![Katoto Driving School](/img/default-banner.jpg)
- Видео 8
- Просмотров 13 363
Katoto Driving School
Добавлен 1 ноя 2020
JE? NI KWELI MVUA NI CHANZO CHA AJALI ZA BARABARANI?
MADEREVA KAMA WAKIZINGATIA MBINU ZA UENDESHEJI KWENYE HALI MBAYA YA HEW HAKUNA AJALI ITAKAYOTOKEA KWASABABU TUTOFAUTISHE HALI MBAYA YA HEWA NA MAJANGA YA ASILI KAMA VILE KIMBUNGA, MAFURIKO NA NK
Просмотров: 590
Видео
MWISHO WA AJALI ZA KITONGA, SEKENKE NA INYALA
Просмотров 1,1 тыс.Год назад
NI MUHIMU KWA MADEREVA KUTUMIA MBINU ZA UDEREVA WA KUJIHAMI NA KUYAJUA MAENEO YOTE HATARISHI NA KUWA NA TAHADHARI KUFANYA UKAGUZI WA GARI KABLA YA SAFARI, KATIKATI YA SAFARI NAQ MWISHO WA SAFARI #KITONGA #UDEREVA #SHULE #AJALI #usalama
JE? ENEO GANI SAHIHI KULIPITA GARI LA MBELE YANGU? (OVERTAKING)
Просмотров 10 тыс.Год назад
MADEREVA WENGI WAMEKUWA KWENYE MATATIZO YA KUPATA AJALI NA NYINGI NI ZA KUGONGANA USO KWA USO KIPINDI AMBACHO ANALIPITA GARI LA MBELE YAKE NI VIZURI WAKAJIFUNZA MBINU ZA UDEREVA WA KUJIHAMI NA KUZINGATIA MAZINGATIO YA USALAMA HASA WAKATI UNATAKA KULIPITA GARI LA MBELE YAKO KARIBU KATOTO DRIVING SCHOOL WEWE DEREVA WA BUS, LORI, SCHOOL BUS, UBER, BAJAJI, NA HATA PRIVATE CAR UJIFUNZE ZAIDI UPATE U...
Je? Umechoka na Ajali za Barabarani? Suluhisho hili hapa
Просмотров 3952 года назад
Kama wewe ni msafirishaji au mmiliki wa kampuni ya usafirishaji na umekuwa ukipata shida kutokana na madereva kutokuwa na uelewa na elimu ya usalama barabarani basi walete Katoto driving school uondokane na mawazo ya kufunga biashara ya usafirishaji #transporters #roadaccdient #drivers #logistic #course
SOMO LA 4: AINA ZA NJIA PANDA NA TAHADHALI ZA KUCHUKUA
Просмотров 3762 года назад
SOMO LA 4: AINA ZA NJIA PANDA NA TAHADHALI ZA KUCHUKUA MWALIMU HARIS #KATOTO DRIVING
SOMO LA 3 VITU VINNE MUHIMU VYA KUZINGATIA KWENYE VIHATARISHI VILIVYOPO BARABARANI
Просмотров 2192 года назад
SOMO LA 3 VITU VINNE MUHIMU VYA KUZINGATIA KWENYE VIHATARISHI VILIVYOPO BARABARANI
SOMO LA 1: FALSAFA YA UDEREVA # IJUE MAANA HALISI YA UDEREVA
Просмотров 9172 года назад
SOMO LA 1: FALSAFA YA UDEREVA # IJUE MAANA HALISI YA UDEREVA
Katoto Driving School SULUHISHO LA USALAMA BARABARANI
Просмотров 2163 года назад
Namshukuru Mungu kunikutanisha na wewe rafiki yangu corse zitolewazo Basic driving (Udereva wa awali), Refresher Driving kwa madereva wote wa Malori, Mabasi na Private cars ambao wameendesha magari kwa muda mrefu huenda wapo walipata mafunzo kwa muda mrefu wanatamani tena kuendelea kujifunza na pia tunatoa semina za usalama barabarani na kufanya HSEQ Induction. KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI ...
Shule bora, walimu bora,nidhamu nzuri....MUNGU ibariki shule yetu.
Asante sana
Hongera sana
Asante teacher
Asante kiongozi
Thanks brother
Barikiwa
Safi mwalimu
Hongeramwalimu
Je police anatakiwa kuliondoa gari iloaribika Yani Muda
Asanteni sana nyote especially bro Nassoro
Asante mwalimu kwa kutupa jinsigani tunaweza kutumia udereva wa kukihami ikiwa barabarani
Dah! Sina cha kusema zaidi ya Asante Asante sana kwa kunitoa kwenye giza na kunirudisha kwenye mwangaza nakuombea sana mungu akupe afya iliyo salama Katoto driving School ni nyumbani
Iv kunaaja ya kwenda shule kwel😂😂
Namshukuru Mungu kwaajili yenu wadau wa Usalama Barabarani mmekuwa msaada mkubwa kwetu Katoto Driving School na niwatakie maandalizi mema ya Christmas na Mwaka Mpya na Mungu awabariki🙏🙏🙏
Asante kwa elimu mwalimu
Hongera sana kwa kutoa elimu nzuri baba triple.
Asante kwa elimu bora
Asante Sana mkuu
Nakukubalii sanaa mwalimu wangu mungu akuongozee katka mapambanoo hayoo
Asante sana mwalimu kwa elimu nzuri,God bless u
Kwel kabisa teacher
Asante mwalimu kwa elimu unayotupa ni kweli tukiyazingatia haya tutasafiri salama
Asante mwalimu, nazidi kujifunza
Hongera sana mwl
HONGERA SANA KWA DARASA MWL HARIS,BARIKIWA SANA
Nashukuru mwalimu Kwa kunielewesha na kunikumbusha tena
Tunashukuru kwa elimu nzuri sana
Nashukuru mwalimu kwa elimu ya usalama barabarani
Congrats