FRATI LUPEMBE
FRATI LUPEMBE
  • Видео 65
  • Просмотров 26 719

Видео

Sababu kwanini unapaswa kuwa na Fedha
Просмотров 327Месяц назад
Sababu kwanini unapaswa kuwa na Fedha
Mafanikio hayataki mtu wa aina hii.
Просмотров 217Месяц назад
Mafanikio hayataki mtu wa aina hii.
Mambo ya kufanya kipindi cha maombolezo
Просмотров 82Месяц назад
Mambo ya kufanya kipindi cha maombolezo
Kanuni tano (05) za Fedha ambazo hupaswi kuzikimbia.
Просмотров 5053 месяца назад
Kanuni ulizopaswa kuzijua Jana. #swahili
Maeneo Matano Pesa zilikojificha/Five areas where money hides.
Просмотров 10 тыс.3 месяца назад
Maeneo Matano Pesa zilikojificha/Five areas where money hides.
Ubongo upo hivi.
Просмотров 5663 месяца назад
Ubongo upo hivi.
Watu unaowahitaji kwenye Maisha yako .
Просмотров 3243 месяца назад
Watu ulionao wamekuathiri kwa kiwango gani? Watu ulionao wamekufanya ukue au udidimie?
Kanuni Tano za Fedha ambazo hupaswi kuzikimbia.
Просмотров 2643 месяца назад
Kwenye eneo la Fedha ukikaza fuvu(ubongo) kwamba hutaki kujifunza na kufanya kazi unayojifunza utahisi una mikosi na laana. subscribe, share, like &comment. #swahili
How execution works/ Mipango inavyoweza kuexpire!
Просмотров 463 месяца назад
How execution works/ Mipango inavyoweza kuexpire!
The 10 growth strategies / Mbinu kumi za ukuaji katika eneo lolote.
Просмотров 7024 месяца назад
The best ten growth strategies to embrace in living .#Swahili
Kanuni zilizobeba mafanikio/Success principles
Просмотров 5905 месяцев назад
Lazima ujue mifumo iliyowafikisha watu wakuu kwenye nafasi walipo. Nimekuwekea kanuni hizi zikusaidie . Niwekee maoni yako juu ya ulichojifunza.
MARAFIKI 🤣
Просмотров 1135 месяцев назад
Wewe una marafiki wa Aina hii? niandikie kwenye comment
How to become unstoppable
Просмотров 2535 месяцев назад
This may change your thinkethst, become the better version of yourself by doing this.
Maeneo Tajiri zaidi Duniani @DrMylesMunroeMessage @mylesmunroemotivation @joelnanauka
Просмотров 1,1 тыс.5 месяцев назад
Maeneo Tajiri zaidi Duniani @DrMylesMunroeMessage @mylesmunroemotivation @joelnanauka
Job & Work.
Просмотров 935 месяцев назад
Job & Work.
Usifanye haya unapopata pesa nyingi/kidogo.
Просмотров 2,6 тыс.5 месяцев назад
Usifanye haya unapopata pesa nyingi/kidogo.
Kama unataka kuwa tajiri epuka hili.
Просмотров 416 месяцев назад
Kama unataka kuwa tajiri epuka hili.
Ukiona dalili hizi ujue unatepeliwa/signs that you're about to be scammed
Просмотров 4256 месяцев назад
Ukiona dalili hizi ujue unatepeliwa/signs that you're about to be scammed
Usiwekeze pesa zako Kama hujui haya.
Просмотров 1,1 тыс.6 месяцев назад
Usiwekeze pesa zako Kama hujui haya.
Hili shambulio limeua ndoto za wengi .
Просмотров 1736 месяцев назад
Hili shambulio limeua ndoto za wengi .
Usizungumze chochote Kama wewe upo na tabia hii.
Просмотров 896 месяцев назад
Usizungumze chochote Kama wewe upo na tabia hii.
Sababu ya uwepo wetu DUNIANI/Life purpose
Просмотров 776 месяцев назад
Sababu ya uwepo wetu DUNIANI/Life purpose
Tabia ambayo imefifisha ndoto za wengi.
Просмотров 1636 месяцев назад
Tabia ambayo imefifisha ndoto za wengi.
FOCUS INATOKA HUKU, what vision does to strengthen your Focus.
Просмотров 507 месяцев назад
FOCUS INATOKA HUKU, what vision does to strengthen your Focus.
The secret you should know!
Просмотров 1228 месяцев назад
The secret you should know!
WASOMI NA MAFANIKIO/THE TEARS OF THE SCHOLARS.
Просмотров 188 месяцев назад
WASOMI NA MAFANIKIO/THE TEARS OF THE SCHOLARS.
Nokia CEO cries/Mkurugenzi wa Kampuni ya Nokia atoa machozi.
Просмотров 868 месяцев назад
Nokia CEO cries/Mkurugenzi wa Kampuni ya Nokia atoa machozi.
Tumia mfumo huu kupata hamasa ya kufanya zaidi.
Просмотров 409 месяцев назад
Tumia mfumo huu kupata hamasa ya kufanya zaidi.
Ujuzi ambao unalipa sokoni / 5 marketable skills
Просмотров 61510 месяцев назад
Ujuzi ambao unalipa sokoni / 5 marketable skills

Комментарии

  • @erickmtonyole-MTONYOLE
    @erickmtonyole-MTONYOLE 23 дня назад

    Somo zuri sana

  • @fratilupembe3479
    @fratilupembe3479 23 дня назад

    Niambie umejifunza nini?

  • @fratilupembe3479
    @fratilupembe3479 24 дня назад

    Niambie umejifunza nini kwenye Video hii✍️✍️💥💥

  • @rogerslwitiko3915
    @rogerslwitiko3915 Месяц назад

    Mm nna kipaji cha uchambuzi pia ushauri wa biashara

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Hongera Sana mkuu, ni muda wa kuanza kugeuza kuwa pesa hiyo, unaweza kuwa Business consultant, ukawa unachambua Mambo pia watu wakujue.

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 Месяц назад

      @@fratilupembe3479 Nashukuru sana Mkuu ngoja nianze kufanyia kazi hii Talanta

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      @rogerslwitiko3915 Fanyia mkuu utaona makubwa Sana ,kikubwa unahitaji kujinoa zaidi na kufanya kila kitu kwa ubora sa. Subscribe kwenye channel yetu, share pia na wengine wanufaike.

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 Месяц назад

      @@fratilupembe3479 Usijali Ndugu umefanya la maana kuanzisha hii platform

  • @AnordMakuvila
    @AnordMakuvila Месяц назад

    Ahsantee kwa mafunzo, sir napata kujifunza mengi sana

  • @Kanyawela
    @Kanyawela Месяц назад

    Je?walio na mapepo watafanyaje Tuyatoe watupe pesa?

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      ✋✋✋ Nimependa sana swali wewe katoe mapepo utalipwa na Mungu 😀😀

  • @TunsumeMwaijumba
    @TunsumeMwaijumba Месяц назад

    Kwenye aridhi

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Hongera Sana Tunsume✍️✍️✍️ share na rafiki zako pia.

  • @edwardsanga1182
    @edwardsanga1182 Месяц назад

    Amina mwalimu nimekuelewa

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Shukrani Sana, unaweza kushare na rafiki zako pia.

  • @shiflaedson6975
    @shiflaedson6975 Месяц назад

    Jitahidi kutumia lugha moja Kama kiswahili tu au English only usichanganye

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Nimepokea maoni kwa unyenyekevu mkubwa Asante san, video zijazo itakuwa hivyo.

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio Месяц назад

    Ni ukweli usiopingika kaka umenena

  • @Lupembeajua
    @Lupembeajua Месяц назад

    Sahihi

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @hashimuliloto8017
    @hashimuliloto8017 Месяц назад

    DOGO UKO VIZURI SANAA. GOD BLESS YOU

  • @RebbecaGathoni
    @RebbecaGathoni Месяц назад

    Kuhusu afia ya watu

  • @JudithJulius-b2t
    @JudithJulius-b2t Месяц назад

    Sure nahitaji kujiajiri kupitia kipaji change cha kupamba maua ,nipo kwenye ajira natafuta mtaji,hila napenda kupanda maua kupamba mpaka naona nachelewa

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Hongera Sana, jipe muda anza kufanya kwa kujitolea kwenye baadhi ya Kumbi zinazopambwa , fanya huko baadae unaweza kutumia muda wa ziada kufanya hivyo.

  • @LucyNgowi-r2o
    @LucyNgowi-r2o Месяц назад

    Asante kwa nimejifunza vitu vingi

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Asante Sana, hakikisha umesubscribe na kubonyeza alama ya kengele kupata videos zaidi.

    • @LucyNgowi-r2o
      @LucyNgowi-r2o Месяц назад

      @@fratilupembe3479 sawa

  • @RenestNext
    @RenestNext Месяц назад

    🎉🎉❤

  • @jafarbaissa954
    @jafarbaissa954 Месяц назад

    kutatuwa matatizo ya wetu

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Hongera Sana, tafuta tatizo litatue, Subscribe, share pia kwa jamaa na marafiki.

  • @MUSAGEORGE-mb6iq
    @MUSAGEORGE-mb6iq Месяц назад

    Nimekupat sana kaka

  • @smile_ambassador1
    @smile_ambassador1 Месяц назад

    Shukrani sana ...sema kiongozi ukipata 🎙️ itasaidia sana 🤝

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Shukrani Sana mkuu, kwa Neema ya Mungu tutaipata soon!✍️

  • @bungigemangana4171
    @bungigemangana4171 Месяц назад

    Thanks

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 Месяц назад

      Welcome, please share and subscribe ✍️✍️✋✋

  • @MonicaYohana-cm1xh
    @MonicaYohana-cm1xh Месяц назад

    Nimejifunza kuekeza kwenye real estate

  • @EsauKikoti
    @EsauKikoti 2 месяца назад

    Good

  • @uwezoplustv4096
    @uwezoplustv4096 2 месяца назад

    Hongera sana mkuu kwa madini haya Lakini jitahidi kuelezea kwa kiswahili kuliko kuchanganya na kinge zaidi

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 2 месяца назад

      Asante sana, wakati ujao nitafanyia kazi mkuu, asante

    • @kalengashoppingcenter1108
      @kalengashoppingcenter1108 Месяц назад

      ​@fratilupembe3479 Kuna maneno mengine hayapo kwenye kiswahili au hayaleti kivutio kizuri so huyu jamaa hajaluona hilo

  • @viktamassawe2925
    @viktamassawe2925 2 месяца назад

    🙏

  • @FaithKyala
    @FaithKyala 2 месяца назад

    Wow, thank you so much for these amazing teachings,I catch it,, God bless you 🥳

  • @OnesmoPhilemon
    @OnesmoPhilemon 2 месяца назад

    Fact bro

  • @NexPeers
    @NexPeers 2 месяца назад

    Shukrani sana mwalimu, Ktk hii video nimepata kujua vitu muhimu sana 🙏 be blessed

  • @MshindiDaima_Online
    @MshindiDaima_Online 2 месяца назад

    Somo limeeleweka kiongozi

  • @mdtv2625
    @mdtv2625 3 месяца назад

    I get you

  • @TeklaMgwalaa
    @TeklaMgwalaa 3 месяца назад

    🙏

  • @festoamos_tz
    @festoamos_tz 3 месяца назад

    Fundi👏👏👏

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 3 месяца назад

      Certified Financial Trainer💥💥🎶 Thank you

  • @fratilupembe3479
    @fratilupembe3479 3 месяца назад

    ALERT ALERT ALERT 😢😢😢😢😢😢 WE ARE SORRY GUY'S SOMETHING UNUSUAL HAS HAPPENED IN THIS VIDEO THE SOUND IS NO LONGER EXISTING I AM TRYING TO FIX THIS. SORRY FOR ANY INCONVENIENCE!!!

  • @fredricksikukuu2743
    @fredricksikukuu2743 3 месяца назад

    Mafunzo mazuri sana 🙏🙏

  • @reaganmtewele8880
    @reaganmtewele8880 3 месяца назад

    Nimejifunza kwenye kutafta kuwekeza na bajet❤😊

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 3 месяца назад

      Nzuri Sana , hongera kwa kujifunza Sasa tuanze vitendo

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 3 месяца назад

    Ubarikiwe sana

  • @Lupembeajua
    @Lupembeajua 3 месяца назад

    Ahsante kwa madini

  • @sabaskasunzu3279
    @sabaskasunzu3279 3 месяца назад

    Put citation in talks good job

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 3 месяца назад

      Thank you, I will Sir, Support by subscribing too!✍️

  • @TeklaMgwalaa
    @TeklaMgwalaa 3 месяца назад

    Shukrani 🎉

  • @mamairene-y3s
    @mamairene-y3s 4 месяца назад

    Safi mkuu

  • @ValentineSwai-o7v
    @ValentineSwai-o7v 4 месяца назад

    Always mtoto wa taifa👏👏👏

    • @fratilupembe3479
      @fratilupembe3479 4 месяца назад

      MTOTO WA TAIFA !💥💥💥 Thank you for being here!💥

  • @AlbinusChahiza
    @AlbinusChahiza 4 месяца назад

    🎉big up broo

  • @TeklaMgwalaa
    @TeklaMgwalaa 4 месяца назад

    Asantee

  • @Mtumishnoel
    @Mtumishnoel 5 месяцев назад

    Ukwel kaka

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 5 месяцев назад

    Ujuzi wa kuzungumza na kueleza mambo kwa ufasaha.

  • @mwlesterntambala1713
    @mwlesterntambala1713 5 месяцев назад

    Thank you Sir

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 5 месяцев назад

    Mambo yaliyothibishwa wa ma expert tunaishi nayo

  • @ZakinaZephania-kx5ol
    @ZakinaZephania-kx5ol 5 месяцев назад

    Meet with my brother ❤