbwembwe yaaan wanaongea kiprofessional sana jeshi safi sana hongereni sana na muendelee na hii spirit
@@thomassalvatory8303 🙏 Ahsante sana. Karibu SUMAJKT
yaaan jeshi linaweledi kweli angalia yaaan wamepewa project wameikamilisha bila mbambamba majeshi mengine yanabid yajifunze sana kwa jeshi
Mishahara kidogo munawaonea
Umeme wa jeshi utakua suluhisho la moja Kwa moja TANESCO kwa Huduma zenu zilivyo sasa Wateja wenu 83% watahamia JKT nilipongeze jeshi letu
Sumajkt ipo vzr saana 👏👏
@@rajabukamis9411 Ahsante sana. Karibu
Good😊
Thank you! ?
Tunaomba naomba zasim tunaitaji nafasi
Hongera sana baba lao
Sumajkt ipo vzr saana 👏👏
@@rajabukamis9411 Tunashukuru Sana. Karibu
Ahsante mwandishi wetu
❤❤❤
Kama mg ni kamandi ya jwtz na wamegikia kutambulishwa hata ktk patedi badi wapewe mavazi ya medani wayaziee kwani ndiyo watavaa wakati wa vita bila kusahau posho