- Видео 40
- Просмотров 220 198
Etheline platinum Entertainment
Добавлен 10 июл 2014
Free music learning channel #Tanzania #free #freemusic #musiclearning #music #Guiter #piano #chords #musicchords music theory #musicTheory staff notations #StaffNotations
Видео
Major key A, mshiko Rahisi kwenye piano.
Просмотров 4442 года назад
tunaweza kuona key zote hapa pamoja na mishiko mingine. usiache kutoa maono yako
njia Rahisi ya ku tune gitaa lako,
Просмотров 3552 года назад
hapa utajifunza njia Rahisi ya kwanza ya ku tune gitaa lako, ingiw ujionee mwenyewe, usaisahu kushare na kutoa maono.
tujifunze kwa pamoja ,kuzijua chord tatu za msingi katika mziki
Просмотров 1582 года назад
kuna wakati tutajifunza kwa kutumia location Kama hizi tukiwa na hadhira pia. jifunze mziki unisaidie.
G CLEF katika STAFF, jifunze zaidi.
Просмотров 2022 года назад
tunaendelea kujifunza taratibu vitambulisho vya sauti. share na wengine masomo haya.
NEW guiter lesson! key invention, angalia mishiko mbalimbali kwenye gitaa.
Просмотров 8974 года назад
somo zuri sana ambalo litakusaidia kujua namna mishiko mbalimbali inapatikana na kuifanyia mazoezi, usiache kuangalia itakusaidia @sherehelive @mthaminimtambue.
MPYA!! HUU NDIO MPANGILIO WA MSIMU MPYA WA KUJIFUNZA MZIKI...
Просмотров 5204 года назад
jiunge na group letu la whatsaap kwaajiri ya kujifunza na kutoa maoni ya kina zaidi. chat.whatsapp.com/CATmxgkaCE99Az9IQhx4S9 hii ndio link ambayo uki click unajiunga kwenye group letu la whatsaap. hii ni kwaajiri ya kujifunza tuu.
njia RAHISI ya kuchambua nyuzi kwenye gitaa, #TAFUTA KEY#
Просмотров 4,7 тыс.4 года назад
Video hii inatoa jibu kwa mtazamaji wetu ambaye yeye alitaka kujua jinsi ya kuchambua nyuzi kwenye gitaa, nae ni @ferdnanda nyobemuwuzi hivyo natoa wito kama awe unataka kitu chochote tujifunze wote karibu kwa maoni pia.@Sherehe live@mtambuemthamini@
MINOR TRIAD AND RELATIVE MINOR
Просмотров 1,1 тыс.4 года назад
somo ili ni maoni ya watazamaji wetu ambao walipendekeza, ni somo zuri na linalojenga kimuziki.
TONIC TRIADS KIUNDANI ZAIDI #D-MAJOR
Просмотров 2,1 тыс.4 года назад
#D_MAJOR, #TONIC_TRIADS #MUSIC, #MUZIKI, #ETHELINE, #DARASA, #SHEREHE_LIVE,
jinsi ya kutumia chord tatu kupiga nyimbo mbalimbali, (Utukufu na Heshima ya John Lisu) PT 1 KEY C
Просмотров 36 тыс.4 года назад
@ethelineplatinumentertainment @sherehelive @DarCalvary @MtambueMthamini @mtambuemthamini #JifunzeMziki, #Etheline #EthelinePlatnumsEntertainment #Chord_C #C_major
SOMO LIMENOGA!!MALIZIA scale ya Key F&G..!
Просмотров 7395 лет назад
Masomom haya ni endelevu na pia yanasaidia kuongeza ufahamu wako, walimu tutakuwa nao wengi wenye mambo mazuri ya kujifunza. karibu
TAZAMA jinsi ya KUPIGA SCALE ya key# D na key# E, kwa njia rahisi.
Просмотров 14 тыс.5 лет назад
Bado tunaendelea kuona jinsi ya kuunda scale ya key zote, na leo tupo scale ya key D&E ambazo anatufundisha mwalimu Ahazi kalongoti. usiache kumualika mwingine kutazama na kujifunza. bado tutaendelea na key# F& G.
HIVII NDIO JINSI YA KUPIGA SCALE YA #C NA #A,
Просмотров 2,4 тыс.5 лет назад
Mwalimu wa leo ni Ahazi kalongoti , atatufundisha ngazi (scale) zote jinsi zinavyotengenezwa na fomula yake pia.
Fahamu kuhusu TONIC TRIAD na majina ya kila NOTE kuanzia A-G .
Просмотров 8445 лет назад
Fahamu kuhusu TONIC TRIAD na majina ya kila NOTE kuanzia A-G .
KEY SIGNATURE katika Muziki! JE? unataka kuzijua?? tizama hapa.
Просмотров 1,6 тыс.5 лет назад
KEY SIGNATURE katika Muziki! JE? unataka kuzijua?? tizama hapa.
somo la OCTAVES,SHARP#, FLATb,ni nini katika MUZIKIi?na zinaandikwaje?
Просмотров 3,2 тыс.5 лет назад
somo la OCTAVES,SHARP#, FLATb,ni nini katika MUZIKIi?na zinaandikwaje?
Jinsi ya kupiga key C kwenye piano ,USIKOSE UONDO HUU!!
Просмотров 14 тыс.5 лет назад
Jinsi ya kupiga key C kwenye piano ,USIKOSE UONDO HUU!!
Staff notation part 2,#8 ,G clef, F clef, C clef, hii sio ya kukosa!!
Просмотров 9305 лет назад
Staff notation part 2,#8 ,G clef, F clef, C clef, hii sio ya kukosa!!
STAFF NOTATION PART 1, vitambulisho vya kwenye staff ..#7
Просмотров 1,1 тыс.5 лет назад
STAFF NOTATION PART 1, vitambulisho vya kwenye staff ..#7
Tanzania hair style, try this! Am sure this is good for you!
Просмотров 5566 лет назад
Tanzania hair style, try this! Am sure this is good for you!
AFRICAN BRIDAL HAIR STYLE!! #do you want to learn more?
Просмотров 196 лет назад
AFRICAN BRIDAL HAIR STYLE!! #do you want to learn more?
USHAWAHI ONA KEKI YA TIKITI MAJI?? Watoto wafurahi baada ya kuona..
Просмотров 1576 лет назад
USHAWAHI ONA KEKI YA TIKITI MAJI?? Watoto wafurahi baada ya kuona..
Alama Nyepesi Za Wakati katika Muziki #4 Nadharia
Просмотров 9 тыс.6 лет назад
Alama Nyepesi Za Wakati katika Muziki #4 Nadharia
dada mim natakà kujifunza kunavpande nmekuwelewa kwahyo mwendelezo wake nataka niendelee
Sasa namba yako ya simu
Mwalimu m nataka unifundishe raivu
Mlipotolea wapi?
Asante sana
Iyo ni c mine
Nifanyaje niweze kuchanganya vidole kweny kinanda
Tunaomba kufahamu majina ya nyuzi na namba
Nice class
Video nyngn Iko wap
Upo vzr master ❤
Thanks ❤❤
Naomba kujua gita ni sh ngapi
Wimbo mzuri sana❤, safi ticha
Nice
Nioneshe flat
Tunaitaji nyingi kama izi
Mi nataka kujua mnazo darasa za live na mnapatikana wapi?
Mwalimu Yuko vizuri ila kuelekeza daaah ndo mtihani
Unafundisha vizur naomba namba Yako naitaji farasa lako
Naomba no zako
Good lesson. Tutaandamana mwisho.
Huyu mwalimu hafundish Ila anaelekeza yupo fasta duuhhh
Bro ni vizur pia utuambia ni nyimbo ngap ambazo unaweza piga c na uziimbe kabsa ili utusaidie SS wanafunz wako
Ubarikiwe sana dada
Pls naomba mnitafute maana sioni number zenu
bado sana jitahidi kuongeza chord kwaheri napita
Uko wapi dada
Good teacher. lhave enjoyed .
Upon mkoa Gan etherine
maneno yapungue
Samahani mm ni naomba kuuliza hivi ukijua jinsi ya jutembea na cod Tatu unaweza pig wimb wowote
Dada nitapataje mawasiliano na ww
Nimejua kitu nimekaa mwaka natafu sielei ila nimeelewa Asante sana
Nashukuru sana nime buludika kabisa
Thanks
Asante kwa masomo ya gitaa,je ninaweza kujifunza kwa njia ya mtandao mbaka nitafaulu kujuwa?
Unawezaje kushika nyuzi mbili kwa kidole cha nne mm nashindwa
Mbona hakuna masomo mengine
Kufundisha bado. Unacheza mwenyewe
Madam nimekuelewa vizuri sanaa ila ningejua sehemu nyingine ulipo tofauti na online ingekuwa poa sana ili nijifunze practical nataka nifikie angalau kwenye level nyingine
Shukrani sana wetu teacher ila ombi langu ni kwamba ungetuundia whatsapp group kama wengine wanavyofanya !
Asante mwl
Dda darasa lako n zr
Sio nyuzi ya tatu,ni uzi kwa umoja,wingi ndio nyuzi. Lakini uko vizuri kufundisha
Asante san
Tumia pointer ndefu unatuziba watazamaji wako
Unapatiana wapi mamy unifundishe kwa vitendo
Asante sana mwalimu wetu.
Kazi nzuri dadangu...unapatikana wapi