- Видео 5
- Просмотров 697 460
Betty Mdali
Добавлен 6 сен 2014
Видео
MACHOZI 2-KING MAJUTO
Просмотров 287 тыс.10 лет назад
MACHOZI 3-KING MAJUTO
Просмотров 144 тыс.10 лет назад
MACHOZI 4-KING MAJUTO
Просмотров 105 тыс.10 лет назад
MACHOZI COMEDY TRAILER
Просмотров 83710 лет назад
😂😂heeee
Presdent of comedy R.I.P.
Hahahaa one way
Mzee majuto....king of bongo
Rip my love majuto😭😭😭😭
Natamani Wana ndoa waone hii movie maana ina funzo kubwa sana maana wazazi wana paswa kushirikiana na watoto wao wasiwaache tu bila kufuatilia mienendo Yao ya Kila siku waki weza kufanya hivyo basi mji lazima utajengeka kirahisi SANA 🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏🤣😃😃😀
Michepuko yetu
Hahahaa mzee majuto Allah akurehemu,ati amri moja germany, we miss you alot majuto.
Hahhhh Mzee wangu eti mkojo Mwenyezi Mungu akulaze mahala pema
الله يرحمك رحمة واسعة الحاج مجوتو أكثر مسلسلات التى اضحكتني طوال حياتي
Majuto
Rest in peace Mzee Majuto. Allah akusamehe, akurehemu na akuweke peponi.
ruclips.net/video/EFl7i1LzYmQ/видео.html
Mzee nakazi yake
Huh mzee wangu mungu akupe kuli tabit sina mbavu zangu ati hi ndio talaqa
Allahualam labda nimekunywa mikojo 😂😂
Chini ya ulinzi😂
Chini ya ukinzi😂
Dah! kumbe Majuto cku nyengne anakuw katil, Allah amrehem
wacha mm aitwe mm
Mungu akurehemu mzee majuto
Hahahaha
Nimeipenda hiyo pinda mgongo!
Rudi kwamumeo mojaaaa 😊😊😊
mguuwangu mbn wakwako unao mwenyeo hhhhhaaaaaaa
Aki nitakukumbua mzee majuto unanifuraisha sana hivi vituko vyako from kenya R.I.P mzee
Pumzika kwa amani mzee majudo,,
Duh hii kali kunyanyaswa huku napakimbia hata kwetu sitaenda
✌🖐✋🤙💖💗💕
Mzee majuto umeniacha hoi wallah mbavu sina eti hii ndio talaka 😁😁😁. Allah akurehemu mzee wetu kipenzi
MZEE majuto ntakukumbuka daima.eti mtoto Kama kapigwa nn eti hahaha sina mbavu mie
Hahahahaha..mzee dah, Allah akusamehe makosa yko
Ilo dume jinga
wololooo watoto moja mbili tatu eee noma sana
I love u majuto😂😂😂😂😂nimecheka sana RIP KING
Nakhi
Daa jamani kinamama wanapata taabu sana pamoja ni maigizo lakini yapo mambo haya duniani kote mpaka leo hii sio poa mama zetu wanateseka sana
Shock
Hahaha
Habari pombe baya
nice
Pore ndungu
Naic
Kweli pombe sio mbaya ila wanaotumia vibaya ndio wabaya
Felix Ochieng Omondi yaani amakwer pombe sio chai
Felix Ochieng Omondi hana ata adabuuu mpumbav huyu hamnahaj hata yakumpa mtoto wenu huo nimkoss
ATA 4:34 I like that back ground song I heard.
G. ?
Maria hujambo
Hatareee sanaa 😂😂
Muddi Ballo hataryy ndoa zinginee ni baraaa
Muddi Ballo muachen mtoto abak hap nyumban mnatak akafie kwamume araf iwejee
Yaani mwanaume mlevi kama huyo nikumtandika ukishampiga siku moja harudi kukupiga na pombe zinamtoka na chakula simpikii mbona atashika adabu
Mungu atubarki xanaa
wacha majuto aitwe majuto Kenya twakufulia kofia mzee r,IP the President of bongo.
we missing u king R.I.P BABU
mmh majuto
Mzeee anatisha
Mwanaume km.huyo namtilia sum afu usenge km huo sifugi
Picha ninzuri,,kwanini mahamuzi yawazazi,,nimuhimu kwenye ndoa