Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Chang'ombe DSM
Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu - Chang'ombe DSM
  • Видео 14
  • Просмотров 284 822

Видео

SALAMU EE MALKIA - KWAYA YA MT.MIKAELI MALAIKA MKUU PAROKIA YA CHANG'OMBE DAR ES SALAAM
Просмотров 7003 месяца назад
SALAMU EE MALAKIA ULIZALIWA PASIPOKUWA NA DHAMBI. Karibuni tumsalimu MAMA BIKIRA MARIA pamoja na kwaya ya MT. MIKAELI MALAIKA MKUU PAROKIA YA CHANG'OMBE DAR ES SALAAM
BINADAMU INAMA KICHWA/KUABUDU - KWAYA YA MT.MIKAELI MALAIKA MKUU PAROKIA YA CHANG'OMBE DAR ES SALAAM
Просмотров 5685 месяцев назад
KARIBUNI KUTAZAMA WIMBO WA KUABUDU BINADAMU INAMA KICHWA ULIOIMBWA NA KWAYA YA MT.MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE
22 SAKRAMENTI KUBWA HIYO
Просмотров 8197 месяцев назад
Ndungu zangu karibuni tumwabudu na kumheshimu Yesu Kristo
JINA MARIA - Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu Parokia ya Chang'ombe DSM Mtunzi: Fr. G. Kayetta
Просмотров 82 тыс.8 месяцев назад
JINA MARIA - Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu Parokia ya Chang'ombe DSM Mtunzi: Fr. G. Kayetta
AMRI MPYA - S. Mujwahuki. Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu, Chang'ombe.
Просмотров 7239 месяцев назад
Karibuni Tuinjilike kwa Pamoja #jumakuu #katoliki #catholicsongs #catholic #alhamiskuu
NINAKUABUDU MUNGU WANGU- Kwaya ya Mt Mikaeli Malaika Mkuu Chang'ombe DSM
Просмотров 1,8 тыс.9 месяцев назад
Wimbo huu wa NINAKUABUDU MUNGU WANGU umeimbwa na Kurekodiwa na kwaya ya Mt. MIKAELI MALAIKA MKUU-CHANG'OMBE, DSM ili kututafakarisha ukuu wa matendo ya Mungu na moyo wa Ibada... karibuni kutazama na usisahau ku-subscribe, ku-like na ku-share chanel yetu RUclips.
MAMA MARIA NI MAMA YETU- Kwaya ya Mt Mikaeli Malaika Mkuu Chang'ombe DSM(Mtunzi Aloyce Kipangula)
Просмотров 128 тыс.Год назад
MAMA MARIA NI MAMA YETU. By Aloyce Kipangula. KWAYA Mt MIKAELI PAROKIA YA CHANG'OMBE JIMBO KUU KATOLIKI DAR ES SALAAM Mama Maria ni Mama yetu, Mama maria ni mama yetu kwa sababu ameunganika na Yesu mwanaye katika kutukomboa x 2 1 Mama huyu Bikira Maria, yeye ndiye Eva mpya mnyenyekevu na mwenye huruma, mama wa Neema, Kupitia kwa mama Maria, tulimpata Mkombozi aliyekuja kutukomboa utumwani mwa s...
SALAMU MARIA - VICTOR KASANYI | KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE DSM
Просмотров 20 тыс.2 года назад
SALAMU MARIA - VICTOR KASANYI | KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE DSM
MNG'AO WA MBINGUNI | FlORIAN LUDOVICK | MT MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE,DSM
Просмотров 17 тыс.2 года назад
Ndugu, karibuni kutazama na kuinjilika wimbo unaoitwa MNG’AO WA MBINGUNI - F. Ludovick ambao ni moja ya nyimbo zilizomo kwenye albam yetu inayoitwa Mama Maria ni Mama yetu, waimbaji kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu,Chang’ombe - Dsm # Usisahau ku-like au ku-coment pia ku- subscribe channel yetu ya youtube inayoitwa Kwaya ya Mt. Mikaeli Malaika Mkuu-Chang’ombe,DSM # Mungu na akubariki. AMEN
MOYO MTUKUFU WA MWOKOZI/KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU- CHANG'OMBE, DSM
Просмотров 6 тыс.2 года назад
Wimbo huu wa moyo mtukufu wa mwokozi umeimbwa na Kurekodiwa na kwaya ya Mt. MIKAELI MALAIKA MKUU-CHANG'OMBE, DSM ili kututafakarisha ukuu moyo mtakatifu wa kristo Yesu... karibuni kutazama na usisahau ku-subscribe, ku-like na ku-share chanel yetu RUclips.
BWANA AMEJAA HURUMA
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
Ndugu zangu, tunapenda kuwaalika kutazama wimbo huu ambao dhima kuu ni 'Mungu wetu ni mwenye Huruma kwa watu wote'. Sasa basi kwa nini mimi na wewe tusipendane na kuhurumiana!!! Hivyo, karibuni sana kusikiliza, na usisahau ku - subscribe na ku-like au ku-coment na Mungu atakubariki.
EE VIUMBE KARIBUNI - TRADITIONAL | KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE DSM
Просмотров 8 тыс.2 года назад
EE VIUMBE KARIBUNI - TRADITIONAL | KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE DSM
ATUKUZWE MUNGU - TRADITIONAL | KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE DSM
Просмотров 4,6 тыс.2 года назад
ATUKUZWE MUNGU - TRADITIONAL | KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU CHANG'OMBE DSM

Комментарии