- Видео 157
- Просмотров 17 924
UzimaTele TV
Танзания
Добавлен 15 дек 2018
Pentecostal Holiness Mission (PHM),
Ni Kanisa ambalo linaloongozwa katika misingi ya Kipentekoste. Kanisa la PHM - UZIMA UKONGA, lipo Jijini Dar es Salaam, Ukonga - Magereza katika eneo la Kichangani - Madukani. Kanisa linaamini juu ya Ubatizo wa Maji Mengi, Wokovu kwa wanadamu wote unaopatikana kwa kumwamini YESU KRISTO MWANA wa MUNGU aliye HAI. Na pia tunaamini juu ya ROHO MTAKATIFU mwenye Nguvu na Uweza ambaye humpatia Nguvu na Uwezo wa Kuishi maisha Matakatifu na Ushindi kila aaminiye kwa mujibu wa Ahadi za NENO LA MUNGU.
Kanisa la PHM - UZIMA UKONGA , DAR ES ALAAM lipo chini ya uangalizi wa Mchungaji Dickson Sifaeli Mbwambo na Florence S Mbwambo ambaye pia ni Askofu Msaidizi wa Jimbo - Sehemu ya Temeke.
Mungu Mkuu Kwa Utukufu Wake anawatumia watumishi wake, Kurejesha Uzima wa Mungu katika maisha ya watu walioteswa na Ibilisi shetani.
Yohana 10:10 "...Mimi nalikuja ili wawe na UZIMA, kisha wawe nao TELE"
Kwa mawasiliano: Piga +255 714 774 329 au +255 716 944 424

kukosa utii kwako ni fursa kwa mwingine part 01

Просмотров: 33
Видео
Kukosa utii kwako ni fursa kwa mwingine
Просмотров 3923 часа назад
Kukosa utii kwako ni fursa kwa mwingine
Yesu ni wathamani kuliko vitu vyote part 01
Просмотров 7619 часов назад
Yesu ni wathamani kuliko vitu vyote part 01
YESU NI WATHAMANI KULIKO VIYU VYOTE BY MAMA ASKOFU FROLENCE MBWAMBO
Просмотров 4519 часов назад
YESU NI WATHAMANI KULIKO VIYU VYOTE BY MAMA ASKOFU FROLENCE MBWAMBO
sifa moto kwenye sherehe ya vijana 2024
Просмотров 3914 дней назад
sifa moto kwenye sherehe ya vijana 2024
wakati wa kuabudu kwenye sherehe ya vijana 2024
Просмотров 5914 дней назад
wakati wa kuabudu kwenye sherehe ya vijana 2024
wimbo maalumu kwenye sherehe ya vijana 2024
Просмотров 10714 дней назад
wimbo maalumu kwenye sherehe ya vijana 2024
Usiogope unapokutana na vita by mtumishi joviani
Просмотров 44421 день назад
Usiogope unapokutana na vita by mtumishi joviani
IBADA YA KUABUDU PHM UZIMA TELE UKONGA
Просмотров 7521 день назад
IBADA YA KUABUDU PHM UZIMA TELE UKONGA
Je wewe umeacha nini by mtumishi Alex manyenye
Просмотров 2221 день назад
Je wewe umeacha nini by mtumishi Alex manyenye
Madhara ya kupenda fedha kuliko mungu
Просмотров 2728 дней назад
Madhara ya kupenda fedha kuliko mungu
TUSIWE WATU WA KUPENDA FEDHA BALI TUMPENDE MUNGU KWANZA
Просмотров 70Месяц назад
TUSIWE WATU WA KUPENDA FEDHA BALI TUMPENDE MUNGU KWANZA
Thamani ya wokovu by mtumishi Immanuel
Просмотров 50Месяц назад
Thamani ya wokovu by mtumishi Immanuel
uhusiano wa jina lako na hatima yako by pita daha
Просмотров 242 месяца назад
uhusiano wa jina lako na hatima yako by pita daha
Neno la Mungu Jumatatu ya maombi na mtumishi Ezekiel sued
Просмотров 902 месяца назад
Neno la Mungu Jumatatu ya maombi na mtumishi Ezekiel sued
KUWA MWANA NI BORA ZAIDI YA KUWA MTOTO
Просмотров 522 месяца назад
KUWA MWANA NI BORA ZAIDI YA KUWA MTOTO
UKIWA MTOTO KILA SIKU ITAKUWA VIGUMU KUSIMAMA NA MUNGU
Просмотров 1232 месяца назад
UKIWA MTOTO KILA SIKU ITAKUWA VIGUMU KUSIMAMA NA MUNGU
Mafanikio huja baada ya kushinda mitihani by Askofu Mkuu msaidizi Mbwambo
Просмотров 932 месяца назад
Mafanikio huja baada ya kushinda mitihani by Askofu Mkuu msaidizi Mbwambo
Mambo ambayo huluhusiwi kufanya ukiwa kwenye ibada
Просмотров 602 месяца назад
Mambo ambayo huluhusiwi kufanya ukiwa kwenye ibada
Amri za Mungu Zinakataza kiiba kuzini na kusema uongo na mengineyo.Ndivyo hivyo sheria za nchi zinakataza hasa wizi.
Amen! Ubarikiwe sana baba m/ askofu mkuu Rev.Dickson S.Mwambo
Amina mama ❤️ ubarikiwe
Mungu awatunze 🎉❤
Ahsante kwa somo mtumishi wa Mungu
Mungu atusaidie wapendwa
Amina mtumishi wa Mungu kazi Yako ni njema
Mungu ni mwema
Kazi nzr mbarikiwe sana watumishi wa Mungu 🎉🎉❤
Mungu awabariki kwa mkutano mzuri
Ongeren