Tanzania Marketing Pro
Tanzania Marketing Pro
  • Видео 26
  • Просмотров 49 289
Jinsi ya kuzishinda changamoto 5 katika BIASHARA | UJASIRIAMALI
Katika video nitakufundisha jinsi ya kuzishinda changamoto 5 katika BIASHARA na UJASIRIAMALI. Wafanya biashara wengi mtandaoni hufanya makosa haya wanapoanza kuuza bidhaa au huduma. Hivyo kupitia video hii natumai kila mjasiriamali atapata SULUHISHO la tatizo la kushindwa kuuza mtandaoni...
Biashara mtandaoni
Masoko mtandaoni
Sales and marketing
Digital marketing
Просмотров: 28

Видео

Jinsi ya Kuagiza Bidhaa China/Nunua Bidhaa China kwa Bei Chee #alibaba
Просмотров 137Год назад
Jinsi ya Kununua Bidhaa China #alibaba #onlineshopping #aliexpress #chinesesupplier #logistics #business #trading Utangulizi wa Jinsi ya Kununua Bidhaa China kwa Bei Chee kutoka viwandani. Simu: 0786866125
Jinsi ya kupata SUBSCRIBERS 1000 kwa haraka katika YOUTUBE
Просмотров 32Год назад
Katika video hii nitakufundisha jinsi ya kupata subscribers 1000 katika channel ya RUclips. Hatua ambazo nimezielezea ni hatua ambazo mimi na wengine wengi tuliofanikiwa katika ukuzaji wa channel ya RUclips. Hivyo ukifuatilia hatua zote nilizo zieleza ni matumaini yangu kuwa hutaongeza tu Subscribers: na VIEWERS na WATCHING HOURS pia. #jinsiya #youtubecontentcreating #techunterglobal #jinsiyaku...
JINSI YA KUANGALIA FORM ONE SELECTION SELECTION 2024
Просмотров 280Год назад
Form one selection 2024 Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Kwanza mikoa yote Tanzania mwaka 2024.
Jinsi ya kutazama wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2024 #tamisemi
Просмотров 2,4 тыс.Год назад
TAMISEMI Waliochaguliwa Kidato cha kwanza 2024 Form One Selection 2024-25 Release Out Haya hapa Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2024/2025 Jinsi ya kutazama majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Kwanza 2024/2025 Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Kwanza mikoa yote Tanzania Tazama waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza mwaka 2024 Dodoma, Mwanza, Dar es salaa...
Jinsi ya kuingiza Sh. 5000 kwa simu kila siku/how to make Tsh. 5,000 through a phone per day
Просмотров 97Год назад
Katika video hii nitakufundisha jinsi ya kuingiza Shilingi elfu tano TZS 5,000 kwa simu yako kila siku. Watu wengi wanapenda kujua jinsi ya kutengeneza pesa online. Lakini hadi sasa bado hawajapata mahali sahihi. Mimi ni mtaalamu wa IT nakuibia siri leo; kuna watu wanatengeneza pesa nyingi sana kupitia SURVEY APP. #premise #howtomakemoneyonline #moneymaker
Umuhimu wa MAJI katika MAZINGIRA /Zijue faida za MAJI
Просмотров 128Год назад
Maisha ya viumbe hai yanategemea MAJI. Hivyo leo katika video hii nitafafanua umuhimu wa MAJI katika MAZINGIRA na jinsi yanavyosadia maisha ya viumbe hai. Kuna umuhimu sana wa Elimu ya MAZINGIRA kufundishwa kwa kizazi chetu. Hii itapelekea uelewa mpana wa kutunza vyanzo vya MAJI na kunufaika navyo pia. #maji #mazingira #viumbehai #misitu
Kabla ya kifo changu, yasikilize maneno haya mwanangu/ wosia kwa mtoto
Просмотров 34Год назад
Mara nyingi wazazi huwa tunakosa maneno ya busara kwa watoto wetu. Watoto hukua huku wakitofautiana kutokana na mazingira. Leo nitakufundisha ujumbe mzito wa mzazi kwa mwanao ili kuongeza nguvu ya mapambano. Tazama mwanzo hadi mwisho kujifunza namna ya kumpa wosia mtoto wako... #mwananguyasikilizemanenohaya #kablayakifochangu #siriyafamilia #wosiakwamwanangu #familia #malezi #yasikilizemanenoha...
Jinsi ya kukata background na kutengeneza thumbnail kwa SIMU
Просмотров 24Год назад
Katika video hii nitakufundisha jinsi ya kukata background ya PICHA na kutengeneza thumbnail ya video yoyote. Nitakufundisha hatua kwa hatua ili uweze kutumia simu yako kama computer. Tazama video hii mwanzo hadi mwisho... Kama utakwama mahali nitafute kwa simu na: 0786866125 #graphicdesign #pixellab #remove.bg #thumbnail #removebackground #howtodesighthumbnail Please, subscribe, share and like
Jinsi ya kuandaa CV ya maombi ya kazi | Andika hivi CV upate kazi yoyote ile kwa haraka #cv
Просмотров 639Год назад
Katika video hii nitakufundisha #jinsi ya kuandika #cv Kama utakwama usisite kunitafuta kwanamba yangu ya simu 0786 866 125. Usisahau ku like| ku share | ku comment video hii. Jinsi ya kuandika CV. CV ya kisasa inayohitajika kuomba kazi mahali popote pale. Andika hivi CV yako upate kazi. Vipengele 8 vya CV nzuri. Curriculum vitae How to write curriculum vitae #cv #curriculum #curriculumvitae #j...
Jinsi ya kutazama/kuyapata matokeo ya Darasa la Saba 2023 mikoa yote Tanzania
Просмотров 25 тыс.Год назад
Tazama matokeo ya Darasa la Saba mikoa yote Tanzania kwa kubofya link hii hapa ruclips.net/video/Av00ppF5_LA/видео.html Subscribe, share like & comment Matokeo Darasa la Saba 2023 Matokeo Darasa la Saba mikoa yote Tanzania Matokeo yametangazwa leo Matokeo ya Darasa la Saba mikoa yote Tanzania 2023 . Bonyeza link ya mkoa wako✅ . Arusha✅ matokeo.necta.go.tz/results/2023/psle/results/reg_01.htm Ir...
Jinsi Biashara ya Daycare INAVYOLIPA daycare, Nursery school
Просмотров 1 тыс.Год назад
Siku za hivi karibun, kumetokea mapinduzi ya hali ya juu ya Viwandani. Hivyo watu wengi sana wanafanya kazi na Biashara. Embu leo nikufundishe Jinsi Daycare INAVYOLIPA. Day care ni pesa fasta, #daycare #childrencaretips #biasharayadaycare #shulerking #Biasharayadaycare
Lesson 1: Parts of Speech in English Language (English Language Class)
Просмотров 17Год назад
Welcome to this lesson. I'm going to teach you Parts of Speech in English Language. #english #englishgrammar #partsofspeech #learning #englishlesson #englishforbeginners #learnenglish #englishsubject #standard5 #standard6 #standard7 #primaryschool #englishmedium By Sir. Alex Maganga Phone: 0786 866 125
SEHEMU YA - 02: Utajiri wa Rafiki Yangu Ulivyofanya Nikamuamini Shetani
Просмотров 70Год назад
SEHEMU YA - 02: Utajiri wa Rafiki Yangu Ulivyofanya Nikamuamini Shetani
SEHEMU YA - 01: Utajiri wa Rafiki Yangu Ulivyofanya Nikamuamini Shetani
Просмотров 164Год назад
SEHEMU YA - 01: Utajiri wa Rafiki Yangu Ulivyofanya Nikamuamini Shetani
Mwanamke Hatari Zaidi Kuwahi Kutokea Duniani | The Story Plus
Просмотров 1,2 тыс.Год назад
Mwanamke Hatari Zaidi Kuwahi Kutokea Duniani | The Story Plus
Harmonize Mpambanaji Mwenye Utajiri wa Kutisha / Historia ya Utajiri Wake
Просмотров 82 года назад
Harmonize Mpambanaji Mwenye Utajiri wa Kutisha / Historia ya Utajiri Wake
Matokeo ya KIDATO CHA NNE 2022 Haya Hapa (Form Four Results 2022)
Просмотров 1,1 тыс.2 года назад
Matokeo ya KIDATO CHA NNE 2022 Haya Hapa (Form Four Results 2022)
Jinsi ya KUFANYA photo retouch kwa #PhotoshoCC
Просмотров 4202 года назад
Jinsi ya KUFANYA photo retouch kwa #PhotoshoCC
Mafunzo Ya Ms EXCEL Kutoka Sifuri Hadi Kuimaster Kabisa | #MicrosoftExcel Ep. 1
Просмотров 3,3 тыс.2 года назад
Mafunzo Ya Ms EXCEL Kutoka Sifuri Hadi Kuimaster Kabisa | #MicrosoftExcel Ep. 1
How to Make Passport Size in PHOTOSHOP CC | Ep. 2
Просмотров 322 года назад
How to Make Passport Size in PHOTOSHOP CC | Ep. 2
Jinsi ya Kuyagawa Maneno Ndani ya Adobe Photoshop CC | Ep. 1
Просмотров 162 года назад
Jinsi ya Kuyagawa Maneno Ndani ya Adobe Photoshop CC | Ep. 1
Jinsi Ya Kuandika BARUA Ya KAZI | Ukiandika BARUA Ya KAZI Hivi Utapata KAZI Mara Moja
Просмотров 9 тыс.2 года назад
Jinsi Ya Kuandika BARUA Ya KAZI | Ukiandika BARUA Ya KAZI Hivi Utapata KAZI Mara Moja
BIASHARA YA DAYCARE, AJIRA MKONONI
Просмотров 4,8 тыс.2 года назад
BIASHARA YA DAYCARE, AJIRA MKONONI

Комментарии