The rapport he had with the audience!!!!!!!!!.....the honesty of his ideals and ideas he genuinely had for the Nation !!!! Mwalimu was a very rare exception on the Continent!!!
Je suis congolais! Nilijifunza kidogo kuhusu Mwalimu Nyerere. Maintenant, j'ai la chance de le découvrir en profondeur! C'était et ça restera un grand intellectuel, un grand philosophe, un grand Maitre!
Hiyo hotuba haikuwa mwaka 1969 ilikuwawaka 1995 na Mimi ni miongoni mwa watu waliompokea airport ya zamani.baadaye sokoine Mbeya ambapo alitoa madini hapo Moja kati ya hotuba nzuri kuwahi kutokea.
Inaonekana hata aliyeipost sidhani kama ameisikiliza vizuri kwani dakika 36:02 Nyerere anasema "Viongozi wanaotaka kuingia katika awamu ya tatu ya uongozi", moja kwa moja hii inaonesha ilikuwa katika vuguvugu la uchaguzi wa 1995
It is so sad All this Serious Talk as a wake up call was taken as a comedy show and people laughed SO INSANE NO WONDER TANZANIA IS MORE POOR THAN WHEN IT WAS 60years ago lack of seriousness on very important things... Kweli umaskini wa Fikra ni kitu kibaya sana
Hayati Nyerere alikuwa mwalimu, Hayati Magufuli alikuwa mwalimu da Yatupaswa kutafakari walale kwa Amani ma genius hawa Mungu alitupenda watanzania cha ajabu wema hawadumu
Acheni kumpongeza huyu mzee yeye kaifanyia nini tanganyika tokea awe raisi ni umasikini tu hadi kafa ,wacheni kumuona mungu hakufanya kitu isipokuwa kuimeza zanzibar tu
😂😂😂hapa nimechka walekezeni wa Zanziba ndo kitukindog utasikia Tanganyik
Nyerere M eya
👍👊✌️
Hii haikuwa hotuba ya 1969 bali 1995 Mbeya! Waandishi mnahitaji ku-cross check na ku-vet information yenu kabla hamja-post kwenye mitandao.
Huu ulikuwa mwaka 1995, Mimi nilimpokea airport na wakati wa hotuba ya Mwalimu Nyerere mimi nilikaa katikati ya sehemu ya eneo la kuchezea mpira
Hongera Sana kwa kumpokea Baba was Taifa
Mwaka 1969 hakukuwa na OTTU
Vividly explains the whole concept of Exploitation of the Working Class and Class structures of/in Society!!
The rapport he had with the audience!!!!!!!!!.....the honesty of his ideals and ideas he genuinely had for the Nation !!!! Mwalimu was a very rare exception on the Continent!!!
1969????
🔥🔥🔥🔥
"Ogopa Kama Ukoma" - Serious Message, People Laugh!!! Sad!
Kichwa cha Afrika.
Saws kabisa
The true son of Africa
Je suis congolais! Nilijifunza kidogo kuhusu Mwalimu Nyerere. Maintenant, j'ai la chance de le découvrir en profondeur! C'était et ça restera un grand intellectuel, un grand philosophe, un grand Maitre!
Ni viema Sana kuhifazi hutuba kama n'a hizi Mwalimu alikua sujaa kweli hongera kuleta uhuru Tanzania
Hiyo hotuba haikuwa mwaka 1969 ilikuwawaka 1995 na Mimi ni miongoni mwa watu waliompokea airport ya zamani.baadaye sokoine Mbeya ambapo alitoa madini hapo Moja kati ya hotuba nzuri kuwahi kutokea.
Binafsi mara zote nafarijika sana kuisikia sauti hii.
Lakini nafurahi zaidi kuhusu uwepo wako Yesse Mwakibete katika tukio hilo muhimu katika historia ya Nchi yetu.
Wametuchosha na usambazaji wa historia kwa kubadilisha miaka. Imebakia hao kuanza kusambaza hotuba za Mwalimu wakidai ni ya 1389.
😊 pp@@kelvinjelas3923
How 1969
Mwalimweweulikuajembe
The title is misleading. Nyerere made this speech on May Day 1995
Inaonekana hata aliyeipost sidhani kama ameisikiliza vizuri kwani dakika 36:02 Nyerere anasema "Viongozi wanaotaka kuingia katika awamu ya tatu ya uongozi", moja kwa moja hii inaonesha ilikuwa katika vuguvugu la uchaguzi wa 1995
Wengine hawana utaratibu wa kuuliza hata kama hawajui
KAMA magu vile jamani🤗🤗🤗💞💞💞💞🙏🙏🙏
Kumlinganisha magu na Nyerere ni kama mbingu na dunia,l Nyerere hakuwa mkabila wala gange za kanda.
that was 1995, not 1969
Hotuba hiyo haikutolewa 1969 rekebisha mwaka wa hotuba hiyo kwa usahihi wa kumbukumbu
The Great message
Hatuna budi kuyaenzi maono yake
Huo mwaka umekosea. Ilikuwa may day 1995
Asante baba wa taifa letu njia ulionyesha,.Hii ni hotuba ya. Mei mosi. 2995 mbeya uwanja sokoine.
dah pumzika Baba wa Taifa mwalimu Nyerere
Siyo mwaka 1969 ila ilikuwa 1986 nadhani
It is so sad All this Serious Talk as a wake up call was taken as a comedy show and people laughed SO INSANE NO WONDER TANZANIA IS MORE POOR THAN WHEN IT WAS 60years ago lack of seriousness on very important things... Kweli umaskini wa Fikra ni kitu kibaya sana
Hii ni hotuba ya Jumatatu ya Mei Mosi 1995 na si ya mwaka 1969
Ili kukuza ueleea wangu na Busala hua lazima nimsikilize Nyelele..Mandela Kaunda...na Kenyata
Edit huo mwaka please
..
Kiongozi aliyekubali makosa yake na kujisahihisha Mwanga wa milele akuangazie eeh bwana Upumzike kwa Amani.
GENIUS
Hii ni hotuba ya Mei Mosi Mwaka 1995 na sio Mwaka 1969
Kweli kabisa ni 1995 nilikuwamo siku ile ndani ya uwanja wa Sokoine
Hayati Nyerere alikuwa mwalimu, Hayati Magufuli alikuwa mwalimu da Yatupaswa kutafakari walale kwa Amani ma genius hawa Mungu alitupenda watanzania cha ajabu wema hawadumu
Mbona mmeondoa sehemu ya hotuba
Rekebisha, hotuba hii ni ya mwaka 1995 sio 1969
In the world,they are 4 important people,people of all the time: Martin L king Mandela,Madiba,Nelson Ghandi Nyerere Julius
My brother you have not had from Malcolm x...I'm sure you will be fascinated by him
Mandela no, maybe for the sake of the Imperialists.He handed over everything to the whites.He wasn't a true African hero.
Mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania vilianzishwa 1992, sasa hiyo 1969 ni ipi???
Kuanzishwa rasmi ni 1992 ila vilikuwepo havikutambulika
Unforgettable Mwl J K Nyerere mazungumzo hai !!
sawa kabisa
Mshenzi huyu
mshenzi ni babako aliye kuzaa tu
Mwaka 1995 Mbeya Mei mosi
Mwalimu jk nyerere alikuwa anakipawa kutoka kwa mungu
Akinunua,kanunuliwa.kama amekopa atalipaje?.mwalimu ulikuwa na busara.
Acheni kumpongeza huyu mzee yeye kaifanyia nini tanganyika tokea awe raisi ni umasikini tu hadi kafa ,wacheni kumuona mungu hakufanya kitu isipokuwa kuimeza zanzibar tu
Mungu akusamehe
Natamani ningejua umezaliwa mwaka gani. ila hata kama umezaliwa 2002 bado akili yako haina akili.
Wewe mzima Kweli?
Soma vizuri historia kabla hujaongea 'mdogo wangu'!
Mpaka leo hii hujajua roles Za nyerere? Kwanini ulikimbia shule?
Huyu mpumbavu rais nn matatizo yake lazima tu Amin maendeleo yaletwe na yeye sindio rais