- Видео 35
- Просмотров 65 797
Michael online Tv
Добавлен 18 ноя 2016
For video clips of popular Talented Tanzania organist kindly subscribe our channel
Видео
Mpeni Bwana enyi jamaa za watu -B.Idama
Просмотров 1,2 тыс.3 месяца назад
Mpeni Bwana enyi jamaa za watu -B.Idama
Kwako bwana zinatoka sifa zangu-J.Mgandu @paulomtumemsewe
Просмотров 4304 месяца назад
Kwako bwana zinatoka sifa zangu-J.Mgandu @paulomtumemsewe
Waufumbua Mkono Wako-Ernestus Ogeda Utulivu wa hali ya Juu sana
Просмотров 8335 месяцев назад
Waufumbua Mkono Wako-Ernestus Ogeda Utulivu wa hali ya Juu sana
Tumezitafakari Fadhili zako-Alex Rwelamira
Просмотров 6735 месяцев назад
Tumezitafakari Fadhili zako-Alex Rwelamira
Yu heri ashikae amri za Bwana - F.E Nyanza
Просмотров 6566 месяцев назад
Yu heri ashikae amri za Bwana - F.E Nyanza
Nitajongea Altare ya Bwana Yesu-Msangule A.J
Просмотров 8247 месяцев назад
Nitajongea Altare ya Bwana Yesu-Msangule A.J
Hiki kidogo nilichoandaa-Baraka Thomas Mashibe@MashibeBaraka
Просмотров 3 тыс.7 месяцев назад
Hiki kidogo nilichoandaa-Baraka Thomas Mashibe@MashibeBaraka
Hubirini kwa sauti ya kuimba - Ernestus Ogeda
Просмотров 7698 месяцев назад
Hubirini kwa sauti ya kuimba - Ernestus Ogeda
Kwako bwana zinatoka sifa zangu-Ernestus Ogeda
Просмотров 7958 месяцев назад
Kwako bwana zinatoka sifa zangu-Ernestus Ogeda
Najua mtetezi wangu yu hai -Shanel komba
Просмотров 7138 месяцев назад
Najua mtetezi wangu yu hai -Shanel komba
Bwana utuinulie nuru ya uso wako-Alex Rwelamira
Просмотров 1,3 тыс.8 месяцев назад
Bwana utuinulie nuru ya uso wako-Alex Rwelamira
Ahimidiwe Mungu Baba - Shanel Komba
Просмотров 1,3 тыс.2 года назад
Ahimidiwe Mungu Baba - Shanel Komba
Jiwe walilo kataa waashi - B.Simfukwe
Просмотров 18 тыс.2 года назад
Jiwe walilo kataa waashi - B.Simfukwe
Ni neno jema kumshukuru Mungu -B.Mpupe
Просмотров 2,3 тыс.2 года назад
Ni neno jema kumshukuru Mungu -B.Mpupe
Fundi,,pole kwa jukumu zito😅
@@Emmanuely972 hakika hii ilikuwa nzito 😂
Well done maestro
@@Apollinarisclaudius-kl4ly thanks brother 🙏🏼
Hongeleni kwautume mmeimbavizuri
Shukran sana
Safi sana kaka katika ubora wako barikiwa sana amoja na wanakwaya wote.
Shukrani sana 🙏🏼
🎉🎉🎉
Nakubal
Shukrani talented soloist 🙏🏼
Nipe siri ya fingering yako...imeniacha😮
Safi sana
@@heavenlymusicproduction4360 shukran sana kaka role modal
Bila fujo 🙌🏽
😀 naam naam
😀 naam naam
Hongera Michael
@@josephmwaura8835 shukrani sana kaka
🔥🔥🔥
@@rosesimchimba9913 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Napenda sana hiii
Shukrani sana 🙏🏼
🔥🥰
🙏🏼🥰
Kaka hongera sana naomba ushare huo wimbo nimetafuta siuoni
@@juliusbaynit1060 Sawa share namba yako nakutumia through whatsup
Maestro 🔥
🙏🏼 shukrani
Furahini katika Bwana tena nasema furahini Bwana yu karibu ❤
Hiyo ni ar 100 ama 80
Hii ni 100
Hongera sana Michaelll
Asante mkuu
Safiiiiii saasita fundiiii na wewe pia kinanda umeupiga mwingiiii
Shukran sana mkuu
Tunamtazamia mwokozi wimbo safi kabsa wa maajilio 🎉
🙌🙌🙌🙌🙌
🙏🏼🙏🏼
👏👏👏
@@CleivansChalamila 🙏🏼🙏🏼
Mungu Unihifadhi mimi kwa maana nimekukimbilia wewe 🎉🎉
❤
🙏🏼
🎉🎉🎉🎉
🙏🏼🙏🏼
🎉🎉🎉🎉
@@fabiansululi7511 🙏🏼🙏🏼
Unyama sana mkuu
@@Robertntakandi shukrani sana mkuu
Kazi nzuri my brother ❤
Asante sana ❤️
Simchimba💪
@@fabypita6648 nakubali maestro 🙏🏼
Safi
@@MzikiWaMbinguni shukrani
Na kabeat ketu😅😅🙌🏽🔥🔥
Ka beat unyama sana wewe na kaka ako si hamtaki kuweka nyingine 😂😂
@ 😂🤣
My brother...congrats
Thanks my dearest sister
Safii mkuu
Asante sana mkuu
Bwana mfalme ameketi milele 🎉🎉 what a song ❤
Congrats
@@afyayangutv6015 shukrani sana 🙏🏼
Soft touch, good brother endelea kuleta vitu
@@fabbymichael8913 shukrani mkuu🙏🏼
Safiiiiii
@@LaudisLiveti shukrani mkuu 🙏🏼
Iko funguo gan
@@emmanuelgrayson3276 A flat major mkuu
@@michaelonlinetv nichez A major au G ipi kat ya HIZO mm flat siijui
@@emmanuelgrayson3276 yoyote kati ya hiyo ila G ndo inaweza kuwa rahisi
Utukufu kwa Mungu kaka🙏
@@arnoldsenior5249 Amina kaka 🙏🏼
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@@KWAYAYAMT.ALOYCEGONZAGANZOVWE ❤️
🎉
Free organ unyama🎉
Maestro🔥🔥🔥🔥…… Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe kaka😁
@@thomasgrassian kaka wewe ndo rolimodo 😂😂😂
Hio slight movement naona imechangiwa una urefu wa vidole MAESTRO😂
@@FamPlumbing-du6mg Hata wewe hii unapiga vzr tu maestro
napenda apo mahali unateremka octave mzima😂😂vidole vinatembea kwelikweli
Alipaweka vzr sana 😂
chimbo jipyaaaa😃😀
😂😂😂 ukienda sehemu kuna mali safi lazima uiguse kidogo
kazi safi sana
Nashukuru
Mpeni Bwana enyi jamaa za watu Mpeni Bwana Utukufu na nguvu Mpeni Bwana Utukufu unao stahili jina lake Leteni sadaka mkaziingie Nyua zake 🙏🏼
Wimbo mzuri kweli yan, vizuri Sana kak
Asante sana 😊🙏🏼
Tisha sana🙌🏽🙌🏽🔥
@@goldenthemetv nakubali sana kaka role modal