abul abbaas
abul abbaas
  • Видео 535
  • Просмотров 208 094

Видео

Bakhili ni Moga na Mkarimu ni Shujaa
Просмотров 604 месяца назад
Sheikh Abul Khattwab Abdallah Humeid Al-hadhramiy حفظه الله ورعاه
UCHAWI NI UKAFIRI - Wengi wanaobandika Vibango vya Uchawi ni Matapeli
Просмотров 335 месяцев назад
Sheikh Abul Khattwab Abdallah Humeid Al-hadhramiy حفظه الله ورعاه
HII NI SIKU YA KUACHWA HURU NA MOTO
Просмотров 475 месяцев назад
Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta حفظه الله ورعاه
Watu Wamezama katika Shirki
Просмотров 885 месяцев назад
Sheikh Abuu Luqman Omar حفظه الله ورعاه
Usiingize TV Ndani ya Nyumba yako - TV 📺 Itakuharibia Malezi Yako
Просмотров 7712 года назад
Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta حفظه الله ورعاه
Wajue Khawaarij - Lijue Kundi Hili Potofu na Sifa Zake - 2A
Просмотров 2222 года назад
Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Wajue Khawaarij - Lijue Kundi Hili Potofu na Sifa Zao - 2C
Просмотров 3142 года назад
Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Wajue Khawaarij - Lijue Kundi Hili Potofu na Sifa Zao - 2B
Просмотров 1822 года назад
Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Wajue Khawaarij - Lijue Kundi Hili Potofu na Sifa Zake - 1C
Просмотров 2042 года назад
Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Wajue Khawaarij - Lijue Kundi Hili Potofu na Sifa zake - 1B
Просмотров 1522 года назад
Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Wajue Khawaarij - Lijue Kundi Hili Potofu na Sifa zao - 1A
Просмотров 2292 года назад
Sheikh Abuu Nufaydah Hussein Sembe حفظه الله ورعاه
Malezi ya Watoto - A
Просмотров 4082 года назад
Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta حفظه الله ورعاه
Malezi ya Watoto - B
Просмотров 3542 года назад
Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta حفظه الله ورعاه
Nasaha Zetu na Pongezi kwa Watawala wa Nchi Yetu
Просмотров 5192 года назад
Nasaha Zetu na Pongezi kwa Watawala wa Nchi Yetu
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4A
Просмотров 1092 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4A
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4D
Просмотров 3002 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4D
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4C
Просмотров 862 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4C
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4B
Просмотров 702 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 4B
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 3A
Просмотров 582 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 3A
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 3B
Просмотров 662 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 3B
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 3C
Просмотров 762 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 3C
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 2B
Просмотров 1962 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 2B
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 2A
Просмотров 1542 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 2A
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 2C
Просмотров 1232 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 2C
Kuna Watu wa Aina Mbili Kwenye Shida na Furaha - Usiwe Yoyote Katika Hawa !
Просмотров 392 года назад
Kuna Watu wa Aina Mbili Kwenye Shida na Furaha - Usiwe Yoyote Katika Hawa !
Kwanini Haraka Haraka Ufikirie Kuwa Baadhi ya Sifa za Allah Zinafanana na Zako ??
Просмотров 422 года назад
Kwanini Haraka Haraka Ufikirie Kuwa Baadhi ya Sifa za Allah Zinafanana na Zako ??
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 1C
Просмотров 1382 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 1C
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 1B
Просмотров 1422 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 1B
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 1A
Просмотров 2592 года назад
Wajue Shia Ithnaa 'Ashariyyah - 1A

Комментарии

  • @darajanida
    @darajanida 23 дня назад

    taksiim tauhid ni bidaa dhwalala

  • @MohammedMorsi-qp5qp
    @MohammedMorsi-qp5qp Месяц назад

    Allah yupo wala hana sehemu

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 2 месяца назад

    ,mnamuukiza milioni 200 mulizeni milioni 600 za yatima kazipeleka wapi wengine makaburi yao yawaka moto kwa dhulma walidho fanya inshaallah

  • @maalimhamad1297
    @maalimhamad1297 2 месяца назад

    HUYO SIO QAASIM MAFUTA NI YULE JAMAA HUYO AITWA MUHAMMAD MAFUA

  • @DR.SAIFILLAH.5363
    @DR.SAIFILLAH.5363 2 месяца назад

    تحسبهم جميعا وقلوبهم شتى.

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 3 месяца назад

    Huyu Abdallah humeid ni mlevii kabla hujakosoa maibadhi na kuwasingizia mambo ya uwongoo kwanza rekebisheni itikadi zenu za kiyahudii hizoo mulozonazoo kwenye usalafi wenu mbwaa nyiee

  • @bm635csi
    @bm635csi 3 месяца назад

    Huyu haifai kuitwa SHEIKH, bali ni mfitina 😢

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 3 месяца назад

    😂😂😂 muongoo mzuri wewe kassim bin mafuttaa😂😂😂 hiyoo fatwa ni ya kiwahabi sio ya kiibadhi acha kudanganya watu muogope Allah 😂😂😂 daah sijaona watu waongo kama hawa wanaojiita masalafi 😂😂😂 tokea lini salafi akawa muongoo ? 😂😂 Allah anakufedhehesheni na badoo mutafedheheka sanaaa tu .hakuna hata ibadhi mmojaa anaesema kwamba asie kuwa ibadhi ni motoni kwa sababu pepo na moto ni mamlaka ambayo hayapoo kwa viumbe wala kwa maulamaaa ispokuwa ni mamlaka ya mwenyezimungu mwenyewe ndie anaejua ni nani wa peponi na ninani wa motoni 😢acha uwongoo wewe hiyoo fatwa ni yenu nyiee ya kiwahabii ambayo munasema kila asiekuwa salafi ni wamotoni 😂😂😂 acha uwongoo huoo wewe

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 4 месяца назад

    Jazakrĺah khaiilah

  • @ismailmohamed41
    @ismailmohamed41 4 месяца назад

    ALLAH AWAHIFADHI WALINGANIZI WA HAKI WA MANHAJ SALAFIYUN.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 месяца назад

    ,amewatia dhiki familia ya said janjira kawadhulum yatima zulma ndio itikadi yao

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 месяца назад

    ,Ansar hakuna suna ñi zulma tupu warejeshe haki za yatima WA marehem said janjira wakamfuñgulia kesi mjane kwa haki yake wakashinda kwa zulma hakuna asiyejua lakini Allah kajiharamishia dhulma Allah atawahumu inshaallah

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 4 месяца назад

    Yani mpaka useme we

  • @khadijerKhadijera
    @khadijerKhadijera 5 месяцев назад

    Mashaallah

  • @elyoungertec3558
    @elyoungertec3558 5 месяцев назад

    Baro baro abdalla humeid njoo nikuajiri nafasi za kazi zipo usitafute pesa kwenye mitandao

  • @abdikadirshariif5311
    @abdikadirshariif5311 5 месяцев назад

    Ewe mjahili hauja oona hadisi ya mtume kukataza mtu kumrupiya ushirki.

  • @AbuuDharry
    @AbuuDharry 5 месяцев назад

    جزاكم الله خيرا

  • @AbuuDharry
    @AbuuDharry 5 месяцев назад

    جزاك الله خيرا

    • @abulabbaas6689
      @abulabbaas6689 5 месяцев назад

      آمين و إياك يا حبيبي

  • @Mashkuramuhidini
    @Mashkuramuhidini 6 месяцев назад

    Maa shaa Allaah Tabaarakallaah

  • @Sharifuhabiby
    @Sharifuhabiby 6 месяцев назад

    We ni muongo dajjar .... Sheikh Mimi ibadhiyat ... Mbona tangu ni some sijakutana na maswala yako ya uongo acha kuchafua ummat Muhammad

  • @AbdulrahmanRoble
    @AbdulrahmanRoble 6 месяцев назад

    mtume s, a, w alikua na maupendo na umaa mbona nyinyi ni mafidhuli sana

  • @boscoboscosilas7693
    @boscoboscosilas7693 6 месяцев назад

    Mashaallah

  • @OmariirigoHoseniomari
    @OmariirigoHoseniomari 6 месяцев назад

    Hauna akili ndo mana hautoelew

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 7 месяцев назад

    mbn munakimbia mijadala na maibadhi kam kweli asa muna ushahidi na hayo munayo ongea

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 7 месяцев назад

    ww humeid 😂 huna la kusema kazi kuongea pasi na mazingatio na sauti yako kama ulio kula miraa

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 7 месяцев назад

    Haa masheikh Hawa lazima tuwe na ta hadhari nao.

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 7 месяцев назад

    Wanamtusi othman,hawa ibadhi wana kitu takiya kuficha batwil kudhihilisha hakki hata shia wanayo hiyo sahihi kabisa shekhe

    • @thuweinmassoud9062
      @thuweinmassoud9062 7 месяцев назад

      soma ww acha kufata mikumbo

    • @thuweinmassoud9062
      @thuweinmassoud9062 7 месяцев назад

      je umekaa nao hao maibadhi

    • @saidmakame8867
      @saidmakame8867 7 месяцев назад

      ​@@thuweinmassoud9062 kukaa nao ndo nn sasa. Hayo yote yapo kwenye vitabu vyaoo.... Bali wanaitakidi (ktk vitabu vyao) kuwa kila asiyekuwa Ibadhi basi huyo ni KAFIRI, na ndio maana kila mahala wanapokuepo lazma wajenge msikiti wao. Hawawezi kuswali ktk misikiti ya AHLU-SUNNA WAL-JAMAA....

    • @sefuali-kl2mz
      @sefuali-kl2mz 5 месяцев назад

      uongo uliopita mipaka kujenga msikiti iwe nongwa kwako haya kajenge kanisa tukusifie umefanya jambo jema mno

    • @bm635csi
      @bm635csi 3 месяца назад

      Kakikisha kwanza, sio uropoke! Kama maibadhi wanasema Sayyidina Othman na Ali ni makafiri, vipi ikawa wanazo hadith nyingi kutokana kwao? Nyie lengo lenu kutia fitna baina ya Waislamu kama mayahudi!

  • @jumaabdurahmani2733
    @jumaabdurahmani2733 7 месяцев назад

    We bado kielimu hata mimi huniwezi katika tafsri

  • @Zainabnoor0087-ze
    @Zainabnoor0087-ze 7 месяцев назад

    Hana jipya huyu kijukuu cha tamta jadidah,kpnd sheikh barahiyan anatetea Sunnah ww ulikua waimba qasida qasida

  • @NamulyaWanamulya
    @NamulyaWanamulya 9 месяцев назад

    Shekh salim anafaidika sana na anavuna swawabu nyingi sana kutoka kwako mana kila wakati ni kumzalilisha tu

    • @HawaMohamedi-s4p
      @HawaMohamedi-s4p 3 месяца назад

      Ata sheikh Anapata sawabu kwakutuweka banana juhu ya aswell barayyani

  • @NamulyaWanamulya
    @NamulyaWanamulya 9 месяцев назад

    Umri wa shekh Salim ni kama mzazi wako ilikupasa uumpe heshima kama mzazi: una mema Gani ya kumlipa kwa machafu unayomsema Na kumzalilisha !!!!!

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 2 месяца назад

      Nabii Musa alayhi ssalaam kalelewa ktk mikono ya firaun sasa je na nabii messa alikuwa hana heshma? Nabii Ibrahim babake mzaze kamnasihi nae hana adabu? Mtume صلي الله عليه وسلم alikuta wazee makkah na akawanasihi mkosoe bas nae mana barahiani ni babu kwa hio akikosolewa anakosewa adabu

  • @batulialmass8914
    @batulialmass8914 9 месяцев назад

    Masha Allah tabarakallah usitadhi wetu

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari 10 месяцев назад

    Allah atukubainisheni uovu wenu nyote kitu kimoja maslahi tuu

  • @hassanmbaga4169
    @hassanmbaga4169 10 месяцев назад

    Sheikh wangu nakuelewa sana❤

  • @hassanmbaga4169
    @hassanmbaga4169 10 месяцев назад

    Sheikh wangu nakuelewa sana❤

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 10 месяцев назад

    HASAAD KITU KIBAYA SANA, NYOYO ZENU ZIME JAA HASAAD WALA HAMUNA USALAFY NDANI YAKE.

  • @Abutwaibah001
    @Abutwaibah001 10 месяцев назад

    SHEIKH SALIM TWAMJUA KWA KHERI WALA HUNA HAJA KUTUJULISHA NA UPOTEVU WENU HIZBU IBLIS KWA VAAZI LA USALAFY.

  • @Abubakarhaji-cq2cq
    @Abubakarhaji-cq2cq 11 месяцев назад

    Allah amuhifadhi Abulfadhil

  • @HidayaMashaka
    @HidayaMashaka 11 месяцев назад

    Raaka mbili sawa unaiswalije iyoisghara

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 11 месяцев назад

    Dahh😂😂😂mawhab mtihan snaa

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 Год назад

    Tubia kwa hilo mafuta umezua jambo ambalo imam shafii hajalsema kwa maaan unayoileta wewe

    • @nabiljumaothman5912
      @nabiljumaothman5912 8 месяцев назад

      Lipo kwenye kitabu

    • @abubakarhussein2186
      @abubakarhussein2186 8 месяцев назад

      @@nabiljumaothman5912 sio shida kitabu asikate ibara asome ufafanuzi wa imamu l bayhki km kweli anachodai nikwel

  • @abubakarhussein2186
    @abubakarhussein2186 Год назад

    Muongoooo mafuta umemzulia uwongo imam shafiii. Mbona hukumalizia kusoma ufafanuzi wa al imam lbayhaki wakt ameeleza nini maaana ya hayo maneno palikisudiwa nini?

  • @MohammedIssa-z1k
    @MohammedIssa-z1k Год назад

    Mbona hata ww unajiita mtu wapeponi mbona hao maibadhi hawakasiriki lakini ww chuki na hasad zinakutesa mpaka huyajui unayoongea ndio nakuskia ww leo kua kuna dini ya ibadhi

  • @MohammedIssa-z1k
    @MohammedIssa-z1k Год назад

    Ama kweli kassim mafuta huna elimu kuna dini ya ibadhi kweli?umekwenda mchomo mungu kakulaani kuchukua vitabu vyakiibadhi mukaviandika baadhi yamambo ambayo hayamo kuzusha tu nakuwatia farka waislam kwa waislam

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 Год назад

    Kumjua yeye si umuhimu wanchi na manachi. Lazima yeye apambane na matendo ya ugaidi ndo atakuwa mtu wa kuaminika.

  • @nureinimohamed449
    @nureinimohamed449 Год назад

    Wananchi mweni wangalifu mambo na matendo ya ugaidi. Huyu mtu anatowa mawaidha lazima aseme ubaya na maovu ya ugaidi

  • @AhmedMussa-m7i
    @AhmedMussa-m7i Год назад

    Assalam alaikum nawausia waislamu waache maneno makali dhidi ya masheikh zetu,awe anaradd au anaradiwa,hayo maneno yatakuja kuangamiza watu fii naari jahannam.bora mkae kimya t ikiwa hamjui hakki ni ipi

  • @oman6124
    @oman6124 Год назад

    Wewe ni mungo allah atakuingiza motoni yote ulio sema hakuna moja la ukweli

  • @Superbasil-h3x
    @Superbasil-h3x Год назад

    Masalafi ni kama manyani kwenye shamba , wakipatana hula mazao na wakigombana hufuja mazao. Hawana faida kwenye hali yoyote

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah Год назад

    Hizo tauhid 3 wewe na. Mawahabi wenzako mumetowa wapi