Mi Sioni nyumba ya bati 50, 60 hapo!! Labda tunaona upande 😊 nyumbani haina hata jiko afu bati 60! Nyumbani ndogo kama hii ninayoona hapa naweza kadiria bati 25 mpk 35😊
Acha kudanganya watu ujenzi wa tofari za kuchoma ni imara sana na unagarama kubwa kuliko za cement kwa nini nasema hivyo 1. Nyumba ya kutumia tofari elfu 3 za cement choma unatumia elfu 13 2. Cement unaweza kutumia mifuko ata 50 kwenye choma badara ya 25 kwenye Brock za cement 3.lipu inachukua cement kubwa sana ukilinganisha na za cement 4. Usumbufu wa muda unakuwa mrefu kuzijenga unakaa site mda mrefu ukilinganisha na izo za cement na mengine mengi .
Mambo kaka samahani lakini mie nilikuwa naombi, ungekuwa unatoonyesha na ndani kama yule kaka mwingine anavyofanya wa sanuka media hii pia itapelekea video zako kuwa ndefu
Nimependa grill hizo
Naomba tufanye kazi wote niwe fundi wako nimemaliza form4 2024
Kazi nzuri kaka
Asanteee
Mambo kaka hilo gati jeusi bei gan
Mnapatikana wapi Tanzania nzima
chumba kimoja kikubwa chenye choo ndani kinaweza ghalimu bei gan?
Mbona unaongea kama msukuma
Waooo safi sana shingap dilisha moja
Astaghafru alhlla uchafu tena huo ndio uwezo wake
Huo ukuta ndo umeharibu ila umeweza
Mbona msing sion au hujaweka
Kaghorofaaa kamekondaaa kembambaaa si ungejenga bangalooo kubwa ya chini
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahahahaha Endelea kukoment na kushere
Hi
Mi Sioni nyumba ya bati 50, 60 hapo!! Labda tunaona upande 😊 nyumbani haina hata jiko afu bati 60! Nyumbani ndogo kama hii ninayoona hapa naweza kadiria bati 25 mpk 35😊
Endelea kukoment kushere na kulike
Chumba kidogo bati 50, 60🤭
Mpaka apo ilipofikia imebeba tofali ngap bati ngap na mbao ngap ndugu
Nmependa ilivo lkn mbn ngz n z kawaida hazirizishii
Kweli Asante kwa maoni
How please namba yenu
Mpaka hapo imegali sh ngap ?
Ungekua kenya tungeonana,,,
Muoneka wa hizo ngazi sio mzuri na ukuta wake
Mwenye jengo alidai huo ndo muonekano aliopendekeza
Hata Mimi sikuupenda Ila mwenye jengo alazimisha hivyo
MUNGU anawaona
Mnamfukuza kocha kwa kufungwa gemu 2 tafuteni nakocha mwengine wa hakiba mana bado lipigo kinaendela
Tabu Iko pale pale musijifariji
Tofar ngapi zimetumika
Tatizo unachukuaga picha fupi mm sipendi
Umeacha nchi ngapi hapo nje ya msingi
Saf saan
Bati 50 ht jiko hakuna weee😂😂😂😂
Huu uchafu huoni aibu kuuweka humu?
Asante kwa kukoment
Hv wtz akiri zetu zikoje,,eneo zueu mnashindwa nini kujipanga vzr, mkaweka barabara za mitaa,
We nae ni wawapi
Jiver🎉🎉 mimi rinu nimependa sana kaz nzur
Kazi nzuri sana
Nitumie namba zenu
Namb
shida hamtoi namba
Muwarabu vip nahitaji na mm ramani moja ya vimba vitano
🎉🎉🎉🎉
Mnapatikana wapi?
Acha kudanganya watu ujenzi wa tofari za kuchoma ni imara sana na unagarama kubwa kuliko za cement kwa nini nasema hivyo 1. Nyumba ya kutumia tofari elfu 3 za cement choma unatumia elfu 13 2. Cement unaweza kutumia mifuko ata 50 kwenye choma badara ya 25 kwenye Brock za cement 3.lipu inachukua cement kubwa sana ukilinganisha na za cement 4. Usumbufu wa muda unakuwa mrefu kuzijenga unakaa site mda mrefu ukilinganisha na izo za cement na mengine mengi .
Asante kwa kukoment endelea kuangalia channel yetu
Uko pow wanawane
Kaka hii nyumba umeijenga kuanzia msingi mpaka hapo?
Ndioo
Naomba namba
Kweli kaka kazi nzuri sana
Asante
Mambo kaka samahani lakini mie nilikuwa naombi, ungekuwa unatoonyesha na ndani kama yule kaka mwingine anavyofanya wa sanuka media hii pia itapelekea video zako kuwa ndefu
Asante kwa maoni yako
Naomb namb yako
Sawa
Hillo tofal limepgwa kabilo ubavun tu
Kazi nzuri ila uwe unaonesha na mikato ya ndani mkuu
Sawa
Naomba namba
Naomb kuon sehem ya jiko dain na sebulen muonekanowak