- Видео 88
- Просмотров 57 738
GEARED Consult TV
Танзания
Добавлен 5 май 2020
GEARED Consult TV, ni Kituo cha Runinga mtandaoni kwa ajili ya kutoa Elimu pamoja na ushauri kuhusu UMEME, Vifaa vya umeme, Tehama na yote yanayohusu mifumo ya maji safi na taka, lifti na hata viyoyozi kwenye majengo.
Kwa Mawasiliano:
+255 785 911 260 au +255 655 290 333
Kwa Mawasiliano:
+255 785 911 260 au +255 655 290 333
UPUNGUFU WA UMEME TANZANIA !!
#umeme#tanesco#energy#
Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme.
.
Kwa Mawasiliano:
LINE 1: +255 785 911 260
LINE 2: +255 655 290 333
.
Tufuate mitandaoni:
INSTAGRAM: gearedconsulttv
FACEBOOK: Geared Consult TV
WEBSITE: geared-consult.co.tz
#Umeme #GearedConsultTV
Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme.
.
Kwa Mawasiliano:
LINE 1: +255 785 911 260
LINE 2: +255 655 290 333
.
Tufuate mitandaoni:
INSTAGRAM: gearedconsulttv
FACEBOOK: Geared Consult TV
WEBSITE: geared-consult.co.tz
#Umeme #GearedConsultTV
Просмотров: 619
Видео
ENERGY EFFICIENCY IN BUILDINGS !
Просмотров 153Год назад
#undp#energy#tanzania# Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme #GearedConsultTV
DIGITAL FINANCIAL SERVICES FOR THE POOR !
Просмотров 131Год назад
#digital#financial#technology# African Economic Research Consortium (AERC) & Science, Technology & Innovation Policy Research Organisation (STIPRO) In Country Dissemination Workshop on DELIVERING DIGITAL FINANCIAL SERVICES FOR THE POOR. Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 2...
CHANGAMOTO YA "DEGREE" ZA UHANDISI KWA WALIOSOMA NJE YA NCHI !
Просмотров 142Год назад
#tanzania #diaspora #engineers# Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme #GearedConsultTV
RECOGNITION OF ENGINEERING DEGREES !
Просмотров 68Год назад
#nactvet#degrees#tanzania# Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania iliandaa kikao maalum cha kujadili kutambua Degree za uhandisi kwa Wahitimu waliosoma "Engineering" nje ya nchi. ERB Wakishirikiana na TCU, NACTVET. Kikao kimefanyika Ukumbi wa PSSSF Commercial Complex ambapo ndipo zilipo Ofisi za ERB. Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu ku...
UAPISHO WA WAHANDISI (Engineers Oath-taking - 2023)
Просмотров 401Год назад
#engineers#tanzania#kiapo# Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme #GearedConsultTV
ELSEWEDY & GEARED, UMEME SEMINAR DAR 2023 Part 2
Просмотров 346Год назад
#elsewedy#electric#cables# Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme #GearedConsultTV
ELSEWEDY & GEARED, UMEME SEMINAR, DAR 2023 !
Просмотров 482Год назад
#elsewedy#electric#umeme# Semina kwa Wadau wa Umeme iliyoandaliwa na Geared Engineers Ltd kwa Udhamini wa ELSEWEDY ELECTRIC, Imefanyika 21/03/2023 Jijini Dar es salaam Ukumbi wa Kimataifa Kisenga LAPF International Conference Center Kijitonyama/Makumbusho. Mambo mbalimbali yahusuyo Umeme na Bidhaa za Umeme yalijadiliwa. Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengin...
UZINDUZI UBORESHAJI WA MITAALA UDSM !
Просмотров 254Год назад
#university#mitaala#dar es salaam# Uzinduzi wa uboreshaji wa mitaala Chuo kikuu Cha Dar es Salaam, wakihusishwa wadau mbali mbali ikiwemo sekta binafsi ili kupata taarifa ya moja Kwa moja na kujua mahitaji ya soko ( Industry requirements), Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2...
BUILDING SERVICES IN ARCHITECTURE !
Просмотров 2312 года назад
#architecture#ujenzi#umeme# Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme #GearedConsultTV
POWER QUALITY ANALYSIS, ELECTRICAL !
Просмотров 3792 года назад
#umeme#electrical#construction# Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme #GearedConsultTV
ELIMU UMEME NA BIMA YA AFYA !
Просмотров 1902 года назад
#umeme #bima#ujenzi# Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme #GearedConsultTV
ELEWA MISINGI YA UMEME OKOA MAISHA NISHATI NA MALI !
Просмотров 6932 года назад
#umeme #construction #engineering #ujenzi # Usiache ku-subscribe, ku-like, ku-comment na ku-share video zetu kwa wengine ili wapate elimu kuhusu umeme. . Kwa Mawasiliano: LINE 1: 255 785 911 260 LINE 2: 255 655 290 333 . Tufuate mitandaoni: INSTAGRAM: gearedconsulttv FACEBOOK: Geared Consult TV WEBSITE: geared-consult.co.tz #Umeme# ujenzi#
MSANIFU MAJENGO: Kila mtumiaji wa majengo ana Haki sawa !
Просмотров 2822 года назад
MSANIFU MAJENGO: Kila mtumiaji wa majengo ana Haki sawa !
IEEE Tanzania Professionals Breakfast meeting - 002
Просмотров 1702 года назад
IEEE Tanzania Professionals Breakfast meeting - 002
IEEE Tanzania Professionals Breakfast meeting Club !
Просмотров 4102 года назад
IEEE Tanzania Professionals Breakfast meeting Club !
TANESCO na Mfumo mpya wa Kidigitali !
Просмотров 4 тыс.2 года назад
TANESCO na Mfumo mpya wa Kidigitali !
Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo: Tuzo za Ubora Kitaifa 2021/2022, "Tujipange Tuzo za Ubora za SADC !
Просмотров 3373 года назад
Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo: Tuzo za Ubora Kitaifa 2021/2022, "Tujipange Tuzo za Ubora za SADC !
TANESCO TARIFFS ! (Makundi ya Watumiaji Umeme)
Просмотров 14 тыс.3 года назад
TANESCO TARIFFS ! (Makundi ya Watumiaji Umeme)
Eng. Sarakikya : MSAHAFU WETU WA UMEME !
Просмотров 1993 года назад
Eng. Sarakikya : MSAHAFU WETU WA UMEME !
Uzinduzi, Elimu Umeme Foundation, Wajasiriamali Waunga Mkono !
Просмотров 923 года назад
Uzinduzi, Elimu Umeme Foundation, Wajasiriamali Waunga Mkono !
Uzinduzi ELIMU UMEME FOUNDATION, JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAAHIDI USHIRIKIANO !
Просмотров 953 года назад
Uzinduzi ELIMU UMEME FOUNDATION, JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAAHIDI USHIRIKIANO !
Mmenikela umeme wa 9500 mnanipa unit 4 acheni unyang'anyi bana
Ameongea vizuri
Mimi niliandika barua tokamwezi watano Ila haijajibiwa yakutoka kwenye matumizi makubwa kwenda madogo bas tusaidien namba
Three phase vijijini umbali wa mita 20 ni Tsh ngapi
Umeme wa three phases vijijini umbali usiozidi umbali wa mita 20 ni Tsh ngapi Tafadhali
How to get mita namba
Na akinunua pungufu kwa msimrudishe bila kumsumbua kuandika barua
Mimi natumia pungufu ya unit 70 nimeomba kupewa ķundi D1 hamtaki kwa kuwa niko Dar kwa nini?
Mimi nime elewa isipokuwa nauliza mteja wa baada ya miezi mitatu anaweza kuandika barua kwa njia ya mtandao ili kuwa D1?
Engineer cheri vc1 wawezapta kazi
KUTOKA MKOA GEITA PAMOJA SANA
WELL DONE
KUTOKA MKOA GEITA PAMOJA SANA
Asante...Nimeisikiliza maelezo kuhusu (makundi ya ununuzi wa umeme yaani -TARIFFS- )...KWANINI MMEWEKA -TARIFFS- HALI YA KUWA NATUMIA (LUKU) NDIO KIPIMO CHANGU CHA MATUMIZI...naomba ufafanuzi, LUKU...LIPA UMEME KADIRI UNAVYOTUMIA...SASA -TARRIFS- ZA NINI....!!!???.
Mimi nauliza...(TARRIFS) ZA NINI WAKATI LUKU METER IMEFUNGWA HAPO...?
Mimi nauliza...,Hivi Meter ya LUKU Inafanya nini...? Mteja umuwekee (tarrifs)...? LIPA UMEME KADRI UNAVYOTUMIA...SASA (TARRIFS) INAWEKWAJE HAPO...? ACHENI KUTUUMIZA.
Safii kiongozii
Upo sahihi fundi mwenzangu,
Nimekuelewa vizuri. Mimi ninahitaji tuwasiliane, hivyo naomba namba yoko.
Asante sana madam
Wezi tu Hawa
Asante Kaz nzuri
compressor ya friji haiwaki mda wote kwaio hio input power izidishe kwa 8 sio 24 madam injinia,lkn hongera,
Tunaomba kujua kwann mita za umeme Zina tofauti kuna elfu Moja wanapata unit 8 zingine elfu Moja tuna pata unit 2.8 Tatizo nn jamani mtupe elimu wakuu tatizo nn
Mie kwenye bei ya umeme sina sana shida japo wapo wateja wamehamishwa matumizi wakati hawajawahi kutumia unit 70 na wapo kijijini lakini shida yangu ipo kwenye tozo za nyumba ambazo sserikali imeamua kuwachonganisha na watanzania maskini waishio vijijini pango sh 18000 kwa mwaka ni kiwango kikubwa sana mtu ananyumba chumba na sebule anataa tatu jamani ati tu ana umeme sh 18000
Mimi nirionba ukandarasi Toka mwezi was sita mwaka huu sipata murejesho nifanyaje reseni rangu Rina patikana vipi namba musada
Maombi ya umeme
Mfano me nipo mwaka wa pili nasom electrical engineering but nipo nasoma lakn baada ya kumalz celew support inatapatikan, Kuna watu weng wanamaliza lakn bado wanaendelea kukaa mtaan tu as if mtu hajasoma
Hata pia graduates ambao wanamaliza ndanu ya nchi wapate supports,
engineers
Hiyo 1000 ni Nini?
Congratulations, mwanafunzi wangu.
Ahsante sana eng warda kwa masomo yako tutakuwa mabalozi wako huku mtaani
Great Discussion. Mimi kama mwalimu nimependa namna semina ilivyokuwa shirikishi. Pia topic ambazo zimejadiliwa hapa ni za moto sana. Issue ya rangi za nyaya na size ya tail wire ni muhimu sana. Nashauri kila mtaalam wa umeme atumie muda wake kumfuatilia Eng Esther pia kupitia mitandao ya kijamii Anatoa elimu ambayo imesaidia wengi kwenye tasnia ya umeme.
Asante sana, tuko pamoja
Hii siku ilikuwa Safi nmekutana na watu tofauti nmegeini vitu
Hii siku nilijifunza Sana vitu vingi kama engineer mwanafunzi wa electrical engineering,,,,,,,,shukrani sana engineer warda esta
Karibu sana, nami nilifurahi mno
Namshukuru MUNGU niliwahi kuona mlio wa radi kwa nguvu mbele yangu, ghafla tawi la mti likanguka hadi leo naiogopa sana
Asanta Sana binafsi Niko nashida ya kupata unit chache wakati matumiz yangu ni madogo napata unit 2.5 kwa 1000 je nawezaje kusaidiwa
Namba yenu ni ipi
Bei gani?
Nime penda hii Ina Ina tukumbusha mafund
App Ina patika vp na jilake tafathali
Punguzen hzo tarrif kundi la pili jaman muongeze yawe matatu ili la pili lpunguzwe gharama dahhh km tuna viwanda wakat n wapangaj
Naomba kufaham jinsi ya kujiunga elimu umeme.
Naomba nitafute kwa namba 0785911260, karibu
Nilikuta ovn ya 3phens,ila changamoto niliokutanayo nilikuta brack nifez na Bru ni nyutro.
Mim nahtaji
Hizi za wapingaji sema bei yake
Nyie tanesco mmejawa rushwa mimi toka mwezi wa kwanza nime OMBA umeme savea Mbaka leo hajaja mbaka nimlipe pesa za MAFUTA
Sio kweli mie tangu October 5 nimetuma ombi kimya mpaka sasa
Upo mkoa gani?
Waiting for more videos concerning your project