- Видео 258
- Просмотров 138 603
Ikulu Zanzibar
Добавлен 25 ноя 2013
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 42 Utatuzi wa Changamoto za Upatikanaji wa Huduma za Afya
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 42 Utatuzi wa Changamoto za Upatikanaji wa Huduma za Afya
Просмотров: 46
Видео
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 41 Utoaji wa Elimu juu ya Matumizi Sahihi kwa mfumo wa SNR
Просмотров 832 месяца назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 41 Utoaji wa Elimu juu ya Matumizi Sahihi kwa mfumo wa SNR
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 39 Kutoa Mafunzo kwa Maafisa wa SNR Pemba
Просмотров 5203 месяца назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 39 Kutoa Mafunzo kwa Maafisa wa SNR Pemba
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 38 Maoni ya Wananchi kwa Elimu ya Matumizi Sahihi ya Mfumo waSNR
Просмотров 1854 месяца назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 38 Maoni ya Wananchi kwa Elimu ya Matumizi Sahihi ya Mfumo waSNR
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 37 Utatuzi wa Changamoto ya Upatikanaji wa Maji Safi na Salama
Просмотров 544 месяца назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 37 Utatuzi wa Changamoto ya Upatikanaji wa Maji Safi na Salama
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 36 Utatuzi wa Changamoto wa Ujenzi wa Barabara
Просмотров 244 месяца назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 36 Utatuzi wa Changamoto wa Ujenzi wa Barabara
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 35 Utatuzi wa Changamoto UMEME wa Huduma ya Umeme
Просмотров 735 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 35 Utatuzi wa Changamoto UMEME wa Huduma ya Umeme
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 34 Utatuzi wa Changamoto Upatikanaji NIDA na vyeti vya Kuzaliwa
Просмотров 925 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 34 Utatuzi wa Changamoto Upatikanaji NIDA na vyeti vya Kuzaliwa
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 33 - Utatuzi wa Changamoto - Upatikanaji wa Matibabu kwa Wananch
Просмотров 335 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 33 - Utatuzi wa Changamoto - Upatikanaji wa Matibabu kwa Wananch
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 32 - Utatuzi wa changamoto Ulipaji Fidia kupisha Ujenzi PEMBA
Просмотров 616 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 32 - Utatuzi wa changamoto Ulipaji Fidia kupisha Ujenzi PEMBA
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 31 Utatuzi wa Changamoto Upatikanaji Huduma za Mionzi PEMBA
Просмотров 1156 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 31 Utatuzi wa Changamoto Upatikanaji Huduma za Mionzi PEMBA
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 30 Utatuzi wa Changamoto Huduma ya Umeme PEMBA
Просмотров 626 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 30 Utatuzi wa Changamoto Huduma ya Umeme PEMBA
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 29 Utatuzi wa Changamoto Majaa ya Taka (DAMPO)
Просмотров 867 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 29 Utatuzi wa Changamoto Majaa ya Taka (DAMPO)
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 28 Kipindi Maalum - Maadhimisho Miaka Mitatu Siku ya SNR
Просмотров 2457 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 28 Kipindi Maalum - Maadhimisho Miaka Mitatu Siku ya SNR
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 27 Salamu za Pole Wananchi - Mhe. Rais wa Zanzibar
Просмотров 1688 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 27 Salamu za Pole Wananchi - Mhe. Rais wa Zanzibar
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 26 Utatuzi wa Changamoto za Ardhi Kamisheni ya Ardhi
Просмотров 828 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 26 Utatuzi wa Changamoto za Ardhi Kamisheni ya Ardhi
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 23 Utatuzi wa Changamoto Ukosefu wa Huduma za Umeme ZECO
Просмотров 428 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 23 Utatuzi wa Changamoto Ukosefu wa Huduma za Umeme ZECO
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 22 Elimu ya Matumizi Sahihi kwa Wananchi SNR Nyamanzi
Просмотров 448 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 22 Elimu ya Matumizi Sahihi kwa Wananchi SNR Nyamanzi
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 21 Elimu ya Matumizi Sahihi ya Mfumo wa SNR Nyamanzi
Просмотров 548 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 21 Elimu ya Matumizi Sahihi ya Mfumo wa SNR Nyamanzi
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 20 Mafanikio ya Mfumo wa Sema na Rais Mwaka 2023
Просмотров 528 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 20 Mafanikio ya Mfumo wa Sema na Rais Mwaka 2023
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 19 Utatuzi wa Changamoto Ukosefu wa Maji Safi ZAWA
Просмотров 878 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 19 Utatuzi wa Changamoto Ukosefu wa Maji Safi ZAWA
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 18 Utatuzi wa Changamoto Kutapeliwa kwa Kuahidiwa kupata kazi
Просмотров 1768 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 18 Utatuzi wa Changamoto Kutapeliwa kwa Kuahidiwa kupata kazi
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 17 Utatuzi wa Changamoto Wafanyakazi Baraza la Mji Kati
Просмотров 328 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 17 Utatuzi wa Changamoto Wafanyakazi Baraza la Mji Kati
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 16 Utatuzi wa Changamoto Hospitali ya Mnazi Mmoja
Просмотров 388 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 16 Utatuzi wa Changamoto Hospitali ya Mnazi Mmoja
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 15 Utatuzi wa Changamoto Mikopo kwa Vikundi vya Wajasiriamali
Просмотров 338 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 15 Utatuzi wa Changamoto Mikopo kwa Vikundi vya Wajasiriamali
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 14 Utatuzi wa Changamoto Pensheni na Kiinua Mgongo
Просмотров 468 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 14 Utatuzi wa Changamoto Pensheni na Kiinua Mgongo
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 13 Utatuzi wa Changamoto Mirathi WAKFU
Просмотров 328 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 13 Utatuzi wa Changamoto Mirathi WAKFU
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 12 Utatuzi wa Changamoto Miundombinu ya Barabara na Mitaro
Просмотров 2488 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 12 Utatuzi wa Changamoto Miundombinu ya Barabara na Mitaro
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 11 Utatuzi wa Changamoto Migogoro ya Ardhi PBZ - Wananchi
Просмотров 348 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 11 Utatuzi wa Changamoto Migogoro ya Ardhi PBZ - Wananchi
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 10 Utatuzi wa Changamoto ya Ucheleweshaji Mikopo ya Uwezeshaji
Просмотров 288 месяцев назад
Kipindi - Sema na Rais Mwinyi - EPS 10 Utatuzi wa Changamoto ya Ucheleweshaji Mikopo ya Uwezeshaji
Nafasi zajira zipo
Vuai Ali Viai akili yako inakudanganya yaan ZANZIBAR ikapte maslah chini ya muungano ? ......pole sana
Kipindi kidumu ili kisaidie wanyonge wasio na watetezi
Mimi nimepiga sm nikaarushiwa namba za kufatilia je nifatilie vpi tatizo langu naomba jibu
Hongeren pazur jaman
hongereni sana
Inatia. Huruma. Zanzibari mhh
Mhh. Hatari sana. Haya mambo ya. Vyama yanamtihani. Sana maama. Qurani. Utenzi wa kuteta. Muzik. Daa. Mtihani. Tusimchezee. Mola. Mpaka tulapitiliza. 😢😢😢
Nikohuku kwa waarabu naosha vyombo nimesoma madarasa. Kumi na. Mbili. Mhh
Na. Wala. Hamtosahau maama. Ukifika. Tu uchaguzi. Mtauwa. Watu
Sura zimechoka. 😂😂😂
As,aleykum Mimi naomba mtaji nifanye biashara ndogo ndogo ninawatoto4 namumewangu haliyake ni ndogosana yakiuchumi naomba msaada kiasichochote nitashkuru asante
Nyny sema na raisi mwinyi mnaubaguzi cc ktk shehia yetu tumeharibiwa na bomba la uviko 19 shehia ya gombani miaka 3 sasa hatujatatuliwa fidia yetu sema na raisi hii vp mbona ubaguzi
Barbara ameupiga msingi sana .... Hadi vichochoroni
Salama aleyku i tunaomba tulokuwa sio waajiriwa waserekali tunahangaika tunafanya kazi hatuna mikataba tunanyanyasika mishahara midogo tunakuomba muheshimwa raisi ulione hili
Kipind kizur sana kinatatuwa matatizo meng
Mzima na imara
Namkubali sana kinana
Duu kitambo
Uzima huna
Allah amfanyie wepesi Rais wetu mpendwa ❤
❤
Big up
Asalamu aleikum mie nilinunua eneo zamani shamba nikazungusha vigogo vya mnazi kuzuia eneo langu.Maeneo ya chukwani baada ya muda nikaolewa nikahamia dar baada ya muda nimerudi nikakuta eneo langu lishapimwa viwanja si chini ya viwanja 16 kwa hivo nimeanza kupeleka malalamiko sehemu husika lakini mizunguko mingi.Nilikuwa nakuomba Muheshimiwa Rais unisaidie nilipwe fidia au eneo jengine kwa sababu mpaka leo nasumbuka.Tunashukuru kuweko mfumo huu ili tusaidiwe wananchi.Kazo iendelee.
SNR hamna dhamana. Wengi tumepiga simu na tumemuandikia lakini hamna lolote . Yote ilikuwa ni geresha geresha tu. Watu wanapigwa hweli kweli na ukijaribu kuwasiliana na SNR, hamna kitu. wamepoteza pesa watu kibao katika kutafuta ajira, lakini hamna lolote.
Nilidhani hii page wenyewe walikufa
Arena filam
❤
Taarab is the in thing for many Who come from East Africa for a long time the song were heard over the radio in villages, smaller towns across the country and spread towards the whole region. The melody of taarab captivates a crowd of people. Thanks, Mohamed ali Nureini.
Hongera
I don't fully understand swahili (just yet)... but I hope to learn soon 🙌🏽 Much love, from #thediaspora in the USA. Asante 🇹🇿 🥰
Mimi Fadhil Ibrahim Amani nahisi nitachezea Young Dar Africans au KMKM hata kama mama yangu mzazi ni cuf or act wazalendo hahaha ❤😂🎉😢😮😅😊 Alhamdulillah nampenda sana Mama Samia S. HASSAN the only Queen after Queen of Englang UK pasted away Ameen please our Queen of Tanzania I do respect u the most please with a pleasure i will play Dar Young Africans as your wish madam thank you...😊😅😮😢🎉😂❤ Alhamdulillah its me Amani jearsy no 7 from small simba...❤😂🎉
Mimi fadhil ibrahim Amani nipo pamoja na wewe Dr. MH.Rais wa Zanzibar kwangu mimi wewe ni rais wangu milele Amina ya rabbi😊😊😅😮😢🎉😂
Sasa kwa nini mchukue chupa msitafute matirial ya kigae mkaanza tangu mwanzo wenyewe
Welldone 👍
Onesho zuri lakini mbona hakuna anwani ya hiyo kampuni ya CHAKO. Vilevile ingekuwa bora kutajwa hivi vitu vinapatikana wapi na kama mtu anaweza kuagizia kitu maalumu afanyiwe. Ahsante. Saleh Idris.
Dah safisana big up
I am from Pakistan today I have a big issue which I mention here in Pakistan the ahamadiyya community who consider themselves Muslim but in reality they are nonmuslim and in Pakistan they declared kafir and they have no permission to go to Holy place Makkah so ahamdiyya came to your country and create differences among Muslim and plese faraway from ahamdiyya and I requested to Mr President to don't allow ahamdiyya in your country
I am from Pakistan I have a bug issue which I mention here in Pakistan the ahamadiyya community who considered the Muslim but in reality they are nonmuslim and in Pakistan the government declared the kafir or nonmuslim he have no entry in Makkkah so my issue that they came your country and create differences among Muslim and plese you don't allow them in your country I request your Prime Minister and also Tanzania government
Umekwishaaa
Makuma
Shukrani Vijana wa Kizanzibari kuanzisha miradi Zanzibari na kuwaajiri Wazanzibari. ni mfano wa kuigwa.
Zanzibari nchi haijapata uhuru wake mpaka leo wazanzibari hawana dola yao alipotoka mwengerza ikaja ukoloni wa tanganika wasie wanafig kuuza nchi yao NA huku wanakuja kuisherekea huo ni ujinga wa hali ya juu sana
Hili Shirika la umeme Zanzibar wanatunyanyasa sana wateja wao
Sasa katika ufunguzi wa hizi nyumba siasa zimehusu nini?
Upo saw baba dah namkumbuka nipo mdog wazee wetu mnawatoa ndan mkiwauwa wengn mkivunja nyumba zao kiubabe dah hatar lakin hukujuw mwish wak upo wap
zawa hawatekelezi majukumu yao
Hongera
Kongoleeee
Jambo zuri atautangaza utalii wetu
Mawazo mazuri Mh Rais...lakini nashauri ujenzi wa barabara una contingencies nyingi kama ujenzi wa diversions na mengineyo ambayo yanaweza kuharibu miundo mbinu ya maji ikiwa yatajengwa kabla ya ujenzi wa bararabara na kutia hasara...Idea yako ya kukopa kujenga barabara ambazo pengine tungejenga kwa miaka kumi ni nzuri sana..nashauri barabara za sasa zijengwe kisasa zaidi kwani barabara pia ni moja ya vitu vinayoleta mandhari nzuri ya sehemu...Hongera sana Mh kwa utashi wako wa kusogeza maendeleo kwa haraka