Mercy family
Mercy family
  • Видео 7
  • Просмотров 11 147
Tazama Njia Rahisi Ya Kufuma
Tazama Njia Rahisi ya kufuma kofia,Sweta na skafu,/ jinsi ya kufuma,/Namna ya kufuma kofia Sweta na vitu mbalimbali,/how to chrochet a hate,/how to chrochet sweater ,/how to chrochet baby blanket,/ very nice choice chrochet. b b.
Просмотров: 10 477

Видео

Tazama Mtindo bomba kabisa
Просмотров 332 года назад
Mitindo mpya wa blauzi na sidilia za kufuma 2021/ New fashion designer chrochet blouse and brassiere
Ufumaji Nguo mitindo mipya mizuuri
Просмотров 392 года назад
mitindo ya nguo za kufuma/ chrochet clothes
kazi za mikono na ubunifu
Просмотров 632 года назад
kazi za mikono na ubunifu
REHEMA HOSEA - SABATO (OFFICIAL AUDIO)
Просмотров 312 года назад
REHEMA HOSEA - SABATO (OFFICIAL AUDIO)

Комментарии

  • @SophiaGideon
    @SophiaGideon Месяц назад

    kwan uzi ni wa kawaida au ule wa masweta

  • @FaridaNdalami
    @FaridaNdalami 3 месяца назад

    Ningependa kujifunza kushona koti

  • @FaridaNdalami
    @FaridaNdalami 3 месяца назад

    Ningependa kujifunza kushona koti

  • @MariaHendry-y2w
    @MariaHendry-y2w 5 месяцев назад

    Napenda kujifunza kufuma vitambaa

  • @dynessbuyamba9350
    @dynessbuyamba9350 5 месяцев назад

    Napenda kujifunza maweta

  • @SENORINAMUNISHI
    @SENORINAMUNISHI 6 месяцев назад

    Nàpenda kufuma gauni ya mtoto

  • @MariaReonard
    @MariaReonard 8 месяцев назад

    Napenda kujifunza vitambaa

  • @MariaReonard
    @MariaReonard 8 месяцев назад

    Napenda kujifunza vitambaa

  • @alphoncengoza48
    @alphoncengoza48 8 месяцев назад

    Kofia

  • @hpenyika7686
    @hpenyika7686 8 месяцев назад

    Hiyo ni sindano no ngapi sijui na huo ni Uzi ule mnene au ni huu wa kawaida kama tunao sukia nywele?

  • @EstherJohn-cr8zo
    @EstherJohn-cr8zo 9 месяцев назад

    vviaakushona sweta😮

  • @Frolencia-sz6mb
    @Frolencia-sz6mb 9 месяцев назад

    Natamani kujua jinsi ya kuanza kigauni shift chauzi

  • @mariamlungu1153
    @mariamlungu1153 10 месяцев назад

    Jinsi ya kufuma kikoi Naomba

  • @mariamlungu1153
    @mariamlungu1153 10 месяцев назад

    Jinsi ya kufuma kikoi

  • @SuzanaKaserero
    @SuzanaKaserero 10 месяцев назад

    Nataka kujifunza kushona sweta na mahali pa kununulia hizo sindano za kushonea..

  • @MaryMwaikenda
    @MaryMwaikenda 11 месяцев назад

    Namba namba yako

  • @JessicaAmani-j9t
    @JessicaAmani-j9t Год назад

    Unanunua wapi vishikizo vya mapochi dear baadae ya kamaliza kufuma pochi

  • @FatmaMohd-p8e
    @FatmaMohd-p8e Год назад

    Nataka jinsi ya kufuma mkoba

  • @ZainaMzuri
    @ZainaMzuri Год назад

    Napenda kujifunza vitambaa

  • @vairethTvLearn
    @vairethTvLearn Год назад

    Naomba mnifunze jinsi wanafanya kitambaa ca meza na tutambaa twa viti

  • @aishakhasan1656
    @aishakhasan1656 Год назад

    MI napenda sn na nataka kujifunza zaidi mashweta brangeti

  • @Rickyumy4gmail
    @Rickyumy4gmail Год назад

    Nataka kujua tuu kufuMa chchte kwa Sasa juu sijui chchte bt naona nkikwangalia naweza

  • @PriscaMhonzwa
    @PriscaMhonzwa Год назад

    Nmependa jamani napenda nijue kushona sweta

  • @_tHeMiX123
    @_tHeMiX123 Год назад

    hio sindano na uzi zinapatikana wap kwa urahisi

  • @ChristinaKigawa-jg9hm
    @ChristinaKigawa-jg9hm Год назад

    Hongera nataka kujua kufuma Cha duara

  • @alinenizigama8822
    @alinenizigama8822 2 года назад

    Jamani nime penda IRA fafazari.naomba namba yako

  • @asiashabani5710
    @asiashabani5710 2 года назад

    Naomba namba nime penda

    • @alinenizigama8822
      @alinenizigama8822 2 года назад

      Rakini kingine mbona hakutuonesha ukimariza. Jisi yakuyifunga

  • @mercyfamily1180
    @mercyfamily1180 2 года назад

    Usisahau kushare, ku like na ku subscribe

  • @zephaniakyanzi11
    @zephaniakyanzi11 2 года назад

    Mungu azidi kukubarikia sana mdogo wangu akufikishe ktk viwango vya juu zaidi

  • @zephaniakyanzi11
    @zephaniakyanzi11 2 года назад

    Amen barikiweni sana