- Видео 502
- Просмотров 97 004
Mtu ni Afya
Добавлен 16 фев 2018
CHEKI WANA MDANDU WALIVYOAMUA KUFANYA KWELI
Wilaya ya Mdandu inapatikana katika mkoa wa Njombe ndani ya Wilaya ya Wanging'ombe wao kama kata wameamua kutakaa kubaki nyuma na Kuamua Ku #fanyakweli ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko.
Просмотров: 1
Видео
UMEFANYA KWELI?
Просмотров 57 часов назад
Ndani ya Kata ya Muhoro Diwani wa kata ya Muhoro akiwasihi wananchi wa kata hiyo Ku #fanyakweli ili mitaa yao na taasisi zao ziwe katika hali nzuri ya usafi.
HIZI HAPA SIFA ZA CHOO BORA
Просмотров 312 часов назад
Afisa Afya wa kata ya masaki iliyopo wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani Bi. Mwashamba Salum akiwaeleza wananchi wa Kata ya Masaki sifa za choo bora wanachopaswa kutumia kujikinga na majonjwa ya mipuko.
MPANGO MZIMA NI KUTUMIA GESI KUPIKIA, SOKO LA BAGAMOYO WAONYESHA MFANO
Просмотров 1714 часов назад
Soko la samaki la bagamoyo ni moja kati ya masoko yanayotumia nishati safi ya gesi kupikia samaki wanaovua hivyo kutekeleza kikamilifu utunzaji wa mazingira kwa kutumia nishati isiyoharibu mazingira.
Mkuu wa wilaya ya Rufiji: Mimi nitawasapoti Kufanya Kweli
Просмотров 2619 часов назад
Mkuu wa wilaya ya Rufiji Luteni Kanali Fredrick Komba akiongea na wananchi wa wilaya ya Rufiji kata ya Ikwiriri kuhusu ujenzi wa vyoo bora na kuvitumia vyoo hivyo, huku akiahidi kuwapa sapoti ikiwa watakwama katika kutekeleza hayo.
"Wilaya ya Rufiji itakua mfano kitaifa kwenye usafi" - Mkuu wa Wilaya ya Rufiji
Просмотров 11День назад
"Wilaya ya Rufiji itakua mfano kitaifa kwenye usafi" - Mkuu wa Wilaya ya Rufiji
TUNAFANYA MAZOEZI KILA WIKI... TUMEJIUNGA NA VIKUNDI VYA JOGGING
Просмотров 714 дней назад
TUNAFANYA MAZOEZI KILA WIKI... TUMEJIUNGA NA VIKUNDI VYA JOGGING
Katika Suala la lishe sisi Mkoa wa Pwani tunaongoza, Wananchi wetu wanazingatia Lishe
Просмотров 2514 дней назад
Afisa afya wa Mkoa wa Pwani Ndugu David Vuo anadadavua ni kwa namna gani wameweza kufanya kweli katika mkoa wao katika usafi wa mazingira na ni kwa namna gani wamejipanga kufanya kweli ili kuendelea kuwa vinara kwenye usafi wa mazingira.
ILI KULINDA VIVUTIO VYETU LAZIMA TUYATUNZE MAZINGIRA YETU
Просмотров 1314 дней назад
Wilaya ya Mafia ni moja kati ya wilaya yenye vivutio vingi hasa Baharini hivyo Ndugu Mohammed Anasisitiza utunzwaji wa mazingira ili kuepuka kufukuza vivutio hivi ambazvyo huleta faida kubwa kwenye wilaya yao
TUMEWEZA KUKUSANYA TAKA TANI 4 MASHULENI
Просмотров 1614 дней назад
Ndugu Emmanuel anaelezea namna walivyo #fanyakweli kwenye ukusanyaji wa taka na namna wanavyokwenda kuhamasisha ukusanyaji wa taka ndani ya wilaya ya Mafia
Tunafanya aina zote za utunzaji wa mazingira, Sisi tumeshashinda
Просмотров 1714 дней назад
Ndugu Abdalah Hamza mkazi wa Mafia, anaeleza ni kwa namna gani wamejipanga katika ukusanyaji wa Taka katika mitaa yao na kuzibadilisha kuwa malighafi bora kabisa.
CHEKI MKURANGA WALIVYOAMUA KUFANYA KWELI, AFISA MTENDAJI ATOA NENO
Просмотров 2621 день назад
Wakazi wa Kata ya Mkuranga Wameamua kufanya kweli katika kufanya usafia wa mazingira huku wakiadhimisha siku ya usafi wa mazingira duniani
MRISHO MPOTO "MJOMBA" NDANI YA MUFINDI FM, ASILIMIA 91 ZA WANAMAFINGA WANAONAWA MIKONO
Просмотров 2921 день назад
Balozi wa kampeni ya Mtu Ni Afya Mrisho Mpoto "Mjomba" akiunguruma ndani ya studio za Mufindi Fm akiongea na Wana Mufindi Juu ya ku #fanyakweli Kwenye kunawa mikono.
DEREVA BODA BODA WA MKURANGA NDANI YA USAFI WA MAZINGIRA
Просмотров 2021 день назад
Ndugu Saleh Shabani, ni Dereva wa Boda Boda ambaye ame #fanyakweli kwenye kuzingatia usafi wake na abiria wake.
Wakazi wilaya ya Rufiji wamekuwa mstari wa mbele kwa kufanya kweli hasa katika ujenzi wa Vyoo bora
Просмотров 3628 дней назад
Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Mhe. Fredrick Komba akiongea na wana Ikwiriri na namna ambayo wanaweza kufanya kweli katika Usafi wa mazingira hasa katika ujenzi wa Vyoo bora. #MtuNiAfya #FanyaKweli #projectclear
Mkuu W/Rufiji amewata watendaji na wananch kufanya kweli kwa kuhakikisha ustawi wa afya na mazingira
Просмотров 24Месяц назад
Mkuu W/Rufiji amewata watendaji na wananch kufanya kweli kwa kuhakikisha ustawi wa afya na mazingira
Mkuu wa W/Mkuranga akizungumza na wananchi kuhusu kuzungumza hedhi salama kwenye kaya zao bila uoga
Просмотров 159Месяц назад
Mkuu wa W/Mkuranga akizungumza na wananchi kuhusu kuzungumza hedhi salama kwenye kaya zao bila uoga
Patrick Chiujo anatukumbusha kufanya kweli kwa kuakikisha maeneo ya kazi na biashara yanakuwa safi
Просмотров 17Месяц назад
Patrick Chiujo anatukumbusha kufanya kweli kwa kuakikisha maeneo ya kazi na biashara yanakuwa safi
Mkuu wa W/Kisarawe anatukumbusha kujenga na kutumia choo bora ili tuwe kati ya wengi wanaofanya kwel
Просмотров 27Месяц назад
Mkuu wa W/Kisarawe anatukumbusha kujenga na kutumia choo bora ili tuwe kati ya wengi wanaofanya kwel
Matumizi ya choo bora sio tu pale anapokuja mgeni, tufanye kweli kwa kutumia choo bora kila nyakati
Просмотров 54Месяц назад
Matumizi ya choo bora sio tu pale anapokuja mgeni, tufanye kweli kwa kutumia choo bora kila nyakati
Mkuu wa wilaya na wakazi wa Kibaha wanafanya kweli kwa hakikisha kaya na maeneo ya kazi yanakuwa saf
Просмотров 57Месяц назад
Mkuu wa wilaya na wakazi wa Kibaha wanafanya kweli kwa hakikisha kaya na maeneo ya kazi yanakuwa saf
Tulizo Benito anafanya kweli kwa kuzungumza na mdogo wake kuhusu hedhi salama ataki kubaki nyuma
Просмотров 19Месяц назад
Tulizo Benito anafanya kweli kwa kuzungumza na mdogo wake kuhusu hedhi salama ataki kubaki nyuma
Neema anasema wakina mama hedhi sio siri tena, Mama mshirikishe baba kuhusu ukuaji wa binti yako
Просмотров 34Месяц назад
Neema anasema wakina mama hedhi sio siri tena, Mama mshirikishe baba kuhusu ukuaji wa binti yako
Dereva Bodaboda wamedhamilia kufanya kweli kwa kuhakikisha maeneo ya kazi yana kuwa safi mda wote
Просмотров 39Месяц назад
Dereva Bodaboda wamedhamilia kufanya kweli kwa kuhakikisha maeneo ya kazi yana kuwa safi mda wote
Wakazi wa pwani ni machampioni wa lishe na wamedhamilia kuwa hivyo kwa tabia zote-Mkuu wa Mkoa Pwani
Просмотров 18Месяц назад
Wakazi wa pwani ni machampioni wa lishe na wamedhamilia kuwa hivyo kwa tabia zote-Mkuu wa Mkoa Pwani
Usikubali kubaki nyuma, wakazi wa bagamoyo wanafanya kweli kwa kuhakikisha miili yao inakuwa vizuri
Просмотров 29Месяц назад
Usikubali kubaki nyuma, wakazi wa bagamoyo wanafanya kweli kwa kuhakikisha miili yao inakuwa vizuri
kujenga choo ni hatua ya awali yatupasa kukitumia na kuwa na kifaa cha kunawa mikono 'Afisa Mtendaji
Просмотров 19Месяц назад
kujenga choo ni hatua ya awali yatupasa kukitumia na kuwa na kifaa cha kunawa mikono 'Afisa Mtendaji
Unapo kuwa na choo bora ni fursa katika familia yako pia tuna afya tele kwa kuzingatia lishe, Zuhura
Просмотров 23Месяц назад
Unapo kuwa na choo bora ni fursa katika familia yako pia tuna afya tele kwa kuzingatia lishe, Zuhura
Tunajivunia kufanya kweli kwa kuhakikisha maeneo yetu ya biashara yana vyombo vya taka, Stella Mgaya
Просмотров 25Месяц назад
Tunajivunia kufanya kweli kwa kuhakikisha maeneo yetu ya biashara yana vyombo vya taka, Stella Mgaya
Tufanye kweli kwa kuwa na utamaduni wa kuwashirikisha watu wetu wa karibu juu ya mahitaji ya hedhi
Просмотров 29Месяц назад
Tufanye kweli kwa kuwa na utamaduni wa kuwashirikisha watu wetu wa karibu juu ya mahitaji ya hedhi
Chale mayange
Mutenda haki mungu akujalie maisha mema
Kati ya waigizaji watakaotoka mapema kwenye soko hili la comedy ni TX dulla..ndaro, mboneke ameshapotea siku nyingi...wamelewa umaarufu...hawaumizi vichwa.
Sasa jamani mbna anaonesha fundisho la maisha naww nenda tengeneza ya kwako uone kama rahisi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Tx dullar Latisha xana
hahahahhhh
Nimeupenda sana
Thanks dr
Hongera kwa kazi nzuri ya kulinda Afya za jamii
😂😂😂😂😂😂😂😂😂dalaliiiiiii umetishaaaaa
Sijanawa sikulishi nakula mwenyewe 😅😅🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂
Nguliguli nyumbani kwetu
Amen
Amen
Amen 🙏
Wap hapo
Amin
Damu za watu wa kilimanjaro zitakulilia hadi kufa
Ameen
Kweli Mungu katulinda
Kwetu
Hapo kitu ambacho sijakisoma vizuli nalabda mngeongeza juhudi katik kitu Cha ukwalit piy
Huyo Bibi afya msalimie sana
MWALIM NAKUBALI SANA TUPO NA NYIIII SAN.NA MAMBO YATAKUWA FRESH
naikumbuka sana shule yangu from 2014 to 2018
Hongera baba yngu ezekiel snga🌹🌹
Hello
Kwetu
Tumeni ile tunayocheza nawale madada au nitumien wasapu namba kile kipandee 0745005104
Good work maafisa
Hakika wana Mlele mmeijua siri ya ushindi.
Mkomazi kwetu😂😂❤️❤️
Ameen baba
ruclips.net/video/pw5CLiuSbMo/видео.html
NIC
Wow❤❤Shule hii nilisoma mwaka 2002 hadi 2003 kisha nikahama
jambo zuri kabisa
Nagusangwa namalile!
Ndaga..fijo
Nimezipenda.nyweleza.MJOMBA.MUNGU.AKUAMSHE
Mashalha
Nimempata mkuu wangu wa wilayaaa
Hongera na pongezi nyingi kwa Serikali kupitia wizara ya Afya kwa kampeni muhimu ya "Usichukulie Poa Nyumba ni choo"
Asante
nyumba ni choo
Nakupenda sana nyumban kwetu magamba kwalukonge
hongera sana kwa health officers wote
saf
dumila nyumba nichoo
Kweli kabisa
Yan hapo kwa doct Daniel pameniacha hoi....