Official Uhamsho Kwaya
Official Uhamsho Kwaya
  • Видео 16
  • Просмотров 85 421

Видео

Wimbo wa kwanza wa Christmas (Uhamsho KWAYA)
Просмотров 5814 дней назад
Wimbo wa kwanza wa Christmas (Uhamsho KWAYA)
Wimbo wa kwanza wa Christmas
Просмотров 16214 дней назад
Wimbo wa kwanza wa Christmas
Uhamsho Kwaya - MSAMAHA. (Official Music Video)
Просмотров 1,1 тыс.3 месяца назад
Msamaha ni jambo muhimu katika maisha yetu ya kila siku. Kuna mda itatubidi tusamehe au tusamehewe katika maisha yetu. Yatupasa tujifunze kusamehe hata pale ambapo mioyo yetu imeumizwa vibaya. "Kwa maana mkiwa samehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali msipo wasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu" Mathayo: 6:14-15. #uhamshokwaya #ms...
Uhamsho Kwaya - INA FAIDA GANI? ( Official Music Video). COPYRIGHT RESERVED, 2022.
Просмотров 2,4 тыс.6 месяцев назад
Mathayo: 16:26. Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake? For what is a man profited, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? or what shall a man give in exchange for his soul? Marko:8:36. Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? For what shall it profit a...
Uhamsho Kwaya - SIMU. (Official Audio)
Просмотров 409Год назад
The official Audio Song 🎵 of Uhamsho Kwaya. Produced by: SamuelBLIT Peoduction ( DRC 🇨🇩) Recorded by: Pidas Records ( USA 🇺🇸) Directed by: Bahati Musiq ( we're Next Studio, USA 🇺🇸). welcome 🙏.
Uhamsho Kwaya - SIMU (Official Music Video)
Просмотров 11 тыс.Год назад
Karibuni Tena wapendwa katika Kristo, tuburudike na tuelimike kupitia wimbo huu mzuri sana wa Simu. Tujue mazuri, na mabaya ya Matumizi ya SIMU.
Uhamsho Kwaya: Simu - Coming Soon
Просмотров 561Год назад
Uhamsho Kwaya: Simu - Coming Soon
Uhamsho Kwaya - KIFO CHAKE. ( Official Music Video) 2023.
Просмотров 7 тыс.Год назад
Song: Kifo Chake. Director: Bahati Musiq Location Shot: Cleveland-Akron, OH. Studio: Ernest Pro. Studio 🎙, and Benjamin Production Studio 🎙. Kifo cha Bwana wetu Yesu Kristo ndio Uponyaji na Ukombozi wa Ulimwengu Mzima. Alikufa, na Siku ya Tatu akafufuka. Na sasa yu Hai, ni Mzima, Anatuita Tumpokee. Amen #Pasaka #Amefufuka #Kifochakebwanayesu #he'srisen #jesuschrist
Uhamsho Kwaya - LÚÚNDO (Official Music Video)
Просмотров 29 тыс.2 года назад
Yohana 13:34-35 34. Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo. A new commandment I give unto you, That ye love one another; as I have loved you, that ye also love one another. 35. Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi. By this shall all men know that ye are my disciples, if ye have love one ...
Lúúndo by Uhamsho Kwaya!!!! Coming soon
Просмотров 5002 года назад
Lúúndo by Uhamsho Kwaya!!!! Coming soon
Uhamsho Kwaya - TENDA MEMA (Official Music Video)
Просмотров 6 тыс.2 года назад
Wapendwa, Wema ni hakiba na Ubaya ni hakiba pia. Hivyo basi tutendeni Wema siku zote za maisha yetu ili tulipwe mema siku moja. WAGALATIA: 6:9-10 9. Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho. And let us not be weary in well doing: for in due season we shall reap, if we faint not. 10. Kwa hiyo kadiri tupatavyo nafasi na tuwatendee watu wote mema; na has...
Tenda Mema by Uhamsho Kwaya. Coming Soon
Просмотров 5382 года назад
Tenda Mema by Uhamsho Kwaya. Coming Soon
Uhamsho Kwaya - BWANA TUTETEE. (Official Music Video)
Просмотров 13 тыс.2 года назад
Isaya 1:18-20 Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi; bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya. Mathayo 11:28-30 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami...
Uhamsho Kwaya - KATIKA SIKU ZILE (Official Music Video) #Happypro#AkronMennoniteChurch#UhamshoKwaya.
Просмотров 13 тыс.3 года назад
Luka: 2:1-7. Amezawa kwenye takataka kwa ajili yetu sisi. Basi tufungue mioyo yetu ili azaliwe ndani yetu, na tumpokee yeye Bwana Yesu maishani, ili awe Bwana na Mwokozi wa maisha yetu na ayatawale maisha yetu. Mungu atubarikinwote, Amen.
Uhamsho Kwaya Inafaida gani (Second half)
Просмотров 1,1 тыс.3 года назад
Uhamsho Kwaya Inafaida gani (Second half)

Комментарии