THEE TRENDY LIFESTYLE
THEE TRENDY LIFESTYLE
  • Видео 700
  • Просмотров 5 064 159

Видео

wambo ashley and nicholas kioko badly expose kiokos sister utakoma the drak truth
Просмотров 5623 часа назад
#wamboashley #nicholaskioko #moureenngigi #ogaobinna #obinatv #demwafacebook #felicityshiru #theeplutoshow #obinnatvextra wambo ashley and nicholas kioko badly expose kiokos sister utakoma the drak truth
Wambo ashley breaks down destroys nicholas kiokos sister unafundisha mtoto vibaya
Просмотров 4 тыс.13 часов назад
#wamboashley #nicholaskioko #moureenngigi #ogaobinna #felicityshiru #demwafacebook #theeplutoshow #obinatv #obinnatv wambo ashley breaks down destroys nicholas kiokos sister unafundisha mtoto vibaya
Angry Wambo ashley destroys sister in law hii imezidi am tired the dark truth
Просмотров 6 тыс.15 часов назад
#wamboashley #moureenngigi #nicholaskioko #ogaobinna #demwafacebook #felicityshiru #obinatv #obinnatv #theeplutoshow angry wambo ashley destroys sister in law hii imezidi am tired the dark truth
shock😲 oga obinna haters overworking to finish him umetumwa the dark truth so 😢😢
Просмотров 2 тыс.17 часов назад
#ogaobinna #demwafacebook #obinatv shock😲 oga obinna haters overworking to finish him umetumwa the dark truth so 😢😢 Email marketing insurance Sell house Website hosting Ecommerce software Donate Lawyer Credit card Attorney Casino Mortgage rates Insurance quotes Personal
felicity shiru denies getting back with thee pluto the dark truth mimi sijui co parenting ni nini
Просмотров 1,4 тыс.19 часов назад
#felicityshiru #theeplutoshow #theepluto #ogaobinna #demwafacebook #moureenngigi #wamboashley #commentator254 felicity shiru denies getting back with thee pluto the dark truth mimi sijui co parenting ni nini Email marketing insurance Sell house Website hosting Ecommerce software Donate Lawyer Credit card Attorney Casino Mortgage rates Insurance quotes Personal
oga obinna responds to dem wa facebook emotional video the dark truth kukosana mtangoja 😢
Просмотров 4,1 тыс.23 часа назад
#ogaobinna #demwafacebook #obinatv oga obinna responds to dem wa facebook emotional video the dark truth kukosana mtangoja 😢 Email marketing insurance Sell house Website hosting Ecommerce software Donate Lawyer Credit card Attorney Casino Mortgage rates Insurance quotes Personal
shock😲 angry oga obinna and sister defend dem wa facebook kwanini mnamchukua so sad
Просмотров 3,7 тыс.2 часа назад
#ogaobinna #demwafacebook #obinatv shock😲 angry oga obinna and sister defend dem wa facebook kwanini mnamchukua so sad Email marketing insurance Sell house Website hosting Ecommerce software Donate Lawyer Credit card Attorney Casino Mortgage rates Insurance quotes Personal
shock😲 oga obinna breaks silence on new host and show as fans demand weekly show
Просмотров 2,9 тыс.2 часа назад
#demwafacebook #ogaobinna #obinatv #obinnatv #obinnatvextra shock😲 oga obinna breaks silence on new host and show as fans demand weekly show
shock😲 dem wa facebook fans breathe fire acheni kupea oga obinna pressure so sad
Просмотров 1,9 тыс.2 часа назад
#ogaobinnatv #demwafacebook #obinatv #obinnatv #obinnatvextra shock😲 dem wa facebook fans breathe fire acheni kupea oga obinna pressure so sad Email marketing insurance Sell house Website hosting Ecommerce software Donate Lawyer Credit card Attorney Casino Mortgage rates Insurance quotes Personal
shock😲 angry dem wa facebook fans warn oga obinna new kienyeji hautareplace bebi
Просмотров 1,5 тыс.4 часа назад
#ogaobinna #demwafacebook #obinatv shock😲 angry dem wa facebook fans warn oga obinna new kienyeji hautareplace bebi
shock😲 oga obinna new kienyeji causes fans to go crazy msimuingilie aki sparking reaction
Просмотров 2,3 тыс.4 часа назад
#demwafacebook #ogaobinna #obinatv #obinnatv shock😲 oga obinna new kienyeji causes fans to go crazy msimuingilie aki sparking reaction
Wambo ashley breaks silence on hardships before kioko sikujua the dark truth
Просмотров 1,7 тыс.4 часа назад
#wamboashley #nicholaskioko #moureenngigi #ogaobinna #demwafacebook #obinatv #obinnatv #obinnatvextra wambo ashley breaks silence on hardships before kioko sikujua the dark truth
shock😲 angry oga obinna sister breathes fire defends dem wa facebook so 😢😢
Просмотров 4,7 тыс.4 часа назад
shock😲 angry oga obinna sister breathes fire defends dem wa facebook so 😢😢
Wambo ashley and kioko heartbroken breaks silence on fake friends the dark truth so 😢
Просмотров 26 тыс.7 часов назад
Wambo ashley and kioko heartbroken breaks silence on fake friends the dark truth so 😢
shock😲 angry oga obinna breathes fire defends dem wa facebook leave her alone 😢😢
Просмотров 12 тыс.7 часов назад
shock😲 angry oga obinna breathes fire defends dem wa facebook leave her alone 😢😢
Moureen ngigi heartbroken after wambo ashley fans attack her the dark truth
Просмотров 2 тыс.7 часов назад
Moureen ngigi heartbroken after wambo ashley fans attack her the dark truth
Mungai eve breaks down in tears trevor badly opens up the dark truth aliniacha bila kitu
Просмотров 1,9 тыс.7 часов назад
Mungai eve breaks down in tears trevor badly opens up the dark truth aliniacha bila kitu
total chaos: dem wa facebook breaks silence on fake friends and haters the dark truth so 😢😢
Просмотров 2,1 тыс.9 часов назад
total chaos: dem wa facebook breaks silence on fake friends and haters the dark truth so 😢😢
shock😲 yy comedian announces breakup with noela tulikosana the dark truth so sad
Просмотров 1,6 тыс.9 часов назад
shock😲 yy comedian announces breakup with noela tulikosana the dark truth so sad
Mylee staicey breaks down in tears fans beg her to re unite with dorea chege the dark truth
Просмотров 2,2 тыс.9 часов назад
Mylee staicey breaks down in tears fans beg her to re unite with dorea chege the dark truth
Dorea chege reunite with Mylee staicey fans beg msikosane the dark truth sparks reaction
Просмотров 20 тыс.9 часов назад
Dorea chege reunite with Mylee staicey fans beg msikosane the dark truth sparks reaction
Dorea chege blasts ruih family maureen pia utashika mimba if you dont unfollow me!
Просмотров 18 тыс.9 часов назад
Dorea chege blasts ruih family maureen pia utashika mimba if you dont unfollow me!
Oga obinna brother lesley breaks big news on weekly show inarudi ama? sparking reaction
Просмотров 6 тыс.12 часов назад
Oga obinna brother lesley breaks big news on weekly show inarudi ama? sparking reaction
shock😲 ogaobinna spotted caring for a street baby acha kulia causes total standstill so 😢😢
Просмотров 1,1 тыс.12 часов назад
shock😲 ogaobinna spotted caring for a street baby acha kulia causes total standstill so 😢😢
Total chaos: shiquo wa hiistyle exposed by winnie njenga mlinifukuza the dark truth
Просмотров 1,2 тыс.12 часов назад
Total chaos: shiquo wa hiistyle exposed by winnie njenga mlinifukuza the dark truth
Dorea chege announces pregnancy with dj dibul baby wendo amefika the dark truth
Просмотров 11 тыс.12 часов назад
Dorea chege announces pregnancy with dj dibul baby wendo amefika the dark truth
total chaos: dem wa facebook fake friends are overworking so sad obinna alisema
Просмотров 3,2 тыс.12 часов назад
total chaos: dem wa facebook fake friends are overworking so sad obinna alisema
Moureen Ngigi fans question why she was not at wambo ashley birthday the dark truth
Просмотров 4,6 тыс.12 часов назад
Moureen Ngigi fans question why she was not at wambo ashley birthday the dark truth
Moureen Ngigi breaks down in tears wambo ashley fans destroy her the dark truth
Просмотров 23 тыс.14 часов назад
Moureen Ngigi breaks down in tears wambo ashley fans destroy her the dark truth

Комментарии

  • @IrineKathue
    @IrineKathue 30 секунд назад

    Ebu angalia camera vizuri we mamaa,,,buy hata kama kuna behind the scenes zenye hatujui you didn't have to kuja kwa camera kusema

  • @carolinemwongeli-k5s
    @carolinemwongeli-k5s 31 секунду назад

    That was me when i was child, ukipata akili utanyamaza, na usomeshe watoi wako bila kelele, ukiona mum hasaidiwi pia we ni mtoto wake msaidie, 😅😅😅😅😅,wakamba na wivu, let wambo a enjoy ndoa yake na hamani, rudi kwa mzee siz

  • @AnneKenya
    @AnneKenya Минуту назад

    Do not wash your dirty linen on social media, this is so embarrassing 😢

  • @marynjerimwaura5882
    @marynjerimwaura5882 4 минуты назад

    Whoever is planting this seed, you'll one day harvest it, this is not how kids are raised

  • @MaureenShisiali
    @MaureenShisiali 5 минут назад

    Lakini mbona utumie mtoto,, chunga adabu yako....

  • @serahnjeriwaithira3633
    @serahnjeriwaithira3633 6 минут назад

    Wewe mama wewe wambo Ashley ako n his own family ❤️ so km mtoto n wako unafaa kujitegemea mtoto c wa kioko n wako

  • @delailahsarai1175
    @delailahsarai1175 7 минут назад

    Families always have issues.kioko is a wise person

  • @shanicemumbi
    @shanicemumbi 7 минут назад

    kwani Tracy hakumbuki ali buyiwa nguo za christmas napia vile Wambo alienda shags sialibaiwa nguo na Wambo akasema najua Jescca anaeza vanguo za nguu lakini tracy lazima ni rudi soko

  • @UrbanusMutua-b2q
    @UrbanusMutua-b2q 7 минут назад

    That's too bad kioko acha kiburi

  • @ceciliaedward2043
    @ceciliaedward2043 8 минут назад

    Weee mama koma kioko amejengea mamake kwenda na huko

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 9 минут назад

    Mambo ya familia ni ngumu but at this point ,mngesolve to behind social media jamani weeh!

  • @elvinzihuramyezihuramye3939
    @elvinzihuramyezihuramye3939 9 минут назад

    In families, we all have the likes of such relatives and siblings. The day they ask you for money and only for once you say no, i have nothing for now' then hell breaks loose. Sister, you have baby daddy, leave Kioko alone. Kabi Wa Jesus, faced the same backlash from his own sister on social media, and blamed Milly wa Jesus. Relatives, dont think that by airing family dirty linen on social media, will bring down your own, who have worked hard to achieve goals and fun base. Hence, Kabi has continued to thrive and Kioko will thrive too. Only those with ungrateful relatives like this his sister, will empathise with Kioko and Wambo Astley. Nimesema, imenitoka.

  • @margretEmulemu
    @margretEmulemu 14 минут назад

    Mumeanza story Kama ya Martha na sister ake

  • @eddahmzee5237
    @eddahmzee5237 14 минут назад

    Siwezi tetea mtu kwa sababu kuna watu wakifanikiwa huwa wanasahau mahali wametoka na hata kuangalia wazazi wao 9:34 hawezi tumeona watu kama hao

  • @lilianmutunga924
    @lilianmutunga924 15 минут назад

    Wee mama mzee mwenye alikuzalisha ako wapi wachana na kioko enda ufanye kazi kwani kioko alikuoa

  • @princessdoryne35
    @princessdoryne35 15 минут назад

    Kwani kioko ndio baba hao watoto ama

  • @benardinenzisa1560
    @benardinenzisa1560 16 минут назад

    Uyu wifi inamsubua sana sasa unafikiri utasaidika na nini uku online

  • @Stellar_ke
    @Stellar_ke 16 минут назад

    Matako Chapo, no hips ...just brown skin (bleached) and a head that is balding...😊 Wambo is overrated 🤣🤣🤣Si heri DWF at least ana shape na roho safi.

  • @Stellar_ke
    @Stellar_ke 16 минут назад

    Matako Chapo, no hips ...just brown skin (bleached) and a head that is balding...😊 Wambo is overrated 🤣🤣🤣Si heri DWF at least ana shape na roho safi.

  • @lewnorahwagude1613
    @lewnorahwagude1613 18 минут назад

    Wambo na kioko mheshimu mama kioko

  • @DomiizEsther
    @DomiizEsther 18 минут назад

    Ww kama big sister instead of kumuanika social media si ungemuita mkaongea kama siz na bro, hizi ni story za familia. TUMIA AKILI

  • @VirginiaMaruti-yq6hs
    @VirginiaMaruti-yq6hs 18 минут назад

    Mtegemea Cha nduguye hufa maskini 😏😏

  • @lewnorahwagude1613
    @lewnorahwagude1613 19 минут назад

    Mie nilishndwa mbona kioko na wambo wanaenda shags usiku kumbe hawaelewani

  • @sylviasharonchebet7684
    @sylviasharonchebet7684 20 минут назад

    The sister makes sence Esp if anaongea ukweli

  • @edwinahmariaria382
    @edwinahmariaria382 21 минуту назад

    Na hii story anapeana wapi tuende tumsalimie kidogo

  • @lewnorahwagude1613
    @lewnorahwagude1613 22 минуты назад

    Sitatea akina kiokos but mbona uchukue mtoto wa mtu for that long na usimnunulie ata pencil....

  • @ruthmueni-cz7ye
    @ruthmueni-cz7ye 23 минуты назад

    Kwani kioko ni babako akulipie shule simama ko akuje Saudi kama anapesa

  • @elizabethwanjiru5139
    @elizabethwanjiru5139 23 минуты назад

    Inlaws wanaeza uwa mtu aki mtu akiwa uhai

  • @CarolineWambura-r2p
    @CarolineWambura-r2p 25 минут назад

    For the upcoming RUclipsrs nipitie nikupitie,tupitiane❤❤

  • @SheeMaryam.M
    @SheeMaryam.M 27 минут назад

    From today na nyinyi mkome kutetea mtu , juu you only see what they what u to see behind the scenes and camera , mambo ni VULAI 😂😂 mm nashukuru kutukana mtu, it was never be me, kutetea mtu, it was never be me.. mm siku zote ni MPENZI MTAZAMAJI 😅

  • @carolinec254
    @carolinec254 28 минут назад

    Wivu itawaua aki. Mali ya kioko ni yake na bibi na watoto. Tafuta yako

  • @treasureesther8446
    @treasureesther8446 29 минут назад

    Why can't pple work wawache kutengemea there siblings surely

  • @lucyngaine8752
    @lucyngaine8752 29 минут назад

    Sister in-law 🤣🤣🤣🤣😂pesa wewe .

  • @JaneWanja-op7mu
    @JaneWanja-op7mu 29 минут назад

    Kioko anafaa kuheshimu mamake kwa Hana akili

  • @NAYABAHATI
    @NAYABAHATI 34 минуты назад

    Huyu ni wivu naa uchawi inamsumbua ,,,huyu anaweza endea uchawi aroge kioko na wambo ,,,kwani kioko ni bwana yako umbwa hii fanya kazi ngombe Wewe

    • @lilianmutunga924
      @lilianmutunga924 10 минут назад

      Sikufichi hata nimefikiria hivo kioko hats anafaa kua careful sana huyu atawaroga

  • @cosmaskivuva6980
    @cosmaskivuva6980 35 минут назад

    We mwanamke fanya kazi na uachane na familia ya ndugu yako,,,am sure kioko hangekua na pesa hungekua na hii kelele yote,,,hii ni wivu tu

  • @gachericatherine
    @gachericatherine 35 минут назад

    Wambo.dont respond kabisa

  • @hannahrhodah2018
    @hannahrhodah2018 38 минут назад

    This is foolishness of the highest level, who brings family issues kwa social media😮, what next after kuanika family huku?

  • @judith-ed7kq
    @judith-ed7kq 39 минут назад

    Fanya kazi mamaa Wacha umbea

  • @hildamoses8189
    @hildamoses8189 39 минут назад

    Ulizalia kioko hama kioko alikuandikia application umzalia bona huoni good things umefanya

  • @ChristineKyalo-zb3sh
    @ChristineKyalo-zb3sh 39 минут назад

    Kioko mind ur own business, wambo and the kids, wachana na mamako na uyo jane, watakutafuta wenyewe

  • @totolamama9044
    @totolamama9044 40 минут назад

    tafuteni pesa tafuteni pesa nasemaaa tafuteni pesa muache wivu ati muache nini wivuuuu. The Kioko's wangekuwa hawana pesa hii issue haingekuwa again huyu mama angekuwa na dooh peace ingekuwa so the thing is tafuta pesa huwachane the Kioko's juu unataka asurvive aje bila dooh si utafute zako mamaaah, kwani kuna shida ukitafuta zako, bidii ya mtu ndio inakukasirisha aiih

  • @JacklineGesare-b1f
    @JacklineGesare-b1f 40 минут назад

    Lakini wewe unataka usadiwe Kwa nini uanike bro yk social media

  • @ElizabethKitonga-g2f
    @ElizabethKitonga-g2f 40 минут назад

    Zenye ulikuwa wavaa photo shoot ulinunuliwa Na mamako kamjinga ww

  • @AnnWairimo-zx5kd
    @AnnWairimo-zx5kd 41 минуту назад

    Wacha wivu kumbafu hii Fanya kazi saitani

  • @ChristineKyalo-zb3sh
    @ChristineKyalo-zb3sh 41 минуту назад

    Like daughter like mother, kwani kioko ni babako

  • @evankombo3170
    @evankombo3170 43 минуты назад

    Ulizalia nani, kila mtu abebe mzigo wake mamaa. Kila mtu ana responsibility zake zio kubebeshana mizigo

  • @ChristineKyalo-zb3sh
    @ChristineKyalo-zb3sh 44 минуты назад

    Wewe ni fala sana

  • @Nellieblessing5105
    @Nellieblessing5105 44 минуты назад

    But vlogmas 4 walikuwa ushago wote na akina Steve na judy