Dira ya Mwalimu
Dira ya Mwalimu
  • Видео 3
  • Просмотров 320 602
DIRA YA MWL NYERERE - UTANGULIZI - III
Просмотров: 136 263

Видео

DIRA YA MWL NYERERE - UTANGULIZI - IIDIRA YA MWL NYERERE - UTANGULIZI - II
DIRA YA MWL NYERERE - UTANGULIZI - II
Просмотров 39 тыс.9 лет назад
DIRA YA MWL NYERERE - UTANGULIZI - IDIRA YA MWL NYERERE - UTANGULIZI - I
DIRA YA MWL NYERERE - UTANGULIZI - I
Просмотров 145 тыс.9 лет назад

Комментарии

  • @kuluthummmetisha4630
    @kuluthummmetisha4630 2 года назад

    ruclips.net/video/e_8wrByJ2cA/видео.html

  • @evansgwaro3902
    @evansgwaro3902 3 года назад

    Nyerere alikuwa mwalimu kweli: mtu Mwenye wawaida mema. Mungu awe naye

  • @jeanmubemba1204
    @jeanmubemba1204 4 года назад

    madaraka mbona hupendi siasa kaka,ingia siasa kikamilifu humumuoni uhuru kenyata,sio dhambi bado mnahitajika

  • @shabanimukose226
    @shabanimukose226 4 года назад

    Nashangaa wa andishi wa habari wa africa wanashindwaje kuandika histori ya viongozi walio anzisha kupigania uhuru wa africa? Na nawaomba waandishì wa habari wa kitanzania waandike historìa ya wanasiasa na maraisi, wa tz na africa wa andike vitabu ambavyo vitabu hivyo vya historia vifundishiwe darasani kuanzia darasa la. Kwanza na kuendea

  • @stonybowy7513
    @stonybowy7513 5 лет назад

    11/1/2020

  • @fraterntarimo2933
    @fraterntarimo2933 5 лет назад

    25/11/2019

  • @pauljeremiah5050
    @pauljeremiah5050 5 лет назад

    Jamani nani kaona gari lililo kuwa ana tembelea baba wa taifa hana mira upande moja gonga laki

  • @venantmligo9000
    @venantmligo9000 5 лет назад

    ...very good memory... in the history of Tanzania; JK Nyerere very inspiring and enriching Icon for Human development

  • @igobekomagessa5463
    @igobekomagessa5463 5 лет назад

    Hawa wazee wetu wanakumbukumbuku kubwa sana kuliko kizazi hiki wanakumbuka mpka tarehe

  • @twahajuma619
    @twahajuma619 5 лет назад

    Viongozi wa zamani waliyawala nchi,na kuongoza wananchi.Hawa wa sasa wanaongoza nchi na kutawa wananchi.Mwalimu alikuwa kurunzi ya wananchi Tanzania,na Africa kwa jumla.

  • @godfreymwambwalo5282
    @godfreymwambwalo5282 5 лет назад

    mzee masuid nimefurahi kusikia sauti yako uko wapi sikusikii siku hizi

  • @kabaranamaganga6646
    @kabaranamaganga6646 5 лет назад

    Asante kwa kumbukumbu nzuri

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 лет назад

    Pumzk kwa aman baba kweli ulikuwa dhahaabu ya Taifa letu hakika wema awana maisha

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 лет назад

    ❤️ Nyerere continues to LIVE ❤️ Magufulification Yes Forever and Ever ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂 Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Daima Milele na Milele Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂 CCM Juu Daima Oyeee ❤️🌻🇹🇿👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽 Tunakushukuru, Tunakuhitaji, Tunakipenda, Tunakuthamini na Tukonyuma yako Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie AkuLinde na AkupeAfya njema na AkuZidishie Ujasiri. Aamiyn Ya Rabbil Aalamiyn CCM Juu Daima Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 5 лет назад

    YOTE HAYA NI NJAMA ZA WAZAYONISIM WANAVYO YAPANGA NA NYERERE WAO MPAKA KAFA HUYU ALIKUWA HANAAKILI MKINIFAHAMU KIMAUMBILE NANI MWENYE AKILI FIRAUNIMKUBWA HUYU

  • @gigilikishosha1251
    @gigilikishosha1251 5 лет назад

    Documentary halisi kabisa na simulizi mubashara, ahsant sana kwa kuenzi historia yetu

  • @rebeccamwanjoba791
    @rebeccamwanjoba791 5 лет назад

    Nice

  • @bahatingokomasaga4496
    @bahatingokomasaga4496 6 лет назад

    iko vzr sana hiyo isitoria

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 6 лет назад

    NYOTEVWAONGO HAMSEMI UKWELI AKAUWA WAISLAM HAPA TUNAONA KUWA WAISILAMU WATUPU MKIRISTO NI YEYE TU AKAWAUWA WOTE NA ALIPOPEWA NCHI KAAMBIWA UTAKUJA KUWAWEKA WAKRISTU WENZAKO NA UTAWANYANYASA WAISLAMU NA NDIO VILE VILE KAFANYA NA SASA IKAFIKA KUSEMA ATUTAFUNE TAFUNE WAISILAMU WA ZANZNZIBARI LANATULLAHI HUYO 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💒💒💒💒💒💒💒💒💒👹👹👹👹👹👹👹👹👹😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇 ILIKUWA NI WAISILAMU WENGIWAO UWOGO UMEMKITHIRI HUYU

    • @johnmasungansolezi576
      @johnmasungansolezi576 6 лет назад

      Zero brain

    • @kulwambwelaje7513
      @kulwambwelaje7513 6 лет назад

      Ali IDD we mxenge2.kum we .hoja zerro

    • @godlivingmoshi124
      @godlivingmoshi124 5 лет назад

      Kawawa alikuwa ana dini gani?walimu Ahmed salimu

    • @shukuranikibona5893
      @shukuranikibona5893 5 лет назад

      Una mihemko ya Siasa hujui chochote..!

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 4 года назад

      Waaslaam waaliuawa kama mbuzi huko zanzibari stini NA tatu NA aksema hatutaki. Dini sasa mungu ametermsha vitabu inne yeye anataka umubudu. Ona rais wa sasa ni mtu. Wa dini anamtaja mungu kila saa nyerere aliharibu nchi ikawa nchi maskini duniani ingia Google uone watu aliye waua NA mjeshi wake akaenda kuvamia uganda NA kuiteka mpaka uchumi umekuisha kwa sbabu ya kununua silaha ikawa nchi maskini alitawala nchi miyaka arbaini hata wakoloni hawakufanya hivyo

  • @gaetanmayagilo8283
    @gaetanmayagilo8283 6 лет назад

    Iyo ni nyimbo gani?? Tafadhali anayeujua

    • @charlesmsasa7339
      @charlesmsasa7339 6 лет назад

      Gaetan Mayagilo Charles. Charles

    • @zonko0488
      @zonko0488 5 лет назад

      Hiyo nyimbo ya kwanza inaitwa Hongera Baba Nyerere ilipigwa na bendi inaitwa Kyauri Voice iliyokuwa na makao yake Mpakani Bar iliyokuja kujulikana pia kama Silent Inn pembeni mwa barabara ya Sam Nujoma kwa sasa. Zamani barabara hiyo iliitwa Mpakani.

  • @coms2640
    @coms2640 6 лет назад

    I feel sorry kwa kizazi hiki Cha Tanzania, hapa ingekuwa Mambo ya kipuuzi ungeona comments kibao. RIP Master teacher

  • @kiravuonline5569
    @kiravuonline5569 6 лет назад

    Iko poa xana Kama unaiangalia like pls nimeangalia leo 21/9/2018

  • @bennympatanishi8341
    @bennympatanishi8341 6 лет назад

    Nzuri sana

  • @godfreykatunzi9680
    @godfreykatunzi9680 6 лет назад

    Ninzurii nimeipendaa

  • @mtosimbakwamzungu7703
    @mtosimbakwamzungu7703 7 лет назад

    We miss nyerere where your

  • @cornelm9
    @cornelm9 7 лет назад

    Masood Masoud my best presenter

    • @abeidkibona2438
      @abeidkibona2438 5 лет назад

      Napenda kutembea kwenye misingi na maono ya baba wa Taifa

  • @ilfafonotelecom6179
    @ilfafonotelecom6179 7 лет назад

    Dakar Sénégalais

  • @saidimkungwi6585
    @saidimkungwi6585 7 лет назад

    nimefurahi sana kwa kutujenga kwa uimala zaidi hasa sisi vijana wa Leo tunaevamia siasa bila kuhifahamu kikamilifu

  • @felicianshittambo6798
    @felicianshittambo6798 7 лет назад

    kiongozi makini kama mwl hatutampata tena,hattapata vijana wazalendo,jasili na wenye kauli shupavu kani wengi wetu tunajinafikisha na kujipendekeza sanaaaaaaaaaaaaa. Hatusemi ukweli

  • @kaijagearajabu4417
    @kaijagearajabu4417 7 лет назад

    Ali kuwa mtu wawa tu sita msahau

  • @sharifjuma1220
    @sharifjuma1220 8 лет назад

    Mwalim policy started from school praising him pray for him. And His party ccm control through mjumbe wa njumba kumi. people till to day think mwalim is somesote of divine. thats why democracy of multy party compared to other African nation has been very slow in manland. If you had read dail mail news paper after his death in one paragraph said that, all Tanzanian during Mwalim were skinny except leader of ccm., people till to day smoke cigarette in paff you buy one we share. Mwalim was like any other dictator . illiteracy and education design to suit his ego of being whoreshiped. Not unique by far just one stupid African leader.

  • @sharifjuma1220
    @sharifjuma1220 8 лет назад

    The only thing he achievid in his 26 years in charge is brain wash and kill freedom of exceprition. he bemused the Tanzanian with his beutiful speach without any substance. It is sad Peoples lived in fear, hunger, sickness you have been taken for a ride, but many Tanzania are unaducated no surpraise.

  • @lawsofsucces5784
    @lawsofsucces5784 8 лет назад

    Thank you Mwalimu Nyerere

  • @somicotv3000
    @somicotv3000 8 лет назад

    Nyerere was the best and true African son, problem is that, we Africans do not know a good leader, we follow the choices of our exploiters who always hate our best leaders and spoke a lot of rubbish only because they do not allow them to exploit us easily.

  • @neemaloy181
    @neemaloy181 8 лет назад

    Hongereni sana. Tunahitaji zaidi.

  • @pallangyoemmanuel1633
    @pallangyoemmanuel1633 8 лет назад

    ni nzuri, nimeipenda

  • @zachariajfour3935
    @zachariajfour3935 8 лет назад

    4 sure rest in peace

  • @michaelsikapundwa4955
    @michaelsikapundwa4955 8 лет назад

    Among of serious an African intellectual figure

  • @sharifjuma3300
    @sharifjuma3300 8 лет назад

    what has he done apart from poverty, do you remember the que almost on every thing. The only people are the ccm who had a bit of life, no tv, no one can keep forein currency, if he had stayed as presedent, you wouldnt even know what is computer. He duped many but because education was kept to standard 7.

    • @somicotv3000
      @somicotv3000 8 лет назад

      I doubt on your thinking capacity, the development which you claim that we, Tanzanians wouldn't have if we would be under Mwal. Nyerere is determined by the trend of world advancement in various aspects of human life, therefore, it is inevitable to any country, thus why all countries have accessed the computer and other modern technologies. There is great number of nations still under bad leadership and their people enjoy the world technologies. Some features of development come in evolution like phenomenon. Bear in mind that in the digital world as it is today still your country suffers from extreme poverty, hunger and starvation, diseases, corruption, nepotism poor industrial production and so on, it seems as to you sitting somewhere playing game in touch screen, it is development. Go deep in your life and figure out the goodness of our leaders who also found themselves in those technologies you boast to have, if they have positive contribution to your nation and set clear future , and figure out the future of your life, generation, and the nation in general. eventually you will realize that you think small. Criticize Nyerere but not in poor argument like yours above.

    • @theturkanabus3610
      @theturkanabus3610 7 лет назад

      I agree with Sharif Juma. While I am Tanzanian, I have lived in Kenya for 5 years. I had not noticed a few behaviors peculiar to us Watz until I came back home to visit For example, we are quite xenophobic. Not as much as the South Africans but still there exists a fear of foreigners. Also, there is a tendency to always be politically correct. That it is very very bad to be exclusive in any way, shape or form. That I must speak English or Kiswahili even when the person I am speaking to is of the same ethnic group as I. Those two are what stick out for me and while I hate to compare, Kenya has none of the above mentioned problems. Yes Kenya has 'ukabila' but I have found that between elections, nobody really cares about which tribe you are from. I think CCM has purposefully created both problems as an excuse to stay in power. It makes it seem like CCM is the glue that holds Tz together and scares us into voting for them so that we don't become 'wakabila kama Wakenya' even though they have not managed to bring economic development. I love Tanzania, it will always be my home but we need to stop thinking ourselves exceptional when we aren't. Having also visited Uganda, I believe East Africa should become a country there are many benefits

  • @wadoziwakori6371
    @wadoziwakori6371 9 лет назад

    wa kori wa dozi

  • @gunikhamisi8484
    @gunikhamisi8484 9 лет назад

    Dunia ina mambo viongozi chungeni kauli zenu

  • @sifaeljoseph7473
    @sifaeljoseph7473 9 лет назад

    Laiti angekuwepo mpaka leo. Tungeelewa mapema chaguo sahihi oct. 25

  • @mwajumamapunda624
    @mwajumamapunda624 9 лет назад

    akuna rais atakae kuwa bola km nyerere R.I.P baba wa taifa akuna km ww

  • @saidomary5911
    @saidomary5911 9 лет назад

    nyerere ni jembe la taifa kwa ujumla

  • @mervynalobo
    @mervynalobo 9 лет назад

    Thanks so much for this.