MARKAZ AL IMAM MAALIK _UTANGE_MOMBASA🇰🇪
MARKAZ AL IMAM MAALIK _UTANGE_MOMBASA🇰🇪
  • Видео 41
  • Просмотров 7 664

Видео

KHUTBA][[ HALI YA WATU WA MOTONI ]]]
Просмотров 10012 часов назад
KHUTBA][[ HALI YA WATU WA MOTONI ]]]
UHALISIA WA NENO SALAF KATIKA SHERIA [USTADH ABU HUDHEYFA BILAAL ] ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 4416 часов назад
UHALISIA WA NENO SALAF KATIKA SHERIA [USTADH ABU HUDHEYFA BILAAL ] ALLAH AMHIFADHI
MWAZUNGUKA NA WATOTO WENU KWENYE MAGARI YENU NA WALA HAMUWAPI MANENO YA IMANI[SHEIKH ABUU NAIMAH]
Просмотров 44День назад
MWAZUNGUKA NA WATOTO WENU KWENYE MAGARI YENU NA WALA HAMUWAPI MANENO YA IMANI[SHEIKH ABUU NAIMAH]
WAFUNDISHENI WATOTO WENU IBADA YA FUNGA [[USTADH ABUU HUDHEYFA BILAL]] ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 5214 дней назад
WAFUNDISHENI WATOTO WENU IBADA YA FUNGA [[USTADH ABUU HUDHEYFA BILAL]] ALLAH AMHIFADHI
MASHARTI YA KUKUBALIWA IBADA [ USTADH ABU HUDHEYFA BILAAL ]ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 6321 день назад
MASHARTI YA KUKUBALIWA IBADA [ USTADH ABU HUDHEYFA BILAAL ]ALLAH AMHIFADHI
MAKOSA KATIKA KUJITWAHIRISHA/KUJISAFISHA [ A ] [[[USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI]]]ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 280Месяц назад
MAKOSA KATIKA KUJITWAHIRISHA/KUJISAFISHA [ A ] [[[USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI]]]ALLAH AMHIFADHI
MIONGONI MWA SIFA ZAKE ALLAH سبحانه وتعالى [[MSOMESHAJI]]USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI حفظه الله
Просмотров 116Месяц назад
MIONGONI MWA SIFA ZAKE ALLAH سبحانه وتعالى [[MSOMESHAJI]]USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI حفظه الله
WINGI SIO DALILI YA HAQI[USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI]ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 2612 месяца назад
WINGI SIO DALILI YA HAQI[USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI]ALLAH AMHIFADHI
SABABU ZA RIZKI [USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI] ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 2463 месяца назад
SABABU ZA RIZKI [USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI] ALLAH AMHIFADHI
KHUTBA,MUISLAMU KUJIPAMBA NA SIFA YA UKWELI:: Ustadh ABUL harith Ali mwinyi (ALLAH AMHIFADHI)
Просмотров 1324 месяца назад
KHUTBA,MUISLAMU KUJIPAMBA NA SIFA YA UKWELI:: Ustadh ABUL harith Ali mwinyi (ALLAH AMHIFADHI)
MUHADHARA_MANHAJ SALAF(SHEIKH SWALEH FAWZAAN:ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 3,1 тыс.4 месяца назад
MUHADHARA_MANHAJ SALAF(SHEIKH SWALEH FAWZAAN:ALLAH AMHIFADHI
MAKOSA KATIKA ITIKADI NA TAWHEED,2.Ustadh Abul HARITH Ali mwinyi(Allah AMHIFADHI)
Просмотров 2234 месяца назад
MAKOSA KATIKA ITIKADI NA TAWHEED,2.Ustadh Abul HARITH Ali mwinyi(Allah AMHIFADHI)
MAKOSA KATIKA ITIKADI NA TAWHEED.1,(ustadh ABUL harith Ali mwinyi) ALLAH AMHIFADHI
Просмотров 4294 месяца назад
MAKOSA KATIKA ITIKADI NA TAWHEED.1,(ustadh ABUL harith Ali mwinyi) ALLAH AMHIFADHI
MAKATAZO YA KUAPA KWA ASIYEKUWA ALLAH AZZAWAJALLA: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI"ALLAH AMHIFADHI"
Просмотров 1235 месяцев назад
MAKATAZO YA KUAPA KWA ASIYEKUWA ALLAH AZZAWAJALLA: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI"ALLAH AMHIFADHI"
JAMBO LA KUWAPENDA MAKAFIRI:USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI:(ALLAH AMHIFADHI)
Просмотров 2055 месяцев назад
JAMBO LA KUWAPENDA MAKAFIRI:USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI:(ALLAH AMHIFADHI)
KUFANYA ISTIHZAI/MCHEZO NA MAMBO YA DINI NI KUKUFURU:USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI(ALLAH AMHIFADHI)
Просмотров 4626 месяцев назад
KUFANYA ISTIHZAI/MCHEZO NA MAMBO YA DINI NI KUKUFURU:USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI(ALLAH AMHIFADHI)
KITENGUZI CHA NNE CHENYE KUMTOA MTU KATIKA UISLAMU:USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI(ALLAH AMHIFADHI)
Просмотров 1166 месяцев назад
KITENGUZI CHA NNE CHENYE KUMTOA MTU KATIKA UISLAMU:USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI(ALLAH AMHIFADHI)
UOVU WA MASHIA: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI {ALLAH AMUHIFADHI}
Просмотров 1436 месяцев назад
UOVU WA MASHIA: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI {ALLAH AMUHIFADHI}
ADABU YA MWENYE KWENDA KATIKA SWALA,1; USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI,,,,,,
Просмотров 496 месяцев назад
ADABU YA MWENYE KWENDA KATIKA SWALA,1; USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI,,,,,,
ADABU YA MWENYE KWENDA KATIKA SWALA.2: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI.....
Просмотров 746 месяцев назад
ADABU YA MWENYE KWENDA KATIKA SWALA.2: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI.....
NAFASI YA MWANAMKE KATIKA KUITENGENEZA JAMII 1️⃣: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI
Просмотров 616 месяцев назад
NAFASI YA MWANAMKE KATIKA KUITENGENEZA JAMII 1️⃣: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI
MAMBO YA KUJIANDAA NAYO MWAMKE ILI AITENGENEZE JAMII 2️⃣: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYIحفظه الله
Просмотров 136 месяцев назад
MAMBO YA KUJIANDAA NAYO MWAMKE ILI AITENGENEZE JAMII 2️⃣: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYIحفظه الله
KUHUKUMU KWA ISIYO KUWA SHERIA YA ALLAH سبحانه وتعالى: ustadh ABUL harith Ali mwinyiحفظه الله
Просмотров 796 месяцев назад
KUHUKUMU KWA ISIYO KUWA SHERIA YA ALLAH سبحانه وتعالى: ustadh ABUL harith Ali mwinyiحفظه الله
MIONGONI MWA ITIKADI MBOVU ZA KISUFI: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI....
Просмотров 1287 месяцев назад
MIONGONI MWA ITIKADI MBOVU ZA KISUFI: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI....
DUA ILIYO BORA NI DUA YA SIKU YA ARAFAH: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI.
Просмотров 297 месяцев назад
DUA ILIYO BORA NI DUA YA SIKU YA ARAFAH: USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI.
MAKATAZO YA KUWATUKANA NA KUWAKEJELI VIONGOZI:USTADH ABU HARITH حفظه الله.
Просмотров 337 месяцев назад
MAKATAZO YA KUWATUKANA NA KUWAKEJELI VIONGOZI:USTADH ABU HARITH حفظه الله.
FADHLA ZILIZOMO NDANI YA SIKU YA ARAFA: ustadh abul harith Ali mwinyi ALLAH AMUHIFADHI.....
Просмотров 327 месяцев назад
FADHLA ZILIZOMO NDANI YA SIKU YA ARAFA: ustadh abul harith Ali mwinyi ALLAH AMUHIFADHI.....
HAKUNA MICHANA AMBAYO UKIFANYA MATENDO MEMA ALLAH ANAYAPENDA ZAIDI KULIKO KUMI LA KWANZA DHUL-HIJJAH
Просмотров 317 месяцев назад
HAKUNA MICHANA AMBAYO UKIFANYA MATENDO MEMA ALLAH ANAYAPENDA ZAIDI KULIKO KUMI LA KWANZA DHUL-HIJJAH
MUISLAMU KUJIPAMBA NA JAMBO LA SUBRA||USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI.
Просмотров 177 месяцев назад
MUISLAMU KUJIPAMBA NA JAMBO LA SUBRA||USTADH ABUL HARITH ALI MWINYI ALLAH AMUHIFADHI.

Комментарии

  • @mudhihirisaidi7251
    @mudhihirisaidi7251 Месяц назад

    jazaakumuLlahu khayran

    • @SaidMcha
      @SaidMcha 28 дней назад

      Allah alulipe khery

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 2 месяца назад

    Allaah amuhifadhi kigogo wa elimu wa hizi zama ampe umri mrefu wenye baraka na kheri ndani yake

  • @AbdulkarimMuhamed-t5w
    @AbdulkarimMuhamed-t5w 2 месяца назад

    assalam alaiakum warahmaturullahi wabarakatuh wallahi alhamdulilah ile elim nab swalallahu alaihi wassalam alizungumiziya ini iyi kabisaaa

    • @AbdulRama-u7d
      @AbdulRama-u7d 2 месяца назад

      Waalaykumu ssalaamu warahmatullaah wabarakaatuh

  • @AbdulkarimMuhamed-t5w
    @AbdulkarimMuhamed-t5w 2 месяца назад

    Aalmua 30:41

  • @SuolFat
    @SuolFat 2 месяца назад

    Washenzi mawahabi

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      Utabaki na upotevu wako ujanja mwingi mbele kiza

    • @SuolFat
      @SuolFat 2 месяца назад

      @AbdulIssa-o7e mbona makasiriko wazee wa bidaa ya tauhidi tatu

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @SuolFat jichunge babu unalala na mabidaa unaamka na bidaa arafu unajiita umeongoka kumbe, potevu lisilojijuwa kitu, ,masufi amna mjualo katika dini mngemjuwa Allah na tahweed msingewaomba wafu makaburini, ni ushirikina wa wazi kabisa, na mashekh zenu wanautetea, kusema akuna ubaya kumuomba maiti, akuombee kwa Allah subuhana llah Maliki lkudusi, ww ndo wajisifu mitu akijisifu katika usufi namuona tahira tuuh, hajui huo usufi wenyewe na itikadi zake

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад

      @SuolFat ww sufi huna ujualo kitu ni jahli murakaba, subiili msimu wa maziara ufike ukawaombe mizimu makaburini, mtu kashaoza unaenda kuomba sanamu la kaburi washirikina

    • @SuolFat
      @SuolFat 2 месяца назад

      @AbdulIssa-o7e Nyie mawahabi nyote ni wanaharamu wahuni wakubwa nyie wazee wa utatu mtakatifu acheni unafiki na uongo nguruwe pori nyie mawahabi

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 3 месяца назад

    Allaah amuhifadhi sheikh swaleh fauzan amlipe Jannah ya daraja ya juu

  • @muhammedmpendu9626
    @muhammedmpendu9626 3 месяца назад

    بارك الله فيك

  • @IsmailMohamed-p7s
    @IsmailMohamed-p7s 3 месяца назад

    جزاك الله خيرا وبارك الله فيكم

    • @musarashid-xw1qm
      @musarashid-xw1qm 3 месяца назад

      Uliotengeneza hii video allah akubaliki faudhani nampenda hafidhaulllah

  • @AbdallahMgomba-ts2ge
    @AbdallahMgomba-ts2ge 4 месяца назад

    Alhamdulillah muhadhara unafaida mnoo Allah amlipe kheyr shekh fawzan na wale wote walohusika kutuletea muhadhara

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

    Akhy nadhani ukielewa mana ya man hajji salafi ni njia ya wema waliotangulia na kikundi vitu viwili tofauti kabisa nakushereheshea kwa kauli za shekhy uthaymeen aliposema kuna man hajji salafi njia ya wema wqliotangulia ni wajibu kila muislamu kufata njia hiyo so mfumo wa mtu kupwekeka nao binafsi umeelewa shekh fawzan hajawatoa answari sunnah katika man hajji salafi ila ninyi ndo mulowatoa kwanza shekh fawzan anafatuwa yake moja hiyo ya sauti hivyo hivyo kaulizwa na kijana kwetu kuna jumuiya nyingi jumuiya ya salafi jumuiya ya jamaat tabligh, jumuhiya ya answari sunnah muhammadia, na jumuiya ya dawa na nyenginezo nifate ipi au nifate dalili ilipo na njia ya wema wwliotangulia nisijiite kwa jina lolote, shekh alimjibu tafuta jumuiya ilo sahihi na man hajji salimu ujiunge nao na usaidiane nao katika ucha mungu, na akamwambia jumuiya ya answari sunnah muhammadia ni jumuiya bora wao wqpo katika man hajji salimu wanakataza shirki wanakataza bidah ni katika mwendo wa salafi swqleh hiyo answari sunnah ndo jumuiya bora ulimwenguni kwa sasa sasa.Sasa shekh anapozungumzia man hajji salafi njia ya wema wqliotangulia hajakusudia kuwa ndo kawaradi answari sunnah, answwri sunnah ni jumuiya au tasisi lakini wwo wqnafata man hajji ya salafi swaleh, njia ya wema wwlotangulia wanacho pinga wale ndo na ww wakipinga hicho katika tawheed na katika sunnah jambo lipi la bidah answari sunnah unalopinga ww yeye apingi, wanachopinga wale ni kufanya usalafi ni wa pekee yenu wengine so salafi mbona shekh uthaymeen rahma tullah katika kitabu chake kaelezea vzr na kafafanuwa vzr man hajji salafi kila mwislamu atakae fata njia ya wema waliotangulia huyo ni salafi.ajiite asijiite madamu anafata njia hiyo tosha kusema yule ni salafi, arafu shekh fawzan anapo raddi hayo maneno wwanao pinga njia hii man hajji salafi makundi mengi ya bidah ndo wanashambulia man hajji hii mapote mengi ya dhwalala wanapambana na ahlsunnah wali jamaa sasa na shekh fawzan ajawwtoa answari sunnah katika hii man hajji ww ujamuelewa vzr kwwni answwri sunnah awwpigwi vita na kuitwa wahabi wwnatenganisha wwtu si wanapigwa vita kwa njia walinganiayo kitabu wa sunnah ngekuwa na no yako ya watssapu ningekutumia uone shekh kawwtoa answari sunnah katika ahlsunnah wal jamaa ningekutumia umsikilize

  • @ashrafuhussein224
    @ashrafuhussein224 4 месяца назад

    Hii ni Raddi khaaswa kwa Answaaru sunnah

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      😂😂shekh kazungumzia man hajji salafi swaleh njia ya wema waliotangulia ww unaleta mafuhumu yake shekh tofauti na ww ndugu ulivyo sikia shekh anataja muhajirina Wal answari, ukajuwa raadi kwa answari sunnah subuhana llah tafuta ilmu shekh fawzan ana inswaf na ulamaa wa kutegemewa so shekh wa mihemko kama ufikiliavyo anafatuwa yake kasifia answari sunnah katika man hajji wapitayo tafuta utaipata usidhani fawzan ni twalibi ilmu kama ninyi

    • @ashrafuhussein224
      @ashrafuhussein224 4 месяца назад

      @AbdulIssa-o7e Ungesikiliza huo muhaadhwara wote mpk mwisho ungenielewa kwanini nimesema hvy. Huoni yale yaliyozungumzwa ndani ndy ninyi Answaaru sunnah mnayoyazungumzia juu ya Manhaj Ssalafu? Kma kusema manhaj salafi hiki ni kikundi kma makundi mengine, wamekuja kugawa umma, ni watu wakukufurisha waislamu wenzao, ni watu wa kuwatoa ktk sunnah wale wanaokwenda kinyume nao. Mbn maneno yako wazi Akhy mcheni Allah

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      ​@@ashrafuhussein224akhy nadhani ujamuelewa shekh vzr juu ya man hajji salafi, na shekh fawzan ajawatoa answari sunnah katika hiyo man hajji

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 4 месяца назад

      @@ashrafuhussein224 Akhy shekh karadi vikundi vilivyo katika upotevu na vinavyojinasibisha uislamu vinavyo shambulia hii man haji salafi so makundi na filka dhwala zinazoshambulia ahlsuna Wal jamaa hajaradi answari sunnah, Sabu shekh fawzan hajawatoa answari sunnah katika man haji ya salafi swaleh ww ndo umemuelewa vibaya shekh anakauli yake dhidi ya hawo answari sunnah aliulizwa swali na alijibu wapo katika man haji salimu na wanakataza shirki na bidah ni katika man hajji salafi swaleh, shekh ni mlezi wa ahlsunnah Wal jamaa siyo shekh wa kwenda na mihemko ni mlezi alobaki katika ahlsuna Wal jamaa atatoaje fatuwa za ovyo.

    • @iddihamisiharuna8261
      @iddihamisiharuna8261 3 месяца назад

      Kiongozi mkuu wa Answar sunna, BARAHIYAN mwaka 2012 alisema wanaolingalia MANHAJI SALAF wamekuja na DHEHEBU JIPYA, akaandika barua kila msikit wa maanswar wasiwapokee walinganizi hao, leo hii wameona hii manhaji ni haq, wameenza nao kujiita masalafi hali yakua wapo mbali nayo kwa kua na mikhaalafa mingi, kwakua hawaijui ( KAMA ANAVYOSEMA SHEIKH FAUZANI kwenye huu muhadhara), Kwakua maanswari sunna wameanza kujita Masalafi, wakaita SALAFIA JADIDA wale wanaolingania manhaj salaf ya haq. SHEIKH FAUZANI alipouluzwa kua Kuna watu wanatuita SALAFIA JADIDA akasema HAKUNA KITU KIITWACHO SALAFIA JADIDA, MANHAJ SALAF haiwez kua mpya, ni njia ya kale, njia ya Mtume na Maswahaba. @@AbdulIssa-o7e

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 4 месяца назад

    Baarakanllah fiikum

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 4 месяца назад

    Allah akulipe khery Sheikh. Hakika comedians wameangmia san ktik hili. Wanafany san jmbo hili

  • @Johnny-u7f
    @Johnny-u7f 5 месяцев назад

    Arowakubalu

  • @fortuneringo658
    @fortuneringo658 5 месяцев назад

    Mashaallah ❤️