- Видео 88
- Просмотров 21 305
LA VOIX DE LA SENTINELLE (Pr. Samuel NGEMBWA)
Франция
Добавлен 28 фев 2016
Sur cette chaîne, nous trouvons des prédications, des messages du salut et d'espérance prêchés par le missionnaire Samuel NGEMBWA WA NYEMBO Bin LUAZI, pasteur des Églises Adventistes du 7ème Jour.
PAPA FRANCIS AMFUTA KAZI ASKOFU WA US AMERICA
PAPA FRANCIS AMFUTA KAZI ASKOFU WA US AMERICA
Просмотров: 13 031
Видео
SIKILIZA FAIDA ZA KUMSHUKURU BWANA MUNGU (№ 1)
Просмотров 312 года назад
SIKILIZA FAIDA ZA KUMSHUKURU BWANA MUNGU ( 1)
POURQUOI L'ACCOMPLISSEMENT DE LA PROMESSE DE DIEU POUR TA VIE A BEAUCOUP TRAÎNÉ?
Просмотров 302 года назад
POURQUOI L'ACCOMPLISSEMENT DE LA PROMESSE DE DIEU POUR TA VIE A BEAUCOUP TRAÎNÉ?
ACHA BWANA APANGE MAMBO YAKO KILA ASUBUHI
Просмотров 142 года назад
ACHA BWANA APANGE MAMBO YAKO KILA ASUBUHI
Temps fort 0:00 - 3:49 de LE SECRET DE L'ÉLÉVATION
Просмотров 62 года назад
Temps fort 0:00 - 3:49 de LE SECRET DE L'ÉLÉVATION
SI TU SAVAIS CE QU'EST JÉSUS-CHRIST DANS LE CORAN
Просмотров 282 года назад
SI TU SAVAIS CE QU'EST JÉSUS-CHRIST DANS LE CORAN
«♥QUI EST JÉSUS-CHRIST?♥ RÉPONSE DU QUR'AN ET DE LA BIBLE»
Просмотров 1112 года назад
«♥QUI EST JÉSUS-CHRIST?♥ RÉPONSE DU QUR'AN ET DE LA BIBLE»
SECRETS POUR FAIRE UN MIRACLE +243990801369
Просмотров 272 года назад
SECRETS POUR FAIRE UN MIRACLE 243990801369
LE SABBAT, JOUR DE CULTE SELON LA BIBLE ET LE CORAN
Просмотров 432 года назад
LE SABBAT, JOUR DE CULTE SELON LA BIBLE ET LE CORAN
Ce qu'est LA MARQUE DE LA BÊTE, LAUDATO-SI ET LA LOI DE CULTE DIMANCHE
Просмотров 2232 года назад
Ce qu'est LA MARQUE DE LA BÊTE, LAUDATO-SI ET LA LOI DE CULTE DIMANCHE
REÇOIT LES HABITS DE GLOIRE DE JÉSUS DANS VOTRE VIE
Просмотров 863 года назад
REÇOIT LES HABITS DE GLOIRE DE JÉSUS DANS VOTRE VIE
La Voix de la sentinelle : ♥« POURQUOI LOUER L'ÉTERNEL?»♥ №1
Просмотров 803 года назад
La Voix de la sentinelle : ♥« POURQUOI LOUER L'ÉTERNEL?»♥ №1
La Sentinelle : LES SECRETS DE LA MARCHE AVEC JÉSUS (№1)
Просмотров 433 года назад
La Sentinelle : LES SECRETS DE LA MARCHE AVEC JÉSUS (№1)
SDA. Sujet : La VOIX DE LA SENTINELLE, par Berger Samuel NGEMBWA, Adventiste du 7è Jour (SDA)
Просмотров 1383 года назад
SDA. Sujet : La VOIX DE LA SENTINELLE, par Berger Samuel NGEMBWA, Adventiste du 7è Jour (SDA)
Souvenir du Culte d'ensemble, New District JOLI SITE SDA - Lubumbashi RDC
Просмотров 103 года назад
Souvenir du Culte d'ensemble, New District JOLI SITE SDA - Lubumbashi RDC
Chapa ya yule mnyama inatenda kazi
❤
Ba ndoki
En quoi sont-ils de ba ndoki?
Unarikiwe mchungaji kwa maneno haya makubwa
Amina
Maneno makubwa kabisa magumu kwaku elewa , ubarikiwe pasteur
Amina. Asante sana. Ubarikiwe pia.
Unarikiwe mchungaji
Mm nilijua huyu Mr pope ni illuminati master
Tumuue huyu mpinga kristu waniniduniani?
Huyu papa ni mjinga tu,tena ni pepo mchafu wa kuzimu.
Papa yeye Nina mpaka tumsikilize kuhusu ujinga wake wandoa za jinsia Moja
Na soon atakuja kusema kuoa zaidi mmoja ni sawaaa🤨😭
Bora kuoa wake hata 10 kuliko ushoga
Fransisko ni mpinga kristu mtamwona atalazimisha Afrika ushoga na utoaji mimba Mungu tusaidie na mpinga kristu . Hatiwezi kwa jina la Yesu
Roman katoric kanisa la kishetan yesu Ana Kuja kuvunja upumbavu mnao ufanya kuwaandaa watu kuwapiga chapa ya 666 jehanam Ina wahusu wajinga nyie shetani kainua kiti chake roman Catholic ukwel tusha ujua
Tetea kweli sio tumbo askofu katetea kweli ni bola SS wakristo wa kweli ndio watapatikana sio madhehebu Tena
better ufutwe kazi kuliko ushoga. thanks
Duu mungu toa hukumu kwa papa
Papa mjinga sana.ushoga ni chukizo la Mungu
Naomba Mungu umtoe huyo. Anayejiita papa mchafu. Nazaidi. Ni mchafu. Mno ametuharibia watoto wetu,Atolewe. Mara. Moja, kwanza. Ni mhalifu,
Ni mhalifu kwa kweli hili lizee
Kwani si ndo kiongozi wa wakiristo uyo na amtakiwi kumpinga
@TuukhiAlfalaki Papa Francisco sio kiongozi wa wakristo, bali wa kanisa la katoliki. Yakupasa kutofautisha ukatoliki na ukristo. Sote tu wakristo, lakini sote hatuko wakatoliki.
@TuukhiAlfalaki Ukatoliki ni kanisa, zehebu. Ukatoliki sio dini.
Sio papa , ni mama
Papa aondoke tu hafai kabisa
Taarifa hii sidhani km una ukweli
MUNGU AMBARIKI sana huyu askofu,kwa kusimamia msimamo wa KIMUNGU
Anajua achofanya kweli?
Asante kwa sababu ya ujinga wa papa wenu mnayemwita mtakatifu huyu bishop ana akili Asante sana
Mwisho wa dunia umefika Sodoma imerudi kwa kasi
Kanisa linaruhusu vipi mambo haya ya kishetani ? Huwezi kukalibisha mashoga kwanza unawabaliki vp?mungu yupi huyo tunaemwabudu?au kanisa limegeuka kichwa chini miguu juu? Tuseme uovu umelishinda kanisa la mungu? Sasa tulejee kwenye maandiko ya kwamba ni siku za mwisho ushetani unajidhihilisha? Waumini huu Niwakati wa kumuomba mungu sana sio nyakati nzuri kwa makanisa yetu tuliokuwa tunayaamini kutuunganisha na mungu
Huyu papa mjinga sana hafai
Wewe mdomo wako unanuka kwa kutunga uwomgo hiyo Post Yako ni ya kishetani umewekeza kwenye tumbo lako kuchafua Papa. Papa Wakatoliki wanafahamu hakuna Documents aweza kubadili peke yake.utapayuka na kuishia vibaya kwa tamaa ya tonge,unalipwa kufanya uchafuzi lkn Kanisa Katoliki linasitawi Kila Leo
UFUNUO 17:5,
Ufunuo 18:1-5 ISAYA 65:1-6 ISAYA 66:15-17 Tokeni katika Babeli
Huyu papa angekaa kimya ingemuumiza vipi? Anaharibu kanisa. Angatuke
Kwahiyo tufanyeje? Mnataka tuwatafutie mashoga kisiwa cha kuishi? Au ikigundulika una ndugu shoga auawe? Kama hivyo haviwezekani basi tuishi nao
Afungwe
Ni kuwatenga kwenye Jamie tu odilo unasoma maandiko ? Sodoma na gomola mungu aliwafanya nini kwa nini Leo tuwabaliki hao mashoga wasagaji ni chukizo kwa mungu
remember Sodom and Gomorrah because all people there were like pope immoral, gay and lesbian.
Hivi vyombo vya kimagharibi vina shida sana na kanisa katoliki...taarifa ya baba mtakatifu ni nyingine ..wao wanaripoti tofauti....
Ww ujielew atapicha ujui kutaza maana kusikia hausikii
Ni hatua mbaya zaid tunaelekea
Haaaaa
QorfinencudnyrolaoradeaserdBeresgorrdalsabraqorquediosmedaestemensJealunibersoqormexiodeustefminiz6roxexkos.ddizeestoasqalabbrSdeelqadrebe ditoseoruñic9esizera8vualmariámadremiacantaosanjelesensiglgriaqprsiemateezgoestEn.a osemcontreumala.inaeuvauisid9e.tomzesalabDozetMuesyr9sorjesus
Le lien de la première vidéo 👇👇👇👇👇👇👇👇 ruclips.net/user/liveNJC_uUyXrPk?si=Ma5v4fBfD7nEZRm7 Bienvenue
Voici le lien de la deuxième partie 👇👇👇👇👇👇👇👇👇 ruclips.net/user/liveNJC_uUyXrPk?si=qN862nYPcYIDv0nt
Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana
Bwana mungu wetu asifiwe.
Amina. Asante sana. Usisahau ku soubscrib (S'ABONNER) kwenye channel (chaîne) yetu. Pia, ikiwezekana, tuma link kwa wengine ili wabarikiwe pia. BWANA AKUBARIKI
Amina. Asante sana
TEC wanasubiri Nini kumwandikia Papa WARAKA kama inavyofanya kwa viongozi wa serikali. Au wanaogopa kufukuzwa kazi ? Maana ingekuwa serikali imesema hilohilo basi mngeshawaandikia WARAKA.
Kuna kutoa maoni kama ilivyoruhusiwa na kuandika barua. Walishasema Hatubariki ndoa ya jinsia moja. Tosha. Halafu mnakuromea kanisa badala ya Serikali yenu iliyoruhusu ushoga.
Papa Hana Cha kupoteza Hana watoto huyo,wew na wototo wako ndio utajua,endelea kumtetea
@@edwardmizambwa237Kama serikali yetu imeruhusu ushoga TEC wanasubiri Nini kuiandikia waraka kama inavyofanya kwa tume huru ya uchaguzi na katiba? Halafu hatulikoromei kanisa bali tunawakoromea TEC . Kanisa ni moja tu na Yesu ni mmoja TU duniani lakini mabaraza ni mengi na maaskofu ni wengi miaka hii.
Huu Papa angekufa tu ametusibisha sanaaaa wakatoliki
Amjambo wapendwa. Hivi karibuni nitatuma, nitaweka hapa chini link ya video ya somo lifuatalo
Bonjour à tous. Je vous envoie dans un instant le lien de la suite de ce sermon.
Kwani huyu papa anaupenda sana ushoga!
Revelation 18:4-5 [4]Then I heard another voice from heaven say: “ ‘Come out of her, my people,’ so that you will not share in her sins, so that you will not receive any of her plagues; [5]for her sins are piled up to heaven, and God has remembered her crimes.
@@iva-ox2qn Yes we're in grace time other wise they will get 666 mark of ze beast
Ndioo KAZI YAKE ndiomaana hawaowii maana KAZI Yao kubwaa NI kufiranaa
Papa ajiuzulu
Revelation 18:4-5 [4]Then I heard another voice from heaven say: “ ‘Come out of her, my people,’ so that you will not share in her sins, so that you will not receive any of her plagues; [5]for her sins are piled up to heaven, and God has remembered her crimes.
Huyu papa Hulu Africa asije kabisa, kama makondoo yachungwe na WA Africa wentewe
Revelation 18:4-5 [4]Then I heard another voice from heaven say: “ ‘Come out of her, my people,’ so that you will not share in her sins, so that you will not receive any of her plagues; [5]for her sins are piled up to heaven, and God has remembered her crimes.
Asije kwa kondoo wake wakati wafuasi wake wanamuhitaji na kumpenda wacha awachunge wanaekubaliana nae anayohaki yakuruhusu akipendacho
Priest hood is permanent!!
Revelation 18:4-5 [4]Then I heard another voice from heaven say: “ ‘Come out of her, my people,’ so that you will not share in her sins, so that you will not receive any of her plagues; [5]for her sins are piled up to heaven, and God has remembered her crimes.
Anapinga ushoga jee kwanini anafukuzwa? Pope Francis tunaomba Mungu akuongoze usizidi kupotea. Ushoga hauwezi kuruhusiwa kabisa. Wapi Katina historia ya dini ushoga uliruhusiwa? Mung atauangamiza ukatoliki busare isipo Tamika.
Revelation 18:4-5 [4]Then I heard another voice from heaven say: “ ‘Come out of her, my people,’ so that you will not share in her sins, so that you will not receive any of her plagues; [5]for her sins are piled up to heaven, and God has remembered her crimes.
Hayupo aliyefikuzwa, ni propaganda tu
@@iva-ox2qn Kama ni hivyo basi kanisa lote hasa Afrika lingefugwa
Pope hagombani na kanisa, balli na wale waoingao sheria zake ili atawaze wengine
Courage mon berger.
Amen. Merci beaucoup mon pasteur
AMEN AMEN AMEN
Merci beaucoup pour votre soutien
Nous sommes profondément béni par ces sermons. Soyez bénis très cher serviteur du SEIGNEUR JÉSUS-CHRIST
Amen
bravo
Merci beaucoup pour votre encouragement
Merci beaucoup. Amen. Merci notre pasteur pour ce message très puissant et plein de bénédictions.