- Видео 58
- Просмотров 29 275
madrasatun najaah daawa center likoni
Добавлен 2 июн 2023
This channel is managed by madrasatun najaah which is in likoni , Mombasa,kenya. The main aim of this channel is to propagate Islam (daawa). We ask our Muslim brothers and sisters to help fund this madrasa to facilitate it's daily chores and facilitate payment of salary to it's teachers. Allah subhaanahu wataala will reward you abundantly. Our mpesa number is 0757102939 name Hussein bakari. For more information about our madrasa contact 0757102939 (headteacher's number)thru Whatsapp or direct call. Shukran jazaakumullaahu khayr
kalima fupi ya Mwalimu mkuu wa madrasatun najaah
kalima fupi ya Mwalimu mkuu wa madrasatun najaah
Просмотров: 37
Видео
matangazo ya washindi wa musaabaqa yaliyotolewa na jaji mkuu ustadh umar
Просмотров 6921 день назад
matangazo ya washindi wa musaabaqa yaliyotolewa na jaji mkuu ustadh umar
mwanafunzi issa bungale watatu ktk juzuu mbili
Просмотров 7121 день назад
mwanafunzi issa bungale watatu ktk juzuu mbili
mwanafunzi Ali iddi wapili ktk juzuu mbili
Просмотров 8021 день назад
mwanafunzi Ali iddi wapili ktk juzuu mbili
mwanafunzi abdurrahman Hussein wapili ktk juzuu saba
Просмотров 6121 день назад
mwanafunzi abdurrahman Hussein wapili ktk juzuu saba
mwanafunzi abdurrahiim Hussein wapili ktk juzuu tano
Просмотров 2221 день назад
mwanafunzi abdurrahiim Hussein wapili ktk juzuu tano
mwanafunzi Adam abdallah mshindi wa juzuu saba
Просмотров 2921 день назад
mwanafunzi Adam abdallah mshindi wa juzuu saba
musaabaqa wa madrasatun najaah 1446, mwanafunzi zayd Hussein mshindi wa juzuu tano
Просмотров 7121 день назад
musaabaqa wa madrasatun najaah 1446, mwanafunzi zayd Hussein mshindi wa juzuu tano
mwanafunzi issa Hashim mshindi wa juzuu mbili
Просмотров 4521 день назад
mwanafunzi issa Hashim mshindi wa juzuu mbili
mwanafunzi nurdin Muhammad mshindi wa juzuu moja
Просмотров 4221 день назад
mwanafunzi nurdin Muhammad mshindi wa juzuu moja
mwanafunzi halima kea mshindi upande wa qaida
Просмотров 6621 день назад
mwanafunzi halima kea mshindi upande wa qaida
wito kwa wapenda kheri kushirikiana nasi katika kuiimarisha madrasatun najaah
Просмотров 673 месяца назад
wito kwa wapenda kheri kushirikiana nasi katika kuiimarisha madrasatun najaah
mwanafunzi Jamal Milton akituburudisha na Quran
Просмотров 973 месяца назад
mwanafunzi Jamal Milton akituburudisha na Quran
wanafunzi wa tahfidh wasoma Aya za Quran kulingana na herufi za hijai
Просмотров 1103 месяца назад
wanafunzi wa tahfidh wasoma Aya za Quran kulingana na herufi za hijai
shuhudia wanafunzi wanavyosoma Quran kwa umahiri ktk hafla ya madrasatun najaah
Просмотров 3983 месяца назад
shuhudia wanafunzi wanavyosoma Quran kwa umahiri ktk hafla ya madrasatun najaah
Allah awahifadhi wanafunzi wetu wadogo, skiza wanavyosoma adhkar
Просмотров 1463 месяца назад
Allah awahifadhi wanafunzi wetu wadogo, skiza wanavyosoma adhkar
mwanafunzi Hassan na sheykum waliochini ya miaka mitatu wakitusomea lugha na hadith
Просмотров 3823 месяца назад
mwanafunzi Hassan na sheykum waliochini ya miaka mitatu wakitusomea lugha na hadith
tahadhari na kutafuta likes na views na comments huku unamuasi Allah
Просмотров 1 тыс.4 месяца назад
tahadhari na kutafuta likes na views na comments huku unamuasi Allah
matokeo ya mtihani wa majaribio watatu
Просмотров 784 месяца назад
matokeo ya mtihani wa majaribio watatu
matokeo ya mtihani ktk madrasatun najaah pt 1
Просмотров 717 месяцев назад
matokeo ya mtihani ktk madrasatun najaah pt 1
matokeo ya mtihani mdogo ktk madrasatun najaah
Просмотров 247 месяцев назад
matokeo ya mtihani mdogo ktk madrasatun najaah
Aina ya vazi litakalotia wanaume motoni
Просмотров 4,1 тыс.7 месяцев назад
Aina ya vazi litakalotia wanaume motoni
Subhaanallah
Nisalimie sana Zaid Hussein na Adam Abdallah. Congratulation.
Maa Shaa Allah. Baarakallahu fiikum.
Aamin yaa rabb baarakallaahu fiik
May Allah bless these beautiful children. May Allah grant them more knowledge, patience, love and competence. I feel very happy Maa Shaa Allah. God bless the whole Najjah management and the parents. Allahu baarik.
Maa Shaa Allah. Allahu baarik. Allah awajaaliye kheri na mafanikio fii duniya wal akhera. Hongera sana sheikh Hussein na jopo lako zima la walimu stadi na mahiri wa kufundisha. Allah awalipe kheri nyingi na janna.
Mashallah Jamal I love you❤
Jazaakallahu khayrah
Jazaakallahu khayrah
🤲ya Allah tusamehe madhabi zetu sisi umma Islam wako wote 😢 duniani na akherah na utujaaliye mwisho mwema utujaaliye mauti ya shahada☝️ Amina yarabilallamin 👏
@@Shadow-t7q6y aamin yaa rabb
Mashaallah Mashaallah 🙏🙏🙏
Mashasllah Allah akuzidishe
Mashallah mnapatikana wap
@@حليمةزنجبار madrasa yetu inaitwa madrasatun najaah Iko Mombasa likoni maeneo ya Brazil
AllahuAkibarr
Mashaallah
MashaAllah ❤
Mashallah
Mashallah 🎉❤
Mashallah🎉 watoto mungu awajalie hivyo hivyo
Mashaalla❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Allah awahifadhi vijana wetu
Maashaallah Allah awakuze ktk kuipenda Quran
Maashaallah tabaarakallah Allah awahifadhi na kuwaenua wanafunzi na walimu wa madrasatun najaah iliopo likoni
❤❤mashallah ❤❤
Mashaallah ❤❤
Allah akbar ni maneno mazito
Naaam watu hutusi watu na kuwapa majina ya kuudhi alafu wanajita waislamu nikutafta viwes naam 😢😢😢
Sheikh maneno ya kweli kabisa yapo kwenye jamii zetu
Kwanza mtoto wa bachu anatafta viwes
Yaan ulisema mtu a nakuita we nae mjahidina astaghfurllah
Ukiwaambia ukweli wananuna hasa wazee😡😡
Sheikh kwani taqwa llahi ni nini?? Mbona unapinga taqwa llahi sio swala nyingi au kutoa swadaqa sana au umra nyingi?? HALI YA KUWA TAQWA LLAHI NI KUKITHIRISHA MATENDO MEMA KTK IBADA ZA WAJIBU NA ZA SUNNA NA TAQWA LLAHI NI KUACHA MAOVU
Jazakumullah khaira
Allah tujalie mwisho mwema
Masha Allaj
Ni kweli
Shukran sana sheikh wetu doctor Islam
Mashallah Allah atupe mali na pia atupe moyo wakuitoa hio mali
وبشر الذين أمنوا وعملوا الصالحات ان لهم جنات تجري من تحتها الانهار 4x لكن الذين اتقوا ربهم لهم جنات تجري من تحتها الانهار 1x
Jazaaq llah kheir sheikh Islam
maashhaallah allah awahifadhi wanafunzi na walimu wao
Allah Atujaalie Tuwe watoaji wa sadaqa
Aamiyn
JazaakAllahu khair Duktur Muhammad Islam. May Allah grant you jannatul firdaus. Allahumma amiin. Greetings from Uganda 🇺🇬
Waanti jazaakillaahu khayr, aamin yaa rabb, may Allah grant you and all of us jannatul firdaws
Aaamin Yaarabbal A'lamin
Shukran
Iko wapi madrassa
Madrasa Iko likoni karibu na Brazil
Allah atakupa wepesi. Asantee Ustadh
Mimi niko nje ya nchi . In shaa llah Nivizuri kujua nikiwa tayari nakutafuta ustadh
@@MohamedGeorge-yr3cp sawa tuko pamoja kwa maelezo zaidi namba yangu ya watsup ni 0757102939
Asantee ustadh nimeiandika mahali .
Allah atuongoze
Utakachokitoa kwa ajili ya Allah hakitopotea, malipo yke ni makubwa
Kwa anayetaka kusupport jambo hili mlango uko wazi namba ya mpesa ni 0757102939
Iko wapi madrassa
Mashaallh kwa kutufundisha
Masha allah
Number ya mawasiliano ni 0757102939
Number ya mpesa ni 0757102939, na number ya Airtel money ni 0755291940, shiriki katika kheri hizi usipitwe, Allah atakulipa duniani na akhera
MashaAllah ❤ shukraan sheikh