- Видео 67
- Просмотров 54 251
Afrika Imara
Добавлен 14 ноя 2022
Karibu sana kwenye channel yetu! Channel hii imejikita katika kuwapa taarifa za kina kuhusu teknolojia na kujibu maswali mbalimbali ya kimaisha yanayoibuka kutoka kila kona ya dunia. Lengo letu ni kutoa mwangaza na ufahamu kwa jamii ya Waafrika, kwa kutumia lugha yenye utajiri na asili ya Kiafrika. Jiunge nasi katika safari hii ya kuelimika na kuburudika!
Kiswahili kitukuzwe?
Ingawa kiswahili ni lugha ya tatu yenye wazungumzaji wengi Afrika, matumizi yake yanazidi kudidimia nchini Kenya. Tazama video hii ujue mengi.
Podcast: open.spotify.com/show/5lnjECEchaccUAK02lwxSs?si=6a07ef3a622c4065
Podcast: open.spotify.com/show/5lnjECEchaccUAK02lwxSs?si=6a07ef3a622c4065
Просмотров: 77
Видео
Africa's Leadership Crisis - The Paradox of Africa
Просмотров 27814 дней назад
Despite being the continent with the most natural wealth in the world, Africa continues to lag behind economically due to terrible leaders who have been given the helm of power. How will Africa overcome this?
Capitalism, Communism & Socialism (Swahili)
Просмотров 7014 дней назад
Jua tafsiri za mifumo ya uchumi ya Capitalism, Communism & Socialism na maana yazo kwa kiswahili.
Kutoka kwa Manabii hadi Wafaidi: Kuzorota kwa Maadili katika Makanisa ya Kenya
Просмотров 18221 день назад
Wema wa makanisa unazidi kudidimia kutokana na tamaa za wanaojiita watumishi wa mungu na mchanganiko ya imani na siasa. Tazama video hii ujue mengi.
Uncovering the Dark Side of the Kenyan Churches
Просмотров 552Месяц назад
In this thought-provoking video, we uncover the troubling transformation of Kenya's churches from bastions of morality to enablers of corruption. Through a historical lens, we examine how misinterpretations of biblical authority, prosperity gospel theology, and political entanglements have led many religious institutions to forsake their prophetic mandate. Join us as we grapple with tough quest...
UFOs - Swahili
Просмотров 1 тыс.Месяц назад
Unidentified Flying Objects (UFOs). Ushawahi kusikia chochote kuhusiana na vitu visiviojulikana vya angani (UFOs)? Tazama video hii ili ujue mengi kuhusiana na maswala yanayo huyu UFOs. Asante. #UFOs #Aliens #extraterrestrial
Methali Zetu - Maana ya juu na ya ndani
Просмотров 586Месяц назад
Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.
Methali za Kiswahili - Maana ya juu na ya ndani
Просмотров 6132 месяца назад
Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.
Methali Zetu - Maana ya juu na ya ndani
Просмотров 1332 месяца назад
Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.
Methali Zetu - Maana ya juu na ya ndani
Просмотров 842 месяца назад
Safari ya kuchunguza methali za Kiswahili - kutoka maana ya juu hadi hekima ya ndani. Kila kipindi kinatufunulia ukweli uliofichika kwenye maneno ya wahenga, tukielewa matumizi yake katika maisha ya leo. Jiunge nasi tukichambua busara za jadi zinazoendelea kuongoza maisha yetu.
The Truth About African Curses | From Fear to Freedom
Просмотров 2992 месяца назад
Have you ever felt the weight of a curse holding you back? This exposé documentary film lifts the veil on the truth behind curse beliefs in African society and exposes the psychological chains that have held generations captive. From urban cities to rural villages, discover how curse beliefs have shaped lives, and, more importantly, how to break free.
Artificial Intelligence Swahili
Просмотров 7202 месяца назад
Katika video hii, tunachambua tafsiri mpya ya neno 'Artificial Intelligence' katika lugha ya Kiswahili ambapo sasa inajulikana kama 'akili unde'. Tunaangazia maana ya neno hili jipya pamoja na kuelezea tofauti yake na tafsiri zingine zilizokuwa zinatumika awali kama vile akili bandia, akili mnemba au akili tarakilishi. Pia, tunasisitiza umuhimu wa kufuatilia maendeleo ya istilahi za akili unde ...
Laana zipo?
Просмотров 3003 месяца назад
Video hii inaangazia jinsi imani ya laana inavyoathiri maisha yetu, chanzo chake, na njia za kujikomboa kutoka kwa imani hii potovu. Video hii itakusaidia kuelewa vyema suala hili na kukupatia mtazamo mpya.
Rewriting Africa's Witchcraft Narrative
Просмотров 1873 месяца назад
Join the mystifying journey from the Salem witch trials to modern-day Africa in this eye-opening exploration of witchcraft beliefs. Learn how fear, misunderstanding, and social tensions fuel a dangerous myth that holds progress hostage. Uncover the truth behind the superstitions and learn how embracing reason and education can unlock the real potential of Africa. It's time to break the spell an...
Giza la Uchawi
Просмотров 1,3 тыс.4 месяца назад
Je, uchawi upo kweli? Video hii inachunguza asili, athari na ukweli kuhusu imani za kichawi barani Afrika. Tazama ujifunze jinsi tunavyoweza kukabiliana na imani hizi na kujenga jamii yenye maarifa zaidi.
James Webb Space Telescope in Swahili
Просмотров 8411 месяцев назад
James Webb Space Telescope in Swahili
Neuralink in Swahili #elonmusk #cyborg #neuralink #kenya #tanzania #rwanda
Просмотров 12911 месяцев назад
Neuralink in Swahili #elonmusk #cyborg #neuralink #kenya #tanzania #rwanda
🥺🌍🙏🏿🌐
That,s the reason why i denounce my parents name Nyaga because of associated with witchcraft idol worship etc that is the reason why i choose the name Jermaine as my official name in Jesus Christ name Amen
The name Nyaga is cursed and associated with witchcraft idolworship etc I denounce my parents name Nyaga for good in Jesus Christ name Amen
I break barriers in everything that I do in Jesus Christ name Amen
Curses are real
I refused to be ignorant so help me God in Jesus Christ name Amen
Brief case preachers
Money drives the sermon. It's quite unfortunate.
That,s the reason why i stopped going to church because of greed hypocrisy etc
It's very unfortunate. I hope we will one day find something that we can hold on to without the fear of being lied to and ripped off.
Religion to me is an opium of the masses
It sure is when it is not used in the right way. Malicious people have learned this and are using it to their advantage.
Majority of the church in Kenya are business enterprise
Yea, all the care about is taking money out of people's pockets. You can see how rich people are worshiped in these churches
I left church the good thing is God is gracious
Salvation is in your heart, and the relationship between you and your God is personal. The sooner you are able to take charge of your relationship with your God, the better for you as you will not fall prey to the greedy preachers.
The church nowadays are business enterprise
I read the bible by myself the good thing is God is gracious
That's the only way to protect your faith imagine.
That,s the reason why i stopped going to church because of greed hypocrisy etc
It is the shocking reality of our churches. You go there to seek spiritual nourishment, but you are robbed in return.
Fun fact: The kapenguria six were paid😢🙌
That's something I'm planning to release a video on. Very interesting
@@StadiAnalyticsLooking forward to it🙌
I’m on holiday in Kenya now I didn’t realise this was a Kenyan channel 😊 I look forward to learning more about the real side
It's great to hear from you, @RareGrooving. This is a Kenyan channel, and I would like to thank you so much for being part of our immaculate fanbase. Welcome to Kenya, and I hope you'll enjoy the amazing things our country has to offer. Karibu sana
Indeed we are in the last days 2nd Timothy 3:1-6 states clearly and Isaiah 35:8-9 thanks for the rebuke let church go back to Hebrews 12:14 .God bless you abundantly.
Amen
Awesome
I'm glad to hear that bro
Sadaka,kumbe! Lazima tutoe bidii,asante kwa kunitia shime leo
Karibu sana Kaka
Asie Fanya kazi na asile. This one is great
@@chancekadume3415 Akila itakua dhambi hata mbele ya mwenyezi Mungu
U completely excluded everything about black magic which is something that has been practiced across the globe from time without beginning. I understand ur point in proving it to be an illusion but u failed to give a critical analysis
This was just a scratch on the surface. A deeper analysis that will include Voodoo, Black Magic and all the other forms of witchcraft that are believed to have supernatural powers is coming soon. Kindly subscribe to the channel, and you'll get a notification when that is out. We need to liberate our continent from the prison of belief in witchcraft. Also, I will soon release an episode on curses. Kindly subscribe, and you will get to see everything.
@@afrikaimara If you’re focusing primarily on witchcraft in Africa don’t forget to include the extraterrestrial element. I look forward to ur analysis 🧐😊 subd!
Great
Thank you. Kindly share if you can.
Excellent work
Thank you @elvisomoke1493
Mbona mimi inajibu short sana hainielezei kwa kilef pia
Movie tamuu
This is awesome I like it
This is awesome I like it
Vivaa.."A journey of a thousand miles starts with a single step" Hii ni hatua ya kwanza katika kuleta mabadiliko. Mwanzo huu utaleta mwamko mpya kwa wananchi wote.
Ukweli mtupu kaka🙏
Very interesting and informative...but the voice iko chini kiasi
Very interesting and informative interview.
Hivi karibuni Akili bandia ndio itakua ikialikwa kwenye mijadala ya kitaifa
waaah hii ni ya ajabu
Akili bandia sio jambo la kupuuzilia
Ukibase na hizi content zinazotokea dunian na nchi mbalimbali na ukazibadilisha katika lugha ya kiswahili utapiga hatua sana. NB zingatia matumizi sahii ya lugha katika masimulizi. Ahsante
Asante sana kwa maoni yako. Lengo langu ni kujaribu sana kueneza na kukuza lugha ya kiswahili na pia kusaidia wazungumzaji wa kiswahili kuelewa maneno ambayo yanaendelea duniani ambayo sio rahisi wayaskie. Hata hivyo, nitatilia maanani pendekezo lako. Shiriki video hizi kama uko na uwezo. Asante
Hiii itasaidia sana
Itakuwa kwa msaada mkubwa sana kwa binadamu kwanza wale ambao wana matatizo ya kimwili
Hapo ni kweli kabisa. Hii inatupatia matumaini haswa sisi wenye jamaa wenye matatizo ya kusonga.
Kiswahili kitukuzwe sanifu
Asante sana kaka. Na tuzidi kukitukuza kiswahili chetu
❤
Hapa umenichanganya
😹Kiswahili kina mengi kaka
Kubadilisha maneno au majina kwenye technology si sahihi ni Bora yatamkwe kwa lugha yake ya asili,
Asante @rahimfaraji6916 kwa maoni yako. Umuhimu wa kutafsiri ni kusaidia mtu ambaye haelewi kitu kinachozungumziwa kwa lugha fulani aweze kuielewa kutumia lugha ambayo anijua na kuizungumza. Zaidi ya hayo, lugha ndio njia tunayotumia kuzungumza na kuelewana. Hivyo basi, kutafsiri majina ya kiteknolojia ni kwa hiyari yetu kwani itatusaidia katika mazungumzo na mijadala. Lugha ya kiswahili ni yetu na ni wajibu wetu kuiboresha na kuitajirisha. Hamna hatia yoyote ya kutafsiri majina ya kiteknolojia kutoka kwa lugha ya kimombo kuja kwa kiswahili. Pia wazungu hutafsiri majina hayo hayo kutoka lugha zingine kama vile kijerumani au kifaransa. Je, unajua Albert Einstein alikua mjerumani? Mbona hatusomi vumbuzi zake kwa lugha ya kijerumani? Tafakari.
@@afrikaimara kutafsiri ni kitu tofauti na kubadilisha jina la kitu, (mf. Laptop = kompyuta mpakato) hii si tafsiri ni kubadilisha jina la kitu, haya majina mengine ni kifupi Cha maneno flani hivyo kubadilisha jina utaondoa maana halisi ya mfululizo wa ubunifu wa hilo jina, hivyo tafsiri itolewe kwa lugha yetu na tafsiri kieleza maana ya kitu na kazi zake hii ndio tafsiri, (mf. Computer hii neno Kila herufi ina kirefu chake kubadilisha jina ama namba ya uandishi utaliondoa kwenye uhalisia wake) ndio maana Kuna kitu kinaitwa kutohoa,
@@afrikaimara Asili ya majina kwenye technology ni kifupi cha maneno flani mf. computer ni kifupi cha maneno hinyo kubadilisha jina liwe kwa lugha nyingine au kuandika maandishi tofauti na asili yake ni kupoteza maana ya kitu husika, ndio maana kuna neno kutohoa, kinachohitajika ni kutafsiri maana, kazi yake na malengo ya kitu husika.
@@rahimfaraji6916 Natumai nimeelewa unachokizungumzia, lakini nadhania mtazamo wako unwezanyima nafasi watu ambao hawajui lugha nyingine kuelewa kinchozungumziwa na wenye hio lugha. Pia ni wazo langu kua ni juhudi ya kila watumizi wa lugha kujaribu kutafuta njia za kurahisisha mawasiliano kati yao. Unapofanya tafsiri, si vyema kutopoteza maana ya neno linalotafsiriwa, lakini mara nyingi hatuwezi kukua wakamilifu. Majina ya vumbuzi za kitecknolojia ni majina mageni na mara mingi ni majina yanyo tokana na majina mengine tofauti. Mfano ulionipa ni ule wa 'computer' ambayo inapata jina lake kutoka kwa jina 'compute'. Ikiwa tunaweza tafsiri neno 'compute', mbona tusitafsiri pia computer? Natumai unaona hakuna kasoro inatokana na kufanya tafsiri ya majina ya kiteknolojia.
@@afrikaimara COMPUTER Full Form: COMPUTER Stands for Common Operating Machine Purposely Used for Technological and Educational Hata hili neno lina mfululizo katika uvumbuzi, NB. kitendo cha kubadilisha majina ya gun duzi katika technology kunasababisha fani kuwa ngumu kueleweka, sababu mtu saa ingine atalazimika kukariri majina tofauti ya kitu kimoja, Elewa hata sisi tukigundua tutakiita kwa lugha yetu pendwa aka KISWAHILI
A Ameca é perfeita como uma robô humanóide❤👏👏👏👏
Claro, é incrível ver como o robô imita bem os humanos
Video yenye taarifa zaidi
Swadaka👌
Nchi zilizoendelea zinaendelea kuendelea mbele kitekinologia. Nchi maskini zinafaa kujikakamua.
Nchi maskini zitakwama kwa umaskini kwa sababu pengo ya nchi tajiri na maskini inazidi kukua kubwa
Hivi ni dedicated internet or shared?
Kwa sasa Starlink inatoa shared internet pekee. Ata hivyo, kasi ya internet hii kuchezea 100mbps au zaidi mahali popote ulipo
Once sanctions hit kenya it's over they will leave a hole. build your own star link
Naamini kwamba kampuni ya SpaceX imeshafanya upembuzi akinifu na utafiti kuhakikisha uwekezaji wao hapa Kenya sio wa hasara. Acha tuwape fursa tuone jinisi watakavyo tangamana na soko ya Kenya.
@@afrikaimara hawa wazungu ni shida tupu.
Noted
Safi kabsa
Asante Kaka
Nice
Shukran🙏
Good job
Asante kwa support yako
Wow!
Good job.👏👏