Fidia Tinga Media
Fidia Tinga Media
  • Видео 247
  • Просмотров 962 724
JAMII YAKUMBUSHWA KUTOA MISAADA KWA WAHITAJI WAKIWEMO WAFUNGWA MAGEREZANI
Askofu wa kanisa la Fire of God International madhabahu ya moto ulao Prophet Gasper Kasyupa wa jijini Mbeya akiwa ameongozana na waumini wa kanisa hilo ametoa wito kwa wananchi na waumini wa madhehebu mbalimbali nchini kujitokeza kuwasaidia watu wenye uhitaji ili kuwafariji na kuwawezesha kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Nae mkuu wa sehemu ya wanawake gereza la Ruanda Grabe Mbedule ametoa shukrani kwa kanisa Hilo na kuomba jamii isichoke kuwasaidia Wafungwa na Mahabusu walioko gerezani kwani wanamahitaji mbalimbali.
BAADHI YA WAUMINI WAMEELEZA NAMNA AMBAVYO KANISA LA MADHABAHU YA MOTO LIMEKUA LIKIWAONA WAHITAJI KWA NYAKATI TOFAUTI TOFAUTI NA KUONGEZA KUWA KANISA HILO NI KANISA LA MATE...
Просмотров: 26

Видео

MAHOJIANO NA BISHOP NYISAKE CHAULA , AELEZA JEHANAMU NA MBINGUNI KULIVYO . SEHEMU YA TATU
Просмотров 752 месяца назад
Hii ni Sehemu ya Tatu Ya Interview maalumu na Mtumishi wa Mungu Bishop NYISAKE CHAULA wa makanisa ya Shalom Gospel and Deliverance , Fatilia mwazo mpaka mwisho uweze kujua namna alivyo chukuliwa katika maono mpaka jehanamu na Kisha mbinguni . ili kupata mwendelezo wa Mahojiano haya Hakikisha Una Subscribe Channel Hii . kwa maoni na Ushauri ni 0713864447 .
MAHOJIANO NA BISHOP NYISAKE CHAULA , AELEZA JEHANAMU NA MBINGUNI KULIVYO . SEHEMU YA 2
Просмотров 542 месяца назад
Hii ni Sehemu ya Pili Ya Interview maalumu na Mtumishi wa Mungu Bishop NYISAKE CHAULA wa makanisa ya Shalom Gospel and Deliverance , Fatilia mwazo mpaka mwisho uweze kujua namna alivyo chukuliwa katika maono mpaka jehanamu na Kisha mbinguni . ili kupata mwendelezo wa Mahojiano haya Hakikisha Una Subscribe Channel Hii . kwa maoni na Ushauri ni 0713864447 .
MAHOJIANO NA BISHOP NYISAKE CHAULA , AELEZA JEHANAMU NA MBINGUNI KULIVYO . SEHEMU YA 1
Просмотров 682 месяца назад
Hii ni Sehemu ya Kwanza Ya Interview maalumu na Mtumishi wa Mungu Bishop NYISAKE CHAULA wa makanisa ya Shalom Gospel and Deliverance , Fatilia mwazo mpaka mwisho uweze kujua namna alivyo chukuliwa katika maono mpaka jehanamu na Kisha mbinguni . ili kupata mwendelezo wa Mahojiano haya Hakikisha Una Subscribe Channel Hii . kwa maoni na Ushauri ni 0713864447 .
USHUHUDA HUU UNATISHA NA KUSISIMUA SANA , UTAJUA JEHANAMU KULIVYO NA MBINGUNI KULIVYO . UPO TAYARI?
Просмотров 652 месяца назад
Hivi Karibuni nitakusogezea Ushuhuda Huu Ambao ni Maono aliyo oneshwa Mtumishi Wa Mungu Bishop Nyisake Yuda Chaula. Kwa Maoni na Ushauri Kuhusu Tinga Media ni 0713864447 . hakikisha ume subscribe channel Hii Ili Uwe wa kwanza kujionea ushuhuda Huu .
GODBLESS MWAIPAJA - ULIGHWIMWENE TATA ( official Video ) +255746918193
Просмотров 2543 месяца назад
GODBLESS MWAIPAJA NI MWINJILISTI NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA NCHINI TANZANIA, YUPO TAYARI KWA MIALIKO YA KIHUDUMA MAHALI POPOTE DUNIANI , UNAWEZA KUWASILIANA NAE KUPITIA 0746918193
GODBLESS MWAIPAJA - YAWEZEKANA ( Official Video ) +255746918193
Просмотров 7873 месяца назад
GODBLESS MWAIPAJA NI MWINJILISTI NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA NCHINI TANZANIA, YUPO TAYARI KWA MIALIKO YA KIHUDUMA MAHALI POPOTE DUNIANI , UNAWEZA KUWASILIANA NAE KUPITIA 0746918193
BISHOP NYISAKE CHAULA AKIONGOZA SIFA IBADANI KATIKA KANISA LA SHALOM GOSPEL AND DELIVERANCE HQ UYOLE
Просмотров 2003 месяца назад
BISHOP NYISAKE CHAULA AKIONGOZA SIFA IBADANI KATIKA KANISA LA SHALOM GOSPEL AND DELIVERANCE HQ UYOLE
IBADA YA HITIMISHO LA MKUTANO WA KWAYA KUU DINARI YA UYOLE MBEYA
Просмотров 963 месяца назад
IBADA YA HITIMISHO LA MKUTANO WA KWAYA KUU DINARI YA UYOLE MBEYA
MAANDAMANO UYOLE MBEYA HITIMISHO MKUTANO WA KWAYA KUU DINARI YA UYOLE KANISA LA MORAVIAN
Просмотров 1573 месяца назад
MAANDAMANO UYOLE MBEYA HITIMISHO MKUTANO WA KWAYA KUU DINARI YA UYOLE KANISA LA MORAVIAN
LUKA 15:11 TUJIFUNZE HABARI YA MWANA MPOTEVU , SOMO BY ASKOFU ELIAKIM MWAKALINGA .
Просмотров 304 месяца назад
LUKA 15:11 TUJIFUNZE HABARI YA MWANA MPOTEVU , SOMO BY ASKOFU ELIAKIM MWAKALINGA .
MWIMBAJI ATOA POVU JUU YA WAIMBAJI WANAO AHIDI KWENYE MATAMASHA NA KUTOKOMEA BILA KUONDOA NADHIRI
Просмотров 424 месяца назад
MWIMBAJI ATOA POVU JUU YA WAIMBAJI WANAO AHIDI KWENYE MATAMASHA NA KUTOKOMEA BILA KUONDOA NADHIRI
AGREY MALISELO AZINDUA ALBUM YAKE , WATU WAFURIKA KUM SUPPORT , AYUBU MWAKAMISA AMTAMKIA NENO HILI
Просмотров 994 месяца назад
AGREY MALISELO AZINDUA ALBUM YAKE , WATU WAFURIKA KUM SUPPORT , AYUBU MWAKAMISA AMTAMKIA NENO HILI
SALOME NI MLEMAVU TANGU KUZALIWA AELEZA CHANGAMOTO ZA KWENYE NYUMBA ZA KUPANGA , AOMBA ASAIDIWE HILI
Просмотров 384 месяца назад
Anaitwa Salome Msomba Kutoka Uyole Mbeya na Huyo Ni Mwanae Emmanuel, Salome anaomba Msaada Wako Kumuwezesha Kununua Nyumba Ambayo itamfanya Aepukane na Kero za Nyumba Za Kupanga ambazo Amekuwa Akizipitia Ikiwa ni Pamoja na kutolewa Vitu Baada ya Kukosa Pesa Ya Kodi , Wapo wasamalia Wema wamemchangia Na kwasasa anaupungufu wa TSH Milioni Mbili Tu . Waweza Changia Chochote Kupitia Mawasiliano Yak...
WAIMBAJI MSIPENDE KUPOKEA TU BAHASHA MJUE NA KUTOA , ASEMA MNYAKYUSA MBUNIFU
Просмотров 695 месяцев назад
TAZAMA KISHA SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI KUPATA UPDATE ZAIDI. PIA USISAHAU KU LIKE , KU SHARE NA KU COMMENT HAPO CHINI .
AYUBU MWAKAMISA AELEZA UJIO WAKE NA STYLE YA WAZEE WA MAKOTI , JE KAIGA MISSO MISONDO ?
Просмотров 585 месяцев назад
AYUBU MWAKAMISA AELEZA UJIO WAKE NA STYLE YA WAZEE WA MAKOTI , JE KAIGA MISSO MISONDO ?
GWAKISA MWANDALIMA ASHAURI WAIMBAJI KUSHIRIKIANA NA KUANDAA MIKUTANO MARA KWA MARA
Просмотров 735 месяцев назад
GWAKISA MWANDALIMA ASHAURI WAIMBAJI KUSHIRIKIANA NA KUANDAA MIKUTANO MARA KWA MARA
WAIMBAJI TUSICHAGUE MAENEO YA KUFANYA HUDUMA , BONNY MWAZEMBE AFUNGUKA
Просмотров 535 месяцев назад
WAIMBAJI TUSICHAGUE MAENEO YA KUFANYA HUDUMA , BONNY MWAZEMBE AFUNGUKA
JELLY PAUL AUPONGEZA UONGOZI WA UMOJA WA WAIMBAJI MBEYA KWA MAONO YA KUANDAA MKUTANO WA INJILI
Просмотров 745 месяцев назад
JELLY PAUL AUPONGEZA UONGOZI WA UMOJA WA WAIMBAJI MBEYA KWA MAONO YA KUANDAA MKUTANO WA INJILI
JOSHUA KYANDO AWASHAURI WAIMBAJI MIKOA MINGINE KUIGA MFANO KWA UMOJA WA WAIMBAJI MBEYA
Просмотров 495 месяцев назад
JOSHUA KYANDO AWASHAURI WAIMBAJI MIKOA MINGINE KUIGA MFANO KWA UMOJA WA WAIMBAJI MBEYA
SHANGWE LA MAPOKEZI YA WAHUBIRI KATIKA MKUTANO ULIO ANDALIWA NA UMOJA WA WAIMBAJI MBEYA
Просмотров 615 месяцев назад
SHANGWE LA MAPOKEZI YA WAHUBIRI KATIKA MKUTANO ULIO ANDALIWA NA UMOJA WA WAIMBAJI MBEYA
MC NDELWA ATEMA CHECHE JUU YA WAIMBAJI WASIO SHIRIKI MATUKIO YA WENGINE
Просмотров 405 месяцев назад
MC NDELWA ATEMA CHECHE JUU YA WAIMBAJI WASIO SHIRIKI MATUKIO YA WENGINE
JEMA MWANKUGHA AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI
Просмотров 1065 месяцев назад
JEMA MWANKUGHA AFUNGUKA YA MOYONI KUHUSU WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI
ARS STUDIO YATIMIZA MWAKA MMOJA , YAIBUA VIPAJI VIPYA , OFA YA MSIMU WA SIKUKU YATANGAZWA
Просмотров 6910 месяцев назад
ARS STUDIO YATIMIZA MWAKA MMOJA , YAIBUA VIPAJI VIPYA , OFA YA MSIMU WA SIKUKU YATANGAZWA
New challange, 🤣🤣😂 JEE UTANUNUA ...? nawewe weka Comment yako hapo 🤣🤣
Просмотров 4510 месяцев назад
New challange, 🤣🤣😂 JEE UTANUNUA ...? nawewe weka Comment yako hapo 🤣🤣
🤣😂 WATU WAVUNJIKA MBAVU HEKIMA TINGA AKIHOJIWA LIVE UKUMBINI , AMTAJA KAKAAKE FIDIA TINGA .
Просмотров 11210 месяцев назад
🤣😂 WATU WAVUNJIKA MBAVU HEKIMA TINGA AKIHOJIWA LIVE UKUMBINI , AMTAJA KAKAAKE FIDIA TINGA .
NABII KIJITI AWAONGOZA WANA NEW PENUEL CHURCH OG GOD KWENDA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA NURU ORPHANS
Просмотров 21411 месяцев назад
NABII KIJITI AWAONGOZA WANA NEW PENUEL CHURCH OG GOD KWENDA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA NURU ORPHANS
MABALOZI WA NEW PENUEL CHURCH TANZANIA WAKUTANA NA KUPANGA MENGI . NABII KIJITI AONGOZA KIKAO
Просмотров 4311 месяцев назад
MABALOZI WA NEW PENUEL CHURCH TANZANIA WAKUTANA NA KUPANGA MENGI . NABII KIJITI AONGOZA KIKAO
GAYANI MWANSASU JE AWA MCHUNGAJI ? AMTAJA HAYATI BISHOP EPHRAIM MWANSASU , ATANGAZA KUSUPPORT VIPAJI
Просмотров 105Год назад
GAYANI MWANSASU JE AWA MCHUNGAJI ? AMTAJA HAYATI BISHOP EPHRAIM MWANSASU , ATANGAZA KUSUPPORT VIPAJI
Janeth Mwani Apongeza Ushirikiano, Amtakia Mema Teresia Bundala Baada ya Uzinduzi wa Album yake ya 1
Просмотров 125Год назад
Janeth Mwani Apongeza Ushirikiano, Amtakia Mema Teresia Bundala Baada ya Uzinduzi wa Album yake ya 1

Комментарии