Hasanaatu TV
Hasanaatu TV
  • Видео 173
  • Просмотров 39 192

Видео

Sheikh Abdullah Mboryo _Mambo ya kufanya ndani ya Mwezi wa Shaabani
Просмотров 4719 часов назад
Sheikh Abdullah Mboryo _Mambo ya kufanya ndani ya Mwezi wa Shaabani
Sheikh Wema Maulid_Itikadi Sahihi ya muislamu _Utangulizi
Просмотров 3321 час назад
Sheikh Wema Maulid_Itikadi Sahihi ya muislamu _Utangulizi
Ubaya wa kudhulumu _Sheikh:Muhammad Ramadhan
Просмотров 5814 дней назад
Ubaya wa kudhulumu _Sheikh:Muhammad Ramadhan
Wasia wa Mtume kwa Ibn Abbas_Sheikh Abdulatwif Hassan
Просмотров 4921 день назад
Wasia wa Mtume kwa Ibn Abbas_Sheikh Abdulatwif Hassan
Kukithiri Vifo vya Ghafla na Sababu zake_Sheikh/Ibrahim Kitwana
Просмотров 9321 день назад
Kukithiri Vifo vya Ghafla na Sababu zake_Sheikh/Ibrahim Kitwana
Madrasatul Hidaayah's Jalsa in Kinross South Africa 2024 MaashaAllah
Просмотров 195Месяц назад
Assalaamu alykum Alhamdulillah, we thank you all for attending the end of the year event for our madrasatul Hidaayah students, but we also apologize if something did not go well due to the heavy rain, your support is our joy and the reason we take more steps ,in shaa Allah next year things will be more better, we ask you to bring your children so that they can get the best education for their H...
Madhambi Saba Hatari _Sheikh :Adinani Hussen
Просмотров 82Месяц назад
Madhambi Saba Hatari _Sheikh :Adinani Hussen
Malezi ya Familia_Sheikh Hassan Ahmed
Просмотров 563 месяца назад
Sheikh kazungumzia mambo mengi katika malezi ikiwemo, wazazi kua Makini na watoto wao hasa katika zama hizi yenye uharibifu mkubwa_wazazi kutokua wakali sana na wenye hasira kipindi cha kulea_jamii inahitaji huruma ili kufanya vizuri_Kila muislamu anatakiwa kufanya matendo yake kwa uzuri zaidi na hayo ndio Maelekezo ya Uislamu_Ukiwa Daktari, mwalimu, fundi, muajiriwa, au umejiajiri, mfanya bias...
Jinsi ya kutawadha kiusahihi_Sheikh Abdurrahmani Mussa
Просмотров 1407 месяцев назад
#jinsiya#kutawadha#sahihisha
Sheikh Salum Bijeje_Khutba ya Eidul Adh'haa_Cape Town South Africa
Просмотров 1,5 тыс.7 месяцев назад
khutba ya shekh Salum Bijeje imewagusa wengi na kupendwa sana,hakika alizungumza mengi ikiwemo mshikamano ,kushukuru neema alizo tuneemesha Allah,kupendana na kuondoa khilafu baina yetu waislamu,hekima ya kuchinja katika Eid hii ya kuchinja ,pia katoa faida nyingi katika uwanja wa Eidul Adh'haa... kama una maoni basi tuachie katika comment section hapo chini nasisi tutakujibu like videos ,comme...
Sheikh Salum Bijeje baada ya kuwasili South Africa, na amejibu maswali yote
Просмотров 4377 месяцев назад
Sheikh Salum Bijeje baada ya kuwasili South Africa, na amejibu maswali yote
Umuhimu wa siku ya Arafah_Sheikh Abdurrahmani Mussa
Просмотров 4927 месяцев назад
#sikuyaArafah#sikuyaEid#kufunga#swaumu
Masiku kumi ya Dhul Hijjah _Sheikh:Abdurrahmani Mussa
Просмотров 4027 месяцев назад
Katika video hii pame zungumzwa mambo mengi ya kuhusu masiku kumi ya Dhul hijjah, ikiwemo kufanya mema kama vile kufunga, kutoa Sadaqah, kujiepusha na movi, kutenda mema kwa ujumla wake, kusoma Qur'an, na mengine mengi, kwahio ni matumaini yetu kua utakua umeelimika na kufaidika sana... Ukiwa na ushauri, nasaha, au chochote kwa lengo la maendeleo na kutukumbusha au kuhusu maboresho basi tuandik...
Malengo ya Zakaatul fitri_Sheikh Sulayman Bake
Просмотров 3510 месяцев назад
#zakatulfitri#sheikh#Eidmubarak
Hafiz Ibrahim Mohammed_Surah Ar-rum
Просмотров 52Год назад
Hafiz Ibrahim Mohammed_Surah Ar-rum
Qari: Adam Rashid _Surah AL-hashri
Просмотров 59Год назад
Qari: Adam Rashid _Surah AL-hashri
Sheikh khamis Abdallah _ uharamu wa Sherehe za makafiri
Просмотров 45Год назад
Sheikh khamis Abdallah _ uharamu wa Sherehe za makafiri
Madrasatul Hidaayah's Jalsa in Kinross South Africa 2023 Maa shaa Allah
Просмотров 369Год назад
Madrasatul Hidaayah's Jalsa in Kinross South Africa 2023 Maa shaa Allah
Hafiz Abdurrahmani Mussa _Surah Jumuah 9-11
Просмотров 60Год назад
Hafiz Abdurrahmani Mussa _Surah Jumuah 9-11
Etiquettes of a student of deen/Adabu za mwanafunzi (swahili Subtitle)
Просмотров 270Год назад
Etiquettes of a student of deen/Adabu za mwanafunzi (swahili Subtitle)
Taraweh salah 2023 _ Kinross S.A
Просмотров 306Год назад
Taraweh salah 2023 _ Kinross S.A
Sulaymaan Ibrahim _Surah: Al-hadid
Просмотров 180Год назад
Sulaymaan Ibrahim _Surah: Al-hadid
Mus'ab Surur _Surah_yasin
Просмотров 133Год назад
Mus'ab Surur _Surah_yasin
Haya ndio maisha ya Dunia
Просмотров 96Год назад
Haya ndio maisha ya Dunia
Rafiki_Ust_Said Salim
Просмотров 27Год назад
Rafiki_Ust_Said Salim
Tusidhulumiane_Sheikh Kombo Ally Fundi
Просмотров 51Год назад
Tusidhulumiane_Sheikh Kombo Ally Fundi
Hafiz Ibrahim Mohammed_surah_Al-Mulk
Просмотров 101Год назад
Hafiz Ibrahim Mohammed_surah_Al-Mulk
Hafiz Said Issa_ Surah At tawbah_ Beautiful recitation
Просмотров 1112 года назад
Hafiz Said Issa_ Surah At tawbah_ Beautiful recitation
Madrasatul Hidaayah's Jalsa in Kinross South Africa 2022
Просмотров 1,1 тыс.2 года назад
Madrasatul Hidaayah's Jalsa in Kinross South Africa 2022

Комментарии

  • @SalwaAbdurrahmani
    @SalwaAbdurrahmani 11 часов назад

    MashaaAllah sheikh wetu

  • @SalwaAbdurrahmani
    @SalwaAbdurrahmani 11 часов назад

    MashaaAllah

  • @SalwaAbdurrahmani
    @SalwaAbdurrahmani 11 часов назад

    MashaaAlla

  • @SalwaAbdurrahmani
    @SalwaAbdurrahmani День назад

    MashaAllah

  • @SalwaAbdurrahmani
    @SalwaAbdurrahmani 2 дня назад

    Allah akulipe kheri sheikh wetu

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 3 дня назад

    maashaallah

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 3 дня назад

    Allah akulipe shekh kwa elimu bora mashallah

  • @RamazaniNgoy
    @RamazaniNgoy 5 дней назад

    ❤❤❤

  • @amuronlinetv9976
    @amuronlinetv9976 9 дней назад

    MaashaAllah

  • @BashiluIsaa
    @BashiluIsaa 13 дней назад

    Allah akibar Allah nisamehe mm na umat wako

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 14 дней назад

    maashaallah

  • @zaituninduka7044
    @zaituninduka7044 17 дней назад

    Allah akulipe kheri tunaomba tuletee Tau hid

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 20 дней назад

    tunafaidika sana Alhamdulillahi...mungu awalipe

  • @AhmedChobu
    @AhmedChobu 20 дней назад

    الحمد لله على نعمة الإسلام والسنة

  • @AhmedChobu
    @AhmedChobu 20 дней назад

    الحمد لله على نعمة الإسلام والسنة

  • @ChaibomuidineSelemane-o2c
    @ChaibomuidineSelemane-o2c 24 дня назад

    Allua akilipe malipo mema inshallua

  • @unknowna8442
    @unknowna8442 27 дней назад

    Mimi nafundo na wewe

  • @unknowna8442
    @unknowna8442 27 дней назад

    Sheikh maneno ya kweli ila wewe ni muongo sana na hufuti sunna

  • @hassanbasabose8726
    @hassanbasabose8726 Месяц назад

    Allah akulipe kheri nyingi na akuhifadhi🤲🤲🤲

  • @Zamda-ec3fw
    @Zamda-ec3fw Месяц назад

    Pia Shukrani kwa ukumbushoo

  • @Zamda-ec3fw
    @Zamda-ec3fw Месяц назад

    Ma nsha Allah Allah akulipe kila lakheri

  • @husseinyuzarsif2370
    @husseinyuzarsif2370 Месяц назад

    Allah akulipe kheri kwa mafunzo yako💐🤲

  • @AbubakarRajab-jz7et
    @AbubakarRajab-jz7et Месяц назад

    Alhamdulillah it was a success

  • @SalwaAbdurrahmani
    @SalwaAbdurrahmani Месяц назад

    MaashaAllah🥰

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri Месяц назад

    Maashaa Allah

  • @hasanaatutv7078
    @hasanaatutv7078 Месяц назад

    Please Subscribe and share the video thank you Alhamdulillah, we thank you all for attending the end of the year event for our madrasatul Hidaayah students, but we also apologize if something did not go well due to the heavy rain, your support is our joy and the reason we take more steps ,in shaa Allah next year things will be more better, we ask you to bring your children so that they can get the best education for their Hereafter and for the benefit of them and you as parents/ guardians, thank you very much and share this video with others as well. Madrasatul Hidaayah Kinross For more about Madrassah Contact : 👇 +27691471826 (Roba Mohamed) +27849836180 (Sheikh Abdurahman) +27842720046 (Abuu Muhammad)

  • @amuronlinetv9976
    @amuronlinetv9976 Месяц назад

    MaashaAllah

  • @amuronlinetv9976
    @amuronlinetv9976 Месяц назад

    Mashaallah shukran

  • @AhmedChobu
    @AhmedChobu Месяц назад

    Allah atuepushe nayo Madhambi hayo Aamiyn

    • @hasanaatutv7078
      @hasanaatutv7078 Месяц назад

      Aamiin 🤲 Tunafurahi kwa ufatiliaji wako Allah akulipe kheri

  • @SalwaAbdurrahmani
    @SalwaAbdurrahmani 3 месяца назад

    Mashaal Allah

  • @darajanida
    @darajanida 4 месяца назад

    masha allah

  • @kamgishaomary2371
    @kamgishaomary2371 6 месяцев назад

    May Allah grant us Jannah

  • @Ali-dv7ds
    @Ali-dv7ds 6 месяцев назад

    Shurkan sheikh

  • @abdurrahmani7934
    @abdurrahmani7934 7 месяцев назад

    Umetuelimisha jambo muhimu sana mungu akulinde

  • @amadiabasi7300
    @amadiabasi7300 7 месяцев назад

    Shukran Sana sheikh wetu. ❤❤

    • @hasanaatutv7078
      @hasanaatutv7078 7 месяцев назад

      Asante sana Kwa kufatilia na kutusapoti

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 7 месяцев назад

    shukrani sheikh wetu kwaukumbusho Allah akulipe kheri

    • @hasanaatutv7078
      @hasanaatutv7078 7 месяцев назад

      Tunashukuru sana kwa ufatiliaji wako

  • @amuronlinetv9976
    @amuronlinetv9976 7 месяцев назад

    Khutba nzuri Sana sheikh

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 7 месяцев назад

    Mashaallah khutba nzuri sana napia mapokezi mazuri ,tunashukuru kumuona sheikh wetu kipenzi

  • @hasanaatutv7078
    @hasanaatutv7078 7 месяцев назад

    Endelea kutufatilia napia Like video hii, comment ,pia share kwa wengine ili kutusapoti kwa kazi hii ya kheri,...kama una ushauri wowote basi andika hapa nasi tutaufanyia kazi ...tuisapoti channel hii kwa ku subscribe napia kubonyeza alama ya kengele ,ili kila video ikufikiye kwa haraka

  • @abdurrahmani7934
    @abdurrahmani7934 7 месяцев назад

    Shukran Sana

  • @abdurrahmani7934
    @abdurrahmani7934 7 месяцев назад

    Kweli kabisa sheikh

  • @abdurrahmani6639
    @abdurrahmani6639 7 месяцев назад

    Ujumbe Mzuri sana

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 7 месяцев назад

    Ma shaa Allah

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 7 месяцев назад

    Shukrani kwa ukumbusho Allah akuhifadhi sheikh wetu

  • @sindiheburajumatatu6875
    @sindiheburajumatatu6875 7 месяцев назад

    Mola akuweke myaka mingi sheh wetu pendwa

  • @Zamda-ec3fw
    @Zamda-ec3fw 7 месяцев назад

    Ma nsha Allah. ma nsha Allah sheikh wetuu🤗

  • @Nasraamiri
    @Nasraamiri 7 месяцев назад

    Mashaa Allah Allah akulipe kheri sheikh wetu

  • @amuronlinetv9976
    @amuronlinetv9976 8 месяцев назад

    Shukran sana

  • @hasanaatutv7078
    @hasanaatutv7078 8 месяцев назад

    Tunakuomba uweze ku like, kutazama mpaka mwisho, napia ku share kwa wengine, ikiwa una maoni au ushauri wowote basi tuandikie hapa kwenye Comment section, ila pia kama huja tazama video iliyo tangulia basi Usiikose Kwani ni muhimu 👇 ruclips.net/video/5TK_yxCOykU/видео.htmlsi=_8ULn3cbl6g2wB2c

    • @mohamedmasamba
      @mohamedmasamba 7 месяцев назад

      Asalam alaykum.great work. Mashaallah.

    • @hasanaatutv7078
      @hasanaatutv7078 7 месяцев назад

      @mohamedmasamba Thanks for your support we really appreciate