Hilmi Hilal 259
Hilmi Hilal 259
  • Видео 361
  • Просмотров 580 429

Видео

Muungano huu ni wa Mkataba, sio wa kikatiba
Просмотров 1668 месяцев назад
Muungano huu ni wa Mkataba, sio wa kikatiba
Dr. Nasra Nassor, daktari wa wana anga kutoka Zanzibar akiongea na VOA Swahili
Просмотров 449Год назад
Dr. Nasra Nassor, daktari wa wana anga kutoka Zanzibar akiongea na VOA Swahili
Huyu Ndie Sheikh Ally Bassaleh
Просмотров 303Год назад
Huyu Ndie Sheikh Ally Bassaleh
KHUTBA YA SALA YA EID JUMUIYA YA WAZANZIBARI CANADA (ZANCANA) - ABU UBAYDA ISLAMIC CENTRE 2023
Просмотров 939Год назад
Khutba baada ya sala a Eid el Fitr iliyokhutubiwa na Ustaadh Abdul Aziz kattika msikiti wa Jumuiya ya Wazanzibari Canada, Abu Ubaydah Islamic Centre, Toronto, Canada, 1 Shawwal 1444H, 21 April 2023.
Wazanzibari wameumizwa kwa kupigwa na kuuliwa, Watanganyika wameumizwa kwa kulishwa ujinga - Hilal
Просмотров 682Год назад
Wazanzibari wameumizwa kwa kupigwa na kuuliwa, Watanganyika wameumizwa kwa kulishwa ujinga - Hilal
Watanganyika changamkeni kudai Tanganyika yenu, Utanganyika sio matusi Mujahid Osman
Просмотров 175Год назад
Watanganyika changamkeni kudai Tanganyika yenu, Utanganyika sio matusi Mujahid Osman
Faida ya muungano kwa Wazanzibari ni kuuliwa kila baada ya miaka mitano - Bob Wangwe #mariaspaces
Просмотров 206Год назад
Faida ya muungano kwa Wazanzibari ni kuuliwa kila baada ya miaka mitano - Bob Wangwe #mariaspaces
Mawaidha - Kutoa kwa ajili ya Allah
Просмотров 42Год назад
Mawaidha - Kutoa kwa ajili ya Allah
Katiba na ugatuzi wa madaraka, haki na wajibu wa wanachi part 1
Просмотров 54Год назад
Katiba na ugatuzi wa madaraka, haki na wajibu wa wanachi part 1
URAIA, DIASPORA NA HAKI YA UZAWA - PART TWO
Просмотров 60Год назад
URAIA, DIASPORA NA HAKI YA UZAWA - PART TWO
JE WAJUA KATIBA YA UHURU YA TANGANYIKA ILIRUHUSU URAIA PACHA?
Просмотров 162Год назад
JE WAJUA KATIBA YA UHURU YA TANGANYIKA ILIRUHUSU URAIA PACHA?
Lissu ajutia kauli yake kwa Maalim Seif
Просмотров 673Год назад
Lissu ajutia kauli yake kwa Maalim Seif
MTAZAMO WA KISHERIA KUHUSU KUPOTEA KWA JUMA WA JUMA
Просмотров 708Год назад
MTAZAMO WA KISHERIA KUHUSU KUPOTEA KWA JUMA WA JUMA
Yuko wapi Juma wa Juma? Mwinyi na Samia wadai hawana taarifa
Просмотров 3,3 тыс.Год назад
Yuko wapi Juma wa Juma? Mwinyi na Samia wadai hawana taarifa
Kupotea kwa Juma wa Juma - Mabodi na Nadir wahusishwa
Просмотров 1,5 тыс.Год назад
Kupotea kwa Juma wa Juma - Mabodi na Nadir wahusishwa
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa utatuzi wa migogoro ya uchaguzi
Просмотров 582 года назад
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa utatuzi wa migogoro ya uchaguzi
HOTUBA YA TUNDU LISSU KUHUSU KURUDI TANZANIA 2023
Просмотров 4122 года назад
HOTUBA YA TUNDU LISSU KUHUSU KURUDI TANZANIA 2023
MASWALI NA MAJIBU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
Просмотров 192 года назад
MASWALI NA MAJIBU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
UTAFITI WA LISSU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
Просмотров 382 года назад
UTAFITI WA LISSU - Sheria ya Gharama za Uchaguzi
MASWALI NA MAJIBU Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo
Просмотров 432 года назад
MASWALI NA MAJIBU Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo
UTAFITI WA LISSU - Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza
Просмотров 192 года назад
UTAFITI WA LISSU - Siku ya Uchaguzi, Kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza
MIAKA 59 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR TULIKOTOKA NA TWENDAKO
Просмотров 1642 года назад
MIAKA 59 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR TULIKOTOKA NA TWENDAKO
GUMZO LA GHASSANI - Rais Samia, maridhiano na mwanzo mpya
Просмотров 1472 года назад
GUMZO LA GHASSANI - Rais Samia, maridhiano na mwanzo mpya
MASWALI NA MAJIBU - UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi ni Tishio la Uchaguzi huru na haki
Просмотров 692 года назад
MASWALI NA MAJIBU - UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi ni Tishio la Uchaguzi huru na haki
UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi na Tishio la Uchaguzi huru na haki
Просмотров 152 года назад
UTAFITI WA LISSU - Maadili ya Uchaguzi na Tishio la Uchaguzi huru na haki
MASWALI NA MAJIBU UTAFITI WA LISSU Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na Matatizo Yake
Просмотров 302 года назад
MASWALI NA MAJIBU UTAFITI WA LISSU Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na Matatizo Yake
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na matatizo yake
Просмотров 412 года назад
UTAFITI WA LISSU - Utaratibu wa Kampeni za Uchaguzi na matatizo yake
MASWALI NA MAJIBU - Mfumo wa uandikishaji wapiga kura, haki ya kupiga kura na demokrasia nchini
Просмотров 262 года назад
MASWALI NA MAJIBU - Mfumo wa uandikishaji wapiga kura, haki ya kupiga kura na demokrasia nchini
UTAFITI WA LISSU - Mfumo wa Uandikishaji Wapiga Kura Haki ya Kupiga Kura na demokrasia nchini
Просмотров 52 года назад
UTAFITI WA LISSU - Mfumo wa Uandikishaji Wapiga Kura Haki ya Kupiga Kura na demokrasia nchini

Комментарии

  • @YusufFakiKhamis
    @YusufFakiKhamis 18 часов назад

    Hao walisameheana mnarudia ya nini ?

  • @parmukhsinghhoogan3669
    @parmukhsinghhoogan3669 2 дня назад

    Fitina hizi zilifanywa na wazanzibari wa hapa na walioewa vyeo vya ukepteni kama tunza zao ,hii ime kuwa edited

  • @HusseinMustafaParmar
    @HusseinMustafaParmar 9 дней назад

    Chama cha Mapinduzi bado inatawala Tanzania na ndio yenye nguvu mkubwa kule na TCR wameniwekea camera kwenye sura na leo nadhalilishwa natema makamasi yanayorushiwa kwa laser kwenye shingo yangu na tumbo na mdomo natema kila mara na kwenye pua nazuiliwa kwa makamasi si yangu. Mimi naandika matokeo ya sasa

  • @Rukaiya-lt3hm
    @Rukaiya-lt3hm 10 дней назад

    Huyu mikoti hajielewi alitaka othmani aungane nao miccm kuizamisha zanzibar

  • @SeifMohd-x7w
    @SeifMohd-x7w 11 дней назад

    Yupo vizuri

  • @NasirAmeir
    @NasirAmeir 20 дней назад

    Mzamzibari halisi haogopi wala hatikisiki

  • @AbdallahLigunda
    @AbdallahLigunda 23 дня назад

    Nalia sana wazee wetu mungu atawalipa

  • @AbdallahSalim-is3db
    @AbdallahSalim-is3db 24 дня назад

    Kamanda kakimbilia vita hafai... mpumbavu alie tamka hivi namuuliza kwani hapo ni vitani..? Kwama wataka vita nenda ukrein uone warusi watavyo kupelekea moto

  • @awadhsalim2680
    @awadhsalim2680 24 дня назад

    Wapingaji ni maadui w znz kwa maslahi ya tumbo lao.

  • @nassorally4436
    @nassorally4436 25 дней назад

    Ikipoa

  • @HvhVvb-k3i
    @HvhVvb-k3i 29 дней назад

    Key point nyerere ameharibu historia y watanganyika halisi

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 Месяц назад

    Laana na Allah haitawaacha hadi kiyama kelbu wakubwa nyie

  • @khamissaleh921
    @khamissaleh921 Месяц назад

    Sababu wanowaogopa wale walio ondoka znz zamani na wakajaja na passport zao Halafu wakaomba tena uraia na kununua mahekari na wanakuja na pesa nyingi kwa hali hii hao ndio tishio sio jengine !

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Dah au Nyerere alikua mwanga😂😂😂

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Jamani shilingi yauwa 😂😂😂 nnjaa mbaya

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Bora uwasomee mana wajifanya hawayajui

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Vita vya panzi😂😂😂😂

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Ipo siku hio ligi itaondoshwa hasa ili isisikike mana kunawatu hawatamani kuiona Zanzibar ipo juu kimpira ila vipaji havijifichi Zanzibar itabaki kua juu kwampira Africa

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Bora jiwe 😂😂 ila ipo siku mutajua kua watu wanajali matumbo yao Zanzibar na sio nchi kisa vyeo na sifa ila iposiku

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Siokama ccm hawajui wanajua kilakitu wanaendekeza matumbo yao tu😢😢

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Mm pia siyaafiki mapinduzi yale

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Hapo ndomujue sasa km Zanzibar tunaonekana km hatuna haki 😢 ila nanyinyi ikesiku mujitambue mukotayari kujiita mawaziri wadogo ya nchiyetu 😢😢

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Kwani wanaotawala ni nani sini ccm washangaa nini😂😂😂

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Basi uwo uraisi ndokashaupata baba ako ndoraisi saiv mwafaidika na familia yenu ila naona akili zako hazina afya 😮

  • @RahimuHussen-j1m
    @RahimuHussen-j1m Месяц назад

    Mungu awarehemu

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Yani watanganyika wanaonesha chukizao juu ya Zanzibar lissu watakupasua kichwa hao hawajui lolote 😂😂😂

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Huyu mwandishi hajui kaziyake halafu hajui kuuliza maswali 😂😂 jamani watanganyika hamuna elimu 😂 lissu wewe ni msomi huyo ni hajasoma

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Katika mtu ambae hajui siasa wakwanza ni huyu jamaa kwanza anajiona kashamaliza maisha ila alikuepo mwamba katikanchii hii leo yupo wapi 😢😢

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Yani anapaswa atubu ndokwanza azidi kufuru eti ala pencheni 😢😢 aona sifa miguu hana ila kiburi kipo juu

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Dah yani unamfananisha rais na mungu subhanallah 😢😢😢😢 laanatullah unajifanya unaweza kuuchambua ufalme wa mungu km ushakufa wemzee mungu akuzidishie azabu Zakabri😢😢😢

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Uhuru ni wa December 10 tu yale mengine ni mauwaji 😢😢 hatutosahau 😢😢

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Mnabisha bure kisa ccm 😂😂 mm sioni lamuhimu sasa nimuda wa kukipisha chama chengine tuone mchango wake hata kiwe chauma ila sasa tuone mabadiliko 😅😅😅

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    😢😢😢

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    I love Zanzibar ❤

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Allah Akbar mashallah

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Mashallah hapa ndipo tunapouwona umoja wa wazanzibar mashallah Zanzibar ❤

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Mimi mzanzibar najivunia kuzaliwa Zanzibar ila watanganyika sasa nanyinyi mufike pahali pudai nchi yenu ya Tanganyika sababu nyinyi hamuna rais hamuna bendera jaman muamke juzi kunajamaa kaninua kisa nimemwambia ww umezaliwa Tanganyika 😂😂 yan hatajina lanchi yenu munaona aibu kulitaja 😂😂😂

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Ndio hatamimi najitambulisha mzanzibar na lazima watanganyika wadai rais wao na wawe na bendera yao na rais wa Tanganyika sababu alokuepo ni rais wa tanzania hapo naipenda sana Zanzibar yangu❤

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Muheshimiwa rais wa jamhuri ya watu zanzibar Osman mosoud Osman 2025❤😂😂😂

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Месяц назад

    Huyu meenye kofia namjua ni kima wajizani😂

  • @AllyHamran
    @AllyHamran Месяц назад

    Kibriiiii na ujinga

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 Месяц назад

    wazee wetu hawa walikuwa na akili sana inaumiza sana leo hatuko nao,hawa ni dawa

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 2 месяца назад

    Huyooo Hafai na koti lake Lina kungun yukooo wp mbwaaa mkubwaaaa😅😅

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 2 месяца назад

    Kibanda cha karata darasa la 3f huyooo matakoo ya mkewee miwan kama kobee mbwaa mkubwq yupoo Hai amulizee mwenzake jechaa yuko wap😅😅😅

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Nchi ina laana hii ata jambazi angiwacha iyo Tv

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Wanaweza kuuwa itakuwa kuiba

  • @SalehMustafa-c7l
    @SalehMustafa-c7l 2 месяца назад

    Tundu yuko sawa

  • @SalehMustafa-c7l
    @SalehMustafa-c7l 2 месяца назад

    Yaani huyu tundu very genius man

  • @Chr196
    @Chr196 2 месяца назад

    Mungu ni mkuu zaidi kuliko cho chote kile

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Kama hamjashika bunduki na nyie mkawapatia yale yale wanayowapatia nyie haitaisha dhulma hii.