- Видео 672
- Просмотров 125 806
GODIUS RWEYONGEZA
Танзания
Добавлен 31 июл 2016
Mimi Godius Rweyongeza, ni mwandishi wa vitabu, mhamasishaji na mjasiriamali. Nimekuwa nikiandika tangu mwaka 2016.
Unaweza kusoma makala zangu kupitia tovuti hii
songambeleblog.co.tz
Huku huwa naandika makala mbili kila siku.
Tangu zamani sana nilikuwa na ndoto ya kuandika na kuwa mwandishi. Mpaka sasa hivi nimeweza kuandika vitabu zaidi ya kumi.
Vitabu vyangu ni pamoja na
1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
2. JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO
3. NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA
4. MAISHA NI FURSA: ZIBEBE ZIKUBEBE
5. JINSI YA KUWEKA AKIBA NA KUANZA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE
Unaweza kuwasiliana naGodius Rweyongeza kupitia whatsap/sms/Simu 0755848391
For booking: songambele.smb@gmail.com

Maswali Mawili Muhimu Unayopaswa Kujiuliza Kila Siku
Maswali Mawili Muhimu Unayopaswa Kujiuliza Kila Siku
Просмотров: 68
Видео
Kitu Hiki Inaonekana Wengine Hawakifahamu Kuhusu Mwaka Mpya
Просмотров 41День назад
Kitu Hiki Inaonekana Wengine Hawakifahamu Kuhusu Mwaka Mpya
JINSI Ya Kukuza Wazo Dogo Likawa Kubwa
Просмотров 29Месяц назад
JINSI Ya Kukuza Wazo Dogo Likawa Kubwa
Ukiwa na Hiki Kitu Utakuwa ni Zaidi ya mwenye Akili Kubwa sana
Просмотров 116Месяц назад
Ukiwa na Hiki Kitu Utakuwa ni Zaidi ya mwenye Akili Kubwa sana
Aina Za Waandishi Wa Vitabu..(Utaipenda)
Просмотров 71Месяц назад
Aina Za Waandishi Wa Vitabu..(Utaipenda)
JINSI Ya Kushindwa Mabishano Yoyote Kirahisi
Просмотров 21Месяц назад
JINSI Ya Kushindwa Mabishano Yoyote Kirahisi
Ni Kwa Namna Gani Unaweza Kubobea Kwenye Kitu Unachofanya?
Просмотров 70Месяц назад
Ni Kwa Namna Gani Unaweza Kubobea Kwenye Kitu Unachofanya?
Unataka Kwenda Mbinguni Kuishi Milele Ili Ufanye Nini? Una Uhakika Utautumia umilele wako Vizuri?
Просмотров 393 месяца назад
Unataka Kwenda Mbinguni Kuishi Milele Ili Ufanye Nini? Una Uhakika Utautumia umilele wako Vizuri?
WATU 60 WALIOSHINDWA KARIBIA KWENYE KILA KITU LAKINI BADO WAKASHINDA KWA KISHINDO
Просмотров 693 месяца назад
WATU 60 WALIOSHINDWA KARIBIA KWENYE KILA KITU LAKINI BADO WAKASHINDA KWA KISHINDO
Kama Hujaanza KUFANYA Uwekezaji Huu, Anza Leo
Просмотров 1603 месяца назад
Kama Hujaanza KUFANYA Uwekezaji Huu, Anza Leo
Ni Upi ni umri sahihi wa Kuandika kitabu?
Просмотров 213 месяца назад
Ni Upi ni umri sahihi wa Kuandika kitabu?
Andika Kitabu Kinachohusu Hili Jambo Utanishukuru
Просмотров 1013 месяца назад
Andika Kitabu Kinachohusu Hili Jambo Utanishukuru
Mambo 101 Ya Kuandika Kwenye Kitabu Chako
Просмотров 793 месяца назад
Mambo 101 Ya Kuandika Kwenye Kitabu Chako
Utumie Lugha Gani Kuandika Kitabu chako? KISWAHILI AU KIINGEREZA? Jibu limepatikana
Просмотров 573 месяца назад
Utumie Lugha Gani Kuandika Kitabu chako? KISWAHILI AU KIINGEREZA? Jibu limepatikana
Jambo Muhimu LA Kuenzi Kwa Mwalimu Tunapoadhimisha Nyerere Day
Просмотров 583 месяца назад
Jambo Muhimu LA Kuenzi Kwa Mwalimu Tunapoadhimisha Nyerere Day
Unajiuliza kitabu chako Ukiandike KwaLugha ngumu au Lugha Rahisi? MAJIBU HAYA HAPA
Просмотров 323 месяца назад
Unajiuliza kitabu chako Ukiandike KwaLugha ngumu au Lugha Rahisi? MAJIBU HAYA HAPA
Elimu Yako Isiwe Kwako Tu. Unaweza Kuandika Kitabu Vizuri
Просмотров 1103 месяца назад
Elimu Yako Isiwe Kwako Tu. Unaweza Kuandika Kitabu Vizuri
Hii Ni Kw Wale Ambao Wako Bize Tu Ila Wangependa Kuandika Na KUTOA vitabu vyenye Ubora
Просмотров 623 месяца назад
Hii Ni Kw Wale Ambao Wako Bize Tu Ila Wangependa Kuandika Na KUTOA vitabu vyenye Ubora
Unawezaje Kuandika Kitabu KILA Mwaka?
Просмотров 483 месяца назад
Unawezaje Kuandika Kitabu KILA Mwaka?
jins ya kupanga kitabu chako kwenye simu
Просмотров 453 месяца назад
jins ya kupanga kitabu chako kwenye simu
Vitabu 8 vya FEDHA ambavyo kila mmoja anapaswa kusoma
Просмотров 403 месяца назад
Vitabu 8 vya FEDHA ambavyo kila mmoja anapaswa kusoma
mambo 55 ya kuzingatia kabla ya kuanzisha biashara
Просмотров 23 месяца назад
mambo 55 ya kuzingatia kabla ya kuanzisha biashara
Naomb msaad ya kwangu inafungiwa kwa mda alafu wanarudisha nataka niweke sw
Thanks
Nikishaunda group members wanaonaje
Muongeaji
Hio ni kweli kaka angu 💯
Karibu sana
Mi huwa nakosa wazo. Na jinsi ya kulikuza kuwa kitabu
Vizuri sana. Video itakayoenda hewani kesho jumanne, itakuwa inajibu hiki swali lako
@GODIUSRWEYONGEZA shukran sana nitafurahi
Kwa nn hutaji majina waandishi,inawezekana title moja ikawa na waandishi zaid ya mmoja,na kusudio la kitabu tajwa ulchosema ikawa tofaut
Kka nimekuerewa ira watsap yangu mimi kira nikijaribu wa naniambia login not available right now I don't no why?
Kwa nini kwenye mambo ya mana hamna coment?
Tuendelee kusambaza upendo. Watu watafunguka kadiri tunavyoendelea
Kaza nzuli tunaelemika sana
Kwann mm sipati code..na ni request call inagoma
Nicheki wasapu tuongee
@AKUCHEKIJE WATSPP NA WAKTI IMEGOMA ET ⁉️ GODIUSRWEYONGEZA
Nimejifunza kitu kikubwa hapa kaka Godius Rweyongeza.
2024
Safi sana
pamoja sana
Kuweka nimeelewa je kutoa tunafanyaje yaani kuamisha pesa kutoka kwenye Utt kwenda kwenye crdb Account
Shukran sana somo zuri
Nimeskiliza mara 100
Kaz mzur kak
Good boy
Naomba namba yako kaka
Kwema kaka
Umesema kweli kaka
Ni point 👍but ngonjera nyingi
Kweliy kabsa umeongea point
Mbon unaanza na manen mengi yaso husian na maada..bro yanamchosh msikilizaji na unamaliza bando
Kwema kaka
Habari kaka
Salama habari ya kwako
Asante sana nilmeanza kusoma kitabu hiki uchambuzi wako umenisaidia sana
Ofa ya kitabu kimoja bhac saba saba Morogoro
Hauna za kusomea katika sim
Hongera sana kaka, unajitahidi sana nimekufatilia kwa mda mrefu na nimejifunza mengi
Hv IT huwez xoma kam umepata f ya mathe
😢
Thanks boss
Nenda direct kwenye course unaongea sana
SI umepata unachotaka lakini?
Ahsante sana❤❤❤🎉🎉
Muda wangu wa ziada nipokuwa nasafiri zaidi uwa nisikiliza youtube channel yako nasikilza mafundisho yako mbali mbambali.
Kaka nasisi tusiojua kingereza tunasomaje vitabu Mimi nampenda ila kingereza sijui
Asante
Da iyo ya chakura ipo poa
Madini 🎉🎉
🎉🎉🎉
Thanks
oya bro Asante,, kuna kitabu chako cha mambo ya hisa nakihitaji asa sijui nakipataje??
Tuwasiliane Kwa +255 684 408 755
Wow kipo.good
Bravo. Experince beat talents
Hi
Shukrani sana kaka ezden ,ww ni mtu muhimu sana ❤
Wakola Rweyongeza,
Good
Thanks