- Видео 19
- Просмотров 14 687
Kwaya ya Mt. Yuda Thadei Kinyerezi(Waimba Biblia)
Танзания
Добавлен 13 ноя 2023
Kwaya ya Mt. Yuda Thadei (Waimba Biblia - Mahujaji) ni kwaya iliyoanzishwa mnamo tarehe 15/11/2019.
Kwaya inahudumu katika parokia ya Mt. Bonaventura Kinyerezi, Jimbo kuu katolik Dar es salaam.
Waimba Biblia - Mahujaji hawa ni wana UTUME WA KWAYA KATOLIKI TANZANIA (UKWAKATA) katika muziki wa kanisa kwa mapana:
1. Muziki mtakatifu
2. Muziki wa Liturujia
3. Muziki wa dini
4. Muziki wa maabudio na sifa
Tunawakaribisheni waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kusikiliza na kutazama mojawapo ya kazi zetu tunazoziweka katika channel hii kwa lengo la kuinjilisha kwa njia ya uimbaji
Tafadhari bonyeza vitufe vya kujisajili
1. Subscribe
2. kengele (bell) kwa ajili ya Taarifa (notfication)
Tuamshwe kwa kauli mbiu ya mt. Augustino
"Qui bene catat bis orat" yaani "Yeye aimbaye vizuri husari mara mbili"
KARIBUNI SANA
Kwaya inahudumu katika parokia ya Mt. Bonaventura Kinyerezi, Jimbo kuu katolik Dar es salaam.
Waimba Biblia - Mahujaji hawa ni wana UTUME WA KWAYA KATOLIKI TANZANIA (UKWAKATA) katika muziki wa kanisa kwa mapana:
1. Muziki mtakatifu
2. Muziki wa Liturujia
3. Muziki wa dini
4. Muziki wa maabudio na sifa
Tunawakaribisheni waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kusikiliza na kutazama mojawapo ya kazi zetu tunazoziweka katika channel hii kwa lengo la kuinjilisha kwa njia ya uimbaji
Tafadhari bonyeza vitufe vya kujisajili
1. Subscribe
2. kengele (bell) kwa ajili ya Taarifa (notfication)
Tuamshwe kwa kauli mbiu ya mt. Augustino
"Qui bene catat bis orat" yaani "Yeye aimbaye vizuri husari mara mbili"
KARIBUNI SANA
Tunakushukuru wewe Bwana Syote
Kwaya Mtakatifu YudaThadei kinyerezi wakiimba kwenye Tamasha katika sherehe ya kumbukumbu ya mtakatifu Yohane wa Msalaba Malamba mawili
Organisti: Nicolas Siwiti
Conductor: Anthony Komanya
Solorist : Agness Siwiti
Kwaya: Mt. Yuda Thadei Kinyerezi
Organisti: Nicolas Siwiti
Conductor: Anthony Komanya
Solorist : Agness Siwiti
Kwaya: Mt. Yuda Thadei Kinyerezi
Просмотров: 214
Видео
Naimba kwa furaha
Просмотров 2244 часа назад
Kwaya Mtakatifu YudaThadei kinyerezi wakiimba kwenye Tamasha katika sherehe ya kumbukumbu ya mtakatifu Yohane wa Msalaba Malamba mawili Organisti: Nicolas Siwiti Conductor: Anthony Komanya Kwaya: Mt. Yuda Thadei Kinyerezi
Msifuni Mungu Syote
Просмотров 964 часа назад
Kwaya Mtakatifu YudaThadei kinyerezi wakiimba kwenye Tamasha katika sherehe ya kumbukumbu ya mtakatifu Yohane wa Msalaba Malamba mawili Organisti: Nicolas Siwiti Conductor: Anthony Komanya Solorist : Agness Siwiti Kwaya: Mt. Yuda Thadei Kinyerezi
Ee Nafsi yangu umsifu Bwana Dominika ya 23 mwaka B
Просмотров 1 тыс.3 месяца назад
Mtunzi: Alex Rwelamira waimbaji : kwaya ya Mt. Yudathadei Kinyerezi Mzaburi: Agness Yusto Siwiti Mtiribu: Anthon Komanya Organist: Nicholaus Yusto Siwiti
FADHILI ZA BWANA NITAZIMBA MILELE
Просмотров 2683 месяца назад
Mwimbaji: Agness Yusto Siwiti Organist: Anthoni Komanya Mtunzi : Beatus M. Idama
NITAMSHUKURU BWANA KWAMOYO WANGU WOTE
Просмотров 1,1 тыс.4 месяца назад
NITAMSHUKURU BWANA KWAMOYO WANGU WOTE
AKAWANYESHEA MANA
Просмотров 2,7 тыс.4 месяца назад
Zaburi ya kiitikizano dominika ya 18 ya mwaka B wa kanisa akawanyeshea mana ili wale mtunzi: BM Idama waimbaji: kwaya ya Mt Yuda Thadei kinyerezi mzaburi: Anitha Malimali Kinanda : Y. Siwiti
Ee Bwana utuonyeshe Rehema zako utupe wokovu wako dominika ya 15 mwaka B wa kanisa
Просмотров 2055 месяцев назад
Zaburi ya kiitikizano dominika ya 15 B ya kanisa mtunzi: BM Idama Wimba zaburi : Anitha Malimali Organist: Anthon Komanya Wanakwaya: Mt. Yuda Thadei Kinyerezi Mtiribu: BM Idama
ENYI WATU WA SAYUNI TAZAMENI
Просмотров 2335 месяцев назад
Enyi watu wa sayuni tazaneni mtunzi: BM Idama Mpiga kinanda : Nicolas Siwiti waimbaji: kwaya ya Mt. Yuda Thadei kinyereze
Zaburi ya kiitikizano Dominika ya 14
Просмотров 1,1 тыс.5 месяцев назад
Dominika ya 14 zaburi ya kiitikizani kwaya ya Mt. Yuda thadei kinyerezi Mtunzi BM Idama
Zaburi ya kiitikazano dominika ya utatu mtakatifu
Просмотров 2066 месяцев назад
Zaburi ya kiitikizano ya dominika ya Utatu Mtakatifu waimbaji ni kwaya ya Mtakatifu Yuda Thadei parokia ya Mtakatifu Bonaventure Kinyerezi mtunzi: Beatus Manota Idama
ENYI WATU WA GALILAYA MBONA MMESIMAMA. BY BM IDAMA
Просмотров 1916 месяцев назад
Wimbo wa mwanzo wa kupaa bwana utunzi wa mwalimu Beatus Idama na umeimbwa na kwaya ya Mt Yuda Thadei Kinyerezi
MISA YA MALKIA WA MBINGU, MWANAKONDOO BY J. MKOMAGU
Просмотров 786 месяцев назад
MISA YA MALKIA WA MBINGU, MWANAKONDOO BY J. MKOMAGU
Dom.4.Majilio Mwk B;Shukrani(Nitamshukuru Bwana)
Просмотров 15011 месяцев назад
Dom.4.Majilio Mwk B;Shukrani(Nitamshukuru Bwana)
Hadi raha ❤
🎉🎉🎉🎉
Wow Hongera sana binti una sauti ya malaika 🎉🎉🎉🎉 hongereni mnaweza❤
Hongereni Kwa uinjilishaji uliotukuka 👏
Nice performance
Hongera sana mtoto Agness Mungu akuze kipaji chako, pongezi kwa wanakwaya wote.
Hongereni sana kwaya ya mt Yuda thadei mmeimba vizuri sana
Hongereni sana
Hongereni sana waimbaji na mzaburi mtoto, yuko vizuri sana.
Hongereni sanaa ila naiomba jina.mtunzii ili niipate
Hongereni sana.
Mtangaza Neno Mtotto, Mpiga Kinanda Mtoto na Muimba Zaburi Mtoto. Amazing liturgical display
Tungo nzuri, uimbaji mzuri, kinanda na mzaburi woow! Utiribu uliojaa weledi na kulimiliki kundi vizuri sana. Tumshukuru Mwenyezi
Ee nafsi yangu umsifu Bwana
safi sana
Tamu, fupi. Kongole kwa Agnes kwa sauti ya dhahabu
Fadhili za Bwana nitaziimba milele.
Huu wimbo unanibariki sana mbarikiwe sana
Nyimbo hizi ni sanitizer za roho.
Amina 🎉🎉❤
Zab. 111:1-3 Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote. Requescat in pace Revendissimo Padre Malema Lui Mwanampepo
Mungu awabariki Kwa utume wenu❤
Halleluya
Ee Bwana utuonyeshe rehema zako, utupe wokovu wako.
❤❤ 🎉🎉🎉 kijana Mdogo Balaa
Enyi watu wa Sayuni tazameni, Bwana atakuja kuwaokoa mataifa.
Hongereni sana.
Sifa kwa Kristo. Asante sana.
Aisee Mahali hapa panatisha sana Kwaya inafanya kazi nzuri sana nashukuru sana Waimba Biblia kwa Uinjilishaji Bora
Impendeze Mwenyezi
Baba Yangu B. Idama na Brother Komanya ni hatareee.......
Tumpe Mwenyezi utukufu, sifa na shukrani
❤❤❤ Amina 🎉🎉🎉
Hongereni, wana Yuda Thadei ,melody za kivatican mbarikiwe sana
Kwa sifa ya Mwenyezi
Nasikiliza nikiwa Mwanza. Baraka kwenu nyote wana Mt. Yuda Thadei
Tumshukuru Mungu
"Macho yetu humwelekea Bwana Mungu wetu hata atakapoturehemu"
Mbarikiwe nyote
Aminaaa Aminaaa Aminaaa Aminaaa Aminaaa Aminaaa ❤❤❤❤Mwl Wang Idama Ubarikiwe mnoooo Mtumishi wa MUNGU Mwenyezi
Tumshukuru Mungu
ALELUYA!
hatari🎉🎉❤
Kongole keen wanna Yuda thadei
Tumshukuru Mungu
Kongole
Nzuri na sauti tamu imetulia Hongera sana Mwl Idama
Tumshukuru Mungu
Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao.
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ congratulations 👏👏👏
God bless abondantly❤
thanks @yameogofrancosdassise2217
The organist himself Anthony Komanya, and the Pilgrims
alooo safi mnoo❤❤❤❤❤🎉🎉 Mtunzi konki
Kazi nzuri, copy yake naipataje?..
Bonge la wimbo
Iwekwe swahili music jaman msitubanie ivo
Waamini na waridhiwa wa Bwana tuinjilike kwa sifa na utukufu wa Mwenyezi na kwa wokovu wa roho zetu.
Mbinguni kuna kazi moja tu- KUIMBA. Na hatutajifunza kuimba tukifika mbinguni. Tunajifunza kuimba kimbingu tungali duniani. Nanyi mmeimba kwa moyo wa adhama. Mbarikiwe