- Видео 74
- Просмотров 3 635 989
Richard Futbal
Добавлен 7 мар 2023
•Sports Content Creator
Enjoy football clips & highlights
{📨richardfutbal@gmail.com}
Enjoy football clips & highlights
{📨richardfutbal@gmail.com}
Видео
Goli la pili la Al Hilal Abdulrazack Omar dhidi ya Yanga (🎥 AzamTV) #azamsports #yangaleo #yangatv
Просмотров 51 тыс.День назад
Goli la Adama Coulibaly dhidi ya Yanga Tobo 😂(🎥AzamTV) #azamsports #yangasc #yangatv
Просмотров 29 тыс.День назад
Nafasi ya wazi kabisa Dube kakosa 🙆🏿♂️🥺 (🎥Azamtv) #azamsports #yangasc #yangaleo #yangatv
Просмотров 20 тыс.День назад
Goli la Lionel Ateba dhidi ya Pamba (🎥Azamtv) #azamsports #simbasc #simbaleo #simbasctanzania
Просмотров 45 тыс.5 дней назад
Fadlu, Aziz Ki na Kocha mpya wa Yanga wakienjoy Tanzania kufuzu AFCON 2025
Просмотров 17 тыс.8 дней назад
Goli la Msuva dhidi ya Guinea AFCON 2025 inanukia #azamsports #taifastars
Просмотров 245 тыс.8 дней назад
Goli la pili la Tanzania likifungwa na Feisal Salum dhidi ya Ethiopia #azamsports #taifastars
Просмотров 411 тыс.11 дней назад
Goli la Simon Msuva dhidi ya Ethiopia 🔥🔥 #azamsports #taifastars #afconqualifiers
Просмотров 75 тыс.11 дней назад
Huzuni juu ya huzuni kwa Yanga 😂 #azamsports #yangatv #simbasc
Просмотров 9 тыс.14 дней назад
Goli la Corazone dhidi ya Yanga Princess #azamsports #simbavsyanga #simbasctanzania #yangaleo
Просмотров 54 тыс.14 дней назад
Hii ni huzuni kwa Yanga 😂🤣 #azamsports #simbasctanzania #yangasc #yangatv
Просмотров 57 тыс.20 дней назад
Goli la pili la Tabora dhidi ya Yanga 😂 #azamsports #yangasc #yangaleo #yangatv
Просмотров 12 тыс.20 дней назад
Goli la Chikola kwa Tabora dhidi ya Yanga #azamsports #yangaleo #yangasc
Просмотров 8 тыс.20 дней назад
Goli la 4 la Simba Jean Ahoua akifunga 🔥 #azamsports #simbasctanzania #simbaleo #simbasc
Просмотров 180 тыс.21 день назад
Goli la penalty 😮😮😮
Kuna mijitu iliopewa na ikakosa.
Huyu chaliii ni hatariii sanaaa
Hii stayle ya saido ipo siku mambo yatakwama
Ubaya ubwera
Unyamaaa endereeni kutupa Raha simba
Good ❤❤❤❤
Mbona lanzman Yuko ndani ya uwanja
Km huyu ndio anae tegemewa ktk tim watu wajipange au tutumie sindano😊
Hivi huyu mshikakibendela alikuwa sahihi kukimbilia kwenye pichi, Hii imekaaje?
GAMONDI
SINDANO ZIKIZUIWA HIVI HIVI TUTAONA MENGI
Yanga imepoteza ghafla stamina na nguvu yaaani fiziki ya kugangamala wacheza wako kama wanakula na kushindia mikate, timu haina nguvu, Yanga itafungwa na timu zote za ligi kuu endapo watacheza kwa kupaki bus halafu watafanya mashambulizi yenye nguvu ya counter atrack. Yanga haina maarifa na nguvu ya kupenya ukuta timu inapopaki bus.
Dube anafunga magoli laini sana
😂😂amepigaje apo?
Hii moment sikuiona kumbe goli la kwanza waligalagazwa wachezaji wawili na tobo juu😂😂😂😂
😂😂😂
Kipa pia fala kasimamatu
Kipa anajua Sana kudaka
Mdaka mishale,,
Yani tabora Wana roho mbaya kweli 🤔 wamewachongea yanga Al 😂
Anamcheza mtu badala ya mpira. Beki hamna hapo
Hivi Hy ni bacca au bakar mwamnyeto😳👀
Mhhhhh kidonda kimepata mkunaji
Ranzimeni vp jamani hakuona vizuri akiwa kwenye chak yake
😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Shida ilianza aziz alivyolamba nyasii😅😅😅😅😅😅
Jamani mbio zilikuwa chache
Chenga moja hatariii
Nauwezo wa kwenda kuwafunga 4 bila kwao hawana😂😂😂😂
Lumelela
Mbona wewo😂
wamekosea huyo golikipa hajui kudaka kwanini hawamuweka diara mdaka mishale
Golkipa ndo Diara mwenyew so mwinginé 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@Waidael-i9h😂😂😂😂...pengine alifkiri sio yy
uyo ni Diara feki maana yule mwenyewe asinge fungwa, labda na malaika kutoka mbinguni, sio kwa tobo lile
@@STELLAMARCELY hahahahahaaaaaaaa eti mdaka mishale
Yanga daima mbele nyuma mwiko, mi ni mwananchi mpaka nizikwe. Hayo ni matoke ya football Ndugu ....unateseka???
Si unateseka mwenyewe na ubovu wa tim yako
Alikuambie uhamie timu nyengne endeleen sasa namaneno yakumzihak mungu ashushe malaika mcheze nao
Watu wanajua mpira jamanii
Tunahama uwanja tunaamia Sokoine Mbeya
Bao zurii
Sasa pale afanyaje na kipa alishafika
Tobo goliiiiii
😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂😢😢
Kasongo yeye Mumbari nangai 😊 muda wa mateso yao umefika 😊
Watapigwa sana wasipo badilika
Ila jamani mmeiona goli ila chenga huku nyuma kulupoanza hamjaona au
Yanga tuli
Kidomodomo chenu kiko wapi?
bonge la goal
Kazi kweli sindano hakuna tenaa
Okota nyavun kama utumwa chiz kweli
wamechenyetwa
Kocha wa yanGa anacheeeka!!
Alosto hiyo
Bado vifungo havija funguka
Kweli mlitumwa iwe jua iwe mvua lazima kukaba😂
ingekua marefa wetu Wana agizo ingekuaje hapo kina kayoko na wenzake😁