BUTOKE-MEDIA
BUTOKE-MEDIA
  • Видео 136
  • Просмотров 61 550

Видео

#DAY 6: NJIA BORA YA KUWAFANYA WATOTO WAKUSIKILIZE || NEUS NJUGUN
Просмотров 3412 часов назад
wazazi wengi wanalalamika sana kuhusu tabia za watoto wao , suruhisho sio maneno au sauti yako ya ukari ila kupitia somo hili utapata njia rahisi ya kuwafanya watoto wako wakusikilize #channel :BUTOKE MEDIA #director : BOKASA #studio :BK-STUDIOZ #contact :0762133030
#DAY 5: NJIA BORA ZAIDI YA KUMALIZA UGOMVI || NEUS NJUGUNYA
Просмотров 3119 часов назад
Kuna njia nyingi ambazo watu wanazitumia kumaliza ugomvi lakini zingine zimekuwa badala ya kumaliza zimechochea , lakini kupitia hili somo utaijua njia amabayo inaweza kumaliza ugomvi wa aina yeyote ile. #channel :BUTOKE MEDIA #director : BOKASA #studio :BK-STUDIOZ #contact :0762133030
WIMBO MZURI LIVE PERFORMANCE || GETHISMANE KWAYA || KANYONZA S.D.A
Просмотров 122День назад
WIMBO MZURI LIVE PERFORMANCE || GETHISMANE KWAYA || KANYONZA S.D.A
#DAY 4: SIO KILA MAGUMU YANAKUANDAA KUWA MTU MKUBWA || NEUS NJUGUNYA
Просмотров 11День назад
Ujumbe wa hili somo ni kwamba sio kila majaribu au changamoto unazozipitia zinakuandaa kuwa mtu mkubwa , mengine ni mateso ya moja kwa moja , Je utajua kuwa hilo unalolipitia sasa ni linakuandaa au laah? #channel :BUTOKE MEDIA #director : BOKASA #studio :BK-STUDIOZ #contact :0762133030
#DAY 03: MTEGO MGUMU KUKWEPA || NEUS NJUGUNYA (SEASON 03)
Просмотров 7214 дней назад
#channel :BUTOKE MEDIA #director : BOKASA #studio :BK-STUDIOZ #contact :0762133030
GETHISMANE KWAYA LIVE PERFORMANCE
Просмотров 4614 дней назад
GETHISMANE KWAYA LIVE PERFORMANCE
#DAY 02: MBEGU YAKO IMEZAA MATUNDA ? || NEUS NJUGUNYA (SEASON 03)
Просмотров 6214 дней назад
Ujumbe mkuu wa hili somo ni kutukumbusha wakristo wote kuyatendea kazi maneno / ujumbe wa MUNGU kwenye maisha yetu ya kila siku
#DAY 01: WAZO LAKO NI FAIDA YA WENGI || NEUS NJUGUNYA
Просмотров 6114 дней назад
Ujumbe mkuu wa somo hili ni kutambua kuwa unapaswa kutendea kazi wazo ambalo MUNGU amekuwekea ndani yako #channel :BUTOKE MEDIA #director : BOKASA #studio :BK-STUDIOZ #contact :0762133030
MACHI MPYA KUTOKA BURUNDI ILIPIGWA LIVE KWENYE INADA YA PAMOJA || KANYONZA S.D.A
Просмотров 6421 день назад
MACHI hii ilijumuisha kwaya Tatu AMBAZO I kwaya ya WAGENI kutoka BURUNDI, happy kwaya kutoka kakonko S.d.a na wenyeji kwaya ya Gethismane Kwaya kutoka KANYONZA S.d.a
NDOA YA BECKAMU & ELIVIA || FULL VIDEO (Official Video)
Просмотров 201Месяц назад
Ibada ya ndoa kati ya BECKAMU & ELIVIA iliyofanyika tarehe 26/04/2024 -kanyonza kakonko kigoma. #Bk-Studioz #Director:BOKASA #Tell:0762133030
LIVE PERFORMANCE~ GETHISEMANE CHOIR || YESU PEKEE || KANYONZA S.D.A
Просмотров 139Месяц назад
GETHISEMANE kwaya ni kwaya ya kanisa la S.D.A Kanyonza, waliiba wimbo wenye ujumbe yesu pekee ndie awezaye mambo yote katika ibada iliyofanyika katika kanisa la S.D.A KANYONZA pamoja na wageni kutoka burundi. @BK-STUDIOZ
LIVE PERFORMANCE ~ HAPPY CHOIR ~JEMEDALI WA VITA // KATIKA IBADA YA PAMOJA NA WAGENI KUTOKA BURUNDI
Просмотров 135Месяц назад
Happy kwaya ni kwaya ya kanisa la S.D.A Kakonko, waliiba wimbo wenye ujumbe Jemedali wa vita katika ibada iliyofanyika katika kanisa la S.D.A KANYONZA pamoja na wageni kutoka burundi. @BK-STUDIOZ
LIVE PERFORMANCE ~ HAPPY CHOIR ~NCHI MPYA // KATIKA IBADA YA PAMOJA NA WAGENI KUTOKA BURUNDI
Просмотров 80Месяц назад
LIVE PERFORMANCE ~ HAPPY CHOIR ~NCHI MPYA // KATIKA IBADA YA PAMOJA NA WAGENI KUTOKA BURUNDI
LIVE PERFORMANCE // HAPPY CHOIR // TUMEITWA // KATIKA IBADA YA PAMOJA NA WAGENI KUTOKA BURUNDI
Просмотров 474Месяц назад
LIVE PERFORMANCE // HAPPY CHOIR // TUMEITWA // KATIKA IBADA YA PAMOJA NA WAGENI KUTOKA BURUNDI
NDOA YA NTIBONELA & ODESIA -FULL VIDEO (official video)
Просмотров 503Месяц назад
NDOA YA NTIBONELA & ODESIA -FULL VIDEO (official video)
ODESIA CHONDI SEND-OFF TRAILER
Просмотров 47Месяц назад
ODESIA CHONDI SEND-OFF TRAILER
ELISON & AGNESS || WIMBO WA SHUKRANI|| Bk-Studioz (Official wedding video)
Просмотров 4362 месяца назад
ELISON & AGNESS || WIMBO WA SHUKRANI|| Bk-Studioz (Official wedding video)
SIMON & MAGRETH WEDDING TRAILER || BK-STUDIOZ (Official documentary)
Просмотров 2962 месяца назад
SIMON & MAGRETH WEDDING TRAILER || BK-STUDIOZ (Official documentary)
NTIBONELA & ODESIA WEDDING || DOCUMENTARY || Bk-Studioz (official Trailer)@2024
Просмотров 2923 месяца назад
NTIBONELA & ODESIA WEDDING || DOCUMENTARY || Bk-Studioz (official Trailer)@2024
SIFA ZA MTU MWELEWA NI HIZI // Nesu Njugunya
Просмотров 154 месяца назад
SIFA ZA MTU MWELEWA NI HIZI // Nesu Njugunya
KIFUNGO CHA MUDA // Neus Njugunya
Просмотров 134 месяца назад
KIFUNGO CHA MUDA // Neus Njugunya
VYANZO VIKUU VITATU (3) VYA MATATIZO YOTE KUDUMU KATIKA MAISHA YA MWANADAMU // Neus Njugunya
Просмотров 794 месяца назад
VYANZO VIKUU VITATU (3) VYA MATATIZO YOTE KUDUMU KATIKA MAISHA YA MWANADAMU // Neus Njugunya
KILICHOMUUA GOLIATHI SIO KOMBEO LA DAUDI // Neus Njugunya
Просмотров 524 месяца назад
KILICHOMUUA GOLIATHI SIO KOMBEO LA DAUDI // Neus Njugunya
FURAHA & REHEMA - WEDDING DOCUMENTARY
Просмотров 6094 месяца назад
FURAHA & REHEMA - WEDDING DOCUMENTARY
JE ,KAZI UNAYOFANYA IKIBARIKIWA INATOSHA KUKUPA UTAJIRI // Neus Njugunya
Просмотров 164 месяца назад
JE ,KAZI UNAYOFANYA IKIBARIKIWA INATOSHA KUKUPA UTAJIRI // Neus Njugunya
BIDII PEKE YAKE HAIWEZI KUKUFANYA UFANIKIWE || Neus Njugunya
Просмотров 235 месяцев назад
BIDII PEKE YAKE HAIWEZI KUKUFANYA UFANIKIWE || Neus Njugunya
SIRI YA USHINDI KWA ADUI YEYOTE II NEUS NJUGUNYA
Просмотров 645 месяцев назад
SIRI YA USHINDI KWA ADUI YEYOTE II NEUS NJUGUNYA
UMESHIKA KIPI KATI YA BARAKA NA MAAGIZO YA MUNGU II NEUS NJUGUNYA
Просмотров 275 месяцев назад
UMESHIKA KIPI KATI YA BARAKA NA MAAGIZO YA MUNGU II NEUS NJUGUNYA

Комментарии

  • @1newcyber
    @1newcyber 4 дня назад

    Hongera sana Mwl Neus kwa mafundisho mazuri, Mungu aendelee kukuinua zaidi siku baada ya siku.

  • @ASSAKANYONZASEC
    @ASSAKANYONZASEC 5 дней назад

    amen

  • @witnessmonyo113
    @witnessmonyo113 16 дней назад

  • @yerusamson11
    @yerusamson11 17 дней назад

    hakika somo hili ni msaada sana hasa katika kizazi hiki cha sasa ubarikiwe sana mwalimu Neus Njugunya

  • @emeliamguluka2554
    @emeliamguluka2554 19 дней назад

    🎉

  • @NathanielMwamkinga-vy5bj
    @NathanielMwamkinga-vy5bj 19 дней назад

    Mimi nimeshaanza kufanyia kazi wazo langu

  • @HamzaAdam-z3c
    @HamzaAdam-z3c 24 дня назад

    Akise mayesu siyomu ngumna mtukana

  • @sirmyusah732
    @sirmyusah732 Месяц назад

    bado wewe Butoke

  • @BarakaRashid-y6g
    @BarakaRashid-y6g Месяц назад

    😂

  • @BarakaRashid-y6g
    @BarakaRashid-y6g Месяц назад

    Ubalikiwe sana

  • @BOKASABUTOKE
    @BOKASABUTOKE Месяц назад

    good

  • @ancientg7329
    @ancientg7329 Месяц назад

    Miliam upo vizuri sana, Mungu aendelee kukutunza na kukuinua. Asante.

  • @NancyKerry2
    @NancyKerry2 Месяц назад

    Asante Miriam kwa kimujeshimisha Mungu kupitia kwa mavazi yako

  • @NtevoneiwaMmbughu
    @NtevoneiwaMmbughu 2 месяца назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @didahtv
    @didahtv 2 месяца назад

    Kazi kazi🎉

  • @stephanw-r3n
    @stephanw-r3n 2 месяца назад

    Good work

  • @IbadaliveTv
    @IbadaliveTv 2 месяца назад

    🔥🔥🔥

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 2 месяца назад

    Miriam nakupenda sana Mungu akuinue mwanangu.

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 2 месяца назад

    Ni wema wake Yesu tu!

  • @Danileor
    @Danileor 2 месяца назад

    Mmmh 🔥🔥🔥 Good job indeed 👏👏👏

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 2 месяца назад

    Nashuru umekiri sabato ya siku ya ya 7ndiyo siku takatifu ya Mungu na RC ilipiga marufuku mwaka a.d 364 na kanisa fulani la marekani la Sunday lilibadilishwa kuwa sabato je wewe utafanya hivyo kanisa unaloliongoza liwe kwenye mfumo wa sabato?

  • @EstelianKihwele
    @EstelianKihwele 2 месяца назад

    your the best

  • @yakoboboaz3497
    @yakoboboaz3497 3 месяца назад

    Hongera sana classmate Wang Mungu akujalie baraka za kutosha

  • @MariamByaese
    @MariamByaese 3 месяца назад

    ❤❤❤❤amena

  • @dinamanyaga4152
    @dinamanyaga4152 3 месяца назад

    ❤❤❤

  • @Bisayaraphael
    @Bisayaraphael 3 месяца назад

    🎉

  • @hopeministrychoirItumbikoS.D.A
    @hopeministrychoirItumbikoS.D.A 3 месяца назад

  • @TAMIPATANZANIA
    @TAMIPATANZANIA 3 месяца назад

    ❤❤❤

  • @JanethHamisi-do8jp
    @JanethHamisi-do8jp 3 месяца назад

    Barikiwa sana mpendwa katika Bwana zidi kumtumikia Bwana siku zote

  • @EzekielMdesa
    @EzekielMdesa 4 месяца назад

    Ahsante sana mwalimu,tunajifunza mambo muhimu hapa.

  • @EzekielMdesa
    @EzekielMdesa 4 месяца назад

    Hakika mwalimu upo sahihi kabisa, Mungu akibariki sanaaaaahhhh!

  • @EzekielMdesa
    @EzekielMdesa 4 месяца назад

    Ubarikiwe sana mwalimu wa neno la Mungu Endelea mbele kazi Yako ni njema.

  • @BaptisteMapunda
    @BaptisteMapunda 4 месяца назад

    Ahsante Sana brother.... Tunajifunza....

  • @neusnjugunya5552
    @neusnjugunya5552 4 месяца назад

    Interesting 😊

  • @dinamanyaga4152
    @dinamanyaga4152 4 месяца назад

    Nice work

  • @Danileor
    @Danileor 4 месяца назад

    🎉🎉

  • @Danileor
    @Danileor 4 месяца назад

    Safiiiiiii. Alikuwa na uhakika na bayana ya jambo alilotarajia kutokea (IMANI)

  • @upendokwaya8043
    @upendokwaya8043 5 месяцев назад

    Amina mno

  • @DottoGeorge-w3i
    @DottoGeorge-w3i 5 месяцев назад

    MUNGU atutie nguvu ameeee

  • @johanithajeremiah
    @johanithajeremiah 5 месяцев назад

    Asante

  • @visionaryyouthorganization
    @visionaryyouthorganization 5 месяцев назад

    Great

  • @yerusamson11
    @yerusamson11 5 месяцев назад

    Hii ni mesej muhimu sana kwa kizazi hiki

  • @rubenmabega2604
    @rubenmabega2604 5 месяцев назад

    Content kali

  • @JamesKamauMuhoro
    @JamesKamauMuhoro 5 месяцев назад

    Oh yes

  • @NAFtv-Tanzania
    @NAFtv-Tanzania 6 месяцев назад

    Good job boss,very amaizing and standard work

  • @SophiaNdilito
    @SophiaNdilito 6 месяцев назад

    Safi sanaaa Nimefurahi saaana kuona shule Iliyonitoa chini Nakunifikisha hapa leo Mungu Azidi kuiinua chololo yetu 🙏🙏🙏

  • @RestutaAlex
    @RestutaAlex 7 месяцев назад

    Mung awatangulie ktk ndoa yenu

  • @sekionromward9600
    @sekionromward9600 7 месяцев назад

    Ewaaa