Patrick Donge
Patrick Donge
  • Видео 19
  • Просмотров 33 495
THAMANI KUMI ZA MWL WA KWAYA
Kumfahamu mwalimu wa Kwaya kiundani na thamani yake
Просмотров: 134

Видео

Mazoezi kwa waimbaji binafsi part 1
Просмотров 2312 года назад
Mazoezi maalumu kwa ajili ya waimbaji binafsi na waimbaji wa muziki usio wa kanisani.fanya mazoezi haya mara tatu kwa siku ukiweza.
Jinsi ya kuimba Sauti za Juu mazoezi
Просмотров 5 тыс.2 года назад
Fanya mazoezi haya kila wakati, usilazimishe kama ukiona umefikia mwisho wa sauti yako. ukifanya mara kwa mara itakupa mabadiriko chanya.
JINSI YA KUIMBA SAUTI ZA CHINI SANA
Просмотров 2 тыс.2 года назад
Fanya mazoezi haya upate uwezo wa kuimba funguo za chini sana kuliko kawaida.
KUTENGENEZA UWEZO WA MAPAFU KUKAA NA HEWA WAKATI WA KUIMBA
Просмотров 2492 года назад
Mazoezi haya ni muhimu kama utazingatia, na kufanya kiila mara.
ATHARI KWA vocal cords
Просмотров 2352 года назад
Atahri unazoweza kukutana nazo katika uimbaji unapokuwa na ulaji mbaya au matumizi mabaya ya sauti. hii itakueleza pia pale unapottaka kufahamu jinsi sauti inavyopatikana na nini kinahusika.
MAZOEZI YA KABLA YA KUIMBA PART 2
Просмотров 3842 года назад
HUU ni mwendelezo wa mazoezi niliyoelekeza katika sehemu ya kwanza. Unaweza kuchagua mazoezi machache kati ya haya na kuyafanya kikamilifu bila kukosea. Sehemu ya pili hii ni muhimu uwe na kinanda au kifaa chochote cha muziki ili kukidhi mahitaji ya mazoezi yenyewe.
Zoezi la haraka kuandaa sauti
Просмотров 11 тыс.2 года назад
Jiandae kabla hujaanza kuimba ni kwa faida ya afya ya sauti na uimbaji wako.
Kutengeneza uwezo wa kukaa na hewa kwenye mapafu
Просмотров 7442 года назад
Tatizo la pumzi ni la watu wengi sana hasa wakati wa kuimba nyimbo za kuvuta. Je? wewe pia ni mhanga wa shida hii? Zoezi hili litaondoa tatizo hilo kwako.
Tunapaswa kuhemea wapi wakati wa kuimba
Просмотров 8062 года назад
Jifunze namna ya kuhema kupitia puani na mdomoni wakati unaimba
JINSI YA KUFUNGUA SAUTI YAKO
Просмотров 4,9 тыс.2 года назад
JINSI YA KUFUNGUA SAUTI YAKO
Wimbo wangu wa Kwanza kutunga
Просмотров 2062 года назад
Hii ni mahususi kwa wanafunzi wanaojifunza utunzi au uandishi wa nyimbo. Utajifunza nini ufanye katika kuanzdika wimbo wako wa kwanza kabisa.
Head tone &chest tone
Просмотров 1902 года назад
Head tone na chest
Utamshi wa Maneno
Просмотров 4152 года назад
Utamshi wa Maneno
Sababu za kuwa na sauti nzuri ya uimbaji
Просмотров 1,3 тыс.2 года назад
Nini unatakiwa kufanya ili uwe na sauti nzuri yenye ubora. Subscribe channel hii utapata masomo mengi ya uimbaji.
beginner version in C major piano practice
Просмотров 583 года назад
beginner version in C major piano practice
NITUME MIMI .. KIGOGO
Просмотров 3275 лет назад
NITUME MIMI .. KIGOGO
Mazoezi kabla ya kuimba part 1
Просмотров 3,5 тыс.5 лет назад
Mazoezi kabla ya kuimba part 1
Afya ya sauti katika uimbaji
Просмотров 1,8 тыс.5 лет назад
Afya ya sauti katika uimbaji

Комментарии