- Видео 175
- Просмотров 254 704
MEET.US79
Добавлен 16 янв 2024
A lot of legends, a lot of people, a lot of lovers have come before us. But this is our time
Видео
PART FOUR; ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥🔥
Просмотров 6743 месяца назад
PART FOUR; ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥🔥
PART FIVE; (final) ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥🔥
Просмотров 1893 месяца назад
PART FIVE; (final) ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥🔥
PART THREE; ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥🔥
Просмотров 1943 месяца назад
PART THREE; ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥🔥
PART TWO; ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥
Просмотров 1443 месяца назад
PART TWO; ELIMU YA MAJANI KUTOKA KWA MEET US 😳😳🔥
PART ONE; ELIMU YA MAJANI KUMVUTA UMPENDAE 😳😳
Просмотров 2193 месяца назад
PART ONE; ELIMU YA MAJANI KUMVUTA UMPENDAE 😳😳
😅😅IN LOVE ❤️🔥❤️🔥 #couple#couple #couples #viral #viralshort #viralvideos #trending #trend
Просмотров 2044 месяца назад
😅😅IN LOVE ❤️🔥❤️🔥 #couple#couple #couples #viral #viralshort #viralvideos #trending #trend
NINI MAONI YAKO KWENYE HILI? ❤️🔥❤️🔥
Просмотров 868 месяцев назад
NINI MAONI YAKO KWENYE HILI? ❤️🔥❤️🔥
Jmn mpendaneee tyuuu jmn ugomvi ni ujinga na utoto wengi tunawapenda❤
Wanaume wengi hua hawaelewi kipindi ambacho mwanamke akiwa mjamzito wanapaswa kuishi vp nae wasipokua makini wataachana
Sasa mbn wanachukuana videoo km co maigizo
Bora upite na kishemeji
Huyu Dem ningeshauwa
Nenden mkapendeze sasa😂😂😂
Yani mubaba wangu atakuwa ashaningoa Meno uwiiii mdomo koma ila umetisha sana
Msela Kama demu
Jela miaka mingapi oby😂😂😂😂
Haya ni madhara ya kuoa vitoto.,, nakuolewa na vikaka vdg ,, ndoa lzm iwe ya kitoto tu😢😢😢
fungwa milele boya ww
Mpende huyu dada jamani umenifanya nichukie ila siku ya icu
Uyo Pendeza mwenyewe ana ngoma so jamaa kama kapita nae kwel akapime
Acha ushamba dafa
Kiredio alisema yetu macho
Kwahy alierecord ni nani
Hyu dada anafanya hivi koz anajua anapendwa San na hawezi kuachwa mbn hamsikilizi mwanaume wake anakuwa juu San lkn apunguze mdomo mwanaume hafanyiwi hivo anajiona san😂😂😂
Huyo Rahim muhuni tu ningekuwa mie nishamuacha zamani tu
Hiii huo ugali amekula MTU mmoja na hamnenepi Sisi wengine tukinywa maji Tu kilo5 zinaongezeka dah😢
😂😂😂😂
😅😅😅
Ata mimi najisi mdada mwenzangu hauko sawa unajitafutia mabalaa ya kiafya ya akili na mtoto.mzozo wa aina iyu sio suluhidho bali ni kujizalilisha
Huyu sio mwanamke
Mnajizalilisha tu n ujinga wenu n ayo madrama yenu y ovyoo😏
Ila huyu dada anahitaji hekima na busara na uyo mume wake atatulia 😢😢😢
Kiredio njoo ushelekee uku yametimia
Anaongea vizr Na maelezo yake yapo bam bam .......#😢
Ambao hawamuelewi huyu Dada hayajawhi kuwakuta
Yaaan kabxa hayajawakuta
I feel that bro. Umejitahidi sana kuvumiria , mimi ningepiga
Vizuri umempa ya kumpa wanaume wanajiona sana hasa ukimpenda😅
😂nacheka kama mazuri.
Jamani kitoto kinasikia tumboni mmalize huyo ugonvi hapo kilipo kinaona kumbe wazazi jau.
Mimba iyo ndo inawagombanisha tu 😂
😀😀😀😀😀😀
Tutokeeni hapa yan mgombane wenyew alaf mje kupost nyie wenyew
Yani wameweka hadi link instagram eti ugomvi wa meet us full Upo u tube😂😂😂😂
Hivi nani alikiwa anawarecord
Walikuwa wanajifanya kuwa wao hawagombani msiringe kwenye hiii dunia
Dah mapenzi mwanzo hua yo motroo baada ya mimba hee ndoutajua mbivu na mbichi
Jamani… how does she get the courage to talk to her man like that?
Uyo dada mbona mpole mimi nilimpiga kichwa cha pua mbaka baadae nilimuonea uruma avyokuwa anavuja damu😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂kiredio alionekana mnafik
Wote wako proud
Yani nimetamani ningekuwa mm huyu dogo wangesafirisha
Huyo nguruwe pendeza neee angekua mzuri sasa..ptuuuu
Kuna siku huyo dada akichoka Rahim atajutraaaaa
Janaume bishi halijui kuomba samahan
Asanteni Kwa igizo zuri
Mpige Mtoe Manundu. Halafu uone Akirudia
Nenda zako kwa pendezaa usije ukafungwa mwaya Raheem
Muvi inaendelea tulipoishia
Jamani huyo mwanamke anapenda mambo ya kumpiga bwana yake kila dakika sasa hapo kashampiga kibao