DAWASA ONLINE TV
DAWASA ONLINE TV
  • Видео 329
  • Просмотров 55 487

Видео

SERIKALI YAAHIDI UHAKIKA WA HUDUMA YA MAJI MAENEO MATANO DAR
Просмотров 6321 час назад
SERIKALI YAAHIDI UHAKIKA WA HUDUMA YA MAJI MAENEO MATANO DAR
NAIBU WAZIRI KUNDO ARIDHISHWA NA MRADI WA MAJI CHALINZE AWAMU YA TATU
Просмотров 44День назад
NAIBU WAZIRI KUNDO ARIDHISHWA NA MRADI WA MAJI CHALINZE AWAMU YA TATU
NAIBU WAZIRI KUNDO AONGOZA KIKAO KAZI NA WATUMISHI SEKTA YA MAJI MKOA WA PWANI
Просмотров 167День назад
NAIBU WAZIRI KUNDO AONGOZA KIKAO KAZI NA WATUMISHI SEKTA YA MAJI MKOA WA PWANI
DAWASA YAANZA SHANGWE ZA MWAKA MPYA NA WAKAZI GEZAULOLE
Просмотров 50День назад
DAWASA YAANZA SHANGWE ZA MWAKA MPYA NA WAKAZI GEZAULOLE
ZIARA YA SEKTA YA MAJI KOREA KUSINI TAFANIKISHA MRADI WA MAJITAKA DAR ES SALAAM
Просмотров 5021 день назад
ZIARA YA SEKTA YA MAJI KOREA KUSINI TAFANIKISHA MRADI WA MAJITAKA DAR ES SALAAM
MATENGENEZO MTAMBO WA RUVU JUU YAANZA
Просмотров 293Месяц назад
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa maandalizi ya matengenezo ya dharura ili kuzuia uvujaji wa maji katika maungio ya bomba la inchi 40 na inchi 28 katika Mtambo wa Uzalishaji Maji wa Ruvu Juu.
WANANCHI MANGA NA MKATA KULA SIKUKUU WAKIWA NA MAJISAFI
Просмотров 85Месяц назад
WANANCHI MANGA NA MKATA KULA SIKUKUU WAKIWA NA MAJISAFI
ELIMU YA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI YATOLEWA KWA KLABU YA MAZINGIRA MKURANGA
Просмотров 143Месяц назад
ELIMU YA UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI YATOLEWA KWA KLABU YA MAZINGIRA MKURANGA
UBORESHWAJI WA HUDUMA YA MAJISAFI NA SALAMA KATIKA WILAYA YA UBUNGO
Просмотров 33Месяц назад
UBORESHWAJI WA HUDUMA YA MAJISAFI NA SALAMA KATIKA WILAYA YA UBUNGO
DAWASA YATETA NA WATUMIAJI WAKUBWA WA HUDUMA ZA MAJI WILAYA YA ILALA
Просмотров 150Месяц назад
DAWASA YATETA NA WATUMIAJI WAKUBWA WA HUDUMA ZA MAJI WILAYA YA ILALA
ZOEZI LA MAUNGANISHO YA WATEJA WAPYA WA MAJI LINAENDELEA KIBAMBA
Просмотров 46Месяц назад
ZOEZI LA MAUNGANISHO YA WATEJA WAPYA WA MAJI LINAENDELEA KIBAMBA
KITUO CHA AFYA MAJOHE SASA MAJI MWAA MWAA!
Просмотров 812 месяца назад
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefanikisha zoezi la uwekaji na upatikanaji wa huduma ya Majisafi katika Kituo cha Afya cha Majohe, kilichopo Kata ya Majohe, Wilaya ya Ilala.
USOMAJI MITA SHIRIKISHI UNAENDELEA MKOA WA KIHUDUMA DAWASA MAGOMENI
Просмотров 1392 месяца назад
USOMAJI MITA SHIRIKISHI UNAENDELEA MKOA WA KIHUDUMA DAWASA MAGOMENI
Mradi wa Bilioni 65.4 waandika mafanikio lukuki kata za Wazo na Goba
Просмотров 742 месяца назад
Mradi wa Bilioni 65.4 waandika mafanikio lukuki kata za Wazo na Goba
Ufuatiliaji Huduma ya Maji Temeke na Tabata, DAWASA yaingia mtaani.
Просмотров 682 месяца назад
Ufuatiliaji Huduma ya Maji Temeke na Tabata, DAWASA yaingia mtaani.
HUDUMA YA MAJI DAR YAZIDI KUIMARIKA.... WAKAZI WAKIRI UPATIKANAJI
Просмотров 932 месяца назад
HUDUMA YA MAJI DAR YAZIDI KUIMARIKA.... WAKAZI WAKIRI UPATIKANAJI
WAZIRI AWESO ATEMBELEA AKAGUA HALI YA HUDUMA YA MAJI DAR NA PWANI
Просмотров 762 месяца назад
WAZIRI AWESO ATEMBELEA AKAGUA HALI YA HUDUMA YA MAJI DAR NA PWANI
DAWASA NA UIMARISHAJI HUDUMA KWA WANANCHI WA KWEMBE WILAYA YA UBUNGO
Просмотров 682 месяца назад
DAWASA NA UIMARISHAJI HUDUMA KWA WANANCHI WA KWEMBE WILAYA YA UBUNGO
HUDUMA YA MAJI YAENDELEA YAIMARIKA KIMARA
Просмотров 552 месяца назад
HUDUMA YA MAJI YAENDELEA YAIMARIKA KIMARA
Huduma ya Maji inaendelea kuimarika baada ya kukamilika kwa maboresho katika Mtambo wa Ruvu Juu
Просмотров 422 месяца назад
Huduma ya Maji inaendelea kuimarika baada ya kukamilika kwa maboresho katika Mtambo wa Ruvu Juu
DAWASA YASAMBAZA HUDUMA MAENEO YASIYO NA MTANDAO
Просмотров 483 месяца назад
DAWASA YASAMBAZA HUDUMA MAENEO YASIYO NA MTANDAO
WAKAZI DAR ES SALAAM YA KUSINI WAPEWA UHAKIKA MAJISAFI IFIKAPO DISEMBA 2024.
Просмотров 2943 месяца назад
WAKAZI DAR ES SALAAM YA KUSINI WAPEWA UHAKIKA MAJISAFI IFIKAPO DISEMBA 2024.
MSHIKAMANO, MAGARI SABA NA MACHIMBO SASA MAJI MWAA MWAA MWAA!!
Просмотров 663 месяца назад
MSHIKAMANO, MAGARI SABA NA MACHIMBO SASA MAJI MWAA MWAA MWAA!!
DAWASA MTAA KWA MTAA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Просмотров 1673 месяца назад
DAWASA MTAA KWA MTAA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
MBAGALA MWANAMTOTI MAJI MWA MWAA MWAAA!
Просмотров 733 месяца назад
MBAGALA MWANAMTOTI MAJI MWA MWAA MWAAA!
DAWASA MTAA KWA MTAA YAHITIMISHWA KWA KISHINDO KINONDONI
Просмотров 4223 месяца назад
DAWASA MTAA KWA MTAA YAHITIMISHWA KWA KISHINDO KINONDONI
WANANCHI GOBA NA WAZO WAPONGEZA KUSOGEZA HUDUMA DAWASA MTAA KWA MTAA
Просмотров 2243 месяца назад
WANANCHI GOBA NA WAZO WAPONGEZA KUSOGEZA HUDUMA DAWASA MTAA KWA MTAA
KAMATI YA BUNGE YAIMWAGIA SIFA WIZARA YA MAJI KWA KAZI NZURI DAR ES SALAAM
Просмотров 604 месяца назад
KAMATI YA BUNGE YAIMWAGIA SIFA WIZARA YA MAJI KWA KAZI NZURI DAR ES SALAAM
DC Mpogolo asisitiza miradi ya usafi wa Mazingira kuwa Shirikishi kwa Jamii.
Просмотров 894 месяца назад
DC Mpogolo asisitiza miradi ya usafi wa Mazingira kuwa Shirikishi kwa Jamii.

Комментарии

  • @SaluKingi
    @SaluKingi 9 дней назад

    Hongera sana Mh.Naibu Waziri wa Maji,piga kazi kaka Mungu Muumbaji aendelee kukupa afya njema na siha katika majukumu yako

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Месяц назад

    Well done Eng Msenyele

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o Месяц назад

    Kwanini uwa ni ruvu juu tu mbona hakunaga ubovu wa mtambo ruvu chini au kwakuwa bomba hilo linapita maeneo ya mbweni, ununio mbezi beach na sarasara kwa waheshimiwa?

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o Месяц назад

    Inakamilika lini hatuna maji siku ya 5

  • @HamisKuhenga
    @HamisKuhenga Месяц назад

    Namba namba ya huduma kwa wateja kibaha

  • @UnderwriterHia
    @UnderwriterHia Месяц назад

    Maji hayatoki, mtaa wa uhuru - maeneo ya Muhimbili na kwa Robert huku Goba - Mbezi - Dar Es Salaam

  • @titokimambo1367
    @titokimambo1367 2 месяца назад

    Dawasa naomba kujua hayo maji lini mmeanza kuyatoa kwani Hadi Sasa malamba 2 ni shida tupu au mnajifanya kumrizisha raisi huku Mitandaoni kiuhalisia ni sifuri tu

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 6 месяцев назад

    HONGERA DAWASA

  • @Gospel2Youth
    @Gospel2Youth 6 месяцев назад

    Ahsante

  • @MrishoMtika-ir1xv
    @MrishoMtika-ir1xv 6 месяцев назад

    Kazi nzuli ila Mimi Nina shida nime mwita savey amekuja kwangu nikamuuliza gharama za malipo ameniambia million moja na laki mbili na nusi wakati Bomba halipo mbali na kwangu naomba munisaidie

  • @dadyhatibu9370
    @dadyhatibu9370 7 месяцев назад

    Hongera sana DAWASA,hii dalili njema kwa wana dar es salaam. KAZI iendelee 💪

  • @yahayaallytv2852
    @yahayaallytv2852 8 месяцев назад

    Billion 335 n pesa nyingi sana tutaona itatengeneza nn na nn

  • @doricetesha5727
    @doricetesha5727 8 месяцев назад

    Asante ila Makongo Juu ni zaidi ya wiki sasa maji hayatoki KABISAA, hadi reserves zimeisha. Chondechonde fanyeni kufungulia maji, maji ni uhai. Mteja, Midizini, Makongo Juu @dawasa

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 9 месяцев назад

    Big up, DAWASA kwa juhudi zenu za kimkakati kuhakikisha kuwa wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam wanakuna na mazingira safi, salama na maisha ya heshima kwa kuwa na vyoo bora na kuachana na kuwa na majitaka /kinyesi katika maeneo yao. Hii itaondoa kabisa au kupunguza magonjwa ya mlipuko 👍🏽

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 9 месяцев назад

    Safii sana

  • @morandraymond3169
    @morandraymond3169 9 месяцев назад

    Jee wananchi wanarizika na huduma mnazotoa au mnasifiana tu

  • @JacksonNdahani..
    @JacksonNdahani.. 10 месяцев назад

    💧💧💧

  • @VENANCEAUGUSTINO
    @VENANCEAUGUSTINO 10 месяцев назад

    Maji morogoro machafu

  • @ProjectMastery-Hub
    @ProjectMastery-Hub 11 месяцев назад

    Huduma zenu Bado legelege nimeomba kuunganishiwa maji tangia October 2023 hadi Leo hii sina maji eti hamna meter. Kweli miezi4 nasubiria meter?

  • @thobymsule6045
    @thobymsule6045 11 месяцев назад

    Yaani mpaka Makonda awatoe uvunguni ndiyo mtoe huduma?sasa nyie kazi zenu nini

  • @hiltongodfrey2094
    @hiltongodfrey2094 Год назад

    Kazi Iendelee 🎉

  • @dadyhatibu9370
    @dadyhatibu9370 Год назад

    Hii Imeenda 💪

  • @kulwamwakagali24
    @kulwamwakagali24 Год назад

    Nawe pia Boss wetu🎉🎉

  • @georgemaige4248
    @georgemaige4248 Год назад

    Hongereni sana DAWASA kwa huduma bora mnayotoa Kwa Wananchi. MAJI NI UHAI

  • @MarcelloMuarabu
    @MarcelloMuarabu Год назад

    Mnapatikana wapi ofisi zenu

  • @mercymwihava8929
    @mercymwihava8929 Год назад

    Hongera DAWASA na hongera EWURA

  • @joshualairumbe5871
    @joshualairumbe5871 Год назад

    Good🔥🔥.

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma Год назад

    Mbona mnatutesa wananchi wa mbezi makabe maji wiki 3 hayatoki. Ili muuze maji lita 1000 Unit 1 sh 15000? Tunajua magazine yanayouza maji mnausika nayo

  • @msamikabelwa6674
    @msamikabelwa6674 Год назад

    Dawasa tukipanga tunatekeleza

  • @yusuph2021mbogo-ks7dd
    @yusuph2021mbogo-ks7dd Год назад

    Kaz mzuri

  • @barakamasolo2961
    @barakamasolo2961 2 года назад

    Safi sana dawasa

  • @emmanuelnjoka7369
    @emmanuelnjoka7369 2 года назад

    👏👏👏

  • @petermwapila5964
    @petermwapila5964 2 года назад

    Naomba namba ya malipo . Nipotegeta.

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 2 года назад

    Kwa kaz gan

  • @severinakibanda4657
    @severinakibanda4657 2 года назад

    Kubwa Sana hiii

  • @arnoldmisana7049
    @arnoldmisana7049 2 года назад

    Ni usanifu na usanii. Mipango ya ujenzi wa bwawa hili upo kwenye michorp kwa zaidi ya miaka kumi sasa na imekuwa kama ndoto tu. Mvua zikinyesha ndoto zote huyeyuka. Ukame ukianza ndoto hizo huibuka kwa kasi kubwa sana. Ni lini tutaamka toka katika usingizi wenye ndoto hizi za kufikirika tu?

  • @evalinegideon3982
    @evalinegideon3982 2 года назад

    Mkwimaaa ake

  • @emmanuelnjoka7369
    @emmanuelnjoka7369 2 года назад

    👏👏👏👏💦

  • @emmanuelnjoka7369
    @emmanuelnjoka7369 2 года назад

    👏👏👏

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 2 года назад

    😂🤣🤣🤣🤣 NA WANASHANGAZWA...... MANA WAO WANAWAZA KULA TU

  • @apengeslyamuya7788
    @apengeslyamuya7788 2 года назад

    💪💪💪👏👏👏

  • @mwamotojr2336
    @mwamotojr2336 2 года назад

    👍👍👍👍👍

  • @elizabethsembe1677
    @elizabethsembe1677 2 года назад

    Kwangu sija waelewa kwakweli .mienzi minne amnifungii maji tatizo nni.nambazenu nizahuongo. Ukienda hofsini nikalendatu mala wiki hii mala ijayo mpaka nimechoka kufuatilia.

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 2 года назад

    Asante kwa somo zuri ndugu balozi!

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 2 года назад

    Nice job mkuu

  • @petermax5756
    @petermax5756 2 года назад

    mama umeupiga mwingi sana

  • @barikimbacho6731
    @barikimbacho6731 2 года назад

    Hili bwawa la kidunda lipo wapi? Ni hapa dar au mkoa wa pwani?...

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 2 года назад

    Nice job

  • @msamikabelwa6674
    @msamikabelwa6674 2 года назад

    Accurace & precision

  • @mahadmakanyangiro6345
    @mahadmakanyangiro6345 2 года назад

    Kazi mzuri sana