MWAMBA WA HABARI
MWAMBA WA HABARI
  • Видео 230
  • Просмотров 191 306

Видео

TEMDO MABINGWA WA TEKNOLOJIA WAELEZA MAZITO SABASABA
Просмотров 185 месяцев назад
TEMDO MABINGWA WA TEKNOLOJIA WAELEZA MAZITO SABASABA
SIKILIZA JINSI MAHANJUMATI WALIVYOKUJA KIVINGINE
Просмотров 15 месяцев назад
SIKILIZA JINSI MAHANJUMATI WALIVYOKUJA KIVINGINE
PROPERTY NA MIPANGO YA UJENZI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU
Просмотров 305 месяцев назад
PROPERTY NA MIPANGO YA UJENZI WA NYUMBA ZA BEI NAFUU
EWURA WATOA SOMO SABASABA,WAITA WANANCHI KUPATA RIPOTI ZOTE ZA NISHATI NA MAJI
Просмотров 126 месяцев назад
EWURA WATOA SOMO SABASABA,WAITA WANANCHI KUPATA RIPOTI ZOTE ZA NISHATI NA MAJI
DOCTOR HELLEN AWEKAWAZI DAWA ZENYE MAAJABU KATIKA MATIBABU YA MAGONJWA
Просмотров 96 месяцев назад
DOCTOR HELLEN AWEKAWAZI DAWA ZENYE MAAJABU KATIKA MATIBABU YA MAGONJWA
WABUNIFU WA TEKNOLOJIA ,MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI, VTA ZANZIBAR WATIKISA SABASABA.
Просмотров 216 месяцев назад
WABUNIFU WA TEKNOLOJIA ,MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI, VTA ZANZIBAR WATIKISA SABASABA.
MTAALAMU AFUNGUKA KUHUSU VUMBI LA SINGIDA ,CONGO SASA BASI
Просмотров 436 месяцев назад
MTAALAMU AFUNGUKA KUHUSU VUMBI LA SINGIDA ,CONGO SASA BASI
WAJUMBE WA TUME YA HAKI JINAI, DPC WAFUNGUKA MAZITO KUHUSU MIFUMO MBELE YA WAHARIRI TEF
Просмотров 8Год назад
WAJUMBE WA TUME YA HAKI JINAI, DPC WAFUNGUKA MAZITO KUHUSU MIFUMO MBELE YA WAHARIRI TEF
DP WORLD ITALETA MANUFAA AMA HASARA ? DKT ABDALLAH POSSI AFAFANUA
Просмотров 31Год назад
DP WORLD ITALETA MANUFAA AMA HASARA ? DKT ABDALLAH POSSI AFAFANUA
DP WORLD YAENDELEA KUJADILIWA PROF MBARAWA ATOA UFAFANUZI
Просмотров 17Год назад
DP WORLD YAENDELEA KUJADILIWA PROF MBARAWA ATOA UFAFANUZI
KUTANA NA WATAALAMU WA MASHINE NA TEKNOLOJIA ZA KURAHISISHA MAISHA
Просмотров 249Год назад
KUTANA NA WATAALAMU WA MASHINE NA TEKNOLOJIA ZA KURAHISISHA MAISHA
ZANZIBAR NA TANTRADE SASA MAMBO YAMEWEKWA HADHARANI
Просмотров 15Год назад
ZANZIBAR NA TANTRADE SASA MAMBO YAMEWEKWA HADHARANI
HIZO HAPA FURSA ZA KIBIASHARA TANZANIA NA JIMBO LA HARYANA NCHINI INDIA
Просмотров 13Год назад
Mbunifu wa mashine ya kutengeneza nguo afunguka namna wewe unaweza kukiliki kiwanda usipuuzie
Mtaalam TEMDO aelezea maajabu ya kitanda Cha kujifungualiawajawazito
Просмотров 226Год назад
Edited by VideoGuru:videoguru.page.link/Best
CCM YATOA MAELEKEZO KUHUSU BANDARI.
Просмотров 1,7 тыс.Год назад
CCM YATOA MAELEKEZO KUHUSU BANDARI.
INASIKITISHA ALI KARUME BAADA YA KUFUKUZWA CCM AIBUKA NA MAZITO
Просмотров 2 тыс.Год назад
INASIKITISHA ALI KARUME BAADA YA KUFUKUZWA CCM AIBUKA NA MAZITO
EWURA YAWEKA WAZI MGONGANO BILI ZA MAJI , UMEME NA BEI ZA MAFUTA
Просмотров 30Год назад
EWURA YAWEKA WAZI MGONGANO BILI ZA MAJI , UMEME NA BEI ZA MAFUTA
Simu za mkopo za Tigo na kampeni ya Chawote zazua gumzo Dar
Просмотров 3,4 тыс.Год назад
Simu za mkopo za Tigo na kampeni ya Chawote zazua gumzo Dar
TCAA-CCC YATAJA VITU VISIVYO RUHUSIWA KUSAFISHWA KWA NDEGE
Просмотров 35Год назад
TCAA-CCC YATAJA VITU VISIVYO RUHUSIWA KUSAFISHWA KWA NDEGE
Makampuni ya Rwanda na China yashiriki Maonesho ya biashara Sabasaba.
Просмотров 36Год назад
Makampuni ya Rwanda na China yashiriki Maonesho ya biashara Sabasaba.
Mtaalamu mbobevu wa Keki atoa darasa
Просмотров 52 года назад
Mtaalamu mbobevu wa Keki atoa darasa
MAJAMBAZI WAUAWA DAR POLISI YAELEZA MKANDA MZIMA
Просмотров 252 года назад
MAJAMBAZI WAUAWA DAR POLISI YAELEZA MKANDA MZIMA
UTARATIBU NA MWONGOZO WA KUOMBA MKOPO HESLB
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
UTARATIBU NA MWONGOZO WA KUOMBA MKOPO HESLB
WATAALAM WAELEZEA NAMNA FCC INAVYO SIMAMIA USHINDANI NCHINI.
Просмотров 212 года назад
WATAALAM WAELEZEA NAMNA FCC INAVYO SIMAMIA USHINDANI NCHINI.
MDAU TIC SABABASABA AFUNGUKA
Просмотров 32 года назад
MDAU TIC SABABASABA AFUNGUKA
NAPE , UCSAF IMEPIGA HATUA KUBWA KWA MAWASILIANO
Просмотров 92 года назад
NAPE , UCSAF IMEPIGA HATUA KUBWA KWA MAWASILIANO
MAFUTA YA NAZI YA ZANZIBAR YANAVYO FANYA MAAJABU
Просмотров 1012 года назад
MAFUTA YA NAZI YA ZANZIBAR YANAVYO FANYA MAAJABU
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe atoa maagizo kuhusu Influenza
Просмотров 732 года назад
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe atoa maagizo kuhusu Influenza
ILICHO VUNA TANZANIA FALME ZA KIARABU , DUBAI EXPO 2020.
Просмотров 212 года назад
ILICHO VUNA TANZANIA FALME ZA KIARABU , DUBAI EXPO 2020.

Комментарии

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 2 месяца назад

    Yaani nyie mnaongolea kukopa tu ety

  • @shadrackthomas9830
    @shadrackthomas9830 2 месяца назад

    Naitaji sim ya mkopo

  • @maimunamsakamali9152
    @maimunamsakamali9152 4 месяца назад

    Ukae kunogaaa

  • @maimunamsakamali9152
    @maimunamsakamali9152 7 месяцев назад

    Waukae ukae kunoga

  • @beatricemapunda8801
    @beatricemapunda8801 Год назад

    nakubaliii xana kabila langu

  • @RehemaZephaniah-ty1mz
    @RehemaZephaniah-ty1mz Год назад

    Naomba mawasiliano ili nipate huduma ya simu

  • @goodluckjames1365
    @goodluckjames1365 Год назад

    Kaka umeupiga mwingi

  • @RobbyMatakane
    @RobbyMatakane Год назад

    Kijani bwana

  • @remigiushaule3302
    @remigiushaule3302 Год назад

    Mkuu wetu hana wasaidizi wazuri ukiona watu wote wanaokuzunguka katika familia yako ni watu kukuitikia tu ndiyo na kukupamba tu hakuna wa kukukosoa fahamu uko peke yako na ujue Hawakupendi kabisaa au wanakuogopa na watu kama hao hawakufai watakupotoa tu.Wao wanachoangalia maslahi yao usije kuwahalibia.Nimeshangaa mkataba wa bandari upo wazi namna baadhi ya vifungu vinaupungufu ninyi mnashauli uendelee kweli mna nia mnjema na nchi hii.Ccm inatabia ya kujikose mara kwa mara inapoona imekosea sehemu fulani nawasihi tabia hii ya kujikosoa ni ya utu na ni njema kuhusu hili la bandari tujikosoe kwa maslahi ya nchi na vizazi vyetu.

  • @maikonyondo-gr7gd
    @maikonyondo-gr7gd Год назад

    Kwamkataba huu mi ccm lakinisaizi kwa hili naona kuvaa kijani ninzito kweli

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 Год назад

    Sasa kama wananxchi hawataki mnalazimisha Nini mama suaache au Kuna gizani?

  • @jouleusalfred8194
    @jouleusalfred8194 Год назад

    Professor shivj ameshatoa elimu hakuna elimu nyngne mtatoa tuelewe unless tuone mda wa kuisha pia gharama ya dubai itakayotumia kuwewekeza kwenye mkataba sio kwa maneno

  • @jouleusalfred8194
    @jouleusalfred8194 Год назад

    Nataman kumeza kwahyo ilan ya CCM ndo inakibali cha kuuza nchi tumekataa hata mtoe elimu vp mm nilimuelewa sana professor shivj na sio wahuni wengine na hatuwez kuelewa kamwe labda arudi tanzania watu wamesoma bhana msifanye watu wajinga.

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 Год назад

    kama mmeshindwa achieni.nchi tanzania siyo ya ccm ,nawala mwisho wenu sio mwisho wa tanzania ,nchi muliikuta namuiache unaongea kwanyodo namihemko utazani nyiendio wenye nchi ,kuwa kiongozo hakumaanishi ndio mnaakili kuliko wananchi mnafanyavitu hata mtoto mdogo hawezi kukubali ,viongozi kama nyie ndio mnaofanya africa tunazalaulika, alaaaa.

    • @JoshuaNyato-gc6fp
      @JoshuaNyato-gc6fp Год назад

      Mnang'ang'ania kielimisha wananchi mbona ninyi hamtaki kuelimishwa na wananchi mipaka ya tanganyika iliwekwa na mungu sio ccm,mwisho we nu umefika

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Год назад

    Sisim= Farao

  • @fabby1181
    @fabby1181 Год назад

    nani hasira sana kusikiliza huu upuuzi

  • @jeffkonki8279
    @jeffkonki8279 Год назад

    Miungu watu hao hawa wanakzi ya kuwaona wananchi wao ni wapumbavu na hawana akili kila kukicha

  • @Werema3760
    @Werema3760 Год назад

    Ndipo najiuliza kwa nini Mungu alimfanya Farao kuwa na moyo mgumu. Kumpeleka ktk anguko kubwa.

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Год назад

    Mnatia aibu hivi mna matatizo gani hamtaki kukubali kushindwa

  • @yusufujuma1859
    @yusufujuma1859 Год назад

    Upo sahihi balozi ally,huwezi kupoteza mabilion ya pesa Kwa shuhuli isiyo na ulazima,wakati miradi iliyoanzishwa na watangulizi wake ipo na amekataa kuendeleza, badala yake anatosa pesa ktk miradi ambayo anaamini itachoteka pesa kirahisi

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 Год назад

    Miaka 50 tunaandika mikataba ya ovyo?!

  • @khaiyamsimu-ko7rk
    @khaiyamsimu-ko7rk Год назад

    Bwinda ijooo waukaee

  • @SalmaSalma-dw8ii
    @SalmaSalma-dw8ii Год назад

    Hindio ngomayetu

  • @snedemc
    @snedemc Год назад

    Amwee ulatule

  • @jofreymichael5726
    @jofreymichael5726 3 года назад

    This is simbaa UTAJUA HUJUI

  • @stanleyandrea1009
    @stanleyandrea1009 3 года назад

    Mlingoti chuma mwamba chuma na pendela chuma hahhaaaaa

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 3 года назад

    Tisini na moja

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 3 года назад

    Tisini na moja

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 3 года назад

    Tisini na moja

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 3 года назад

    Atali atali shoo shoo

  • @barnabasmsagamasi3269
    @barnabasmsagamasi3269 3 года назад

    Muongo mkubwa

  • @jacobnghwali4531
    @jacobnghwali4531 4 года назад

    Alivyotishiwa awali mlichukua hatua gani?

  • @mshamlihapa4804
    @mshamlihapa4804 4 года назад

    sio wakwele wazigua ao

  • @briansancedo9336
    @briansancedo9336 4 года назад

    Tunafuatilia kwa kila hatua tujue haki zetu za uchaguzi huu

  • @sunriseradiotz
    @sunriseradiotz 4 года назад

    Hahahahahahaa....AMBA UKAE -BARAKA SUNGA

  • @paschalminja2153
    @paschalminja2153 4 года назад

    Asante tunashukuru

  • @edwardongori7734
    @edwardongori7734 4 года назад

    Pumbavu Hawa watu

  • @philemonnestory5695
    @philemonnestory5695 5 лет назад

    Viva viva

  • @bernardbenedicto1373
    @bernardbenedicto1373 5 лет назад

    Kiongozi nakuelewaxana

  • @annakashelo8519
    @annakashelo8519 5 лет назад

    Hahahahahahahaaaa uyo ndo mashimo au madululu

  • @fadhilibulwa648
    @fadhilibulwa648 5 лет назад

    Daaah

  • @abdulmgonda6584
    @abdulmgonda6584 5 лет назад

    Daaa hao Azam fc mbona urojo hivyo kwa Yanga

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 5 лет назад

    Sijawah ona mchungaji pumbavu kama wewe......acha uongo huna lolote kibaraka wa shetani wewe unachanganya kweli na uongo kuchanganya watu

  • @cliffdenis144
    @cliffdenis144 5 лет назад

    Peleka upumbavu uko

  • @geraldzson2033
    @geraldzson2033 5 лет назад

    waukae chahamwe

  • @yusuphsaid2428
    @yusuphsaid2428 6 лет назад

    huyu jamaa vipi?

  • @samuelgodfreymwambashi8835
    @samuelgodfreymwambashi8835 6 лет назад

    Mbona kiki sana huyu jamaa

  • @mathiasmihambo6035
    @mathiasmihambo6035 6 лет назад

    Xa mbna habari haijakamilika wala haina maelezo xx wa mikoani huku tumeelewa nn zaidi ya kuona magari mabovu t hapo

  • @ndegeyaernest3101
    @ndegeyaernest3101 6 лет назад

    Waache waadhirike tatizo hapa ni sheria zetu, kupuuza mila za kila kabila ,kukumbatia ujinga na falufasa potoshaji majibu ndiyo haya yanayokumba watoto waliotelekezwa ,watoto waishio mazingara magumu, yatima n.k

  • @gloriaatkinson8443
    @gloriaatkinson8443 6 лет назад

    GOOOOD day Whaddup I wanna do ReShare of your video *Walio telekeza wake na watoto sasa majina yao kuanikwa, aliye telekezwa na Mchina naye afunguka* to our RUclips Huge accounts network. And you will get: 100 real subscribers. All the details - follow the link in my profile photo