- Видео 17
- Просмотров 11 493
HERMAN ( BINGWA WA TAA TREN)
Добавлен 12 сен 2019
This channel is for learning various formulas of our favorite game😃😃 I use it, you will not regreat following this channel👌👌
Taa ya treni hiyo
#checkers #chess #checkeredgooseshoes #chessgame #dogo #checker #games #dogoally #noel
Просмотров: 836
Видео
taa ya treni
Просмотров 5394 месяца назад
#checkers #chess #checkeredgooseshoes #chessgame #checker #games
tege
Просмотров 4814 месяца назад
#checkers #checkeredgooseshoes #dogo #chess #checker #games #chessgame
MABANO
Просмотров 1,5 тыс.4 месяца назад
human beings are created to forget.. oh almighty god let us grant your servants a happy ending 🤲🤲 #checkers #chess #checkeredgooseshoes #chessgame #dogo #checker #dogoally #noel #games
MABANO
Просмотров 9674 месяца назад
Don't wake the sleeping one..you have taught us the evil spirit yourself #checkers #chess #chessgame #checkeredgooseshoes #checker #games #dogoally #noel #dogo
MABANO
Просмотров 1 тыс.4 месяца назад
hello hello we continue where we left off #chess #checkers #chessgame #checker #dogo #checkeredgooseshoes #noel #dogoally #games
MABANO (bana mbili)
Просмотров 4224 месяца назад
in this video I have shown various methods of playing and running this formula when you meet it in a match #checkers #checkeredgooseshoes #chessgame #checker #chess #games #noel #dogoally #dogo
FREE STYLE 😃😄😃 Sio matege tu kila wakati
Просмотров 9764 месяца назад
FREE STYLE 😃😄😃 Sio matege tu kila wakati
TAA YA TREN
Просмотров 8394 месяца назад
#checkers #chess #checkers #chess #checkeredgooseshoes #dogo ally # dogo sisco
TAA YA TRENI
Просмотров 9065 месяцев назад
TAA ya treni almaarufu meja nne😃 #checkeredgooseshoes #chess #checkers #chessgame
Kwamfano unapomshutua apo akila mbili na sio moja inakuaje
Safi sana mkuu
Uko poa sana, umetususa kuachia ngoma mpya
Shukrani
Kiongozi hii ngoma Ina step za Goli ? Maana sare zake tayar tumezipata
Uko vizuri tunafatilia
Nakubali fundi mkubwa
Unafundisha vIzuri
Nahitaji kopi. Yaani kopi zilizokamilika. Jinsi ya kushinda. Nafahamu sumu ya pandu peke yake huwa nikikutana na mtu asiyeijua bashunda kirahisi sana. Nataka kopi zingine ili nikikutaba na wasiozijua niwapige kirahisi nami nikikutana na wanaozijua niweze kutoa droo. Nipo tayari kulipa.
Mwalimu mzuri sana. Weka namba yako ya simu.
Bao zuri
Unafundisha vizuri sana
Oya jamaa hivi ngoma zako ndio zilikuwa zinarushwa kwenye ile account ya Draft game Tanzania?
Sio huyu yule ni king jefa au dogo japhari,
Vp fundi
Nakubali sana fundi wangu helman 💪🏻
Pamoja sana🔥
Hii ngoma imemtesa sana Montolivo wakati anacheza na Iwobi nilifatilia kwa makini sana
Hii ndo dawa yake😃