- Видео 285
- Просмотров 69 676
HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA
Словения
Добавлен 30 июн 2017
ZOEZI LA KUWAONDOA WAVAMIZI WA MISITU NA WAKULIMA WA BANGI KWENYE MISITU TANGANYIKA LAPAMBA MOTO
Timu ya doria ya misitu kwa kushirikiana na Village Guard Scouts (VGS) wanaendelea na zoezi la kuwaondoa wavamizi wa misitu katika vijiji nane vinavyonufaika na Biashara ya Kaboni.
Просмотров: 23
Видео
BAADHI YA WATUMISHI TANGANYIKA WATOA MKONO WA FARAJA KWA WAGONJWA, DAS AKEMEA UVAMIZI WA MISITU
Просмотров 10012 часов назад
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika wamewatembelea na kuwajulia hali wagonjwa wanaoendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika.
WATOTO WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2025 LAZIMA WAENDE SEKONDARI - DC BUSWELU.
Просмотров 1397 часов назад
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mheshimiwa Onesmo Buswelu amewataka wazazi wilayani humo kuhakikisha wanawapeleka shuleni watoto wao waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza bila kukosa.
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI TANGANYIKA INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2025.
Просмотров 10614 часов назад
Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Dkt. Alex Mrema kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halamshauri hiyo anawatakia wananchi na watumishi wote wa Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika Heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya 2025.
HISTORIA FUPI YA WILAYA YA TANGANYIKA| KAREMA KUTUMIA PESA MARA YA KWANZA| MAKTABA
Просмотров 17916 часов назад
HISTORIA FUPI YA WILAYA YA TANGANYIKA| KAREMA KUTUMIA PESA MARA YA KWANZA| MAKTABA
KIKAO CHA MAJUMISHO ZIARA YA KAMATI YA SIASA CCM WILAYA YA TANGANYIKA| MIRADI IKAMILIKE KWA WAKATI
Просмотров 96День назад
Kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Tanganyika imekutana kufanya majumuisho ya ziara iliyofanyika siku tatu kuanzia Desemba 11-12 katika maeneo mbalimbali yenye miradi Wilayani humu. Kikao hicho kiliwakutanisha Viongozi wakubwa wa kisiasa na wataalam wa idara na vitengo vya H/W ya Tanganyika, ambapo Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Yasin Kibiriti aliongoza, kikao hicho akiwemo Kamisaa wa Kamati ambay...
ZIARA YA KAMATI YA SIASA YA CCM WILAYA YA TANGANYIKA| YAKAGUA MIRADI NA KUTOA MAELEKEZO.
Просмотров 6014 дней назад
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi #ccm ilitembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Tanganyika, katika ziara hiyo ipo miradi iliyowaridhisha na kupongeza Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, na ipo mingine hawakuridhishwa nayo ikiwemo shule ya Msingi Karema ambapo walitoa maagizo ya utekelezaji wa haraka.
UZINDUZI WA MIKOPO A ASILIMIA 10 NGAZI YA MKOA, WILAYA YA TANGANYIKA YAVUNJA REKODI KIMKOA
Просмотров 11114 дней назад
Halmashauri ya wilaya ya Tanganyika imeibuka kinara katika uzinduzi wa mikopo ya asilimia 10 kwa mwaka 2024baada ya kutoa zaidi ya milion 673.
KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Просмотров 9321 день назад
Wananchi wa Tanganyika waaswa kulinda amani na umoja katika miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara
KABUNGU FC YAIBUKA KIDEDEA BONANZA LA MICHEZO KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU 9/12
Просмотров 3021 день назад
Timu ya mpira wa miguu ya Kabungu FC YAIBUKA KIDEDEA katika mashindano ya bonanza la michezo lililoandaliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika katika kuelekea MAADHIMISHO ya SIKU ya Uhuru wa Tanzania Bara 9/12 Bonanza hilo lililohusisha michezo mbalimbali kama vile, riadha kwa wanawake na wanaume, kukimbia na magunia kuvuta kamba na mpira wa miguu.
KUELEKEA 9 DEC TANGANYIKA YAENDESHA MDAHALO KUANGAZIA MAENDELEO YALIYOFANYIKA.
Просмотров 3621 день назад
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika leo imefanya mdahalo katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi. Mdahalo huo umeudhuriwa na wananchi wa wilaya ya Tanganyika, watumishi wa Halmashauri wanafunzi wa shule ya msingi Mpanda ndogo, wakulima, wafugaji na viongozi wa dini. ambapo ni muendelezo wa matukio yanayoendel...
DC BUSWELU APIGA ZIARA MACHESHA FM KUELEKEA 9 DECEMBER
Просмотров 4421 день назад
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Onesmo Buswelu amefanya ziara ofisi za Machesha Fm kuzungumzia maendeleo ya Tanganyika ndani ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara
SHANGWE LA TANGANYIKA KUELEKEA 9 DECEMBER
Просмотров 20421 день назад
Shangwe la wananchi, watumishi na Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kuelekea 9 December.
TANGANYIKA NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUELEKEA 9/DEC
Просмотров 7821 день назад
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika leo imeshiriki zoezi la Upandaji miti katika Shule ya Sekondari Kabungu iliyopo kata ya Kabungu wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi
TANGANYIKA YASHIRIKI USAFI KUELEKEA SIKU YA UHURU
Просмотров 7421 день назад
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika leo hii imeshiriki kufanya usafi katika Hospitali ya Wilaya Pamoja na matendo ya huruma.
MKURUGENZI TANGANYIKA NA BADIMI RANCHI GROUP WAMALIZA MGOGORO WA ENEO LA KUFUGIA MIFUGO YAO.
Просмотров 11928 дней назад
MKURUGENZI TANGANYIKA NA BADIMI RANCHI GROUP WAMALIZA MGOGORO WA ENEO LA KUFUGIA MIFUGO YAO.
VIONGOZI WA MADHEHEBU MBALIMBALI YA DINI TANGANYIKA WAHUBIRI AMANI BAADA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Просмотров 7628 дней назад
VIONGOZI WA MADHEHEBU MBALIMBALI YA DINI TANGANYIKA WAHUBIRI AMANI BAADA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
VIONGOZI WA SIASA WAPONGEZA UCHAGUZI WA AMANI TANGANYIKA
Просмотров 157Месяц назад
VIONGOZI WA SIASA WAPONGEZA UCHAGUZI WA AMANI TANGANYIKA
SERIKALI YAPELEKA MRADI WA MAJI SAFI SEMINARY YA ST. JOHN PAUL II, WANAFUNZI WAELEZEA FURAHA YAO.
Просмотров 108Месяц назад
SERIKALI YAPELEKA MRADI WA MAJI SAFI SEMINARY YA ST. JOHN PAUL II, WANAFUNZI WAELEZEA FURAHA YAO.
DC BUSWELU APONGEZA UCHAGUZI WA AMANI NA UTULIVU, AWATAKA WANANCHI KUJIKITA NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI.
Просмотров 78Месяц назад
DC BUSWELU APONGEZA UCHAGUZI WA AMANI NA UTULIVU, AWATAKA WANANCHI KUJIKITA NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI.
NENDENI MKAPIGE KURA KESHO KUCHAGUA VIONGOZI BORA KWENYE VIJIJI NA VITONGOJI VYENU - DC BUSWELU.
Просмотров 57Месяц назад
NENDENI MKAPIGE KURA KESHO KUCHAGUA VIONGOZI BORA KWENYE VIJIJI NA VITONGOJI VYENU - DC BUSWELU.
WATUMISHI, WANANCHI TANGANYIKA WAITWA KUJITOKEZA KWA WINGI KESHO KUPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI
Просмотров 68Месяц назад
WATUMISHI, WANANCHI TANGANYIKA WAITWA KUJITOKEZA KWA WINGI KESHO KUPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI
MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA AIFAGILIA TANGANYIKA, KUPELEKA BIASHARA YA KABONI CHEMBA
Просмотров 207Месяц назад
MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA AIFAGILIA TANGANYIKA, KUPELEKA BIASHARA YA KABONI CHEMBA
CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA WATEMBELEA WILAYANI TANGANYIKA KUJADILI CHANGAMOTO ZA WAFUGAJI NCHINI
Просмотров 115Месяц назад
CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA WATEMBELEA WILAYANI TANGANYIKA KUJADILI CHANGAMOTO ZA WAFUGAJI NCHINI
WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI TANGANYIKA WAPEWA SEMINA KUELEKEA UCHAGUZI 27 NOVEMBA 2024
Просмотров 118Месяц назад
WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI TANGANYIKA WAPEWA SEMINA KUELEKEA UCHAGUZI 27 NOVEMBA 2024
MKUU WA WILAYA ATEMBELEA MASHAMBA YA TUMBAKU, APONGEZA KAMPUNI YA PREMIUM
Просмотров 120Месяц назад
MKUU WA WILAYA ATEMBELEA MASHAMBA YA TUMBAKU, APONGEZA KAMPUNI YA PREMIUM
WANANCHI JITOKEZENI KUCHAGUA VIONGOZI BORA, ZINGATIENI KANUNI BORA ZA AFYA KUEPUKANA NA KIPINDUPINDU
Просмотров 39Месяц назад
WANANCHI JITOKEZENI KUCHAGUA VIONGOZI BORA, ZINGATIENI KANUNI BORA ZA AFYA KUEPUKANA NA KIPINDUPINDU
SERIKALI YATOA MKOPO MADELI 30 KWA VIKUNDI 4 VYA WANAWAKE UKANDA WA ZIWA, WENYEWE WAELEZA FURAHA YAO
Просмотров 87Месяц назад
SERIKALI YATOA MKOPO MADELI 30 KWA VIKUNDI 4 VYA WANAWAKE UKANDA WA ZIWA, WENYEWE WAELEZA FURAHA YAO
JESHI LA AKIBA 258 WAHITIMU MAFUNZO TANGANYIKA, DC BUSWELU ASISITIZA BIDII, UTII, UZALENDO KAZINI.
Просмотров 402Месяц назад
JESHI LA AKIBA 258 WAHITIMU MAFUNZO TANGANYIKA, DC BUSWELU ASISITIZA BIDII, UTII, UZALENDO KAZINI.
Nasikitika saana Kila nionapo mtu yeyote anaye weka uchama kwenye maendeleo ya taifa , embu tujifunze kuitengeneza nchi pasina kutegemea chama tufanye kazi, tuache ubinafsi , ukabira, udini , uchama , hivi Vitu ni Vitu ambavyo vina chelewesha maendeleo, tunahitaji watu sahihi wakusimamia miradi ya nchi hii, pasina kusubili chama tukiwa hivi TANZANIA yetu itakua one of the best country in Africa kuwahi kutokea, samahanini kama nimewakosea🙏🙏🙏
Na pia hata sisi Tanzania tujenge viwanda kwaajili ya kuchakata bidhaa mbali mbali, mfano humo humo mkoani KATAVI Kuna madini mengi mfano,madini ya chuma, dhahabu, nk. Hivyo basi 2naweza kuwa na kiwanda Cha kufua vyuma na 2kauza bidhaa kamili siyo Kila siku tunawauzia madini, halafu Bado wanarudi kutuuzia sisi bidhaa hiki kitu ni umaskini mkubwa saana kwenye nchi iliyo balikiwa madini ya kutosha
Moja Kati ya Vitu Bora kuwahi kutokea mkoani kwetu KATAVI ni bandari ya karema sasa basi tunaomba wanaohusika na bandari wasiwanyime furusa vijana wa mwkoani humo
Huyo Shekh hajazungumzia haki
Mmenunuliwa
Wewe Acha uwongo ww act gani wakati viongozi wako wanapinga matokeo ww Mungu anakuona ujue
duuh hizi ndizo Habari zinazotakiwa ku-trend sio fulani msanii katoa NYIMBO flani.
jamaa amesema wamepokea bilioni 22.5 na mpaka sasa wametekeleza miradi ya bilioni 18 ila ameishia kutaja miradi isiyozidi bilioni 3 kwanini asimalizie maelezo ya miradi yote?yaani hapo kuna bilioni 15 hazijatajwa matumizi yake. tujifunza kuwa wenye ukweli na nidhamu tunapotoa taarifa kwa wananchi.
Watujengee barabara kiwango Cha lami kutoka sitalike Hadi kibaoni/kizi
Mnaijua Bilioni 201 nyie?
Hongereni sana kwa maendeleo ya jamii na ustawi wa afya za wana Tanganyika
Hongera sana Mh mkuu wa mkoa wa katavi kwa hamasa kubwa sanaa
hongereni mabosi wetu
👏
👏
🎉🎉🎉🎉
Safi sanaa
Aiseee nimeipenda sana
Hongera diwani Kapata..mm Meza nitkja kkuona soon!
Kazi Iendelee. CCM oyee
🙏🙏
Poreni.namafuriko
🙌🏾🙌🏾
Kiongozi unayeacha alama, mtoto wa Majalila. Mwamba wa Tanganyika.
Ccm.
Hongera Comrade Iddi Kimanta.Wana Katavi mmepata jembe.
😂😂😂😂😂😂😂😂 hebu tuacheni tupumuwe mkulima hafunikwi mwevuli
Tanganyika....
Hongereni xaana2 madiwani wetu
Asante sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suruhu Hassan pamoja na uongozi wa H/W ya Tanganyika Mh. Mkurugenzi Shaban J. Juma kwa haya yote yanayofanyika kwenye hii Halmashauri
Pole sana kwa walio poteza ndugu zao
Umeongea kweli Tanganyika Kuna vipaji
Hongera kwake mama oyeeeeeeeeee
Kazi iendelee
CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!! KAKOSO OYEEEEEEEEEEEEEEEE,,,,,,,
Kiongozi mwenye busara na mchapa kazi,big up sana.
Msilewe madaraka
Uwanja wa wapi huo?
Uwanja huu upo mkoa Katavi unaitwa azimio
Poa poa