United TZA
United TZA
  • Видео 121
  • Просмотров 125 479

Видео

Mambo Matano ya Msingi baada ya Kufungwa vs Forest | Man Utd Premier League Match Analysis
Просмотров 1,5 тыс.4 часа назад
Baada ya kufungwa na Nottingham Forest, haya ndio mambo matano tuliyojifunza. #manutd #manchesterunited #united #brunofernandes
Kwa Nini Dan Ashworth Amefukuzwa? | Manchester United News
Просмотров 3,2 тыс.4 часа назад
Tunazungumza taarifa ya kuachishwa kazi kwa Mkurugenzi wa michezo Dan Ashworth... #manchersterunited #mufc #premierleague
Mambo Matano Kutokana na Kipigo cha Arsenal | Premier League Match Analysis | Man Utd News
Просмотров 1,8 тыс.12 часов назад
Tumejifunza mambo gani muhimu kutokana na mechi dhidi ya Arsenal? #manutd #manchesterunited #football #united #manchesterunited #premierleague
Amorim hizi ndio Mechi zake | Arsenal v Man Utd Premier League Match Preview
Просмотров 1,2 тыс.16 часов назад
Mapitio ya mechi dhidi ya Arsenal kwenye Premier League #manutd #manchesterunited #football #arsenal #premierleague
Shaw ameumia tena | Dalot kwenda Real Madrid? | Man Utd News & Transfer News
Просмотров 1,2 тыс.16 часов назад
Luke Shaw amepata majeraha tena na kuna taarifa kwamba Madrid wanataka kutoa mzigo Januari kwa ajili ya Dalot.... #manutd #manchesterunited #football #transfers #premierleague
Mambo Matano Kutoka kwenye Ushindi dhidi ya Everton | Premier League Match | Manchester United
Просмотров 1 тыс.19 часов назад
Nimejifunza mambo matano muhimu kutokana na ushindi wa 4-0 dhidi ya Everton, tuyapitie pamoja.... Instagram/X/Tiktok tunapatikana kwa ​⁠@United_TZA #manutd #manchesterunited #football #united #premierleague
Leny Yoro Yupo vs Arsenal | Amorim Press Conference | Man Utd News
Просмотров 2 тыс.19 часов назад
Tunafanya mapitio ya taarifa za leo kuhusu Manchester United, na mpango dhidi ya Mechi inayofuata dhidi ya Arsenal. #manutd #manchesterunited #football #arsenal #premierleague
Wachezaji WATANO Wenye UHAKIKA WA NAMBA Kwenye Kikosi cha Ruben Amorim
Просмотров 3,5 тыс.День назад
Dr Nandez anakufafanulia wachezaji watano ambao anaona tayari wana namba za uhakika chini ya Amorim.... #manutd #manutd #manchesterunited #premierleague
Tutawapiga Vibaya | Man Utd v Everton | Premier League Match Preview
Просмотров 1,1 тыс.День назад
Mapitio ya mechi ya Premier League kati ya Man Utd v Everton #manutd #manchesterunited #united #football #premierleague #everton
Matokeo: Man Utd 3-2 Bodo/Glimt | Europa League | Match Analysis & Reaction | Mazraoui Hojlund balaa
Просмотров 2,2 тыс.День назад
Matokeo: Man Utd 3-2 Bodo/Glimt | Europa League | Match Analysis & Reaction | Mazraoui Hojlund balaa
Amorim & Fernandes Presser | Europa League Press Conference vs Bodo/Glimt
Просмотров 437День назад
Amorim & Fernandes Presser | Europa League Press Conference vs Bodo/Glimt
Amorim Kupata ushindi wake wa Kwanza | Man Utd v Bodo/Glimt | Europa League Match Preview
Просмотров 1,1 тыс.День назад
Amorim Kupata ushindi wake wa Kwanza | Man Utd v Bodo/Glimt | Europa League Match Preview
Davies, Osimhen, Hernandez kwenye Rada ya Man Utd | Man Utd Transfer News
Просмотров 68814 дней назад
Davies, Osimhen, Hernandez kwenye Rada ya Man Utd | Man Utd Transfer News
Sababu Tano kwa nini Amorim Ataifanya Man Utd Kuwa Bora | Man Utd News
Просмотров 2,3 тыс.14 дней назад
Sababu Tano kwa nini Amorim Ataifanya Man Utd Kuwa Bora | Man Utd News
Matokeo: Ipswich 1-1 Man Utd | Onana katubeba | Amorim ana kitu
Просмотров 2,5 тыс.14 дней назад
Matokeo: Ipswich 1-1 Man Utd | Onana katubeba | Amorim ana kitu
Tutaona Soka la Tofauti | Ipswich v Man Utd Preview | Premier League
Просмотров 1,2 тыс.14 дней назад
Tutaona Soka la Tofauti | Ipswich v Man Utd Preview | Premier League
Jadon Sancho Atarudi United? | Amorin Anahitaji Kipa badala ya Onana.
Просмотров 2,2 тыс.14 дней назад
Jadon Sancho Atarudi United? | Amorin Anahitaji Kipa badala ya Onana.
Man Utd Kumsajili Davies Januari? | Man Utd Transfer News
Просмотров 99114 дней назад
Man Utd Kumsajili Davies Januari? | Man Utd Transfer News
Mechi 10 za Kutuonyesha Kazi ya Amorim | Man Utd News
Просмотров 1,9 тыс.14 дней назад
Mechi 10 za Kutuonyesha Kazi ya Amorim | Man Utd News
Fernandes Akutana na Amorim | Kutoka Uwanja wa Mazoezi | Yoro na Mount Wataanza mechi Ijayo
Просмотров 2,2 тыс.14 дней назад
Fernandes Akutana na Amorim | Kutoka Uwanja wa Mazoezi | Yoro na Mount Wataanza mechi Ijayo
Man United Wanamtaka Davies na Nkunku? | Man Utd Transfer News
Просмотров 1,2 тыс.21 день назад
Man United Wanamtaka Davies na Nkunku? | Man Utd Transfer News
Amorin na Vitoto Vyake | Man Utd News
Просмотров 2,1 тыс.21 день назад
Amorin na Vitoto Vyake | Man Utd News
Eriksen Anaondoka | United Kumsajili Davies na Osimhen? | Man Utd Transfer News
Просмотров 1,5 тыс.21 день назад
Eriksen Anaondoka | United Kumsajili Davies na Osimhen? | Man Utd Transfer News
Rúben Amorim Asimamia Mazoezi ya Kwanza | Kobbi, Leny wako fiti | Man Utd News
Просмотров 1,8 тыс.21 день назад
Rúben Amorim Asimamia Mazoezi ya Kwanza | Kobbi, Leny wako fiti | Man Utd News
Sababu Tano za Ten Hag Kufeli | Lazima Amorim Awe Mwangalifu | Man Utd News
Просмотров 1,2 тыс.21 день назад
Sababu Tano za Ten Hag Kufeli | Lazima Amorim Awe Mwangalifu | Man Utd News
Part 4: "Nitawatetea Wachezaji Wangu Mara zote..."-Rúben Amorim | Man Utd News
Просмотров 83421 день назад
Part 4: "Nitawatetea Wachezaji Wangu Mara zote..."-Rúben Amorim | Man Utd News
Part 3: "Falsafa yangu ni Kushinda kwa Mfumo Maalumu..."-Rúben Amorim | Man Utd News
Просмотров 1,1 тыс.21 день назад
Part 3: "Falsafa yangu ni Kushinda kwa Mfumo Maalumu..."-Rúben Amorim | Man Utd News
Part 2: "Nilikuwa Namba Moja kwa Klabu Hii..." -Rúben Amorim | Man Utd News
Просмотров 81821 день назад
Part 2: "Nilikuwa Namba Moja kwa Klabu Hii..." -Rúben Amorim | Man Utd News
Part 1 : "Ninakuja kukidhi Njaa ya Mafanikio Man Utd..."-Rúben Amorim | Man Utd News
Просмотров 1,2 тыс.21 день назад
Part 1 : "Ninakuja kukidhi Njaa ya Mafanikio Man Utd..."-Rúben Amorim | Man Utd News

Комментарии

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 9 часов назад

    Atupedi kwa sasa aondoke tu anakula mesaa za bure.Rasford ana matumaini kwa sasa 🤣🤣🤣🤣

  • @Samwelfrancis-x2u
    @Samwelfrancis-x2u 10 часов назад

    ajitumi kbx

  • @02boysmusic12
    @02boysmusic12 12 часов назад

    Kitu kingine ni mvivu kukimbia endapo anapoitajika kusaidia wenzake

  • @muindechingo2644
    @muindechingo2644 12 часов назад

    Asante Kwa habari 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @MuhammadAdam-s9x
    @MuhammadAdam-s9x 13 часов назад

    Asante kwa taarifa zako mzuri

  • @MuhammadAdam-s9x
    @MuhammadAdam-s9x 13 часов назад

    Mm nimeona itakuwa ni wazo zuri kuuzwa rashfod

  • @kashindiomari6552
    @kashindiomari6552 13 часов назад

    Hongera sana kwa taarifa nafikiri kumuuza Radford ni maamuzi mazuri maana amepewa mda lakini haonyeshi kipaji chake

  • @hashimabdulrahman4532
    @hashimabdulrahman4532 День назад

    Sikupingi lakini mm maini yangu ni Kuanza Casemiro na Ugarte Maino anacheza Vizuri lakini kwasasa timu ili turudi kwenye mchezo tusifungwe ovyo ni bora kuwepo Viungo hao wote wanakaba na kuchezesha ili turudi Mchezoni Maino ni mwepesi kukaba ni mzuri wa kudribli na utulivu lkn tutaendelea kufungwa na kufungwa bila ya Casemiro rabda Mechi za Uropa lkn mechi za epl kama inokuja na City my friend Casemiro Casemiro ni muhim mnooo mechi iyo kumbuka ata Van Nestaroy alikuwa akiwachezesha mechi zote 4 Casemiro na Ugarte na tulifanikiwa pakubwa so ayo ndio maoni yangu nampenda sana Maino lakini kwasasa no asianze Casemiro ana uwezo mkubwa sana wa kusens Mashambuliz ya hatari pia ni Mzuri sana kuzuwia na kushambulia kwa Header za Set pices ambazo ni tatizo kubwa ktk timu yetu na nikwambie ukweli tu bila ya Case kwasasa Magoli ya Vichwa tutaendelea kufungwa tu.

  • @miltonkogo668
    @miltonkogo668 День назад

    Thanks for your information Leta vile iko usiongeze yako bro

  • @hajisaid1457
    @hajisaid1457 День назад

    Anaonekana ni mpiga dili bora alivyoondoka, Utd hii sio ile tena tushatoka huko enzi za kina Ed Woodward

  • @02boysmusic12
    @02boysmusic12 День назад

    Kitukingine sisi mashabiki utuna subira kwa sababu kocha ndo kwaza ameaza tayari watu wameshaaza kumsema vibaya daah 😢😢

  • @02boysmusic12
    @02boysmusic12 День назад

    Garnacho kwa sasaivi hachezi vizuri tena

    • @united_tza
      @united_tza День назад

      kweli anapiteza nafasi nyingi

  • @Msengostreetkabisa
    @Msengostreetkabisa 2 дня назад

    Alicho fail amorim ni kumuanzisha højuland pale ni marcuuus inbd anaannze maan hoju hawezi kuplace na timu

  • @Msengostreetkabisa
    @Msengostreetkabisa 2 дня назад

    Højuland inabd amsublie rashford coz ukizingatia magol aliyofungwa united ni wanatufunga mabeki

  • @Msengostreetkabisa
    @Msengostreetkabisa 2 дня назад

    Amad dialo uwa hawi makini mda wote maan anapata nafas nyingi za kufunga haztumii ipasavyo inakua inampunnguzia rati

  • @Msengostreetkabisa
    @Msengostreetkabisa 2 дня назад

    Rashford inabid awe anaanza na Joshua timu inakua Bora san katika ufungaji wa kushtukiza Kwa speed

  • @FaustineMarwa-p5i
    @FaustineMarwa-p5i 2 дня назад

    Yeah Kweli kabisa mainoo na ugate ndo mido bola man united

  • @jumakhamis4077
    @jumakhamis4077 2 дня назад

    Kinacho nishangaza kitu kimoja tukifungwa tu ndiyo unaona wachezaji wetu wanakuwa kama wamefunguliwa mlango wa kucheza vizuri wakipata kusawazisha wanarudi kwenye speed ndogo tena ,inapaswa kuwa na tamaa ya kufunga zaidi hata ikitokea mpinzani wetu akipata bao kuwe na mlima wa kutufikia bao la kusawazisha

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 2 дня назад

    Dalot.... atoke aende tuu

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 2 дня назад

    Martinez atoke Man Utd ...ajuwi kudifene cross.kona....

  • @AliHassanAli-ou4wh
    @AliHassanAli-ou4wh 2 дня назад

    Timu inahitaji msasa km alivofanya Chelsea

    • @united_tza
      @united_tza 2 дня назад

      how??

    • @AliHassanAli-ou4wh
      @AliHassanAli-ou4wh 2 дня назад

      @@united_tza kuna wachezaji watuwache ktkn na mfumo wa kocha unahitaji wachezaji wa kwnd kushambulia kwa speed na kurud kulinda kwa speed ila wngn hawapo hvo hawajitolei

    • @Msengostreetkabisa
      @Msengostreetkabisa 2 дня назад

      Timu inawachezaj wachache inbd waongezeke

  • @MuhammadShariff-ji9ye
    @MuhammadShariff-ji9ye 2 дня назад

    Kocha apewe nafasi kwaajili amechukua timu ligi ikiendelea nikocha mzuri ataibadilisha man u

  • @AliHassanAli-ou4wh
    @AliHassanAli-ou4wh 2 дня назад

    Tatizo mabeki wetu hawajitolei

  • @Joey-h2n
    @Joey-h2n 2 дня назад

    Binafc usajiri wa de light sikuuona kama ni sahihi hivyo kwangu mimi halikua chaguo sahihi

  • @Joey-h2n
    @Joey-h2n 2 дня назад

    Duh😊

  • @barakambeyale7207
    @barakambeyale7207 2 дня назад

    Aende tu Kuna sajili zilifanyaa na mwenzie kipara ten hag nilimchukia

  • @AliSAID-g9u
    @AliSAID-g9u 2 дня назад

    maoni yangu mm onana anatufungisha mipira yakona hawezi kuicheza tumpe nafasi nakipa mwengine

    • @united_tza
      @united_tza 2 дня назад

      Makosa hayaepukiki nyakati nyingine

  • @sharaful-anaam138
    @sharaful-anaam138 2 дня назад

    Kumbe katimuliwa me nasema kaondoka mwenyew

  • @JoyceMassawe-d1t
    @JoyceMassawe-d1t 2 дня назад

    Acha aendee ,,kosa kubwa alilifanya ni kumuongezea mkata ten egg

  • @hashimabdulrahman4532
    @hashimabdulrahman4532 2 дня назад

    Ashwath tayari alishakua ni kirusi kwa Club yetu kwanza asingeongea lugha moja na wenziwe kina Berrada na kumsaport Amorim mikakati yake than anaonekana ni Mtu wa dili kwenye sajil zake walishakua kitu kimoj yeye na tenhag ni bora tu tukatafuta Mtu mwengine mwenye Ushawish zaid

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 2 дня назад

    Nilikua nasubiria sana hii habar

  • @KasichanaKaingu-wx7kr
    @KasichanaKaingu-wx7kr 2 дня назад

    mm nngekuwa amorim dalot angesugua bench msimù mzma

  • @barakambeyale7207
    @barakambeyale7207 3 дня назад

    Binafsi matokeo yameniuma lakin najipa nguvu now days at least tume improve pakubwa sana kuna mambo yamebadilika sana uwanjani kesho yetu iko vizur sana

  • @jumakhamis4077
    @jumakhamis4077 3 дня назад

    Ifikie basi makosa kila mechi yanatuumiza sana kukosea kwenye mpira ni kitu cha kawaida lakini kwetu ni makubwa sana na yanatuumiza roho zetu kikubwa wacheza wengi si wa ushindani kwenye timu yetu hongera sana Amad Diaro tungekuwa na wachezaji watatu kama huyu kijana tungekuwa mbali na tungetisha ,timu zote kwa sasa zinaona mahari pa kupata point ni Man U

  • @Abel-b3m
    @Abel-b3m 3 дня назад

    Naomba mtangazaj tuwekee namba Yako hapo tukusapot...like upate kiti kizur na vingine...na kubal sana Kaz Yako..asant

  • @hashimabdulrahman4532
    @hashimabdulrahman4532 3 дня назад

    Kocha saiv anatakiwa awe na kikosi cha Uhakika Rotation bas inatosha sasa halaf wale wachezaj kama kina Mount alishawapa nafasi ya kutosha bado hawajaonesha kwasasa asiwape nafas rabda gem tuwe tumeshashinda rahis halaf why Casemiro hamtumii sana Mm naona anaubora wake sana kwasasa timu ilivyofikia kama atampanga na Ugarte timu itakua Solid sana haitoruhusu Chance za kijinga kushambuliwa Than Why asijaribu pia kuwapa Rotation Chipkiz kama anapenda Rotation ni vyema akawajaribu hata kina Amas Chido huenda wakaonesha chochote kitu

  • @amilyabdu1563
    @amilyabdu1563 3 дня назад

    Hapo Kwenye Dalot Kaka Dah... Antufelosha Sikuizi Mipira Ya Mwisho

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 3 дня назад

    Kikubwa ni kutokata tamaa ndugu timu inaeleweka inavyocheza sijal kuhusu matokeo

  • @Officialsoso887
    @Officialsoso887 4 дня назад

    Tayri uko tushapigwa 1 tena makosa ni yale yale kona 😅😅

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 4 дня назад

    Umekosea kikosi Onana yoro Martinez De legt Urgent Maino Amadi dalot bruno garnacho haujland

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 4 дня назад

    Tim yangu naomba iimarike tuu nimeteseka sana

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 4 дня назад

    Man 2-1 not

  • @MohamedAli-c9f1t
    @MohamedAli-c9f1t 5 дней назад

    Wale hio isiwe shida, kwani kulakocha ansistim ambao anakuja nauhakika wakupatia points, tusiwasimamishe wachezaji bado mapema.❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😂

  • @02boysmusic12
    @02boysmusic12 5 дней назад

    Ninamatumaini tukikutana nao lazima watu juwe

  • @BennyCrisanto
    @BennyCrisanto 5 дней назад

    Amekosea wazoni kochi lakini tuko imara...na dalot atoke tu

  • @AllyMummed
    @AllyMummed 5 дней назад

    Rashiford ni kirusi bro pia anachangia tupate matokeo mabovu

  • @amilyabdu1563
    @amilyabdu1563 5 дней назад

    Umemsaha Rashford Alivyoingia Na Kutoonekana Zaid Ya Kuja Nyuma Na Kusababisha Kona Tukafungwa 2nd Gool Why Asikae Nje Hata Mech Tatu Labda Ataona Aibu

    • @united_tza
      @united_tza 5 дней назад

      Mkuu uneongea jambo la msingi. Nimelisema pia lakini hujaaikiliza vema

  • @barakambeyale7207
    @barakambeyale7207 5 дней назад

    Coming days jitaidi kukusanya na maoni ya watu wengine mnaweza kuwa ata wawili kwenye kipaza Ili kuongeza radha

    • @united_tza
      @united_tza 5 дней назад

      We will get there mkuu. Soon. I promise you

  • @barakambeyale7207
    @barakambeyale7207 5 дней назад

    Am happy unaongea uharisia sana keep it up