- Видео 86
- Просмотров 25 547
SHINE STAR FILM
Добавлен 11 дек 2016
SHINE STAR FILM ni channel ya burudani ya Tamthilia na movie (filamu) za kiswahili ambazo zina story nzuri za kuelimisha na kuburudisha.
SUBSCRIBE, hakikisha ume subscribe katika channel hii na kubonyeza alama ya 🔔 ili uwe wa kwanza kupata taarifa mpya zinazorushwa hapa asante.
SUBSCRIBE, hakikisha ume subscribe katika channel hii na kubonyeza alama ya 🔔 ili uwe wa kwanza kupata taarifa mpya zinazorushwa hapa asante.
DONGESEHEMU YA 4 #bongomovie #lovestory#shinestarfilm#shine
Mjomba nguvu ya penzi imeshinda yupe kwenye kitanzi
Просмотров: 40
Видео
DONGE PART 3 #bongomovie #africanfilms #africacinema #movie #africanmoviechannel #film
Просмотров 14121 час назад
donge ni love story, haambiwi mweusi mweupe akaachwa mbegu nzuri usipande na mbegu mbaya. Kushauri sio ujinga hata kama umenizidi umri,mbungi nzito mjomba anazidi kukoleza moto liwe jua au nvua cute arudi nyumbani ndoa inavunjwa kwa gharama yoyote.Mwagama kudai ana roho saba ya kweli haya? uchawi ndo kwenyewe.
DONGE SEHEMU YA PILI PENZI NAZI LA MPEMBA LAZUA VITA KARI.
Просмотров 19414 дней назад
Hassan aliweka mtego,ngamia kapita na sindano.Cute kazama hana mpango wa kumuacha Hamiss sasa fitina ya penzi imeanza nani ataibuka mshindi hapa.
Chozi la penzi😭😭
Просмотров 4321 день назад
Moja ya hisia zilizo waliza wengi kwa mwanaume kutoa chozi nje na tumezoea wanalia ndani kwa ndani ni hii sikudhani move 😭😭😭
DONGE PART 1 PENZI LA MPEMBA KAMA MSUMENO
Просмотров 30221 день назад
Penzi la mpemba limekolea nazi saba.Ni mapambano makali ya kuto elewana kati ya marafiki wawili baada ya kumtoa mpwa wake kama sehemu ya deni urafiki unageuka kuwa vita.
KIJACHO SEHEMU YA 7 / PENZI LA KIJACHO
Просмотров 198Месяц назад
Cute anazidi kuvuruga vichwa vya watu nikweri ni mimba au yeye ndo hayupo sawa? Mume ake astajabu kuona anatoka kwa mpemba......!#bongomovie #film #africanfilms #love #movie #comedy
KIJACHO SEHEMU YA 6 | PENZI LA KIJACHO
Просмотров 404Месяц назад
sehemu ya 6 ya tamthilia ya KIJACHO, Mama kijacho kakutana na varangati gani la vijana wa mjini!? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama instagram: shinefilm2024?igsh=MXF4aHJtejYycXRjdg &
KIJACHO SEHEMU YA 5 | PENZI TAMU LA KIJACHO
Просмотров 240Месяц назад
sehemu ya 5 ya tamthilia ya KIJACHO, Mama kijacho kakutana na varangati gani la vijana wa mjini!? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama instagram: shinefilm2024?igsh=MXF4aHJtejYycXRjdg &
KIJACHO SEHEMU YA 4 | LOVE STORY
Просмотров 284Месяц назад
sehemu ya 4 ya tamthilia ya KIJACHO, Mama kijacho kakutana na varangati gani la vijana wa mjini!? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama instagram: shinefilm2024?igsh=MXF4aHJtejYycXRjdg &
KIJACHO SEHEMU YA 3 | PENZI LA KIJACHO BALAA!
Просмотров 319Месяц назад
sehemu ya TATU ya tamthilia ya KIJACHO, Mama kijacho kakutana na varangati gani la vijana wa mjini!? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama instagram: shinefilm2024?igsh=MXF4aHJtejYycXRjdg &
KIJACHO PART 2 #bongomovie #loverstory🔥
Просмотров 349Месяц назад
sehemu ya pili ya tamthilia ya KIJACHO, Mama kijacho kakutana na varangati gani la vijana wa mjini!? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama instagram: shinefilm2024?igsh=MXF4aHJtejYycXRjdg & Hit the Lights by Twin Musicom is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. creativecommons.org/licenses/by/4.0/
KIJACHO PART 01 #bongomovie #lovestory❤️
Просмотров 352Месяц назад
sehemu ya kwanza. ya tamthilia ya KIJACHO, Mama kijacho kakutana na varangati gani la watoto wa mjini!? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama Classic Horror 1 - Dark World by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. creativecommons.org/licenses/by/4.0/ ―――― Darkest Child by Kevin MacLeod is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 licens...
SIKUDHANI PART 03 #bongomovie #movie #nollywood
Просмотров 2412 месяца назад
sehemu ya TATU. ya tamthilia ya SIKUDHANI, je itakuaje !? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama cc: SHINE FILM PRODUCTION
SIKUDHANI PART 02 | BONGOMOVIE #bongomovie #newmovie
Просмотров 2982 месяца назад
sehemu ya pili. ya tamthilia ya SIKUDHANI, je itakuaje !? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama cc: SHINE FILM PRODUCTION
SIKUDHANI PART 01 | BONGO MOVIE #bongomovie #film #africa #drama
Просмотров 5092 месяца назад
sehemu ya kwanza. ya tamthilia ya SIKUDHANI, je itakuaje !? #movieclips #bongomovie #movie #love #africa #drama cc: SHINE FILM PRODUCTION
COLD TEARS FULL MOVIE | BONGO MOVIE #bongomovie #drama #africa
Просмотров 6342 месяца назад
COLD TEARS FULL MOVIE | BONGO MOVIE #bongomovie #drama #africa
nywele kama upanga wa jogoo yule dah huyu mzee
nimeangalia mara mbili haichoshi ni burudani ila kwenye mshabiki wa Yanga hapo kwanini wewe mpemba?
SAFI
Kazi kazi dah ila mjomba sio poa
NDONGE janani ndo imeisha nampenda huyo mwagama na mzee huyo wametisha sana mnajua
kazi nzur😊
donge nzuri safi sana
🤣🤣 aisee ko wenye mimba wanakua na vurugu zote hizi🤪🤪
hii hapa ndo movie sasa 🤭🤭
hii nzuri hivi huyu mwagama ni mpemba kweri? maana dah mtata sana eti msumeno unakata mbele na nyuma😝😝😝
kazi nzuri mno
nilicho penda hapa mwandishi anaandika maisha tunayo pitia kila leo,picha langi inaendana na mazingira sichoki kutazama nipo na familia safi tunajifunza kitu.
Kweli yupo kama mamlaka ya mapato huyu binti .....
Huyu TABU sasa kafungulia,mume wake kaona wanapigana kiss kala buyu mimi siwezi napiga mtu jiwe la kisogo.WEEEEE SIO POA
kazi nzuri sana SAFII
Nimeona umewekaa ### 😂😂
😂🏃♂️
🔥🔥🔥
🔥🔥🙌
😆🤣 daha😝😝😝
Mungu ndie Kila kitu inshallah kazi nzur sana .....🎉🎉
🔥🔥
nzuri sana kazi hii ndo vitu napenda hahahaaaa safii 😋😋😋
😂😂 Mambo Yana aza kuchangamka
Mambo ni moto🎉🎉🎉🎉🎉
🤝😊😊
Safiiiii
Nc
Nc
🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿
kama msumeno eti nyieeeeee😜mapato na matumizi alaaaaa mzee kapotea😄😄🤗🤗 asante shine film
❤️🔥🔥💫
nairudia tena leo hii movie
jamani cute hahahaaa
❤
Mwagama fala sanaww😂😂😂😂😂 Gerald mkande huyooo
Utawaletea uje segelea wanauwana huku🏃♂️🏃♂️
Ehee Gerald 😂😂😂😂😂
🔥🔥
Makata...😂😂😂
Mapambano Yana endelea❤❤❤
Hakuna kaz mbovu
Kijacho ❤❤❤
Mzee nasri kawa jini makata 😢😢eti anatapika damu anapumua damu😅😅mpemba kazi unayo
Iyo atar sana Jana ilivyo eneshwa kwenye sinema zetu yani mkewg alicheka sana mpaka akapaliwa aise😅😅😅
Shukrani sana🙌😆😆😆😆na pole San
Balaa 😅😅😅
Usinitikise weeeeh!😅
Jamani hahahaaaaa
😂😂😂❤
Leo si j tatu mnaweka mwendelezo Boss wa Shine ❤😊
Jioni😂🤗🤗