Shamba hub
Shamba hub
  • Видео 88
  • Просмотров 98 593
UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA / MALEZI YA NDAMA / UTAJIFUNZA MENGI
#ufugaji #kilimo #COW #ufugaji #kilimo #ng'ombe
#farming #kilimo #agriculture #ufugaji #ufugajiwang'ombewamaziwa #cow #mbeyatanzania
UFUGAJI WA NG'OMBE WA MAZIWA NA TARATIBU ZAKE
KUANZINDAMA MALISHO MPAKA MAUZO
FANYA HAYA UTAPATA FAIDA KUBWA
Просмотров: 202

Видео

UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA FANYA HAYA UTAPATA FAIDA KUBWA
Просмотров 2,9 тыс.14 дней назад
#farming #kilimo #agriculture #ufugaji #ufugajiwakuku #hen #chicken UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA NA TARATIBU ZAKE KUANZIA VIFARANGA MPAKA MAUZO FANYA HAYA UTAPATA FAIDA KUBWA
KILIMO CHA KAROTI (CARROT) | MBEGU | MAMBO YA KUZINGATIA | NAMNA YA UPANDAJI | NAFASI MCHE NA MCHE
Просмотров 11228 дней назад
Fahamu mbinu Bora za Kilimo cha Karoti kama unahitaji kufanya Kilimo cha Karoti Kibiashara. 1. Mambo mbalimbali muhimu ya kuzingatia 2. Mbegu 3. Hali ya Hewa 4.Nafasi mche na Mche #farming #agriculture #agribusiness #agriculture #tanzania #carrot #carrots #karoti #organic
KILIMO BORA CHA NYANYA | MICHE BORA YA NYANYA | MAANDALIZI YA MICHE KITALUNI MPAKA SHAMBANI
Просмотров 270Месяц назад
Karibu kufahamu maandalizi ya Miche Bora ya Nyanya kutoka Kitaluni mpaka Shambani ili kupata mavuno yenye tija ya Zao la Nyanya. Kwa maulizo zaidi wasiliana nasi shambahubtz@gmail.com #farming #kilimo #tomato #farming #farm #farmlife #farmer #tractor #johndeere #farmers #nature #agro #agriculturelife #fendt #agricultura #agri #landwirtschaft #organic #harvest #horticulture #newholland #food #ag...
KILIMO BORA CHA MAHINDI MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
Просмотров 238Месяц назад
KILIMO BORA CHA MAHINDI MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA
KILIMO BORA CHA MATANGO I AINA YA MBEGU | UDONGO UNAOFAA | NAFASI YA MICHE | KILIMO CHA KISASA
Просмотров 294Месяц назад
Tazama mambo ya muhimu kuzingatia katika Kilimo cha Matango ili kupata Faida kubwa. 01. Aina ya Mbegu 02. Udongo unaofaa 03. Nafasi kati ya mche na mche 04. Jinsi ya kupanda 05. Muda wa Kuvuna #agriculture #farming #agribusiness #farming #matango #cucumber
PARACHICHI NA FAIDA ZAKE | MAFUTA YA PARACHICHI | FAIDA ZA MAFUTA YA PARACHICHI KWA AFYA
Просмотров 122Месяц назад
Fahamu namna tunda la Parachichi linavyozalisha Mafuta na Faida za Mafuta hayo kwa kwa Afya kimwili na Ngozi ya Binadamu. Mafuta haya yanazalishwa na MBEYA OIL CADO Kutoka Jijini Mbeya. #kilimo #farming #parachichi #avocado #mbeyaoilcado #onion #onions #vitunguu #vitunguumaji
IFAHAMU MBEGU BORA YA MPUNGA II MKOMBOZI KWA MKULIMA NA BIASHARA
Просмотров 313Месяц назад
#farming #kilimo #agriculture #rice #mpunga #mchele ONDOO MUHIMU ZA KILIMO CHA NYANYA CHENYE TIJA 1. Changua mbegu bora Hiki ni kipengele muhimu na cha kwanza kabisa kuzingatia, kwa kuwa mavuno mengi kwa kiasi kikubwa yanachangiwa na ubora wa mbegu uliyotumia. Chagua mbegu yenye mavuno mengi, inayokubalika sokoni kwa vitu kama umbo la tunda, ukubwa wa tunda, ugumu wa tunda n.k, inayostahamili h...
JE WEWE NI MKULIMA WA NYANYA CHUKUA HIZI DONDOO MUHIMU ZA KUZINGATIA
Просмотров 102Месяц назад
#farming #kilimo #agriculture #tomato #tomatoes #nyanya
DONDOO MUHIMU ZA KILIMO CHA MPUNGA II MAANDALIZI II MBOLEA II MAVUNO
Просмотров 1,1 тыс.2 месяца назад
#mpunga #rice #ricefarming #riceagriculture #kilimochampunga #kilimo #farming #agriculture
TAFITI ZA MBEGU ZILIZOFANYIKA TANZANIA | BUNGENI LEO | DAVID SILINDE | BENKI YA MBEGU ZA ASILI
Просмотров 482 месяца назад
Naibu Waziri wa Kilimo akijibu maswali ya Wabunge Bungeni, Tarehe 29.10.2024 #bungenileo #kilimo #farming #agriculture
MAABARA YA UZALISHAJI WA MBEGU ZA VIAZI MVIRINGO KWA NJIA YA CHUPA HAITUMII MCHANGA
Просмотров 7392 месяца назад
MAABARA YA UZALISHAJI WA MBEGU ZA VIAZI MVIRINGO KWA NJIA YA CHUPA HAITUMII MCHANGA
TAZAMA WAKULIMA WALIVYOIBIWA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 200 "ALIYEHAMISHWA ARUDISHWE"
Просмотров 323 месяца назад
TAZAMA WAKULIMA WALIVYOIBIWA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 200 "ALIYEHAMISHWA ARUDISHWE"
FAIDA ZA KITALU NYUMBA | GREENHOUSE | TEKNOLOJIA YA KISASA KWENYE KILIMO
Просмотров 1363 месяца назад
KILIMO CHA KITALU NYUMBA Faida za Kilimo cha Teknolojia ya Kitalu Nyumba (Greenhouse) 1: Kuzalisha mazao mengi katika eneo dogo. 2: Kuzalisha mazao yenye ubora zaidi. 3: Uwezo wa kudhibiti hali ya hewa (micro climate) ndani ya greenhouse hatimaye kutengeneza mazingira mazuri ya ukuaji wa mimea. 4: Kumwezesha Mkulima kuzalisha wakati wowote, kwa kuwa kitalu nyumba hutumia kilimo cha umwagiliaji....
KILIMO BORA CHA VITUNGUU MAJI I MAMBO YA KUZINGATIA | MBEGU BORA ZA VITUNGUU | KILIMO CHA KISASA
Просмотров 3,2 тыс.3 месяца назад
Fahamu taratibu za Msingi katika Kilimo cha Vitunguu maji. 01. Maandalizi ya Shamba na eneo (Udongo) 02. Vipimo katika Kulima 03. Uchaguzi wa Mbegu 04. Namna ya Upandaji 05.Muda wa kuandaa mbegu 06. Kuandaa matuta na kupanda 07. Kupalilia, Aina ya Mbolea etc. #farming #kilimo #agriculture #onion #vitunguu #mbeya #tanzania
UZALISHAJI WA MBEGU ZA VIAZI MVIRINGO II MBEGU BORA, TAZAMA MAAJABU YA MBEGU HII
Просмотров 2,7 тыс.3 месяца назад
UZALISHAJI WA MBEGU ZA VIAZI MVIRINGO II MBEGU BORA, TAZAMA MAAJABU YA MBEGU HII
KILIMO CHA CARROT NA TARATIBU ZAKE
Просмотров 1,3 тыс.3 месяца назад
KILIMO CHA CARROT NA TARATIBU ZAKE
KILIMO BORA CHA VIAZI MVIRINGO NA MBINU ZAKE - AINA MPYA YA MBEGU ITAKAYOKUSHANGAZA
Просмотров 1,1 тыс.3 месяца назад
KILIMO BORA CHA VIAZI MVIRINGO NA MBINU ZAKE - AINA MPYA YA MBEGU ITAKAYOKUSHANGAZA
KILIMO BORA CHA KABICHI NA TARATIBU ZAKE II KILIMO BIASHARA
Просмотров 1,4 тыс.4 месяца назад
KILIMO BORA CHA KABICHI NA TARATIBU ZAKE II KILIMO BIASHARA
JE UNATAKA KUKUZA KIPATO CHAKO KUPITIA KILIMO CHA MATANGO I MBEGU BORA
Просмотров 8854 месяца назад
JE UNATAKA KUKUZA KIPATO CHAKO KUPITIA KILIMO CHA MATANGO I MBEGU BORA
TAZAMA MAAJABU YA AINA HII YA NYANYA I FAIDA KUBWA SEHEMU NDOGO I MTI MREFU
Просмотров 3244 месяца назад
TAZAMA MAAJABU YA AINA HII YA NYANYA I FAIDA KUBWA SEHEMU NDOGO I MTI MREFU
KINACHOENDELEA KWENYE MRADI WA BBT (BUILDING A BETTER TOMORROW - DODOMA)
Просмотров 629Год назад
KINACHOENDELEA KWENYE MRADI WA BBT (BUILDING A BETTER TOMORROW - DODOMA)
MFAHAMU BILIONEA WA ZAO LA KAHAWA KUTOKA MKOANI SONGWE
Просмотров 2,6 тыс.Год назад
MFAHAMU BILIONEA WA ZAO LA KAHAWA KUTOKA MKOANI SONGWE
#FAHAMU UGONJWA UNAOATHIRI KAHAWA CBD | DAWA ZA KUZUIA NA KINGA | KAHAWA YA VIKONYO
Просмотров 683Год назад
#FAHAMU UGONJWA UNAOATHIRI KAHAWA CBD | DAWA ZA KUZUIA NA KINGA | KAHAWA YA VIKONYO
#FAHAMU KILIMO CHA KAHAWA | SHAMBA DARASA | JINSI YA KUPANDA KWA VIPIMO | MBOLEA KUPANDIA NA KUKUZIA
Просмотров 5 тыс.Год назад
#FAHAMU KILIMO CHA KAHAWA | SHAMBA DARASA | JINSI YA KUPANDA KWA VIPIMO | MBOLEA KUPANDIA NA KUKUZIA
FAIDA ZA ZAO LA KAHAWA KWA WAKULIMA WADOGO | MRADI WA PACE | SOLIDARIDAD | TaCRI | SHAMBA DARASA
Просмотров 193Год назад
FAIDA ZA ZAO LA KAHAWA KWA WAKULIMA WADOGO | MRADI WA PACE | SOLIDARIDAD | TaCRI | SHAMBA DARASA
#FAHAMU KILIMO CHA KAHAWA | FAIDA | MBEGU ZA COMPACT/ CHOTARA | SIFA ZAKE | AFYA YA UDONGO |MAGONJWA
Просмотров 952Год назад
#FAHAMU KILIMO CHA KAHAWA | FAIDA | MBEGU ZA COMPACT/ CHOTARA | SIFA ZAKE | AFYA YA UDONGO |MAGONJWA
MKUTANO WA PROGRAM YA BUILDING A BETTER TOMORROW | USHIRIKI WA MASHIRIKA BINAFSI | DODOMA
Просмотров 109Год назад
MKUTANO WA PROGRAM YA BUILDING A BETTER TOMORROW | USHIRIKI WA MASHIRIKA BINAFSI | DODOMA
MICHE YA KAHAWA COMPACT | KILIMO CHA KAHAWA | PASSPORT TO COFFEE EXPORT | PACE | SOLIDARIDAD
Просмотров 21Год назад
MICHE YA KAHAWA COMPACT | KILIMO CHA KAHAWA | PASSPORT TO COFFEE EXPORT | PACE | SOLIDARIDAD
KILIMO CHA MAHINDI NA MPUNGA |LIMA KISASA | MATUMIZI YA ZANA BORA ZA KILIMO | AGRICOM TANZANIA
Просмотров 3,3 тыс.Год назад
KILIMO CHA MAHINDI NA MPUNGA |LIMA KISASA | MATUMIZI YA ZANA BORA ZA KILIMO | AGRICOM TANZANIA