- Видео 15
- Просмотров 7 185
Willrose Denis
Добавлен 13 мар 2023
Gospel Musician from Tanzania
Willrose Denis - Namaste ( official audio visualizer)
Namaste ni neno kutoka katika Taifa la India hutumika kwa salamu, inamaanisha Heshima.
Keep listening Namaste on All digital Platforms
www.boomplay.com/share/music/193283960?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
#namaste #willrose #india
Keep listening Namaste on All digital Platforms
www.boomplay.com/share/music/193283960?srModel=COPYLINK&srList=ANDROID
#namaste #willrose #india
Просмотров: 98
Видео
WILLROSE DENIS - Samehe ( Lyrics Video)/KABLA YA MWAKA 2024 KUISHA MSAMEHE ALIYEKUKOSEA/ TUPENDANE
Просмотров 16914 дней назад
Music Video by #Willrose performing "Samehe" Download & Stream Samehe www.boomplay.com/songs/170177737?srModel=COPYLINK&srList=WEB Producer JogaBeat Director Odimbo #gospelmusic #samehe
AMENIFANYIA AMANI BY PAUL CLEMENT GUITAR CHORDS/ KEY OF C AND D/ BEGINNERS
Просмотров 3121 день назад
AMENIFANYIA AMANI Wimbo ulioimbwa na Mtumishi wa Mungu Minister Paul Clement #tutorial #paulclement #amani @paulclement25 @CLOUDSMEDIA
WILLROSE DENIS - NAENDA KANANI ( AUDIO VISUALIZER)
Просмотров 2228 дней назад
Naenda Kanani ni wimbo wa maombi uliobeba tumaini ya kwamba haya yote ninayopitia liko tumaini la kutokea furaha iko mbele yangu #naendakanani #kariakoo #maombi @joellwaga @paulclement25 @agapegospelband @rehemasimfukwe @EvelynWanjiru @ManoloKenya @zoravoofficial607 @bellakombo @TBC_Online @CLOUDSMEDIA @CrownMediaTZ @Wasafi_Media
WILLROSE DENIS - NAENDA KANANI / MAOMBI YETU KWA NDUGU ZETU WA KARIAKOO MUNGU YUPO PAMOJA NANYI
Просмотров 2,9 тыс.Месяц назад
Naenda Kanani Wanaisraeli walipitia magumu mno wakiwa utumwani katika nchi ya Misri, Musa akawa shujaa wao na kuwaongoza kuelekea Kanani, japo walipitia magumu lakini Mungu aliwasaidia kuwavusha Katikati ya Bahari ya Shamu, waliona Kiu jangwani lakini Mungu akawapa maji na Kuwapa Chakula ambacho wao walikiita Mana. Leo hii ndugu zetu waliofukiwa na kifusi pale Kariakoo wakipambania uhai wao wak...
MIFUPANI BY JOEL LWAGA GUITAR CHORDS/ TUTORIAL KEY D/ CHORDS PROGRESSION C G Em D FOR BEGINNERS
Просмотров 22Месяц назад
Mifupani by Joel Lwaga #mifupani #joellwaga #guitarchords
USHINDI WA YANGA LEO DHIDI YA SIMBA/ YANGA NI MABINGWA WILLROSE DENIS AWAIMBIA WIMBO HUU CHAMPIONS
Просмотров 2,8 тыс.4 месяца назад
Wimbo huu ni maalum wa hamasa kwa wachezaji wetu na mashabiki wananchi wa Young African *YANGA* WIMBO: Champions 🏆🏆🏆 PRODUCER: JUNIOR MASTER Twendeni huu ndio muda wetu kuwaonyesha show ya kibabe. VIDEO KWA HISANI YA YANGA #simbanayanga #derby #jangwani
Willrose Denis - Zaid Ya Jana (Official Audio)
Просмотров 1167 месяцев назад
#Willrose #gospelmusic #Zaidiyajana
Willrose Denis - Rafiki Freestyle
Просмотров 4910 месяцев назад
Nani Rafiki Nani Adui moja kati ya maswali ambayo kila mtu hujiuliza yupi Rafiki wa kweli na yupi ni mnafiki ni moja kati fumbo katika jamii. #stress #heartbroken #muzikinitiba
Willrose Denis - Miracle ( Official Music Video )
Просмотров 288Год назад
Song : Miracle Director: V Producer : Jovankeyzer Artist: Willrose Denis Phone : 0654987810 Back Vocal : Dorothea Kifunda Joisas Studio 2023 MIRACLE Ni wimbo ambao unaonyesha ukuu wa Mungu Maishani mwetu, Mungu wetu anatuona anaona njia zetu, anaona juhudi unazozifanya, Hata unapopitia kwenye magumu bado yeye ni Ebenezer. Wanadamu watakusahau lakini Mungu Hatakusahau, Pale unapomuomba anasikia ...
Willrose Denis - Miracle ( Official Audio )
Просмотров 383Год назад
Song : Miracle Producer : Jovankeyzer Artist: Willrose Denis Back Vocal : Dorothea Kifunda Joisas Studio 2023 MIRACLE Ni wimbo ambao unaonyesha ukuu wa Mungu Maishani mwetu, Mungu wetu anatuona anaona njia zetu, anaona juhudi unazozifanya, Hata unapopitia kwenye magumu bado yeye ni Ebenezer. Wanadamu watakusahau lakini Mungu Hatakusahau, Pale unapomuomba anasikia maombi yako naye Hukujibu kwa w...
Hongera sana nice
Ahsante sana🙌🙌🙏🙏
Hongera sana teacher wetu wa Sunday school
Ameni, Ahsante sana sana
Bigup bro 💪
Ahsante sana Kaka
Allah Akbar
Allah Akbar
Barikiwa sana kaka, see you at the top💪💪
Amen Ameni
Kitu kipy hik 🎉🎉🎉🎉🎉 Congratulations kk
Ndio kaka. ahsante sana Kaka
❤❤❤ unajua kaka ukali
Ahsante sana Kaka. ni Mungu tu
Hongera sana Mwanangu❤❤
Ahsante sana Mama yangu🙏🙏🙏
Nice song strong mellody Barikiwa sana kaka
Ameni Ameni 🙏🙏🙏
Yanga Mabingwa 2024-2025
🟡🟢🟢🟢🟢🏆🏆🏆
Samehe🎉be blessed my broe
Ahsante sana Kaka, Mungu Akubariki pia
Oy kaka hii ngom Kali San yaan nimekubl so poa but tunawez kufanya mawasilian kak no zng hiz apo nichk what'spp 0621202783
Mungu akutunze
Ameni 🙏🙏 Mungu akutunze pia
Mia
Ahsante sana
Ufike mbali kk
Ameni 🙏🙏🙏
Be blessed
Ameni Man of God
oyaa damu yangu umepita mlemle unyama nimwing
Ahsante sana🙌🙌🙌
Blessed man of God
Ameni Man of God
Hongera sana mdogo wangu! Umefuata nyayo za akina Sekuba!
Ahsante sana Dada yangu🙏🙏
🔥
Thanks 🙏🙏
Barikiwa Mtumishi wa BWANA
Amen 🙏🙏
Amen Amen
Ameni 🙏🙏🙏
Hongera sana
Barikiwa kw Kaz nzur kijan
Ameni, Ahsante sana 🙏🙏🙏 Ubarikiwe zaidi
Mungu akubariki
Ameni, Ahsante sana🙏🙏🙏
Wow baba njelekela 😊
😂😂😂🙌🙌🙌
Mungu akubariki katika kazi yako azidi kukuinua 🙏👏
Ameni 🙏🙏🙏 Happy New Year 2024
Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri sana akazidi kukuinua zaidi
Ameni, Ahsante sana
I always admire your struggle. Keep up the good work
🙌🙌🙌
Safi sana kaka Munguakutangulie katika safar hii ya uimbaji kaka barikiwa mno
Ahsante sana Kaka, Ameni 🙏🙏🙏 Utukufu kwa Mungu
Miracle 🙏🙏
AMENI 🙏🙏🙏
Hongera sana
Ameni 🙏🙏🙏, Ahsante sana kaka
NITUMIE NUMBER YAKO NIMECHEZA NYIMBO YAKO KATIKA REDIO NIKUTUMIE CLIP
Ameni🙏🙏🙏, Ahsante sana 0654987810
Nice
Miracle ⭐⭐⭐
🙌🙌🙌🙌
Barikiwa sana kaka kazi nzuri
Ameni 🙏🙏🙏
Hongera mwalimu
Ameni 🙏🙏🙏🤝
Hongera sana Mungu akuinue Zaidi na zaidi mtumishi.
Ameni 🙏🙏🙏🤝
Mnyoooshee shetani kaka😂❤
😅 🙌🙌🙌
😅 🙌🙌🙌
The song is very perfect🥳🎉 I loved it ❤ Wooh!!💃💃💃
Ameni🙏🙏🙏🤝
Hongera Sana....Tufanye utaratibu uje uimbe kanisani Kwetu
Ameni, niko tayari kutumika 🙏🙏🙏
Asante....Nashukuru sijaona mawasiliano kwenye description...
@@markbrianjoyINT0654987810/ 0623287829
barikiwe sana
Ameni 🙏🙏🙏
Nice!!!
Thanks
Amen Amen
Ameni 🙏🙏🙏
Nangoja kaka chuma hicho
🙌🙌🙌